CASSIAN AFUNUA UKWELI JUU YA KANISA LA EAGT ASIKOFU MKUU MWAKIPESILE

  Рет қаралды 9,754

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

10 ай бұрын

#call0688199370 #call0688199370 #

Пікірлер: 43
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 18 күн бұрын
Amen! May might GOD Bless u
@user-pq7fm7nb8d
@user-pq7fm7nb8d 9 ай бұрын
❤❤❤ Hakika niukweli Sana na niwabalaka mno MDA HUU tupo naye Dar es Salam kinyerezi Park Hakika Hakika nimtumishi ambaye MUNGU anamtumia Sanaa sanaa
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y Ай бұрын
Amen mtumishi Sema Kuna watu wanamitamaa na uongozi wanakazana sanaa kumchafua uyu askofu
@GraceLubasha
@GraceLubasha 2 күн бұрын
Amina mtumishi na mwinjilist wa bwana SEMA tusonge mbele
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 12 күн бұрын
Ubarikiwe sana kasiani ,ubarikiwe mnooooo
@AsikofuZakaria-up3xr
@AsikofuZakaria-up3xr 9 күн бұрын
Amina mtumshi wa Mungu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 10 ай бұрын
Amen Amen 🙏 Mungu wa Amani na upendo awe pamoja nawe mtumishi.
@masterkeymwakalanje536
@masterkeymwakalanje536 10 ай бұрын
Ahmeni
@YoeliChiwanga-dy3tb
@YoeliChiwanga-dy3tb 10 ай бұрын
Barkiwaa mtumish. Hakika, injili ya KRISTO na isonge mbele ..
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@masterkeymwakalanje536
@masterkeymwakalanje536 10 ай бұрын
uhakika
@YeremiaKitundu-sc4qj
@YeremiaKitundu-sc4qj 5 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe
@nyamagoryomary6958
@nyamagoryomary6958 10 ай бұрын
Utukufu kwa Yesu aliye juu amen
@user-yo4om9gw8q
@user-yo4om9gw8q 10 ай бұрын
amen
@zachariakiondo3871
@zachariakiondo3871 2 ай бұрын
GOD bless you
@user-ch2qb3mm2x
@user-ch2qb3mm2x 7 ай бұрын
Angalia sana frenk
@BarnabaChota-tw7ol
@BarnabaChota-tw7ol 27 күн бұрын
Ameeeeeen.
@rhoidambajuka5747
@rhoidambajuka5747 5 ай бұрын
Ukweli mtupu barikiwa sana
@furahag3098
@furahag3098 10 ай бұрын
Amen mtumishi 🙌
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 4 ай бұрын
Aisee umeongea point
@JamesPesambili-yt2cm
@JamesPesambili-yt2cm Ай бұрын
Kwanini mmekuwa wa with wa hovyo, jaman tumien mtandao kuhubili neno, siyokuhubili na kusema watu, kama ukimuona mtu hayuko sawa je, nivema kumtangaza dunia yote tujue makosa yake? Ukweli hiyo siyo injir ni kutafta Kiki za duniani.
@godfreymasawe5753
@godfreymasawe5753 10 ай бұрын
Ameen
@urbanmission3072
@urbanmission3072 10 ай бұрын
AMINA AMINA AMINA
@stunningtv8426
@stunningtv8426 Ай бұрын
Mr hapo ni busara tu za viongozi ziliyumba!
@ErnestSaimon
@ErnestSaimon 5 ай бұрын
Hawez potea kama anatoa habali ambazo ni halisi hata moyo unaamini ni halis
@mugishapeter1153
@mugishapeter1153 10 ай бұрын
Ni.ukweri.tusimame.ndani.yaneno
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj 5 ай бұрын
@DavidMalimbegu-dq8tp
@DavidMalimbegu-dq8tp 4 ай бұрын
Kwanini ameacha katiba ya moses aliyo iacha kuweni makini sana maandiko yanasemaje nawo watahubili neno lilelile na wataamlu moto kutoka juu na utashuka, kwahiyo usiamini sana hao ndiyo walio mfitini enzi za uhai wake kuweni makini watu kama hao hawafanyi pupa wanaenda taratibu mfano nikama papa waromani hawakujua kama ataweza kuwageuka kwahiyo umakini nimhimu
@restitutashabo4823
@restitutashabo4823 3 ай бұрын
Rafiki fanya utilities ujue katiba tunayotumia ni ipi? Pia elewa katiba lazima ibadilishwe kulingana na mahitaji husika ya wakati husika.
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 10 ай бұрын
Amina. Sijaona mwenye amekosoa mavazi. Inamaana wamezoea ukivaa vile ulivyo, au kuna mwenye atakuuliza, wapi koti na tai? Haya madhabao tuyape heshima. Tusikilize anachohubiri Cassian ili kujichenga nayo, maana injili anayohubiri ni sahihi kabisa. Sijakua rahisi kufuatilia mahubiri online ila yeye, Cassian akihubiri anahubiri injili ya uhai.
@chezariboy
@chezariboy 3 ай бұрын
MBona siku ZA MOSES KULOLA HATUKUONA EAGT LIKIGAWANYIKA NA HATUKUSIKIA EAGT KUWA NA MIGOGOLO MPAKA WENGINE KUJITENGA NAWAKIOESILE WAKAJIUGA NA MWAISABILA,, MPAKA SALIKALI IKAINGILIA KATI KUWEKA SULUHU, ASKOFU HUYO AKATUHUMIWA KUFANYA CHAGUZI BILA UPANDE MWINGINE KUSHIRIKI,, NK HUJUI MENGI WEWE NYAMAZA.
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 Ай бұрын
Aliyekuambia wakati wa kulola hakukua na migogoro ni nani pale shinyanga Kuna watu walijitenga wakati wa kulola lkn pia kina kakobe walihama wkt wa kulola na hata kina mpure na kina maboya walitoka wkt wa kulola
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 12 күн бұрын
Mwakipesile yupo vizuri sana katika misimamo ya kuhusu dhambi anapinga sana, wote wako vixuri moses na brown mwakipesile🎉
@frankmnale1900
@frankmnale1900 10 ай бұрын
Umeanza kupiga kampeini za madhehebu pengine umepewa ela nyingi sana na huyo Askofu E.A.G.T ndo umeanza kupotea taratibu
@happinesskitali164
@happinesskitali164 10 ай бұрын
Kuhusu suala linalohusu mtumishi wa Mungu au kanisa takatifu la Mungu usithubutu kutoa kasfa utalaaniwa wewe kama huna uhakika na haujui ni heri kukaa kimya kuliko kucheza na jicho la Mungu maana imeandikwa wachungaji ni jicho la Mungu kwahyo jifunze kukaa kimya
@kitambatv8363
@kitambatv8363 10 ай бұрын
Umeambiwa kwa Yesu Kuna kampeni acha masiala afu mambo ya mungu hatukosoi ila muhukumu ni mungu ko Kama hujaelewa unamwacha na mungu wake Alie mtuma kusema ivyo afu namweshimu Sana uyu Kaka nikiangalia tu history yake ya nyuma Mimi ni Nani mpaka nikosoe ko mambo ya mungu tunanwachia mungu wapendwa
@GrolyDundus
@GrolyDundus 9 ай бұрын
Jaman kuziona mbingu kazi sana ukwer wake ndyo wageuza na kuita kapen muogope mungu,,,pima kaur zako usicoment kwa kufurahisha watu alafu madhara yakupate wewe,,,.chunga kauli na utubu umekosea.
@user-pq7fm7nb8d
@user-pq7fm7nb8d 9 ай бұрын
Ndugu usiamini mabaya tu amini Mema ndio kanuni kuu ya wokovu
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 4 ай бұрын
Wewe nilikwambia ni mchanga eleza ulichotumwa, mafuta vitambaa ni biblia na walitumia manabii na mitume, usiwe na injili ya mafungu mafungu soma vizuri biblia, acha uchanga uchanga, hao walioweka misingi ndio hao walitumia, mafuta vitambaa, fimbo, chumvi kudhihilisha ukuu wa MUNGU, ongea maoni yako sijui kama ni maoni au umetumwa kutukana wengine pasipo kujitambua, maana unasema tumejengwa ktk misingi ya manabii na mitume, sasa, yesu mwenyewe hakuponya na mikono tu, Bali na alitumia mate kutengeneza tope la kuponya mtu mitume walitumia vitambaa na mafuta manabii walitumia, fimbo chumvi, mafuta, hakuna mahali imeandikwa tusitumie kwa kudhihilisha ukuu wa MUNGU kwamba MUNGU anaweza kutumia chochote, manabii wa uwongo walikwepo Toka zamani hata waliomuuwa yesu ni wachungaji na maaskofu walikuwa wa uwongo, umeishiwa mahubiri au, hubili wezi Malaya walevi waokoke
ANASTAZIA MKABWA HUO NI UMARAYA  UNAFANYA EV PASCHAL AMJIA JUU
1:14:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 8 М.
Askofu Asumwisye Mwaisabila Amvaa Askofu Mwaipesile Wa EAGT
14:30
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 98 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,5 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 6 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 4,1 М.
KILICHO NYUMA YA WASAFI TV CHA FUNULIWA KAFARA WATAZAMAJI  EV PASCHAL CASSIAN
40:25
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 98 МЛН