MashAllah ustadh salim mafunzo bora Allah atujaalie kheri maishani na rizki za halali ili kusaidia wahadhir watu kufikisha kalima ya lailah ila Allah🤲🤲🤲
@amadimagadi7978 Жыл бұрын
Ustadh Ali kazi yako Ni kusoma usihubiri tafadhali insha Allah
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Kwan shida iko wap ambae mwataka kumfunga mdomo ,si yuatilia mkazo tu
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Assallam aleikum warahmatullah wabarakatuh Alhamdullillah leo wa kwanza kwa ajili ya Allah shukran
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
Walahy kama hajaelewa kwa daa,wa ya leo hawa wamepigwa mhuri.Maskini Salim umefundisha mpaka koo linakauka.ALLAH akunyweshe maji siku isiyokuwa na msada ila wake yeye AL RAHMAN.
All the time Wakristo hata Kama ni pastor wata jiandaa. They are never prepared mpaka Waislamu wamfunze.
@Hi_20206 Жыл бұрын
I bear witness theres none other worthy of worship except Allah n i bear witness Mohmd(saw)is hes final messenger☝️
@malogaming506 Жыл бұрын
do you want to learn more about the religion on how to pray and other stuffs
@Hi_20206 Жыл бұрын
@@malogaming506 yes yes i have quran and other books n also these dawaah videos help me alot
@AMIRMOHAMEDALI-p6b8 ай бұрын
MashaAllah
@AMIRMOHAMEDALI-p6b8 ай бұрын
@@Hi_20206MashaAllah
@BakariKidege Жыл бұрын
Dua nying kwenu Wahadhiri wetu kwa kaz kubwa mnayoifanya tatizo km mnavyowaambia hasomi biblia wanasomewa N Padri yy anawasomea watoe tu ili wapate utajiri. Allah atawalepa malipo memo.
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ahmediyya si waislamu! Ahmadiya wamechacha umissionary wao kuwavutia wakristo n waislamu kupoteza. Vizuri karisto wajuwe hayo.
@Marim-qp8gs7 ай бұрын
BarakaAllah
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Sawa kabisa.
@malikdodo5190 Жыл бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@oopsm3574 Жыл бұрын
Mtu mmoja kapoteza mda mrefu sana
@salimdaawah123 Жыл бұрын
We will rectify that inn shaa Allah
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
❤❤❤❤Mashallah
@BakariKidege Жыл бұрын
Mashaa Allah
@abdiweliminhaj2939 Жыл бұрын
M.a sheikh
@Adm9464 Жыл бұрын
Haki even the school kids are wondering and laughing at this guys.
@Mwalimu-wa-Math Жыл бұрын
Surah Qamar:1 54:1 53:38
@Adm9464 Жыл бұрын
The Koran is definitely the walking and talking book. You ask a question u get an answer without zigzagging
@nelsonochieng5216 Жыл бұрын
Ali anafaa kunyamaza kazi yake ni kusoma neno
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Story ni Simple. Huyu MuLUHYA, ha ELEWI ya kwamba: HAKUNA Mtu MuSWAHILI, anaye itwa YESU! Na Wala.... HAKUNA Mtu MZUNGU, anaye itwa "jesus'!. Na...Wala HAKUNA MuFRANCA, anaye itwa JAYZEE au yesu! MTUME aliye tumwa kwa BANI Izrael, ni ESA. Huyu MuLuhya ni Time Waster! Na MuFisadi pia na Mrongo, kama kila Mkristo! TabarakAllah Team!
@ameirmuhombwa Жыл бұрын
Sh ally usiingilie mwachie mw unatunyima raha
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Asante sana. Ni jambo utaona karibu kila kipindi nalitaja lakini linaendelea tu. Ama kweli linatoa utamu wa mjibu na linaudhi sana kama vile anapoingilia mkristo kumsaidia au kumjibia anae uliza swali. Hao kila mara sheikh Salim anawanyamazisha lakn anamwachia mzee wa busara kuingilia jawabu zake.
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Anasherehesha tu mzee wetu.Kila mwanaadam na hulka yake.Napenda sana usomaji wako na sauti isiyokuwa na mikwaruzo.
@HisMajesty64 Жыл бұрын
@@aishahazary4097anaharibu tu ila usomaje wake ni mzuri mno. Kila mmoja afanye kazi yake aliyopatiwa kufanya. Anaudhi na atapunguza views.
@nubianqueen6700 Жыл бұрын
@@HisMajesty64walahi inaudhi lazima waislamu waji represent na akhlaq e husna, hii inaangaliwa sehemu nyingi.
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Mko na sheria kali yenye hata kma Mtu angekua yy asingeweza,sasa shekh Ali kakosea wap ala binadamu mzigo ebu muacheni kwan hamuelew nn mwatka asiongee kwann Mtu kma yuweza aende akafanye msipangie watu kaz ala mwasema mpka mwakera
@kassimabdilatif1802 Жыл бұрын
Suratul Qamar: ..... and the moon has split...
@nubianqueen6700 Жыл бұрын
Ali unaongeaga Sana jamani duh! do your part and let Salim do his.
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Achen kumfundisha kazi mzee wa watu hta yy ana haki ya kuongea mwasema sana mpka mwakera
@mudychelsea734 Жыл бұрын
❤
@Adm9464 Жыл бұрын
Sheikh Ali this is really disrespectful to Wa Shehee. Please stop talking between people, you are definitely confusing everyone and lots time is wasted . This is crazy because it has been going on for a while.
@mudychelsea734 Жыл бұрын
7:01 asc sheikh salim leo imenipita pilau kule kwa mskiti Imbia kwa Yusuf dawa
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Ali kuwa mstarabu pls.
@AMIRMOHAMEDALI-p6b8 ай бұрын
Pls usimlaumu Shekh Ali si makosa yke ana hamasa zaidi maana yke ana Imani kubwa moyoni ndio unaona mara nyingi uingilia ana sahau kama yeye ni msomaji kwa usimlaumu si kupenda kwake Maana yeye pia ni mwalimu ni hamasa tu iko moyoni
Huyu MORRIS kichwa chake sio SAWA! Yaani hii MORRIS, iko na GEAR Moja tuu, ya UWONGO! Na huyu Mjinga mwengine anaji ita jina la MZ7NGU RACIST mkubwa kule England, anaye itqa ENOCK! Huyu pia KICHWA kime e KNOCK! Maana ya NENO Kristo, ni NABI, kam inavo eleza Bibla yenye! Kwani huyu enock, hajui hivi!?
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Masheikh wetu mimi niko na swali kucheza ludo ya kwenye simu ni haramu yaani kama nacheza mimi tu for funny sichezi ya pesa naomba mnijibu kama ni haram au la
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Betting ndio haramu hata kucheza mpira sio haramu ila betting ya mpira ndio haramu
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 Asanteni kwa mafundisho yenu Allah awape umri na awafanyie wepesi kwenye kazi yenu 🙏