UTANI WA OMY DIMPOZ KWA ALIKIBA NA WEWE USITUNYANYASE ,MBELE YA KIKWETE.

  Рет қаралды 92,358

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

#bongo24 #alikiba #ommydimpoz

Пікірлер: 111
@AdelinaKato
@AdelinaKato 8 ай бұрын
I really like these guys, they show us the meaning of love , true friendship and joy
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 8 ай бұрын
Napenda watu wenye shukran na upendo unaodumu❤❤❤❤ nawapenda kiba na Ommy mbarikiwe
@sirielsamweli
@sirielsamweli 8 ай бұрын
Hii nimeifungua mara kumi kumi jamaniiiiii imenifurahisha sanaaaaa😂😂😂ommy ...alikiba ❤❤❤
@roi2554
@roi2554 8 ай бұрын
Afu ommy stand up comedy anaiweza sana😂😂😂
@makovoice
@makovoice 8 ай бұрын
Mzee baba, tujuwane hapa... 😆 😆
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 8 ай бұрын
Kumbe ndugu yetu Ommy ni comedian...❤ from msa Kenya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 ай бұрын
Ommy Dimpoz ana shukrani sana Mungu awabariki sana❤❤
@DxbYae
@DxbYae 8 ай бұрын
Kuuguwa sio kufa jamani Alhamdullah omary anatufurahisha kapitia magumu leo yupo imala Alhamdullah mungu mkubwa jamani
@hussen8592
@hussen8592 8 ай бұрын
Kaka huna baya sio mtu wa kujikweza tajiri masikini wako pambana sana kiukweli mwenyezi Mungu akubariki mara zote kadri alivyo kupangia hakuna wa kuku toa kwenye njia salute to you blood .
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 8 ай бұрын
Kaka Nawapenda.Alikiba anaga makuuu nampenda
@greenermichael2057
@greenermichael2057 8 ай бұрын
Mie nawapenda tu❤
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 8 ай бұрын
Wow 👌 my super star 🌟 🤩
@KhereneGrâcealimasicomerçante
@KhereneGrâcealimasicomerçante 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤ nawa penda sana ndungu zangu
@nizobeatz90
@nizobeatz90 8 ай бұрын
Ahaha nilichogundua ommy comedian mzurii sana
@p.kasongot979
@p.kasongot979 8 ай бұрын
Mkumbuke Ommy ni Congolais muluba kwakuva ajambo ; tumpe mauwa ommy❤❤❤❤❤
@SLVESTA07
@SLVESTA07 8 ай бұрын
Omy dimpoz amegundua kua comedy inalipa kuliko bongo fleva 😂
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 8 ай бұрын
Hii Ndo maana halisi ya kuwa mfalme🎉,,anaelewana Sana na watu ,,hongereni kingkiba&omydmpoz
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 8 ай бұрын
Saana
@febregzabafeba
@febregzabafeba 8 ай бұрын
Omary Nyembo!! Una vipaji viingi sana... 😂😂😂❤
@yassinhussein1443
@yassinhussein1443 8 ай бұрын
Why Crown and not Kings? Anyway congrats👏👏👏
@WelileNtshangase-d9c
@WelileNtshangase-d9c 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nawapenda hao watu
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 8 ай бұрын
😂😂😂 Kweli Omi Mwandaazimu sana huyu😅😅
@elmishshokaboy
@elmishshokaboy 8 ай бұрын
Kong kiba😂❤❤❤nakupenda bure❤❤❤😂
@AgnessDegela
@AgnessDegela 8 ай бұрын
nawapenda sana hao watu jamani mungu azidi kuwaweka❤❤❤❤
@eliabeliud490
@eliabeliud490 8 ай бұрын
Jamaa anastailiii kuwepo Cheka tu😂
@frolencejovenary667
@frolencejovenary667 8 ай бұрын
I love these guys....
@100Hundredmiles
@100Hundredmiles 8 ай бұрын
Good life brothers
@barakamanga5502
@barakamanga5502 8 ай бұрын
Alikiba hana tatizo hana mbwembwe toka kitambo toka bongo fleva inaanza
@omarimahela7690
@omarimahela7690 8 ай бұрын
Dah ! Ommy he is comedian, ametoa msg kwa entertainment.
@v.m.ccompany
@v.m.ccompany 8 ай бұрын
Ommy nipe mauwa yangu ❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Dj2nyi
@Dj2nyi 8 ай бұрын
Nomaaa sanaaaa hiii nimeipenda
@redomswazi
@redomswazi 8 ай бұрын
Dah Ommy noma sana
@KateJones-u7q
@KateJones-u7q 8 ай бұрын
Kiiba ka kitambaa next time hiyo kupanguza jasho Kwa vidole si poa Kwa number one Superstar...
@stevewanga957
@stevewanga957 8 ай бұрын
Ommy comedian
@EAGLESCONSULTANTS-i1u
@EAGLESCONSULTANTS-i1u 8 ай бұрын
@ommydimpoz anafaa kuwa comedian 😄😄😄😄😄
@RizikiMakayaShabani
@RizikiMakayaShabani 4 ай бұрын
Tuna wapenda sana
@christinenanyama2517
@christinenanyama2517 8 ай бұрын
Yaani ali na ommy nawapenda saaaaaaaaaana❤
@zahraamin2910
@zahraamin2910 8 ай бұрын
Ur the best ommy❤
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 8 ай бұрын
Nawapenda sana ❤❤❤
@ellytech9757
@ellytech9757 8 ай бұрын
Sikujua kama Ommy ni comedian mzuri 😅
@faustinhommedetatnifasha9669
@faustinhommedetatnifasha9669 8 ай бұрын
Kweli ommydimpoe comedia😂😂❤😂
@luqmanhussein5551
@luqmanhussein5551 8 ай бұрын
Kitu cha halali watu wako free kbsaa lkn kuleee mmhhh
@SheeMwakuyumba
@SheeMwakuyumba 8 ай бұрын
Nimeipenda Sanaa hii😂😂😂😂
@vintasmoullz
@vintasmoullz 8 ай бұрын
Ommy is really talented
@hansonjosephat8344
@hansonjosephat8344 8 ай бұрын
Hii ni stand up comedy au 😅😅😅😅
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 8 ай бұрын
Watu wangu😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@savanny_music
@savanny_music 8 ай бұрын
Ommy Dimpoz ukweli ana Talanta afungue kituo Cha vichekesho
@emmakipalula9097
@emmakipalula9097 8 ай бұрын
Omy ni comedian kila siku...sema hataki kufanya comedy serious
@eggysulle7988
@eggysulle7988 8 ай бұрын
🔥
@rehemarajabu3655
@rehemarajabu3655 8 ай бұрын
😂😂😂 yaaani ommy duh
@meshackdyanka7826
@meshackdyanka7826 8 ай бұрын
Goody breather king vijana wengi tuige mfano
@saidbakari2408
@saidbakari2408 8 ай бұрын
Ommy dimpoz ni katuni kabsaaa 😂😂😂😂😂 kudadadeeeeeq
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 8 ай бұрын
❤❤
@RashidHamad-j3z
@RashidHamad-j3z 8 ай бұрын
Omy unajua comedy kuliko mziki😂😂😂😂
@suzanaaloyc4903
@suzanaaloyc4903 8 ай бұрын
Ommy unafaa kuwa comedian 😂😂
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 8 ай бұрын
Ommy hujawaza kufanya stand-up comedy 😂😂
@JoaquimMashalangende-fw7xs
@JoaquimMashalangende-fw7xs 8 ай бұрын
Nakukubali kiba mfalme
@RamadhaniShabani-nc5ve
@RamadhaniShabani-nc5ve 8 ай бұрын
R.m.s fashion
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 8 ай бұрын
Nyie ommy 😂😂
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 8 ай бұрын
Mungu awalinde sana😂😂😂😂😂
@SazafKiba
@SazafKiba 8 ай бұрын
King kiba na ommy ni ndugu
@SaidAlly-t4u
@SaidAlly-t4u 8 ай бұрын
Ommy na alikiba nimalafiki xana wametoka mbali xana
@HELYTEWELE
@HELYTEWELE 8 ай бұрын
Unyama mwingi kiba
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 8 ай бұрын
😂😂😂mbavu zangu hawa watu hakuna waku watenganisha
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 8 ай бұрын
Kabsa😂😂
@queenlinda255
@queenlinda255 8 ай бұрын
Kabisa Allah awaweke walahii
@EdomuMwasongela
@EdomuMwasongela 8 ай бұрын
Sarut boss wetu
@NursamiaKiligaliga
@NursamiaKiligaliga 8 ай бұрын
Dimpozi anaucheshi sana
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ndugu kabisa hawa
@نظيفهخالد
@نظيفهخالد 8 ай бұрын
Nimecheke sana kama mwehu
@toyasuleman9300
@toyasuleman9300 8 ай бұрын
Urafiki mtamu 😂😂
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 8 ай бұрын
Hao nimarafiki wa kweli
@سعدههوام
@سعدههوام 8 ай бұрын
😂😂😂😂 omy ni mwehu😅😅
@victorcephas3618
@victorcephas3618 8 ай бұрын
Ommy Dimpoz nenda Cheka Tu
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 8 ай бұрын
Ommy ww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@henry1933
@henry1933 8 ай бұрын
Ommy dimpoz comedian
@Nyangindu
@Nyangindu 8 ай бұрын
Ommy
@riverjoshua8141
@riverjoshua8141 8 ай бұрын
lkn ndo maisha ,, We leo una redio R kelly ako jela🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MiryLuxeAccents
@MiryLuxeAccents 8 ай бұрын
Bonge comedian
@sammasika3627
@sammasika3627 8 ай бұрын
😂😂😂boss simbaaa
@Gghhhhhhhhgftyjjcarmin11
@Gghhhhhhhhgftyjjcarmin11 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@mikidadikiga90
@mikidadikiga90 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mudyhmedia
@mudyhmedia 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@mdachiog5211
@mdachiog5211 8 ай бұрын
Ommy d nimchekeshaji kabisa😂😂😂🎉
@PaulEbby-n4r
@PaulEbby-n4r 8 ай бұрын
Ommy 😂😂😂
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 8 ай бұрын
Sikupingi kiba king wa making
@safiamohamed635
@safiamohamed635 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
@EdnaPeter-m6d
@EdnaPeter-m6d 8 ай бұрын
Yani nyie mnanifuraisha
@victorrocky5339
@victorrocky5339 8 ай бұрын
😂😂
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 8 ай бұрын
kumbe hadi ninyi mnapiga simu kwawa ganga zenu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 8 ай бұрын
Amekuwa mchekeshaji
@claramichael1632
@claramichael1632 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@marthatv9335
@marthatv9335 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MannySalum
@MannySalum 8 ай бұрын
Mommy anaga baya na mtu
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 8 ай бұрын
Edit hio ommy.
@jumaibrahim9773
@jumaibrahim9773 8 ай бұрын
Tunataka utoe na kampun ya kubet tujue idea zinatoka sehem moja tu kwa Diamond,,,, diamond alikuja na karanga ukainga na energy drink sasa ni radio mbn mnapita Kwenye nyayo za chibude akitoa nyayo mnataka kuingia nyie toeni ata app ya umbea bas tujue mmeanzisha wenyew yy ndo kafata ,,mond wa tafutie idea nyingine 😅😅
@rashidiabdalahmkwanga7409
@rashidiabdalahmkwanga7409 8 ай бұрын
Mshamba wewe ingekuwa hivyo basi mo na bakresa wasinge kaa pamoja Tanzania maana bizaa wanauza Aina moja acha mambo yahovyo yy mondi kwani haja iga nae
@jumaibrahim9773
@jumaibrahim9773 8 ай бұрын
@@rashidiabdalahmkwanga7409 we kumbe ujielewi mm nikutangulie kimuzik uje nyuma unipiku mbali alaf ufanye kitu na mm nifanye kitu icho nasio kimoja kila unachoanzisha mm nakuja apo nyuma haipo iyo anayeteseka nani apo stress zinafanya unawaza mond anajifanya anaredio ngoja na mm nifungue asinitishe sasikupotea uko tunatakusika kiba kaja nakitu fulan alaf ndo wakina mondi wanafata fata apo nyuma upo hao ni maasimu sio wakina bakhresa havifanan kabisa
@wahakiomary6281
@wahakiomary6281 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zahraamin2910
@zahraamin2910 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Jenifer-wd4hn7cv9s
@Jenifer-wd4hn7cv9s 8 ай бұрын
😂😂😂
@immakelvinimambi
@immakelvinimambi 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@erickomwocha596
@erickomwocha596 8 ай бұрын
😂😂😂
@Dj2nyi
@Dj2nyi 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
CHURCHILL show best of Jasper murume
46:04
Lamon kenya
Рет қаралды 91 М.
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 82 МЛН
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Ringo Sabufa
Рет қаралды 410 М.
NILAZIMA MTU APATE PESA NDIO AHESHIMIKE HII NAIROBI? BY: JASPER MURUME
11:50
Churchill Television
Рет қаралды 128 М.
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН