Anakuaga na story tamu ila anapenda kuongea uku anakula ama kunywa inaniuthi iyo 😂
@BarnabaBuhomaКүн бұрын
Ukiwa maarufu Africa halafu ukaenda Marekani, umaarufu wako unapotea hata hadhi uliyokuwa nayo kama waziri au mbunge, nayo inapotea. Utabaki ukijulikana na kuheshimiwa na weusi wenzako.
@BarnabasFabiani2 сағат бұрын
Ndo jukumu la wazungu kuu fubaza watu weusi ata ujue kingereza vip uweishi American bure lazima ulipie waje uku tuwa fundishe kiswahili
@godfreymbwambo4460Күн бұрын
AMETUMIWA KAMA KONDOM NA CHADEMA NA HESHIMA YAKE IMESHUKA! MWANAHARAKATI WA KWELI NI NEY WA MITEGO TU
@mothedon202Күн бұрын
A WISE MAN NEVER KNOWS ALL, ONLY FOOLS KNOW EVERYTHING!!!
@GraceWilliam-d1wКүн бұрын
Mpumbavu chama kinaingiaje hapo?
@husseinhamis142811 сағат бұрын
@@mothedon202😂😂😂🙌🙌🙌
@godfreymbwambo4460Күн бұрын
WANAHARAKATI UCHWARA AMBAO WALIDAI WANAMKIMBIA JPM KUMBE WALIKUWA WANAKIMBIA UGUMU WA MAISHA!! RIP JPM!!
@AbubakarKaylaКүн бұрын
😂😂😂
@AlfredMatemu4 сағат бұрын
Hutaki wtz wakatafute maisha nje nchi kila wakipata fursa
@MaulidUbaya-d7v11 сағат бұрын
Daaah iyo nikweli kuna mmoja baada aseme i need water yeye kasema ireeen wolaaaa mpk kichwa kikauma😂😂
@josephatjosephat4269Күн бұрын
Hatari sana
@cdemido5608Күн бұрын
tell him to bring his ass up here asap ( let him know to come here as soon as possible)
@ce-08Күн бұрын
🎉🎉🎉
@alfanimduge5305Күн бұрын
ASAP
@cdemido5608Күн бұрын
@@alfanimduge5305 AS SOON AS POSSIBLE
@ngayaimkwe5175Күн бұрын
nimeenjoy sana da hizi lugha na njaa ipo
@nasrikileo13 минут бұрын
😂😂😂 mi nateseka sana hapa hapa bongo😊
@unclepwechnov1381Күн бұрын
Nasoma comments za haters na wale waliojaa na jealousy huku nikicheka.
@damyarma5351Күн бұрын
Thx kwakuchekesha watu RM “Nah really”
@misanamohamedi8438Күн бұрын
yani hao jamaa herufi moja tu ukikosea imekula kwako
@dunstunnchimbi799414 сағат бұрын
Hiyo ya kubinua mdomo ningefia jela. Mana sijaumbiwa uvumilivu 😂😂. Pia, huko bila ugali sitatoboa. Hivyo unavokula brother Roma mi vinaishia Shingoni tu.
@boazmisango9797Күн бұрын
Watanzania mbona mnamanjungu sana Roma yuko sawa na ili tz ipate maendeleo ni kuwa na watanzania wengi nnje ya nchi
@Bisekoson10 сағат бұрын
Wakati mwingine wanafanya makusudi kenge hawa, ila hata wao wenyewe kuna times hawaelewani hasa weusi. Kenge sana hawa jamaa
@josephatkazaura5442Күн бұрын
Sisi tunasema antoni wao wanasema 'enthen'
@IDDABDALLAH-ds5vwКүн бұрын
huu Sasa uwongo Anthony na Ethen😂😂😂
@D-Man.B-FreeКүн бұрын
Daaah ,First time in America
@ShadyAbdallah-vu7iu20 сағат бұрын
Ila kweli ukiongea kimoyo moyo we kina shuka Sasa ngoja uongee sasa😂😂shida inaazia hapo
@Stellastella-yi5vuКүн бұрын
Mnajitesa nin na lugha za watu, bakin tu mbona bongo raha tu hadi kilugha tunagonga tu bila shida.
@janerouhassanjanerou7933Күн бұрын
aahaha kunamchizi 1 yupo New york jina lake linaandikika Kadeem mi namuita kadeem kamalilivyo kumbe wenyewe wana muita Kidim 😅😅😅
@feswal2210 минут бұрын
English Roma hio,, noma ugenini 😂😂😂,,,
@aediaygo854623 сағат бұрын
Kazi Kweli wenzio tulikua tuna kata saa zetu mikanda tuaweka mashine mfukoni kuogapo kuulizwa what is time tulikuwa hatuelewi kusoma saa
@rukiyyarukiyya6317Күн бұрын
Hapokwenye mwigului😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@nellymtambo8432Күн бұрын
Ila ndio uvaee Tanzania yako kwa sababu ya hii story ya Sam or Saaam alete ass yake 😂😂😂 story tamu ila kombe la chai kubwa Sanaa bhana 😂😂😂❤
@JamalManziКүн бұрын
Oya yalinikuta pia nilipokuwa nafanya kazi ya tour guide, hakika wabongo wengi tuna English tofauti na ya wenyewe😂😂
@BenjaminNicksonКүн бұрын
Hapo kuingia mwigulu
@verbalverbal2019Күн бұрын
pumbavu ongo hili😂😂😂😂😂😂😂
@yasmintastykitchenКүн бұрын
Hiyo chapati sasa lazima ulimi uwe mgumu kuteleza babe 😂😂😂
@elijahm.muthini20 сағат бұрын
Mimi nkisema God tulisumbuana sana mwishowe ndio anasema o u mean Gaaad😅
@frankmushi509Күн бұрын
Me imenikuta nikiwa nauza ice cream kwenye truck kuwaita mateja majina n kamzozo 😂
@ReinaLusajo19 сағат бұрын
Chapati tu like yangu
@SeifBashemela21 сағат бұрын
Ni kweli wanaharibu majina ya watu! Ujinga wa kuamini kila cha wazingu ni kizuri na cha urithi ni kibaya. Majina ya kikwetu yanaonekana ni laana na yanaotwa majina ya utani - nick names. Ukuda tu. Ni manyani yasiyojitambua uthamani wa chao. Kwenye dictionary au encyclopedia neno ivan lina muktadha wa utamaduni wa hukooo mbali..
@hirizonetz9558Күн бұрын
Ongea haraka haraka nataka kuweka sim chaji
@ThaBroskiКүн бұрын
😅😅😅😅😅
@hosea_0012Күн бұрын
😅😅😅
@ziddyziddy2524Күн бұрын
😅😅😅😅
@CharifaRachidiКүн бұрын
😂😂😂😂
@TimotheoSimtoweКүн бұрын
Hili jamaa halina akili kabisa😅😅😅😅😅
@miltonmachage2462Күн бұрын
Mm sijajua uko malekan anafanya nini?
@rumdeesonsoa1811Күн бұрын
Hata ww ndugu zako hawajui mjini unafanya nini
@christopherfrank909721 сағат бұрын
Me chapati tu😂😂😂😂😂
@mwanamkeshujaabongoflavama7180Күн бұрын
Hapo kwenye peter
@kageclemence7096Күн бұрын
Ila samy😅😅😅
@stephenbaraka3112Күн бұрын
Hujasafiri umekimbia mbna hurudi bongo
@geffects1141Күн бұрын
Pira 😂😂😂😂😂😂
@rlh-tzКүн бұрын
chapati mbona ngumu hivo, 🤣
@FatmasaidhamesaHamesaКүн бұрын
Sisi ndio tonajuwa shida kulikoni wenywe walotoka Kwa raha
@peterchoga9624Күн бұрын
Jina langu umepatia kabisa 😂😂😂😂😂
@husseindjumida6568Күн бұрын
Hiyo wala haishangazi mana hamjuwi hata kutafautisha R and L pindi mnaongea kingereza..ila njoivo hatuwezi zingumzaa kama woa.😂😂😂
@rumdeesonsoa1811Күн бұрын
Wewe hata kuandika Kiswahili ni changamoto
@mwanamkeshujaabongoflavama7180Күн бұрын
Roma hapo pia uko uzuri tu
@rehemaaminaali4372Күн бұрын
😂😂😂
@priscajube4239Күн бұрын
😂 eti u mean seem
@shafiitvonlineКүн бұрын
😁😁
@ThaBroskiКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@adammsangiКүн бұрын
😅😅😅
@teddydule4784Күн бұрын
😅😅😅😅
@GraceWilliam-d1wКүн бұрын
Acha ujinga njoo mchukue mkeo huku muishi wote huko acha ujinga wewe
@jumamussantuicheКүн бұрын
Futa lugha yako ya taifa utaliwe
@ConsciousBNBКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@muniraoman9551Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SuleAmber-lw2txКүн бұрын
Muda wote huo mkuu haujajua tu vzr Accent yao 😂😂
@BarnabaBuhomaКүн бұрын
Kujifunza lugha ukubwani ni sawa na kujifunza gitaa ukubwani…jaribu uone.
@zephaniazacharia519Күн бұрын
😂
@MaarufuAmani-bq6qcКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GMk-fw4vdКүн бұрын
😂😂😂😂😅
@habibaabdow7165Күн бұрын
😂😂
@WazirRamadhan-h7yКүн бұрын
Kwan kujireko bila kutuoneshea unakula nn ulikuwa huwez!!??