Mimi ni mwanarika...nashukuru kwa ajili ya hili fundisho nimefunguka macho kwa HAKIKA.....Barikiwa Mtumishi Frank Onyango
@harrisonmwangi4058 күн бұрын
Good teaching, mwalimu mbalikiwa
@olweyokennedy2666 күн бұрын
Mfano mzuri mchungaji ni mke msamaria katika kitabu cha Yohana 4:16-18, Yesu akamwambia , Nenda kamwite mumeo,uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, akasema, sina mume. Yesu akamwambia ,umesema vyema sina mume,kwa maana umekua na waume watano , naye uliye naye sasa siye mume wako,hapo umesema ukweli. Mtumishi Yesu aliona hizi vitu kitambo , mwanamke ambaye anakaa pekeake ako na waume wengi kuliko Yule ako kwa ndoa.