Mungu azidi kukutumia na mimi namtukuza Mungu aliye juu kupitia mwalimu ndacha.
@sarahwanjiru52699 күн бұрын
Mwalimu good job GOD Bless you
@JohnOuya-w7j10 күн бұрын
Correct mwalimu ndacha,hawa waalimu wa kiislamu wanakatakata aya kwa bibilia hawawezi soma aya yote na wamalize,juu ni wajanja ndio wapate wafuasi
@mjombawallace49668 күн бұрын
Ukweli kabisa Hawa Bure Kitu
@GeraldKaparata7 күн бұрын
Kweli awa niwajanja wa Hera tu
@everlyneiminza57228 күн бұрын
JESUS I love you forever ❣️❣️❣️❣️❣️😂😂😂😂😂
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Aminaaaaaaa nitamuomba Baba kwa jina la Yesu na nimeshapokea
@RAZAROCHUMA-h9g5 күн бұрын
Amina
@ManuelMAICONandenga7 күн бұрын
Waislamu nyinji,mumekufa katika imani,
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Haleluyaaaaaaaaaaaa
@EssauMsukwa8 күн бұрын
Warumi 8:11 [11]Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Asante Yesu kwa kuwa upo ndan yangu🙏🙏🙏
@MUKULASI-t8e21 сағат бұрын
Subili moto
@jumaruhinda99873 күн бұрын
Mwalimu Ndacha katika mada zote kwa hii UMECHEMSHA.
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Injili ni tamu jaman❤❤❤
@ManuelMAICONandenga7 күн бұрын
Muamadi ni ntume wa majini sio wa mungu,
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
YESU yu ndan yangu na siyo mwamed
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Mjinga ww hujielewi
@DAVIDMAGHANGA2 күн бұрын
✅🙏👍
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Amen amen and amen
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Nami ni mfuasi wa YESU
@ChandeDaudi8 күн бұрын
Wakuombwa ni mwenyezi mungu sio yesu,yesu ni mtu na nabii
Ni zaidi ya nabii,ndo maana yuko mbinguni,ambako moh hawezi kupata hata kigoda cha kukalia
@JustusNteghay6 күн бұрын
Tunamwomba Yesu na tunapata na majini yanatukimbia.
@jumaruhinda99873 күн бұрын
Ndacha historia ya maisha ya Muhamad unaivuruga malusudi ili lupotosha wati.
@JohnOuya-w7j2 күн бұрын
Nyinyi ndio mulianza kuivuruga bibilia kama sisi tumenyamaza,sasa tumeamuka sheikh juma mtaona vile tunavyo vunja pila za uislamu
@AdamsonKithi-t7wКүн бұрын
Correct 😂
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
I love you JESUS🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Ukampe hyo sule somo la Roho mtakatifu
@ChandeDaudi9 күн бұрын
Ulimwengu wa sayansi
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Mimi naitwa almasi nipo mwanza, NDACHA HANA HOJA MAANA HATA YESU HKUWEZA WALUHUSU WANAFUNZI WAENDE OUT YA ISRAEL ,MATHAYO 10:5 YESU ALIWAKATAZA, MATHAYO 28:19 ETY KAWALUHUSU ,HUU NI UONGO MAANA YESU HAKWEND OUT YA ISRAEL ANAEBISHA ANITAFUTE
@issakayogoma74636 күн бұрын
Uko tayari kujadili mkuu Anza na mimi
@GloriousRestorationTV6 күн бұрын
Akutafute una hoja???? Sema upewe maandiko, huna hoja!!!!
@chaco14664 күн бұрын
@@issakayogoma7463😅😅KBS kishaaje kwanza
@MonicaMpokwa-p1b9 күн бұрын
Aminaaaaaaaaaaaaaaaaa
@ChandeDaudi9 күн бұрын
Ulimwengu wa michezo,ulimwengu wa vijana,ulimwengu wa dunia
@SirajiSaidi-io6kq8 күн бұрын
Wewe Ndacha katika yesu atafufuka yeye anasema ninani?
@ChandeDaudi9 күн бұрын
Dunia ni kubwa kuliko ulimwengu
@conshazSaid2 күн бұрын
Ndacha Sasa umeishiwa hoja ndugu mana hata huyo simulizi anakuzid uelewa tafuta biblia ya Ethiopia ndacha usome, ww ushakua msomi mkubwa acha mapambano ya kutaka ushindee,,,, ishindi mkubwa ni kujisalimisha mbele ya mwenyezimungu
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Kama kweli neno mataifa inawakilisha dunia nzima ,NDACHA AJIBU SWALI HILI YEREMIA 25:17-19, INASEMA NDIPO NITAWANYOSHA MATAIFA 12:13 12:16 12:16 12:16 YOTE KIKOMBE HIKI, SASA ATAJE TAIFA LA KENYA NI NANI KANYWESHWA NA TANZANIA PIA ???
@JohnOuya-w7j2 күн бұрын
Wewe wapi maskio mwalimu amejibu,au wewe ni wale mashabik tu
@jumaruhinda99873 күн бұрын
Yaani wewe Muhamdi kuwelewa alama umaona ni ajabu sana mbona hukuona ajabu Yesu kuzaliwa bila baba? Hiyo alama aliwekewa na ALLAJH
@conshazSaid2 күн бұрын
Tukiachana na yoootee toka umeanza kusoma biblia ushasikia Kuna roho wa kweli mwingine ana sifa hizo za bibliaaa???
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Kama kweli neno mataifa inawakilisha dunia nzima ,NDACHA AJIBU SWALI HILI YEREMIA 25:17-19, INASEMA NDIPO NITAWANYOSHA MATAIFA YOTE KIKOMBE HIKI, SASA ATAJE TAIFA LA KENYA NI NANI KANYWESHWA NA TANZANIA PIA ???
@jamesnjiru59283 күн бұрын
Kukosa hekima kuna madhala yake
@shiracque85248 күн бұрын
Niujinga Wawa hislamu ❤❤❤
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Ww fara maandiko huyajui huoni kama ndacha anasema uongo, niulize mm
@kilimanjarotv2559 күн бұрын
Mwambie ndacha atafute biblia ya Ethiopia atapata maandiko YAKUTOSHA kwenye midahalo
@safarisafari73888 күн бұрын
Ndacha hata wewe unajua bibilia hai aminiki so lazma zirukwe Kwa sababu zina mdhihaki mungu Kwa wale wanajua
@LovelyComputerChip-cj4wz8 күн бұрын
Umeona bibilia ikisema mungu katuma mashetani kwa makafiri unazungumza nini?
@safarisafari73888 күн бұрын
@LovelyComputerChip-cj4wz ndacha anasema waislamu huruka maandiko.ndio nasema huezi amini bibilia yote,kunawaliolenga kuharibu maandiko na wako ndani so tunafaa tunapo soma Tue makini Sana maana hata saahi bibilia zinatungwa na kuandikwa.......kuna wenye hawaamini agano lakale eti ilipita🤣 how?wakati yesu alikuja akasema,sikuja kuitangua torati Bali kuisisitiza 👍👍
@mjombawallace49668 күн бұрын
😂😂😂😂 I see you and laugh really Yani unapingana kushinda ama kujifunza wewe Mutu hatari Sana
@mjombawallace49668 күн бұрын
@@LovelyComputerChip-cj4wz😂😂😂
@mjombawallace49668 күн бұрын
@@safarisafari7388leta Ike originally ndio tukuamini kama haipo nyamaza
@mustafam24627 күн бұрын
wewe simulizi wacheni nyinyi na ndacha kuchezea akili za watu baadaye ya wewe kuwahoji waalimu wa kiisilamu na kuweka programme hizo zako za editing na ndacha, tafadhali simulizi kuwa MKWELI!
@ChandeDaudi9 күн бұрын
Ulimwengu wa wanahabari
@ChandeDaudi9 күн бұрын
Simulizi wewe ni msomi kuliko huyo ndacha hajui hata kiswahili
@LovelyComputerChip-cj4wz8 күн бұрын
Umeumwa na nini maandiko simulizi anaona yakisomwa
@FulgenceNombo8 күн бұрын
Wewe ni mpuuzi na u gizani,, kwahiyo Akili au maarifa yanajulikana kwa kuongea Lugha ya kiswahili au nyingne yoyote kama kiingerezaMungu wa Mbinguni aliyefunuliwa na YESU Kristo akurehemu.
@mjombawallace49668 күн бұрын
Ebu wachana na upendeleo wewe sikiliza Hoja ;ukatae mwenyewe tu
@swalehissa77710 күн бұрын
Wewe simulizi kwanini huyu jamaa anakufanya mpumbavu. Something wrong with him. He’s suffering toxic in his brain. He just talks nonsense and to convince you.
@JeanMuzaliwa-bs6qh10 күн бұрын
tulia dawa imekufika ww mpinga kristo!
@GeorgeMunyi-b5r9 күн бұрын
Ukweli Una Uma
@GeorgeMunyi-b5r9 күн бұрын
We ndio Una talk nonsense
@swalehissa7779 күн бұрын
@ what is wrong with you sick man. You garbage
@charokazungu16559 күн бұрын
Mpinga kristo nyamaza
@ibrahimadab91519 күн бұрын
Nyinyi wakiristo mnadani Bibilia ni kitabu cha mungu ,you're in a wrong way na mtajuta siku ya Kiyama,ati kila wakati yesu, yesu. Yesu ni mtume wa mungu na ametumwa hawa waisraeli pekee yake sio ulimwengu lakini Prophet Muhammad P.B.U.H was sent to the whole world so Christians is better for you to believe the words of God in the Qura'an not bible.
@vincentdaud99548 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 Eti muhammad mnachekesha mbona wafuasi wake wamejaa Chuki jaziba visasi shiriki ubaguzi ndo vimewajaa hulka haya yananipa mashaka na imani hii
@MarthaMasha8 күн бұрын
Weee ongea ikutoke ulale
@JustusNteghay6 күн бұрын
Nipe mafundisho 3 tu Yesu ambayo Mohamad alikuja kuthibitisha kadri ya quran.
@petergoyandi56996 күн бұрын
Pinga kwa hoja kua biblia sio kitabu cha mungu leta andiko . Nasi twajua Quran ni hadithi iliyo andikwa 😂😂😂na hatusemi
@JustusNteghay6 күн бұрын
Baki na mohamad wako na uishie aliko Mohamad.Nami nabaki na Yesu wangu niishie aliko Yesu wangu.Moh anapodanganya alienda mbinguni,je alimemwona Yesu?Alikwenda kufanya nini?Kama hakuonana na yesu,basi aliishia mwezini,yanakopatikana majini
@ChandeDaudi8 күн бұрын
Wakuombwa ni mwenyezi mungu sio yesu,yesu ni mtu na nabii
@FabianSimkonda8 күн бұрын
Njili lazima ihubiriwe
@LovelyComputerChip-cj4wz8 күн бұрын
Mwombeni mungu kupitia jina langu atawapa hapo sio jina la majini au muhamadi jina la yesu 😅
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Kama kweli neno mataifa inawakilisha dunia nzima ,NDACHA AJIBU SWALI HILI YEREMIA 25:17-19, INASEMA NDIPO NITAWANYOSHA MATAIFA YOTE KIKOMBE HIKI, SASA ATAJE TAIFA LA KENYA NI NANI KANYWESHWA NA TANZANIA PIA ???
@AlmasiLukamya7 күн бұрын
Kama kweli neno mataifa inawakilisha dunia nzima ,NDACHA AJIBU SWALI HILI YEREMIA 25:17-19, INASEMA NDIPO NITAWANYOSHA MATAIFA YOTE KIKOMBE HIKI, SASA ATAJE TAIFA LA KENYA NI NANI KANYWESHWA NA TANZANIA PIA ???