Mashaa Allah ukatuhuzunisha na kipenzi cha ulimwengu John Magufuli
@hassanmfaume45224 ай бұрын
Huzuni gn 😅😅😅
@ahz69074 ай бұрын
Kipenzi cha ulimwengu😂
@khalidkamanda81544 ай бұрын
Saut ya Mh. Kikwete hukuipata vzr kam cku nyengne
@ahz69074 ай бұрын
Anazeeka 😂
@salimbahatisha30034 ай бұрын
Asee kwa Muft umeua sanaa...Masha Allah😅
@jumamohamed48084 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah
@AllyMwinyi-rx8gr4 ай бұрын
Wallah mashaallah
@AssumaneMussaSalimo4 ай бұрын
Unaweza blaza from mozambique
@mnelahMussa4 ай бұрын
Sauti yangu unaweza kuiigiza? 😂😂😂
@ahz69074 ай бұрын
Sio kwa aliyekuwa mstaafu...sema kwa mstaafu raisi jakaya kikwete
@ayubutwalbu65944 ай бұрын
Mashallah
@bakarimusa62974 ай бұрын
Mashaallah
@mahmoudsameja644 ай бұрын
Kuna miwani isiyo ya Macho?
@TumainiMakatu4 ай бұрын
Ila ya magufuli kauwa sana
@aishathabit37324 ай бұрын
Qur,an haihitaji comedian
@NuruJumanneHamimu4 ай бұрын
Huyu jama noma
@amanimatokeo91394 ай бұрын
Mhhhh mbn inakuja inakataaa mhh
@AbubakariSuleiman4 ай бұрын
Kweny sauti ya muft nimekukubali nayakikwete angalau,niige niyakwangu
@emmanuelmabulla42833 ай бұрын
kwa magufuli umemaliza mwanangu
@issamushi63894 ай бұрын
Mmmhhh jamaa ni mkali
@charlesmillinga9924 ай бұрын
Sauti ya JPM ni Baraka Magufuli pekee anayeipatia. Huyu abaki kwa JK tu
@TALLUBOY4 ай бұрын
Wew unashindwa kutambua Kuwa naraka siyo ginius no Yeye amefanana na mzee maguful Kuusu sauti yeye ni kawaida tu Na hana maajabu yoyote kile siyo kipaji- kipaji kuiga vitu Vingi
@saidalhabsi64854 ай бұрын
Kwa magufuli 99% umempatia kabisa
@IddyDaruweshi-jv1fu4 ай бұрын
Hapo katika kutamka Aya umemumunya
@hassanmfaume45224 ай бұрын
Mfundishe ndio uzuri wa uislamu siyo kama kule ndiyo ndiyo nyiiiingi..😅😅😅
@ahz69074 ай бұрын
Naam
@mwaamwetahussain99474 ай бұрын
Aki ninyi 😂 hpo kapozi kakukuna kichwa
@TALLUBOY4 ай бұрын
Yani mzee saut ya maguful Umeuwa kinomaaaaaa kuliko zooote Mzee wangu daaa! aise