Utajiri wa hivyo siutaki bora niwe masikini kwa kweli
@oliviarwabwisho8 ай бұрын
Dada velo una sauti nzul sana mwenyezi Mungu azidi kukupigania na kukupa nguvu uzidi kutuelimisha
@Lily-rn6xc9 күн бұрын
Tulio sikiliza 2024 like tujuane
@zayabdala-ky9dgКүн бұрын
Mimi ndio nasikiza saiz
@maryjohn44343 жыл бұрын
Mungu atunusuru
@harrisonkazimoto37813 жыл бұрын
Yaani utajiri wa nguvu za giza siyo kama ule wa halali was nguvu za giza unakuwa tajiri lkn ni tajiri asiyekuwa na furaha wala amani Mara kafara za damu za watu hasa wa karibu yako na wale uwapendao ,kuishi na misukule mara kuishi na majoka yaaani hata maana ya kuwa tajiri inakuwa haipo
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Mhh kweli hatar tupu nakwambia
@salehali4saleh193 жыл бұрын
Matajiri Wana siri nzito vifuani mwao
@ramlamohammed16613 жыл бұрын
Allah atunusuru,
@pendowambua17253 жыл бұрын
Yaan we mdada mm huwa napenda saut yako 💕
@geralmollel23493 жыл бұрын
Bora kuwa maskini kuliko kuishi maisha hayo
@josephgregory98433 жыл бұрын
Namba 11,asante mpendwa kwa kutuletea simulizi nzuri na zenye mafunzo ktk maisha yetu
@salehali4saleh193 жыл бұрын
Nashukuru sana sister veronica,Mungu akubariki sana
@gbwile12573 жыл бұрын
Bora nibaki kweny chumba kimoja kuliko utajir wa hvyo
@mwasubilasaimoni85063 жыл бұрын
Bora niwe masikini milele kuliko kua mtumwa
@HanifaRashid-kt8ww3 ай бұрын
Bora nife maskini kuiko niuwe mtoto wangu ninaempenda apan kwakweri cjawai ata kuwaza😢
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Nakwambia hatar huu utajir aaaa kwa kweli mhh Bora ukae masikin utajir unamasharti kwa kweli