Nye sio vzr we Traffic wa mchongo Unakula bure kwa watu halaf na ww unakaza kisa uko kazini😂
@zanzibar.11 ай бұрын
yni huyo ndio uhalisia wa trafiki wenyewe munakuw marafiki lkn hwn urafiki ht uwafanye vp roho zao mby sana time nyengine asikukamate ww anaweza kukuchomea kwa trafik mwenzake
@johnycavishe520711 ай бұрын
Syo traffic t jeshi lote kwa ujumla awanaga masihara kazn
@AugustineBasil-ok3dg11 ай бұрын
Hahahaha fire extinguisher na triangle hahahahah
@allymoshi205310 ай бұрын
Siwapendi mbuzi hawa mm hata kwangu askari hapangi na sina urafiki nao kbsa mbuzi mmoja kma wao alishawahi kunidhulumu pesa yngu kila nikifuatilia wanabebana tu
@emmanuelmambarera14110 ай бұрын
😂
@Samwel-dz2lt10 ай бұрын
@@AugustineBasil-ok3dgp0p
@user-vf5zq5rr4d11 ай бұрын
Kazi iendelee
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg11 ай бұрын
Hii imeenda
@NeemaJoseph-vr7vh Жыл бұрын
😂😂😂
@danielandrew989211 ай бұрын
Ndio zao hao
@drgeofreykupaza770711 ай бұрын
Kisheria za polisi hutakiwi kumuonea huruma hata mzazi wako maana raia huwa wanatumia kivuri cha ukatibu na polisi kufanya uhalifu uyo jirani hata reseni hana sasa ukiweka ujirani kazini si inasababisha matatizo makubwa
@allymoshi205310 ай бұрын
Huo n ujinga na huyo mzazi wako ndio alikusomesha mpka kupata kaz hyo ya upolisi mfano halafu usimuonee huruma wkt hyo serikali ukizingua t kidogo KAZINI WANAKUTIMUA KAMA MBWA