UTATA! MWILI WA MAREHEMU STAR WA ARUSHA WADAIWA KUTEKWA NA MKENYA, MKEWE APOFUKA MACHO KWA PRESHA...

  Рет қаралды 39,687

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

UTATA! MWILI WA MAREHEMU STAR WA ARUSHA WADAIWA KUTEKWA NA MKENYA, MKEWE APOFUKA MACHO KWA PRESHA...
Utata umetokea kaika maandalizi ya mazishi Alani Mkenda Maarufu kama Star wa Arusha Baada ya mvutano wa wanawake wanao dai kuwa wote wanahaki ya kufanya mazishi..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 228
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
Subhana Allah😭😭 In nah LILLAH Wainnah iley Rajioon .. Pole sana dada Allah yupo pamoja nawe na haki yako utaipata ,
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Jamani' wajane wa Tz wanafedheheshwa!!!
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Sanaaa
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Жыл бұрын
Tena sana kwa kweli mwenyezi mungu atusimamie
@karenkairu9938
@karenkairu9938 Жыл бұрын
Imagine
@awezayesu1779
@awezayesu1779 Жыл бұрын
@@shaphaina9941 😭😭😭😭😭pole Mungu awasimamie wapendwa 👏
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani pole dada haki yako mwenyezi mungu ata kulipiya hiyo presha yako sio yakawaida tafuta watu wakuombeye dua
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana. Familia za wanaume hembu kumbukeni hisani jamani 💔
@stevenbushiri2291
@stevenbushiri2291 Жыл бұрын
Hisani gani,tafuta chanzo Cha tatizo kwanza
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Nyumba ni watoto. Sio ndugu. Eee. Mungu msaidieni uyo mama ni Huruma sana. A ibuuu nyie ndugu acheni MOYO WA KIUCHAWIII. MPENI UYO MAMA VITU VYAKE BWANA UYO MAMA
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Pole sana Mwanamke mwenzangu. Allah atakufanyia wepesi InshaAllah
@edwardkimathi1861
@edwardkimathi1861 Жыл бұрын
Kweli mungu aiingile kati swala hili pia serikali imsaidie huyo mama na watoto wake. Na huyu wifi yake ajiulize anachokifanyia je akifanyiwa yy atajisikiaje ache hizo
@subirasimbeye8531
@subirasimbeye8531 Жыл бұрын
Mungu atakusaidia tuu mama.
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 Жыл бұрын
Mungu akusimamie inshaallah
@mariamngoha639
@mariamngoha639 Жыл бұрын
Pore sana dada mungu akutangulie
@missmoona4497
@missmoona4497 Жыл бұрын
Mapenz ni upofu na kweli had umepofuka kweli🙌🙌Allah akufanyie wepes kwa hilo pole sana MUNGU yuupamoja na wee
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Kupenda kubaya eti huu ulemavu kaupata kisa wivu Mme anaoa mke mwingine 🤣🤣Mungu nisaidie niwe na Mali zangu
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Жыл бұрын
@@olivajoseph1697 mali zako si ndio utampa mumeo akuongoze? Kama alivyofanya huyo bi dada
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Hatari balaa tupu
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Жыл бұрын
Kupenda kubaya sana natena ukimpenda mtu akijua kwa kweli utasumbuka . Allah atufanyie wepesi waja wake
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 Жыл бұрын
🤣
@francinercaliste4474
@francinercaliste4474 Жыл бұрын
Mungu mkubwa dada utapata haki yako
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Dada wawatu mzuri tu kapata upofu kwajili ya mapenzi da! Kaka huyo ataenda ungua Kwa mungu na huyo kimada ndio ajifinze mungu sio wa kuchezea mume ndio huyo amefariki
@annakaleshu5393
@annakaleshu5393 Жыл бұрын
Pole Sana dada
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Kabisa
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 Жыл бұрын
Vifo vingine ni malalamiko ya watu ulowaumiza
@stevenwisdom3774
@stevenwisdom3774 Жыл бұрын
Don’t talk shit hujui chochote acha familia wamalizane
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Pole sana dadaa
@adamringo2663
@adamringo2663 Жыл бұрын
Uyu hawara ndo kakuloga mamy nenda kwenye maombi utafunguliwa
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Hapo dhuluma inatendeka family hamuwezi kumpa hawara madaraka Hata km ana mali
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Жыл бұрын
Pole mpendwa wangu.omba mungu .kila jambo Lina mwisho wake.serikali itasimama na wewe
@filbeteromary3153
@filbeteromary3153 Жыл бұрын
🤦Mungu etu angalia mateso yetu zaid kulko madhaifu yetuu we are nothing without u🥺🥺
@jacklineangulu3475
@jacklineangulu3475 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu dada
@salvingothalum5160
@salvingothalum5160 Жыл бұрын
Ila wanaume mnatuvunja sana moyo jaman tunawazalia watoto bdae wanakuja kuteseka kisa tamaa ya mwilin tukiwa wagumba ndugu zenu wanatunyanyasasa atujuh tushike lipi maan ndgu wa mwanaume mpoje jaman mbona amjali watoto wenu, mwanamke uyo anapenda pesa zako tu, we kimada tuliza kumwe muacha uyu mama asomeshe watoto wake nanyie ndgu wa mume mtulize mshono kabsa muachen uyu mama na mali zake kama alichuma kabla ajatoka kwenu hpo sawa Lkn kama alitafta na uyu mama aki dhambi itawalipa
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
Ndio anza kutafuta kwanza chako ili upate heshima sio suala la kusema mnatuzalia au unazaa _-?@Hilo suala la kusema mnatuzalia litoeni kabisa na baadae nyie ndio mnawahold watoto na kuwatumia
@salvingothalum5160
@salvingothalum5160 Жыл бұрын
We nawe tuliza komwe kama ujaelewa
@stevenbushiri2291
@stevenbushiri2291 Жыл бұрын
Tafuta pesa,kuzaa pekee haitoshi
@salvingothalum5160
@salvingothalum5160 Жыл бұрын
Ushaambiwa alikua mfanya biashara kabla ajapofoka macho ko ulitaka atafte pesa akiwa kipofu embu sikiliza kwanzq kinachoongelewa afu ndio ukuje kukocomment hapa
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
@@stevenbushiri2291 usikulupuke uyo dd amepata uremavu wa macho
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 Жыл бұрын
Star umenena mungu akubaliki sana na mungu watete wanandoa jamani
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Жыл бұрын
Jmn jmn nyie mlimfanyia huo unyama mwanamke mwenzenu. Mungu htawalaan. Hv kwann ndg Wa mwanaume mnakuwa hvyo. Pole Sana Dada na sisi tupo pamoja na ww
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Mungu atakusaidia tuu, haki ya mtu haipoteagi, inachelewa tuu, ila mwisho wa siku utapata tuu.
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Жыл бұрын
Kamateni huyo dada mtieni ndani
@carolineoyugi7771
@carolineoyugi7771 Жыл бұрын
I wish this woman get another husband she's beautifully with pure heart
@ole_larusai587
@ole_larusai587 Жыл бұрын
Never judge a book from its cover...
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Жыл бұрын
GLOBAL NYIE NI WAELEWA NA MMELETA HILI SWALA ILI HUYO MAMA AJISAIDIE KISHERIA TAFAALINI SANA JAMANI MSAIDIENI APATE HAKI ZAKE.🤔🤔🤔
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 Жыл бұрын
Oh masikini.
@ruu6592
@ruu6592 Жыл бұрын
Mm ni mkenya illa haki ni haki tu jamani upewe haki zako tu
@ismaelmatano3571
@ismaelmatano3571 Жыл бұрын
Bi ruu uko sawa wallahi
@omnsultan383
@omnsultan383 Жыл бұрын
Jamani jamani wakenya ni matapeli sana
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Polee dada Mungu ni mtetezi wa wajane. Usihofu! Mtoto kwa mkopo atapata maana situation inajieleza.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Hilo malaya ndo lilikuloga macho ili limchukue Mumeo.Mungu atayalaani sana,Mixaxi mingine ni njaa tupu,yanaenda kuegemea jaw hawara wa litoto lao.
@edwardkimathi1861
@edwardkimathi1861 Жыл бұрын
Ndugu wa mwanamme wachaga nyie simameni kwenye haki. Huyo mkenya ni mjanja sana baadae atawawasilit hta nyie mnae mkumbatia
@agustinofhoty5985
@agustinofhoty5985 Жыл бұрын
Ndungu kuweni na hofu ya mungu hapa duniani tunapita2 hizo mali mtaziacha duniani
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Natamani wakumbuke kuwa hawataishi milele
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Allah kareem InshaAllah kila kitu kitakua ok mama ..rip baba
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Masikini pole ssana dada Mungu atakulipia
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Жыл бұрын
Huyo wifi ni tapeli
@tabiebinda9749
@tabiebinda9749 Жыл бұрын
Pole sana mama .
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni saida mama na watoto wake. Ila ndugu mpelekeni kwa maombi. Mungu atamfungua macho ili alee watoto.nahao watu wanaojipanga kuwadhulumu wataaibika
@stellajohn5647
@stellajohn5647 Жыл бұрын
Mungu atatenda
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@stellajohn5647 in shaa Allah
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Amen
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 Жыл бұрын
Ameen
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Жыл бұрын
Huyo ataondoka nchi hii bila chochote.mbona atajuta
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Mtihani Sana.
@salmakaratta1420
@salmakaratta1420 Жыл бұрын
Lia na Mungu pekee awavushe salama ktk kipndi hiki kigumu na upate haki za watt wako.Amini Sheria itakusimamia.pole sana mama.
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Waziri Mkuu mtetea haki Nchini...Mwangalie Hutu Mama maskini na watoto Angalia Waone mwili wa Marehemu baba yao.... Pole sana ndugu yangu. Haki ni haki. Wala usilie...
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 Жыл бұрын
Maskini huyu Mama Mungu msaidie jamani, Mungu mponye mama huyu
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Pole sn dd mungu atakufanyia wepesi haki itatendeka
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Usiogope dada Mungu akiwa upande wako hamna WA kusema no tunaendelea kukuombea
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Kuna ndugu wana roho mbaya mpeni hati zake akae na watoto wake nyumba kabuli tu aliejenga mwenyewe kaiacha wampe tu haki zake iyo maiti na wachukue wanajiandia uadui na watoto tu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Yaani hiduni Ina mambo mengi mno jamani huyu dada jamani aaaa! Mungu nipe mwanga wa kujitambua kabla mazara ,huyo mwanaume pia alikuwa ana matatizo mno pamoja ma ndugu zake amesahau fazira walizo fanyiwa na mama mkwe,
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
@@ziadasalimu1730 ndio inaonekana mwanamme na ndugu zake lao moja yote na yote hati wampe alee watoto wake na ni haki ya watoto yani wanatia hasira sana
@hannamakamba6108
@hannamakamba6108 Жыл бұрын
Pole
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Jamani kipofu mungu weee hiiii Dunia hiii aibuuu sana. MUNGU. WETU WEEEE MSAIDIENI UYOO MAMA. DADA FLORA. NITETE MSAIDIE UYOOO MAMA PLS.
@filbeteromary3153
@filbeteromary3153 Жыл бұрын
Serikali Mungu anatambua uwepo wenu na anasema tuheshmu mamlaka ko anajua mpo timizen bas majukum yenu mana mtajibia
@rodasanga1312
@rodasanga1312 Жыл бұрын
Ooh Bwana yesu msaidie huyu mama
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 Жыл бұрын
Dada mzuri.mashallah duh!
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Pole Sanaa dada
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 Жыл бұрын
Mama Elie rudisha hati uko mwizi wewe
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Жыл бұрын
Unamjua kumbe jamani
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Yani uko aliko aiporudisha mkataba arahaniwe😭
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Mungu wa wawajane yupo nawe
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 Жыл бұрын
Pole dada mungu atakutetea
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Huyo dada ake star asijifanye kayamaliza ajue muosha huoshwa
@mariamkadio8402
@mariamkadio8402 Жыл бұрын
Hakika
@rosemalle3600
@rosemalle3600 Жыл бұрын
Naona selekali Ni nzuri,itachukua Sheria kwa wajane,
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 Жыл бұрын
mungu mkubwa atampigania dadaa
@saidomary6414
@saidomary6414 Жыл бұрын
Pole san
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Mungu ni wa haki utapata haki yako
@marygaspar6429
@marygaspar6429 Жыл бұрын
Wakenya ni matapelii na wanajuwa kuigiza kujuwa sana sheria ndugu zanguni watu walilizwaa! achieni huyu mama sehemu sahihi ya kutunzia watoto wake. Kwa faida yenu na wanenu. Halafu, sisi kina Mkenda hatunaga hizo mambo mnatia aibu ukoo wetu.
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Жыл бұрын
Halafu wakorofi sana
@happymsaki1720
@happymsaki1720 Жыл бұрын
Pole sana ndgu yngu kwa kweli wanaume hamna HURUMA kwa kweli mimi naumia sana huyu Dada jamani
@mckingu4004
@mckingu4004 Жыл бұрын
Wanaume wenzangu sometimes tunazngua😭
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 Жыл бұрын
Mwe pole sana dada
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Pole dada
@josephmolle
@josephmolle Жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa aman
@neemajohn6142
@neemajohn6142 Жыл бұрын
Mamiiii kaa kinyaaaa wache wazikeeee kaaa kimyaaaa afu andaa sadaka peleka madhabahun kwa kutoa sadaka ya shukaran acha MUNGU aaamue
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Kabisa
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Жыл бұрын
Umeshauri Vizurii sana
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Pole dada mungu atasimama na wewe huu ni ukatili mkubwa🤲😭
@hawa4220
@hawa4220 Жыл бұрын
Wewe dada wewe dada wewe watoto wa huyo dada watakua mungu atakuweka hai ushuudie
@jenipheremanuel5884
@jenipheremanuel5884 Жыл бұрын
Daah pole sana Jirani yetu mungu. Atakupa uponyaji
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Huyu dada alikuwa na mapenzi na mume wake ila huyu kaka na ndugu zake walikuwa sio wakweli matapeli
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Жыл бұрын
Pole dada dunianihakunahdki
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Жыл бұрын
Huyo wifi mwizi mungu amlaani kwann polisi wasimkamate kaiba hati ya nyumba ni mwizi huyo
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nadhani kuhusu mkataba ilikuwa njama ya Mumeo na Dada yake walifanya makusudi kwani wao wote lao moja.Hakuwa muaminifu alikuwa mtu mzungukaji mtumia wanawake.
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Жыл бұрын
Wewe maliza kwanza msiba serikali ipo dada
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Wifi wa Darisalama kuwa na hofu ya Mungu usidanganyike na pesa ni mapito tu
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Жыл бұрын
Ni mjinga sana hajui dunia ni mduara
@julianhapili7661
@julianhapili7661 Жыл бұрын
Selikali msaidieni uyo Mama hakiyake apewe viongozi wadini pia tusimame kumtete uyu Mama akika Kama mungu aishivyo atakaetenda Ila kwauyu mama natangaza misiba isikome kwenyemaisha yake
@ashaabdallah2003
@ashaabdallah2003 Жыл бұрын
Kweli ulimpenda dada angu mpaka umekua kipofu
@francinercaliste4474
@francinercaliste4474 Жыл бұрын
Ndugu wa Mume jamani kisa hela ,Mungu anawaona
@consolataconsolata1250
@consolataconsolata1250 Жыл бұрын
Pole sana dada. Yaani michepuko ni Janga la taifa. Kuna wanaume unawatoa kwenye umaskini wakipata tu wanatafuta wa kula nao. Eti asilimia tisini na nyumba ameikuta. Inamuhusu nini sasa. Tapeli mkubwa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii
@averinambumi932
@averinambumi932 Жыл бұрын
Jamani wajane tunanyanyasika sana mawii mama wakwe hatari sana ila muombe mungu atakusaidia. Pole ndugu
@brigidmua2548
@brigidmua2548 Жыл бұрын
Wanaume ....Heko kwenu..Rip
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Kwa kweli
@njiokafaith6305
@njiokafaith6305 Жыл бұрын
Wakenya ni walagai wakora hatali Sana....
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Lakini wachaga wanaongoza kwa kuwanyang'anya wanawake waliofiwa na wame zao Yani kuchukua Mali zoote sijui kwanini
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 Жыл бұрын
Kweli watani zangu sijui wanakwama wapi? Akina Mkenda, Mushi, Mtenga na wengine msipende pesa kuliko utu. Ndio maana kirefu cha MOSHI ni Mungu Onesha Sehemu Hela Ipo. HIMO ni Hela Ikipungua Mungu Onesha.
@petriciajohn1245
@petriciajohn1245 Жыл бұрын
Pole mama kwa kufiwa na mumeo
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 Жыл бұрын
Hiii mijutu ya harusha wengi wao sio watanzania wengi ni wakenya wanarombaya kweli watanzania hapo ivyo kabisa kila siku matatizo ya kuuwa watu kutekwa niuko nahisi serikali wafanye uchinguxi kwa deep zaina kuhusu huu mkowa
@alexjackson5960
@alexjackson5960 Жыл бұрын
Nyumba mahusiano Yana Siri nyingi. Hebu tusikilize na upande wa pili. Iweje ndg woote asiwepo hata mmoja wa kuwa upande wako???
@nahanakadiri3969
@nahanakadiri3969 Жыл бұрын
Wee Alex una akili kweli asikilizwe na uyo mkenya Kama Nani?uyo ni awara na anaeongea ni mke halali na mwenye watoto Apo kipi akieleweki ata kisheria kidini asikilizwe nn uyo Malaya aliyemchukua mume wa mtu Arusha nzima wanajua,atokee uko Kenya adi avunje ndoa ya watu na kumpofusha mwanamke wa watu,uyo mkenya hataamini macho yake na vijicent vyake,na yote wanayomfanyia uyu mwanamke hakika MUNGU atawaacha wataaibika azarani!ngoja muone msicheze na MUNGU asee
@neemaponera2037
@neemaponera2037 Жыл бұрын
Daaaah 😭😭😭
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Jamani pressure ni mbaya Mungu amsaidie huyu dada mie kidogo nipofuke sababu ya pressure
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😢😢😢😢🤦‍♀️🤦‍♀️💔
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Kweli maslahi huwarubuni watu ht sikupingi mie yalinikuta km yako nikaamua kuondoka kwa umasikini wangu lkn sasa hivi ndy wananiona bora virungu kila leo. Pole sana
@catherinescott9113
@catherinescott9113 Жыл бұрын
Pole ndgu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Jamani jamani,,,,bina adamu acheni kutesa wajane na yatima. Mpeni mke haki yake jamani💔💔😭
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
kwani ni waislam
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@heyumi2340 kwani wajane na yatima ni waislamu tuu au? Sijaelewa swali lako
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
mie hata sijuagi 😄🤣😂😆😄🤣
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@heyumi2340 huyu ni mkiristo na ana ndoa yake, so ni mke halali
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 mmhu ndoo za wakiristo zimehalishwa na mungu kwani
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Жыл бұрын
Mmmmmh jamani nasikia kama ganzi kwenye mwili, uzae shida, usizae tabu sasa lipi jema jamani mweeee, mhurumieni huyu dada jamani,Mungu simama na huyu mama.
@fatumaabdallah7541
@fatumaabdallah7541 Жыл бұрын
Mke wa star apate hati zake za nyumba na ikiwezekana afuate copy za hati yake ya nyuma kwa aliko andikishwa lazima copy iko kule aende
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Жыл бұрын
Marehemu alikuwa na upuuzi hv huwa hamjui kama laana za mke ni mbaya sana angalia alivyomtesa mke wake hadi kapofuka na kwenda kuishi na kimada mjinga sana
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Жыл бұрын
Doh ila umaskin ni mbaya sana hapo ndugu wamume wamemtenga kisaa mlemavu wa macho na Hana maisha mazur
@dianatembaa3645
@dianatembaa3645 Жыл бұрын
Mama usioate shida jitahidi nenda kimara temboni kwakuhani mussa ,utapona na haki Ako zote utapata.
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Wagonjwa wamejaa Muhimbili mbona haendi kuwaponyesha acheni kuzuzuliwa na Kuhani wenu bwana wee
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Жыл бұрын
Hayo macho na wasiwasi sio plesha uyo uyo mkenya
@isujajr6825
@isujajr6825 Жыл бұрын
@@rukiamziwanda7458 umeona he
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Yn wanaume jmn acheni jmn
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Duuh wanaume ni wapumbavu Sana .ona Sasa mke Kawa kipofu ,kisa makahaba .huyu dada Bora hata angekuwa anaona maskini
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kuhongwa ukimtizama jamaa utajua muuza sura handsome Boy
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@agneskighenda3795 usiseme hivyo ndugu usiwe yule Mzee wakati wazuri ndio wanaenda watu wenye roho mbaya ndio Mungu huwaweka ili washtuke watubu na pia kuwafanya wajutie maovu yao maana huanzia kuwadhalilisha.
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
@@leokamil6284 vya kunyonga vibaya sana 🤦🤦
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Dahhh utapata khaki yako!!!
@janerachel1622
@janerachel1622 Жыл бұрын
Rest in piece kaka star
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Jaman 😭😭
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 21 М.
MAADILI ZANZIBAR KWISHAAA , UKAHABA WAPAMBA MOTO
2:49
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 22 М.
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 14 М.
Cluster B personality disorders - Are They Actually Mental Illness?
12:45
Dr. Tracey Marks
Рет қаралды 426 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН