UTAKULA MBOGA HII NA NINI? JINSI YAKUUNGA MCHUZI WA KIBAMBALA 🥭

  Рет қаралды 3,204

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 11 ай бұрын
Me ni ngekula na wali mpaka nilale apo apo maan ni 🔥🔥🔥🙌🏾
@kahambujulie7131
@kahambujulie7131 11 ай бұрын
Kibonde ya mochi❤❤
@rosamukiri2099
@rosamukiri2099 11 ай бұрын
Ugali even rice
@aminaisuja6081
@aminaisuja6081 11 ай бұрын
Hiyo spice inaitwajwe
@pendojuma8075
@pendojuma8075 11 ай бұрын
Uko nchi gan saiv dada
@marymwakasendeka1056
@marymwakasendeka1056 11 ай бұрын
Na wali aisee vinanoga hataree kama niingie nile 😢
@rosemadelemo4974
@rosemadelemo4974 11 ай бұрын
Na wali
@leticiajohn3114
@leticiajohn3114 11 ай бұрын
Katika hili leo ume feli uwezi osha hii mboga kwakutumia naji ya moto utaaribu leo ladha uwiiii ume kiaribu rahaa ya hii mboga maji yake yawepo bwana
@ikamalle
@ikamalle 11 ай бұрын
Umeshawai kupika kibambala? Huyu ni samaki mkavu, usipomuosha kwa maji ya moto tena yaliyotokota hutamla, atakua na shombo kali na mgumu.... kama unaweza kumla kibambala bila kumuosha pale wewe 🫡
@Njeriii536
@Njeriii536 11 ай бұрын
Wewe samaki mgumu huyu bila kumloweka na maji moto huto mla
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 11 ай бұрын
​@@ikamalleata mimi huwa naosha na maji moto huyo samaki
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 11 ай бұрын
🎉naomba namba za huyo anaeuza viungo nimtafute
@rachelmlawise9325
@rachelmlawise9325 11 ай бұрын
Je huyu ni samaki gani? Ni wa Indian ocean ambao sisi twawaita ng'onda? Kama ni huyo basi sima/ugali atakuwa sawa. Tena mtuzi wako uko rigi rigi mwanangu.
MBOGA HII UTAKULA NA WALI AU UGALI 🤭
5:13
Ika Malle
Рет қаралды 1,6 М.
JINSI YA KUPIKA PILAU /PILAU LA PRESSURE COOKER @ikamalle
8:14
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 35 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 49 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 26 МЛН
After the Wedding| Ready to Move| Kupika Chips Masala| Ika Malle
13:00
NJIA RAHISI YA KUPIKA FIRIGISI ZA KUKU/CHICKEN GIZZARD
3:38
Rasheedah’s Meal
Рет қаралды 2,3 М.
KUPIKA DAGAA LA KARANGA// OMENAA WITH PEANUT
4:28
Ika Malle
Рет қаралды 21 М.
CHEKI SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA CAF 2024
7:46
Syaga James
Рет қаралды 4,2 М.
KUNJA HIVI CHAPATI, ILIKUPATA YA MCHAMBUKO NA LAINI #chapati
4:58
NJIA RAHISI YAKUPIKA BAGIA ZA KUNDE! MAPISHI YA BAGIA ZA KUNDE
2:31
Daily Vlog: My baby's 6 weeks vaccination 💙 2024
16:02
Ika Malle
Рет қаралды 2,1 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 35 МЛН