😂😂😂 bibibumenichekesha hongereni wote mlio towa sadaka Allah atawalipa kheri Inshaallah,fabi na Adam poleni kwa kuchoka siku nya leo Allah atawalipa ujiravwenu Inshaallah
Fabby usingefunga hicho kilemba haujapendeza hakta kidogo
@evaamedeus430Ай бұрын
Ulitaka afunge kitenge chako
@adamchauya1698Ай бұрын
😂😂😂 Wivu huo
@ladooladoo1285Ай бұрын
Mbona kapendeza sana tuu
@Ana-di6qgАй бұрын
kapendeza sana!!! hebu tuoneshe Mumeo ulimwandaa vp kwa idd
@aishaarusha894Ай бұрын
Majina ya fetty wanawivu na majungu pole😂
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
Faby mwambie bibi aneumwa pumu ck ikimbana achukue ndimu 4 magadi pakti 1 yale ya mia akamulie ndimu kwenye bakuli kisha aweke magadi povu litatoka lile povu ndio linalotakiwa kunywa anywe povu mpk liishe km ana vidonda vya tumbo asitumie
@zawadikasim6679Ай бұрын
Mtoto aweza tumia
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
@@zawadikasim6679 ndio mpe kijiko kidogo cha chakula kutwa mara 3 lkn ndimu kamua 2 / magadi nusu pakti maana inabidi utengeneze mara 3 kwa ck kwa sababu povu likotoka likiisha bac hakuna tena povu
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
@@zawadikasim6679 kamua mchunga mpe maji yake au roweka karafuu ck nzima mnyeshwe kabla hajala pia nazo ni dawa roweka karafuu 7
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
@@zawadikasim6679 mtt kamua ndimu 2 ila cjui umri wake hp ni kuanzia miaka 7 ndimu 2 magadi nusu pakti kijiko cha chakula mpe kutwa mara 3
@KhadijaMiteya-hh8xlАй бұрын
Yaani hayo magaidi na ndimu ni dawa haswa mimi nilibandwa lkn nilipopewa dawa hii.