UTAPENDA! ONA WACHEZAJI WALIVYOFANYIWA SURPRISE YA BIRTHDAY BAADA YA KUWAKANDA TABORA UNITED

  Рет қаралды 105,622

Yanga TV

Yanga TV

7 ай бұрын

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Пікірлер: 307
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 7 ай бұрын
Yanga wanatuzid ktk mambo mengi hasa kwa upande wa management skills... interaction ya management kuu na wachezaji pengine na wafanyakaz wote wa club ni kubwa sana... hakuna matabaka viongozi wanajishusha sana ndo maana unaweza kuona Hersi anataniana na wachezaji utadhan sio rais wa club, pia ushirikishwaji Wa mashabiki wao na club ni mkubwa sana ndo maana wanafanya events kama supu day, utoaji wa misaada kwa wahitaji n k hii inaongeza sana morally kwa wachezaji kuifia timu.. mchezaji ana feel yanga ni yeye na yeye ni yanga hata wachezaji wa kigeni wa yanga wanaonekana kufurahia maisha zaid kuliko wachezaji wa kigeni wa timu zingine... congratulations mtani🎉
@user-iv4qe3ox1s
@user-iv4qe3ox1s 7 ай бұрын
Umeongea point sana, wenzetu wana Upendo wa hali ya juu,viongozi wanajishusha daah hii moment hadi raha, Hongera kwao 🎉
@ErastoOmari-cx2qv
@ErastoOmari-cx2qv 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ameni
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 7 ай бұрын
Nimekubali Sana ndugu yetu ulichokiandika. Ijapo wewe ni mtani wetu lakini hukusita kuandika ukweli wa mambo ulivyo. Nadhani hizi timu mbili ukiachilia kutaniana kwamba nimekufunga au umefungwa, ohh! Wewe ni WA mkiani, badala ya hayo yote tungekuwa tunajifunza Nini mtani kafanya vyema zaidi yangu ili nami nijitahidi kukifikia, au timu zingine huko nje zinafanyaje tutohoe, turekebishe Kisha tulete home. Ingekuwa vyema zaidi kwa maendeleo ya soka letu Tanzania.
@SwigoJr-vy3gv
@SwigoJr-vy3gv 7 ай бұрын
We are Young African💚💚💛💚
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 7 ай бұрын
Hehe
@wizfbeb
@wizfbeb 7 ай бұрын
Hii ni zaidi ya timu ya mpira wa miguu. Hii ni familia ya waafrika weusi. Mungu ibariki Yanga Afrika
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 7 ай бұрын
Dah hii club ina kila sababu ya kupendwa, hongera sana Rais wetu hels kila uchao unazidi kuitofautisha hii timu na vikundi vya waguni, kama katiba ingeruhusu ungekaa kwenye kiti cha urais hati useme basi
@imanibakili8028
@imanibakili8028 7 ай бұрын
Ndiyo maana mchezaji akisikia anakuja Yanga hataki kupoteza fursa
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 7 ай бұрын
🙏💛💚 Mungu awe na nyinyi wakati wote furaha yenu hidumu milele
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 7 ай бұрын
Tazama inavyopendeza ndugu kukata pamoja Kwa umoja... congratulations...God bless our team Young Africans SC 💚💛🖤
@user-mw3yp6kl5c
@user-mw3yp6kl5c 7 ай бұрын
Yaani Adi raha
@rozamabagala6242
@rozamabagala6242 7 ай бұрын
Zaburi 133
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 7 ай бұрын
Ameen...💚💛
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 7 ай бұрын
Hongereni kwenu nyote Mungu awajalie afya njema.
@user-hf2pk9gc7y
@user-hf2pk9gc7y 7 ай бұрын
Hindiyo Tim pekee yenye upendo mkubwa kwa wachezaji na viyongozi wao hongereni sana yanga Africans
@edachengula796
@edachengula796 7 ай бұрын
Nimeipenda hii kiongozi wa kujishusha na kujunuika na wachezaje wake,daima mbele nyuma mwiko🎉
@elizabethrichard4974
@elizabethrichard4974 7 ай бұрын
Nyieeee, yanga wanaishi kwa upendo Hadi Raha🥰💚💚💚, mungu azidi kuwainua yanga yangu💚💚💚
@mweyoms5548
@mweyoms5548 7 ай бұрын
Pongezi zangu za dhati ni Mhandisi Hersi Said.Ameleta mageuzi,mapinduzi makubwa kwenye uongozi wa Vilabu nchini.Kila staff ya Yanga anatambua kwa nini yupo Yanga.Hii morali na umoja wa wachezaji hauji kibahati mbaya bali hujengwa na UONGOZI THABITI.
@user-wr6dt6xh8t
@user-wr6dt6xh8t 7 ай бұрын
naipenda hii timu mimi jamani,naipenda kwa moyo wangu woooteee mpaka sielewi aaani🥹
@paulmushi2428
@paulmushi2428 7 ай бұрын
Aaaah Happie!!!!! anayestahili kupendwa Kwa moyo wako woooote ni Mungu aliyekuumba na anakupa uhai na fya njema Hadi unapata wakati wa kufurahia!!😅😅 Ipende Yanga Kwa Kwa moyo wako kiduchuuuu😅😅😅 samahani lakini🎉
@shamimtunge1664
@shamimtunge1664 7 ай бұрын
Hunizidi mm kuipenda yanga nipo tayari nisile kwaaajili yao 💛💚
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 7 ай бұрын
@@paulmushi2428 Nadhani ameongelea kati ya vitu anavyovipenda kwa moyo wake wote ni yanga....usimchanganye Mungu na vitu Mungu atabaki kuwa Mungu milele wala hafananishwi na kitu chochote!!
@ahamadnalinga6825
@ahamadnalinga6825 7 ай бұрын
So amazing, congratulations Kwa management nzima, mnafanya kazi iliyotukuka
@Zubaiba
@Zubaiba 7 ай бұрын
Hongera sana, Allah akuzidishie umri mrefu wenye manufaa ❤🎉🎉🎉
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 7 ай бұрын
Fantastic! All the best!
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 7 ай бұрын
Mchezaji anapata furaha kiasi hiki, lazima aipende team yake, hawezi kuihujumu hata kidogo. Big up
@user-tq2mm9wo2o
@user-tq2mm9wo2o 7 ай бұрын
Kabisa umenena
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 7 ай бұрын
Nyie kweli kwenye umoja, Mungu anabariki ❤
@issahpaul4510
@issahpaul4510 7 ай бұрын
Wow!! Nimependa hii love ya wachezaji wetu ❤
@amaniomar1755
@amaniomar1755 7 ай бұрын
Yanga raha jamaniiiiiii..........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kuna tofauti kati ya mwalimu wa ball na Master angalia anavyoshrehekea na vijana wake.
@nkosiyabomasuku1795
@nkosiyabomasuku1795 7 ай бұрын
Shabiki bora wa Yanga. Tumekutana tena 🔥
@amaniomar1755
@amaniomar1755 7 ай бұрын
@@nkosiyabomasuku1795 Daima mbele nyuma mwiko. Tabulele laah 🔥🔥🔥🔥
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 7 ай бұрын
All the best team yangasc 💛💚💪
@marietaally1941
@marietaally1941 7 ай бұрын
Nzuri sana hii mungu awape afya njema na upendo uendelee asanteni viongozi wetu 🙌🙏🔥💛💚
@mbarakapandu101
@mbarakapandu101 7 ай бұрын
yaan wachezaji wanainjoi hadi raha daima mbele nyuma mwiko
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 7 ай бұрын
Hakika upendo wa hali ya juu 🎉🎉❤
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 7 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
@TchombaMedard
@TchombaMedard 7 ай бұрын
All the best my big team young Africans SC
@raheemsangaya
@raheemsangaya 7 ай бұрын
mapenzi ya Hali ya juu maana halisi ya team work 🎉 big up
@user-tx5jx9cu9p
@user-tx5jx9cu9p 7 ай бұрын
💛💚💛💚💛💚🙏🙏👍 Nitimu ambayo ukiwa na mawazo yana kwishaaa tabulele laaaaah
@Jemisl
@Jemisl 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Happy birthday 🎂🎂🎂🎁🎁
@ezekielhaule364
@ezekielhaule364 7 ай бұрын
This is great. We have never seen this before.
@domisonrichman6499
@domisonrichman6499 7 ай бұрын
What a team ...big up management
@azizambise
@azizambise 7 ай бұрын
So amazing
@naumimwambuluma4211
@naumimwambuluma4211 7 ай бұрын
Cheers to our players you are the best
@yasinkhatib618
@yasinkhatib618 7 ай бұрын
Walter harison , Appreciate bro🙌
@nasrafaki3155
@nasrafaki3155 7 ай бұрын
Proud of you boys
@user-lp4xj7jr1v
@user-lp4xj7jr1v 4 ай бұрын
Nawapenda.sana.wanayanga.munapenda.namuna.umoja.hongeren
@mahamudhimu7934
@mahamudhimu7934 7 ай бұрын
💚💚💚💚💚💥💥💥💥💥 yanga atali sana
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 7 ай бұрын
Mungu atujaamie tuchukue mpaka champions lig
@Julitha-vs9ee
@Julitha-vs9ee 7 ай бұрын
Aminaaa..
@MukhusinMahmoud
@MukhusinMahmoud 7 ай бұрын
Ameen
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 7 ай бұрын
Amina
@enockabumba7513
@enockabumba7513 7 ай бұрын
Amina
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 7 ай бұрын
Amiin
@MosesMamaya
@MosesMamaya 7 ай бұрын
❤❤❤❤ inspendeza sana
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 7 ай бұрын
Wenzenu upande wa pili tupo tunadundana wenyewe kwa wenyewe 😭😭😭😭😭
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 7 ай бұрын
😅😅😅
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 7 ай бұрын
Poleni ndugu zetu watani. Nawaombeeni muwe sawa. Mpate viongozi. Huongozi mzuri mkiupata mawazingua,. Hivi unajua uongozi wa Barbara na Senzo masingisa ulikuwa na kitu kikubwa, lakini zengwe Hadi wakaondoka. Yawezekana wapo wapiga Dili ambao hawajali maendeleo ya club ila matumbo yao tu. Akitokea kiongozi anayejali maslahi ya club huyo anakuwa adui maana anawazibia mianya ya hufujaji, hivyo vichwani mwao ni ondoa huyu.
@Erickmjuni-ev6dc
@Erickmjuni-ev6dc 7 ай бұрын
Poleni sana watani
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 7 ай бұрын
Yaani mpaka waseeeeemeeeeee na baadoo hamjaseeeemaaaa 😂😂😂😂
@fednandnews2240
@fednandnews2240 7 ай бұрын
My team I wish to join with you guys one day for dinner😂😂😂😂
@abdulladosantosjr
@abdulladosantosjr 7 ай бұрын
Zaidi ya familia💛💚
@user-by7zf4fh2y
@user-by7zf4fh2y 7 ай бұрын
Hongera sana management ya yanga na crew nzima iliyofanikisha hili mnachokifanya sio tu kuleta furaha kwa wachezaji bali mnawaleta wachezaji pamoja na mnawapa deni wachezaji wapate moyo wa kuipambania team hongereni sana yanga
@immanuelsaringe8571
@immanuelsaringe8571 7 ай бұрын
NIMEIPENDA SANA H KAZI ERIS ANAIFANYA MUNGU AKULINDE NAMABAYA YOTE
@WilliamEzekiel-hv9li
@WilliamEzekiel-hv9li 7 ай бұрын
Kocha amenichekesha full furahaa🎉🎉🎉🎉
@hildakiyabo
@hildakiyabo 7 ай бұрын
Mmetixhaaaaa makolo wanaona wivuuuuuu
@ramahkhalfan3657
@ramahkhalfan3657 7 ай бұрын
mashallah wawooo wawooooh kam barak mpeja injinia baba wew unadunia tako bro 🎉🎉
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 7 ай бұрын
Yanga na uongozi mpo vizuri sana kila mnacho fanya kina ubora zaidi hakika vijana nyie wabunifu sana jongereni mtafikambali ktk kila mnacho tengeneza Daima mbele nyuma mwiko mwanachama yanga damu.💚💚🙏
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
Oyooooooooooooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yanga bingwa adi 230 utaki au😁😁😁
@namdigumagwenge193
@namdigumagwenge193 7 ай бұрын
Yaani sijui wakumshukuru zaid ya mungu , ametuheshimisha kama sio sisi tuloitwa ombaomba, wazee wa bakuli nyie jmn❤❤❤❤❤❤kila mtu anaejitoa kwa hali na mali kwajili ya YANGA mungu awabariki
@user-vn3bw7lj3z
@user-vn3bw7lj3z 7 ай бұрын
Iiih laah jaman daaah💛💚💚💚💚💛💪🙏
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 7 ай бұрын
Yaani yanga ni raha na amani tu, gamondi anaruka wachezaji ndo usisene meneja wa team yani daah! Mungu tulindie hii amani na upendo viendelee, daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪🎂🎂🎂🎂🎂
@peterjanuary429
@peterjanuary429 7 ай бұрын
My team 😍💚💛
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 7 ай бұрын
Tuna rahaaaaaaaaaaaa bwanaaaaaaa💚💚💚💚💚💚
@raphaelchauwele3547
@raphaelchauwele3547 7 ай бұрын
Happy birthday to my players 🎉🎉🎉
@SashaOscar
@SashaOscar 7 ай бұрын
Daaah Yanga raha kwkwl 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p 6 ай бұрын
Waoh naipenda hii, wachezaji wangu wote wamezaliwa siku moja, na hii ndio inaitwa kupendana
@jacksonlyimo1491
@jacksonlyimo1491 7 ай бұрын
Mungu awatunze wachezaji wangu na wana Yanga wooootè..Afya amani na furaha kwenu na kwa familia.. zenu. Awape nguvu na ufanisi katika kuwania makombee yooote yalio mbele yetu na kuyachukua kwa kishindo .uwezo na nia tunayo. MUNGU MWEMA
@ShedrackNgokozela
@ShedrackNgokozela 7 ай бұрын
Mungu awalinde sikuzote jaman mnatupatia furaha sanaaa daah upande wapili uko vipi mnateseka eee
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 7 ай бұрын
Hii nimeipenda💚💛💪🙏🙏🙏nafurahi kuwa sehemu ya wananchi aisee
@julianashani9408
@julianashani9408 7 ай бұрын
Nawapenda sanaaaa
@FaustineBukongolo-wp2fe
@FaustineBukongolo-wp2fe 7 ай бұрын
Oungoz wote Mungu awabari mnafanya kaz kubwa sana
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e 7 ай бұрын
Woo hoo ooooo, wanainchiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiii
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 7 ай бұрын
Tazama ilivyo vema nakupendeza ndugu wakikaa pamoja kwa upendo😍🙏🏼
@tumaramadhani3381
@tumaramadhani3381 7 ай бұрын
Yangaa hii mmh kama unaumwa na kisukari unapona amazing sana naipenda yanga yangu💚💛🧡🖤
@ibrahimkambi5444
@ibrahimkambi5444 7 ай бұрын
Muendelee kupendana wananchiiiiii
@user-ce2xg9wt4s
@user-ce2xg9wt4s 7 ай бұрын
Yanga wapo mbali sana hongera
@magrethshishwa5481
@magrethshishwa5481 7 ай бұрын
Ni zaid ya upendo aisee💚💛💚💛💚
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 7 ай бұрын
Kwa style hii kila mchezaji atatamani kuchezea Yanga
@everlynegilleard2745
@everlynegilleard2745 7 ай бұрын
Akuna wa kutamani kuondoka jamani sio kwa upendo huo mungu ibariki Amani ya timu yetu iendelee kudumu
@lawiyorambwiza4100
@lawiyorambwiza4100 7 ай бұрын
Furaha kama Hizi zinapatikana YANGA,ASEC MIMOSA,Madrid
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 7 ай бұрын
Yani hadi kochaa anaruka ivoo mashalaah .. ❤❤❤❤❤
@zainaburamadhani1444
@zainaburamadhani1444 7 ай бұрын
Mansha Allah yanga ya 2022 na 2023 ni mwendo wa furaha amani upendo yani wananchii mmetishaaaa
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 7 ай бұрын
Upendo mkubwa sana!!! Good management hakika
@mayrose9772
@mayrose9772 7 ай бұрын
Ila yangaaaa ni rahaa nfulululu❤
@user-rc8sv9dg2l
@user-rc8sv9dg2l 7 ай бұрын
Hongera sana kwenu mlioongeza mwaka!
@raymondvunja371
@raymondvunja371 7 ай бұрын
Hongeren san wachezaji wangu 💛💚💛💚
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 7 ай бұрын
Mmmh kumbe gamond sio mdogo kwenye issue za vibes 😅😅😅
@JerinaNguto-vv1gt
@JerinaNguto-vv1gt 6 ай бұрын
Mubalikiwe,wote,wachezaji,wetu,aph,basdei,toyu
@user-je9om4lh5c
@user-je9om4lh5c 7 ай бұрын
Napenda huu upendo jaman!
@MulhatRamadhan-fi9or
@MulhatRamadhan-fi9or 7 ай бұрын
Mashaallah
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 7 ай бұрын
Waooo jamani yanga raha
@abdurabihassan1188
@abdurabihassan1188 7 ай бұрын
It's all about love❤❤❤❤❤
@user-de4dx8vn8v
@user-de4dx8vn8v 7 ай бұрын
Yanga timu kubwa tanzania happy barthiday
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 7 ай бұрын
Nakubari san yanga daima mbele nyum mwiko
@suzyclement3899
@suzyclement3899 7 ай бұрын
Love you so much ❤️😘
@MysarahMohamed
@MysarahMohamed 7 ай бұрын
Wachezaji wetu wanapendana mpk wanasisimua💚💛💚💛😇🔰
@dorothymichael5594
@dorothymichael5594 7 ай бұрын
Raha sana hii tim
@toz-b
@toz-b 7 ай бұрын
Sijutiii kuishabikia yangaaa wallah naenjoy
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 7 ай бұрын
Muda wore Yanga wanatengenezewa furaha hiitimu itafika mbali sana
@agnessnestory-ox2lx
@agnessnestory-ox2lx 7 ай бұрын
Waoooo so amazing ❤
@alexselestine9827
@alexselestine9827 7 ай бұрын
Nimeipenda hii
@AishaKhamiss-hg5xl
@AishaKhamiss-hg5xl 7 ай бұрын
Raha wallah❤
@user-nz6og1cy6v
@user-nz6og1cy6v 7 ай бұрын
Naipenda yanga nawakubal wananch maana unaambiwa raha jipe mwenyewe ❤❤❤
@BarnabaMsigala
@BarnabaMsigala 7 ай бұрын
Gamondi ana vibe sana 😂😂😂 wanaondk kwenye timu watakuwa na simanzi snaa maan cio kwa upendo huo
@user-vo8bd7ym1n
@user-vo8bd7ym1n 7 ай бұрын
Hadi raha yanga jaman mmependeza hongereni sana wapendwa💚💚
@salmaabdulrasul7583
@salmaabdulrasul7583 7 ай бұрын
Rahaaaaa❤️❤️❤️❤️
@kamdinindevu5185
@kamdinindevu5185 7 ай бұрын
Nice 💚💚💚💚💚💚💚💚💚🎉
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 7 ай бұрын
Masha allah
@user-eq3pt7uu9i
@user-eq3pt7uu9i 7 ай бұрын
vibeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 happy birthday to you ... we enjoy together
@veronicaerasto6275
@veronicaerasto6275 7 ай бұрын
happy birthday kwawote
@khalidkamanda8154
@khalidkamanda8154 7 ай бұрын
Big creative plan
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 31 МЛН
😳KIMENUKA! KIBU DENIS ATAMBULISHWA YANGA SC RASMI!
9:02
Tanzania Digital Tv
Рет қаралды 1,7 М.
🔴#Live..DUBE AZUNGUMZA MARA BAADA YA KUTUPI GOLI DHIDI TS GALLAXY.
6:10
Помог получить медаль
0:17
Новостной Гусь
Рет қаралды 987 М.