UTAPENDA ASKOFU DANIEL KULOLA ALIVYOCHEZA NA MKEWE MBELE YA WAUMINI WAKE

  Рет қаралды 32,861

SEIC TV

SEIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 Ай бұрын
Daniel kulola jifunze ka mzee kulola marhemu na mavazi ya mkeo ya kikahaba yanamtukanna BWANA YESU kiristo wa nazaleti .toeni dunia kanisani YESU anarudi mtatoa hesabu maana mnapeleka wengi jehanum
@user-ke6bl1vn1i
@user-ke6bl1vn1i 4 ай бұрын
I think this is one of the social clubs one preacher talked about when he said that some churches are just social clubs where people gather to socialize as they feel like 😢😢😢😢😢
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 ай бұрын
Huu ni upagani mnafanya na vaazi ya mke wako sio mazuri ni ya kidunia sana.take care
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 4 ай бұрын
Watachelewa kukuelewa ila ukweliii utabaki ukweliiii tu siku zooote. Kizazi chetu hiki hakitaki ukweliiii Sasa umevaaa vazi zuri na refu km lengo n kujisitiri kwann unalibana hivyo ndo linaongeza utukufu au!!? Ukipewa neema ya kusimama mbele za watu jitahidi usivae tu kujipendeza ww mwenyewe bali jali Mungu alokupa kusimama mbele yao. Nisipoeleweka wala sioni shida ila matokeo yake yatatupa ukweliii. Yaani sahv hatuabudu bali tunajali sana kuburudika na hiyo ndo shida. Sasa mtumishi habari za kuanza kugongesha maeneo ya stara mbele za watu kweliii huo n utukufu kwa Bwana na je kizazi kinachozaliwa kikiona na kujifunza haya kitakuja kuwaje hapo baadae au ndio mzidi kusema hiki kizazi kimelaaniwa!!? Gharama ya ukweliiii isipolipwa tutazidi kulipoteza kanisa kwa kasii mnoooo na hasa kwa vizazi vijavyooo ndo utakuta udunia paseee kuja kanisani hivyo hatukubaliiii hata kama tukiwa wachache haijalishi na hakuna kumuonea aibu mtu kwakua anajina hiyo haipo. Kukosea n kukosea tu bila kujali majina yetu. Niiishie hapa kwa leo.
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 2 ай бұрын
Kanisa la ajibu sana, mavazi ya wadada kwanza sio ya ibada
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 ай бұрын
Mama mchungaji Mungu alikutoa ubavuni mchana kweupe,,,,,,very beautiful women.....
@lydiaalbert8952
@lydiaalbert8952 4 ай бұрын
Jamani mavazi ya Mama ni aibuuuu
@gloryfidelis102
@gloryfidelis102 4 ай бұрын
Poleeeni ndg zangu mbona sielewi nini kinafurahisha hapa,
@OMEGATVTANZANIA
@OMEGATVTANZANIA 4 ай бұрын
Haya ndo mambo ya kisasa Daniel kulola unaharibu maadili badilika ili uwe chumvi njema
@Shalom803
@Shalom803 4 ай бұрын
Hiyo nguo uliyoivaa mama Askofu ulitakiwa uvae nyumbani na siyo kanisani kwenye kadamnasi
@lydiajoseph2571
@lydiajoseph2571 Ай бұрын
Hata nyumbani haipaswi, biblia inasena wanawake na wavae mavazi ya kujistri, haijasema tuvae tu kanisani na nyumbani tuvae ya kikahaba
@ZefaniaChales
@ZefaniaChales 4 ай бұрын
Kulola ana Lia anapo yaona haya Yesu ana vuja damu😂😂😂😂
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 4 ай бұрын
Kulola alishakufa na kibiblia wafu hawajui neno lolote
@dionisiamlowe6759
@dionisiamlowe6759 3 ай бұрын
mavazi hayo mhmhmh ya kidunia MUNGU awafungue macho Kabusa
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 3 ай бұрын
Amen amen
@BarakaGmen
@BarakaGmen 5 ай бұрын
Powerfull dance from My Spiritual Dad and Mom....More blessings
@Thesowerstv
@Thesowerstv 5 ай бұрын
Amen amen tusaidie son kushare na ku subscribe
@BarakaGmen
@BarakaGmen 5 ай бұрын
@@Thesowerstv Amen Amen this is huge must be supported.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 ай бұрын
@@BarakaGmen ningekua nasali hilo kanisa huyu mama asinge chomoka mavaa yanonyesha ni mwepesi sana
@dianadaudi5535
@dianadaudi5535 5 ай бұрын
Mimi nawapenda tu
@laurianogerold5129
@laurianogerold5129 4 ай бұрын
Mama askofu anaonesha maumbile yake
@OwikeSibonike-x3b
@OwikeSibonike-x3b 7 күн бұрын
Sihukumu Kwa Sababu Namimi Sijakamilika. Lakini Hayo Mavazi Ya Mama Mchungaji/Gauni ayampi MUNGU Wetu UTUKUFU. Mnawafundisha Nini Watoto Wenu Wakimwili Na KIROHO? Mngefuata Maadili Ya Baba Yetu Moses Kulola.
@NeemaMalisa-h7g
@NeemaMalisa-h7g 4 ай бұрын
Mmh, ,Mungu atusaidie tusiwe wepesi wa kulahumu
@mecknaika4260
@mecknaika4260 4 ай бұрын
Ni jukumu letu kuambiana mahali tunakosea, ni kweli hilo vazi si la kuvaliwa na Mama askofu Bali ni la harusi za kiswahili mahali dada zetu wanashindana kwa mitindo na shape
@user-ke6bl1vn1i
@user-ke6bl1vn1i 4 ай бұрын
I'm not a judge nor am I a learned friend, but I don't see Jesus here in this activities anyway
@salummussa9871
@salummussa9871 4 ай бұрын
ZAIDI ya upagani mke wa mtumishi kinena Chake lkinaonekana waziwazi
@PatriciaMwinambo
@PatriciaMwinambo 4 ай бұрын
That is why we are under judgement, a whole Bishop enaeneza usherati mpaka ndani ya kanisa la Kristo, shame on you
@tabby6064
@tabby6064 4 ай бұрын
Weee shetani ashindwe😢😢
@dullahtza725
@dullahtza725 5 ай бұрын
Nice
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 4 ай бұрын
Huyu hawafiki mbali christina shusho wapili huyo
@carolinenatembeya6787
@carolinenatembeya6787 4 ай бұрын
Uko smart Mama
@suzanwang7654
@suzanwang7654 4 ай бұрын
Watu hawaogopi mvua .
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 4 ай бұрын
Mke wa askofu haya banana mi nipo hapa
@NeemaMalisa-h7g
@NeemaMalisa-h7g 4 ай бұрын
Mtu akivaa magunia ndo tutajua ni mtumishi wa Mungu?
@ConsolataWilla
@ConsolataWilla 4 ай бұрын
Hata hakuna ushetan apo,cjaona cha hajabu kilicho fanyika
@barkleyherkain2068
@barkleyherkain2068 5 ай бұрын
😂nakubqlii sqna
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 4 ай бұрын
Mama kapendeza atali
@HappyAtv-xu3ew
@HappyAtv-xu3ew 4 ай бұрын
Nyie watu mbona mnawachukulia watumish kama siyo binadam wakati Mfalme yeye Mpaka nguo Zilidondoka!!sion cha ajabu kwa Bishop Kucheza Tatizo N I Mapokeo2!!
@HappyAtv-xu3ew
@HappyAtv-xu3ew 4 ай бұрын
Nyie watu mbona mnawachukulia watumish kama siyo binadam wakati Mfalme yeye Mpaka nguo Zilidondoka!!sion cha ajabu kwa Bishop Kucheza Tatizo N I Mapokeo2!!
@dionisiamlowe6759
@dionisiamlowe6759 3 ай бұрын
shida ni mavazi Neno linatufundisha mwanamke kujipamba kwa kujisitiri basi Alivyovaa kuna wanaume watazini kwa kumtazama watazini naye kwa nafsi sasa mavazi yamechora maungo hadi aibu Mungu wa Rehema Naomba Rehema
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 37 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 15 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 55 МЛН
Vituko vya Baraka Magufuli alivyomsurprise Mpoki/ Mabodigadi kama wote
4:20
CASSIAN AFUNUA UKWELI JUU YA KANISA LA EAGT ASIKOFU MKUU MWAKIPESILE
28:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 37 МЛН