No video

UTAJIRI WA MPOKI, ASEMA ANAMILIKI NYUMBA 11, MASHAMBA YA MPUNGA HEKA 50 NA MENGINE

  Рет қаралды 153,371

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Mchekeshaji Mpoki ameamua kuweka wazi sehemu ya vile anavyovimiliki, ambapo amesema anazo nyunba 11 kwa hapa Daresalaam na mkoani Pia Ana viwanja ambavyo hajajenga Pamoja na shamba la mpunga la Heka 50. Play kupata taarifa kamili

Пікірлер: 151
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Unayo nidhamu ya pesa. Umekuwa Mwl. Mzuri kwa hili. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
@sakinaomar305
@sakinaomar305 3 жыл бұрын
Mashallah habipty wangu Allah akuongezee
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 3 жыл бұрын
Safi somo zuri kwa wakadiriaji wa maisha ya watu kengeeeee
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Mungu azidi kumpa barka
@jumaharuna9899
@jumaharuna9899 3 жыл бұрын
Hongera jamaa ,unapothubutu unafanikiwa
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Hongera Sana Aiseee uko vizur Sana
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 3 жыл бұрын
Hongera San Kaka kuweka adhzina
@adjussahkindamba3111
@adjussahkindamba3111 3 жыл бұрын
🇦🇪Nice mpoki
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 3 жыл бұрын
Masha Allah
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Masha'allah
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Safi kaka safi sanaa
@youngteo4158
@youngteo4158 3 жыл бұрын
Mashallah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Hongera sana
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Konde boy fanya mamb makubwa like mpok
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 жыл бұрын
Ma shaa allah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
H baba angewekeza kama ivi sasa ivi asingekuwa na stress za maisha #mpoki wasanuwe wana wajuwe kujiongeza😍😍😍😍
@Cyper255
@Cyper255 3 жыл бұрын
H. baba Anamijengo miwili mikubwa Mwanza. Jaribu kugoogle NYUMBA ZA H. BABA MWANZA utaona
@beatricekamenge7000
@beatricekamenge7000 3 жыл бұрын
Njoo mwanza uone mijengo ya h.baba utoamin
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
@singidaone5628
@singidaone5628 3 жыл бұрын
Huyo Ndiyo mhaya halisi sasa macho kwenye pesa achana na makabila mengine watu wakipata pikipiki tu hatupumui mtaan
@wilsonthomas9176
@wilsonthomas9176 3 жыл бұрын
Kina nan asee hao 😅😅
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
@@wilsonthomas9176 baba levo mwiny jaku nk
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
@@kishingokishingo1840 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃
@korneliserafini7843
@korneliserafini7843 3 жыл бұрын
Tanzania hakuna ukabila
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
kweli kagera asili yenu ni waganda, sasa ukabira umekujaje hapo? acheni ushamba wa kizamani
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 3 жыл бұрын
🤣🤣Bongo unahaso ukifanikiwa Wabongo wanakunanga we FreeMason🙌🙌 HONGERA MPOKI
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka
@almadrasatmuhammadiyah4101
@almadrasatmuhammadiyah4101 2 жыл бұрын
safisana mpoki
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 3 жыл бұрын
Ngoja tu gugo FORBES
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Kajitahidi sana
@imazotzkikwete3494
@imazotzkikwete3494 3 жыл бұрын
Sna sana mpoki
@georgedamas2771
@georgedamas2771 3 жыл бұрын
Tafuta kwanza ufulume wa mbingun mengineyo achana nayo ndugu
@kokubanzafrancic9725
@kokubanzafrancic9725 3 жыл бұрын
Waoneshe......nyoo
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@Omarion268
@Omarion268 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nKGzYZWso8uYhdU🔥🇹🇿🇷🇼
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
SIsi Tuna Hela Weweee
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Hao ndo wanaume wenye KOROMEA 🤸🙌sio sadala unaropoka hovyo kamvaa dira sifa nyingi majigambo ushamba mwingi sadala kama sadala
@khadijacharles2433
@khadijacharles2433 3 жыл бұрын
Acha kumsema mtu msifie aliyokuonesha nyumba zake nyoooo
@mteieliapenda7841
@mteieliapenda7841 3 жыл бұрын
Gems
@nassoronassoro5784
@nassoronassoro5784 3 жыл бұрын
Umesahau zigine zipo kibada na kisalawe ii
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Uyu mwamba fwedha anazo, maana nikitazama ndinga anazomiliki ni kwere asee
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Hii ndio maana ya kuongea kwa vitendo nasio porojo kama yule dogo mwenye nyumba mia hewa au dream nyumba mia 😃😀 . Nyumba ni bonge la biashara na zitakuelea alafu ni biashara isiyo kuwa na stress sana . Hongera tena.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@issakamba1902 weee msenge nini kusema ukweli ni roho mbaya ? Nikamuonee mtu wivu mwenye mali za haramu ? Kama mkweli aonyeshe basi 😀😌
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@issakamba1902 huwezi kujua haramu kama na wewe ni mwanaharamu. Embu achana na mimi Nguruwe pori wewe . Tena koma kunitag.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@issakamba1902 mkundu akupe baba ako sio mimi . Mimi mtu na heshima zangu.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@issakamba1902 mimi nimecoment maneno yangu nani kakwambia unijibu Kwa kunitag ? Kwani ungepita kimya kimya unge pungua nini ? Au ina uchungu sana na boss wako ? By theway Alhamudilah mama angu ana Kuma wako sijui kakuzaa na mkundu. Khanithi wewe.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@issakamba1902 mimi mwanamke sio shoga wewe ndio shoga sio kawaida kutoka povu na kuchanganyikiwa kisa boss kaambiwa hana nyumba 😀😅 wallah sio Rizki wewe
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 3 жыл бұрын
Mashaallah
@nassabtransportation7024
@nassabtransportation7024 3 жыл бұрын
haya Tajiri wa ndevu
@franshyera8970
@franshyera8970 3 жыл бұрын
Msimpandishe mtu. Mpoki Ni wakawaida sanaaaa.sio tajiri
@paulomwalimu6731
@paulomwalimu6731 3 жыл бұрын
Kweli wenye hela hawana maneno mengiiiii
@mamylnkuzi8482
@mamylnkuzi8482 3 жыл бұрын
Kweli MUNGU MKUBWA.UKIFANYA KAZI KWA BIDII LAZM UBALIKIWE.MPOKI MUNGU AKUZIDISHIE
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 3 жыл бұрын
Ooooh nice
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄 ZAKE AU 🙆‍♀️🙆‍♀️🤷‍♀️
@georgedamas2771
@georgedamas2771 3 жыл бұрын
Bado sana huo sio utajiri bado amjaelewa maana ya utajiri
@danielmwakaseka3555
@danielmwakaseka3555 3 жыл бұрын
😂😂😂Nilitaka kushangaa, Muhaya?
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣😂🤣 kajitahidi masha'allah
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Hivi ni muhaya wa ukweli
@omaraliiddi1424
@omaraliiddi1424 3 жыл бұрын
MashaAllah
@maimunakassim2840
@maimunakassim2840 3 жыл бұрын
Kaka Zote zako nisaidie na mimi nimalize kakibanda kangu kamoja tu nipate hifadhi
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 жыл бұрын
Nyumba vibanda ivyo nyumba anazijua
@muhamedwardah5144
@muhamedwardah5144 3 жыл бұрын
Wivu tu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Hawa ndio watu muhim
@julianajohn7917
@julianajohn7917 3 жыл бұрын
Dhubutu 11 ni viota vya ndge nyumbaaaaa
@emilipaul9474
@emilipaul9474 3 жыл бұрын
Mpaka hapo tayari kashaonyesha sifa ikumbukwe huyo ni MUHAYA 😀😀😀 WATU WA KUJISIFIA
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 3 жыл бұрын
Mpoki ni mpogoro si mhaya!huwa anaigiza Kama mhaya tuu
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 жыл бұрын
Haters mtabaki hiyo stage kisa mhaya ndo udhan uongo eeeh leta zao tuonee..
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 жыл бұрын
Mhaya pure tena wazaz woteee .. na wahaya ndo kabila linalojivunia kuwa wahaya wengine makabila they don’t proud
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
@@anicyaedward5605 Wasukuma? Wazanaki?
@mdl6463
@mdl6463 3 жыл бұрын
📷 vipi tungehesabu wote basi
@pendonuru6499
@pendonuru6499 3 жыл бұрын
Mmmh hongera. Yake
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Nikuchekesha tuuu au. Niache kazi sasa hivi nianze vituko
@husnasaidihasani7172
@husnasaidihasani7172 3 жыл бұрын
Hahhh
@sylviamombo815
@sylviamombo815 3 жыл бұрын
...
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Duh
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Acheni uongo kwenye KZbin zenu
@husseinissa4182
@husseinissa4182 3 жыл бұрын
Ila kuna watu wao kupinga tu yaaan kabisa MTU anawekà👎kwa stor hii duuuu😂
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 3 жыл бұрын
Wivu ni ugonjwa mbaya sana, huwa wanakuwa nao watu waliogubikwa na depression. Kuwanga si mpaka kutembea uchi usiku, waonee huruma tu.
@sayunirelevation7863
@sayunirelevation7863 3 жыл бұрын
Roma mkatoliki
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Mmh
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Nilijua analima mpunga na mchele na matango pia😂😂😂😂😂
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 жыл бұрын
Ww 😂😂😂
@jumachande4318
@jumachande4318 3 жыл бұрын
Kiki izo!
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Жыл бұрын
Wekeza unachoweza. Unajuajuaje kama wenye mali hawana wema? Wengi wanasaidia wahitaji.
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
.mashalllah
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Mali zako ni zile ulizozitanguliza Akhera hizo ni za Warithi wako. Kadhalka jiandae kujibu masawali ulizipataje na ulizitumiaje?! Na kama ulizichuma kwa njia za haram jiandae kwa mkong'oto warithi wako watatumia kiulaiyniiiii wewe unabanikwa.
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Diamond ata fanya hawa mastaa wakiume wauze matako, ili wajilinganishe nae.
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Kwanini unasema ivo au kwaajilia Kujenga
@utambevilla9585
@utambevilla9585 3 жыл бұрын
@@lovvy854 kumbe mond na yy anauza matako ndio mana amejenga eeee!!!!
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
@@utambevilla9585 nawewe ukitaka uzapia utajirike😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@utambevilla9585
@utambevilla9585 3 жыл бұрын
@@lovvy854 we mbona unauza na bado huajatajirika?
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
@@utambevilla9585 muulize mamakoo kwasabu yeye ndio anayo sababu
@moleopardonlinetv7151
@moleopardonlinetv7151 3 жыл бұрын
Mngejitamba hivo kipindi cha Magufuli
@hassanally511
@hassanally511 3 жыл бұрын
Ili iweje
@Omarion268
@Omarion268 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nKGzYZWso8uYhdU🔥🔥🔥🇹🇿🇷🇼
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Faida ya kipaji. Hapo sio degree wala PHD yenye kukohoa. Kudadadeki!
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Bro ..kila kitu kina nafasi yake Kuna wasom wanamaisha hivyo hivyoo na wanapesa kwa sabb ya shule pia Kun wenye vipaj na Wana elim
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
@@amaniomballa1855 Shule ilikuwa zamani sio kwa sasa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 Acheni ujinga,,, Pelekeni watoto wetu shuleni,,,
@mchembethomas601
@mchembethomas601 3 жыл бұрын
Watoto kampeni ya kupinga shule hivi ni nani kaianzisha?
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
@@mchembethomas601Umuhimu wa shule kwa sasa ni kujua kusoma na kuandika basi. Vingine ni mbwe mbwe tu!.Kidogooo kwa baadhi ya kozi km udaktari.
@kokualex6948
@kokualex6948 3 жыл бұрын
Mbona ni nyumba zangu nimezijenga kijichi?
@kokusylver6912
@kokusylver6912 3 жыл бұрын
Mmmmhhh we nae
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
Kijichi ya zenji?
@amazontv4862
@amazontv4862 3 жыл бұрын
Nyumba siyo zake hizo kiki tu
@fiyally5244
@fiyally5244 3 жыл бұрын
Sasa za kwako
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 3 жыл бұрын
Ni za nan?
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 3 жыл бұрын
Ni za nan?
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 3 жыл бұрын
Forbes bc irudiwe
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
Walipie na Kodi basi sio wanakaa tu kuzitaja
@mussamayele3134
@mussamayele3134 3 жыл бұрын
hapo hamsemi angekuwa chibu mngesema limbukeni .
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 3 жыл бұрын
Na uyu ni sadala??
@qatarmobaile2153
@qatarmobaile2153 3 жыл бұрын
😀
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 жыл бұрын
Kiki hozo,,si kama kawaida yake si anachekesha
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 3 жыл бұрын
Onyesha moyo wako mwema na wala si mali za ulimwengu huu. Moyo unalipa kuliko mali za dunia
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 жыл бұрын
Wewe bhanaaa!barakaza utamu wa maisha zinaanzia hapa hapa duniani
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Khaa. Sasa Ni Mali zake Asionyeshee viip
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 3 жыл бұрын
Hakika wewe unaweza kuwa tajiri kuliko Sadala
@happynesselisha2048
@happynesselisha2048 3 жыл бұрын
😀😀😀irudiwe
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Ndio Tunacho kitaka utuambie unanyumba na tuzionee sio Kama sadala yeye Ni Ndotoo tuuu..na kutu hadithia hadithi ..
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 3 жыл бұрын
Kwani sadala mwenyewe anasemaje?????
@ramlajuma1598
@ramlajuma1598 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesngonyan1670
@jamesngonyan1670 3 жыл бұрын
Bongo hakuna msanii mwenye pesa kama diamond na anawatesa weng sn
@ramangadu6451
@ramangadu6451 3 жыл бұрын
Tatizo Watu Tuliowengi Uwekezaji Wetu Nikatika Mali. Kumbe Pia Mtu Unaweza Ukawekeza Wema Kitu Ambacho Watuwengi Wamiaka Yahivi Karibuni Tumeacha Kuwekeza Katika Kwema. Wakasema Wenye Kusema Chochote Ukionacho Duniani Nindoto Yamchana Kweupe. Nikwanini Basi Mpaka Wakasema Dunia Yamchana Kweupeeee Nikwasababu Mtu Katika Hii Dunia Unaweza Kumiliki Kilakitu Lakini Cha Kustajaabisha Unaacha Kilakitu. Sikwa UchaMungu Tunakumbushana Natukumbuke Kujenga Nyuma Zakuishi Baada Yamaisha Haya Ikiwemo Kumuabudia MOLA nakuwa Mwema Kwabinadamu Wenzio
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
C'est vrai,,,
@AlenKinyina
@AlenKinyina Жыл бұрын
Unajuaje hajawekeza katika wema ? roho ya umasikini, wivu na roho mbaya shindwa
@barikiwa22
@barikiwa22 3 жыл бұрын
🤣
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Mbona kwenye kura ya maoni kwenye uchaguzi wa ubunge kigamboni kapata kura sifuri
@annajohn2488
@annajohn2488 3 жыл бұрын
Sasa yule domokaya analilia awekwe kwenye list ya top 10 fb🤣🤣 basi na mpoki alilie wenzake kimyaaa
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 3 жыл бұрын
Idiot! Sio mbaya kujenga nyumba ila ni kosa kubwa sana afrika kila mtu kufikiria lazima kujenga nyumba na kununua gari na kuitwa tajiri no sence!. Nyumba ni kitu lazima na si anasa au utajiri na ni kazi inatakiwa ifanywe kwa lazima na serikari kupitia NATIONAL HOUSES na kila mtu akae iwe bure au kwa gharama ndogo kama huko duniani wanavyofanya.
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Ndio usemayo lakini si nyumba 11 kumiliki nyumba 11 ni utajiri tosha ndugu yangu sana sana binaadamu wa kawaida atamiliki moja tu au wivu tenaaaa
@charlesmwisera7175
@charlesmwisera7175 3 жыл бұрын
Hiyo misifa tuu ya kijinga wakifa ndio tutajua ukweli.
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Mpoke Allah akupe zaidi na zaidi Ivi niuze swali kweli kama Mpoke a nanyumba 11 ive Monde hana nyumba kweli kama Hbaba anavyo sema
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Mashallah
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
Na bado anafanya kaz
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 3 жыл бұрын
Wakati Mimi nikipata eti vijumba viwili tu,nanunua kitanda chenye IC ili nilalage tu...Eti full kuridhika!!!
@matukiotv9041
@matukiotv9041 3 жыл бұрын
Mpoki Na ww unataftakiki aa we jamani bongo tutakua hatuaminihata mtu akiongea ukweli yaani mpoki hm nakujua acha tu ninyamaze
@monicamtewele9921
@monicamtewele9921 3 жыл бұрын
Nahuyo paka ninyumba ua kitoweo
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 26 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
VITUKO VYA MPOKI KWENYE KITCHEN PARTY GALA 2021 (SASA WAONESHE)
15:57
Dina Marios tv
Рет қаралды 723 М.
UTACHEKA JOTI NA WATOTO WAKE MAPACHA AKITAKA ACHEZE WIMBO WA HARMONIZE UNO.
13:28
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 26 МЛН