Mungu awasaidie muendelee zaidi watoto wa Baba Kwan ni kwaya pekee inayolinda heshima ya mziki wa kisabato hata mwonekano wa waimbaji kiukweli nawataman kwa jina la Yesu na Bwana awabariki.
@AnthonynyabendaNyabenda-m6r5 күн бұрын
ay nyarugusuu imbenii bilaa kukomaa ❤❤❤
@ImaniHenry-o7t7 ай бұрын
nimemependa saana maana nilikua nakiu.sasa nimetoka jangwani
@MARCOFURAHAАй бұрын
Barikiweni sana jamani mbinguni msikose tukaimbe wote wimbo wa musa na mwanakondoo
@mosestumaini80227 ай бұрын
Mungu wetu mwenye uwezo atukuzwe kwa ujumbe wa pekee,na awabariki sana watoto wa Baba yetu wa mbinguni.
@richmabula52237 ай бұрын
Hizi ndizo nyimbo za kuimba hasa unabii mlijisahau sana mkaogopa kuimba unabii ili muwe karibu ulimwengu kwa sababu mnatazamwa na wengi na nilishaga wambia muimbe unabii mmetimiza ongezeni tena nyimbo za unabii Daniel na Ufunuo msiwaogope watu watasema nini asante.
@emmanuelnoah19466 ай бұрын
Nikwel kaka Kuna sehemu walifanana na dunia
@donaldmwahalende48416 ай бұрын
Wimbo gn walifanana na dunia? Ukiimba unabii ndio hufanani na Dunia
@richardkonzo57176 ай бұрын
Hakuna nyimbo za nyarugusu zinazofanana Na za kidunia
@mikeomolo71336 ай бұрын
I agree all have spiritual lessons including the patriotic song which was sang to rais Samia@@richardkonzo5717
@DanielYoel-ih9pc5 ай бұрын
Wapo vzr kweli wana heshima hata uvaaji wao jaman@@richardkonzo5717
@evansnaikajr.6 ай бұрын
Heavenly Music.,reminds us of the times we live in,and the coming Kingdom, Even so,Come Lord Jesus!!!.... skillfully played. God bless you watumishi
@MikaelMbwambo9 күн бұрын
Kwakweli nyarugusu mnaimba sana mungu awabariki❤❤❤
@DottoDSamwel29 күн бұрын
Mbalikiwe sana Kwa ubunifu wa kueleza unabii huo mrefu Kwa wimbo what a tremendous message
@JuliusMandi7 ай бұрын
MUNGU awabariki sana Ay nyarugusu 🙏
@RashidRukansola7 ай бұрын
Duh niliomba sana Kwa ajili yenu nyie ndo kwaya yangu pendwa siku ZOTE nabarikiwa sana. Mbele mpaka kieleweke Mungu atukuzwe
@mbiligichannel62907 ай бұрын
PURE TALENTS, AMAIZING SONG, MAY THE LORD MAGNIFY YOUR MINISTRY ✊
@ZaniyaAyubu-p4n16 күн бұрын
Ujumbe mzuri mbarikiwe sanaaa watumish wa BABA
@kelvinkipchirchir97757 ай бұрын
Amina ,nawapenda sana waimbaji wenza,unabii ni suala ambalo zimesahaulika kwa nyimbo zetu,ahsanteni kwa kutupa dira na kutuelekeza kiunabii mpaka tukaona utawala wa Yesu
@EsterNima7 ай бұрын
Nyarugusu,,,,, nawapenda sana Mungu awatunze,mbarikiwe sana.
@hodaviahnkoswe50697 ай бұрын
Ooooooh jamani mbarikiwe sana wimbo ni mzuri hili ni hubiri makini sanaaaa
@tabithaEzekiel-y1xАй бұрын
Mungu awabariki nimebarkiwa na wimb mzr sana🙏
@lizy-76 ай бұрын
How they sing doctrines... Prophecy explained in song🙌🙌🙌 glory to God His work is moving on
@pradamkiombile36156 ай бұрын
Doctrine that we inadequate nowadays. Thank you for getting us in altar
@pamelajepleting58837 ай бұрын
Mungu Atukuzwe milele. Blessings Nyarugusu!
@ZenaMbwambo6 ай бұрын
Ila Nyarugusu Mungu awakumbuke ktk Ufalme wake. Mnanibariki sana
@etvmtazamemungu28907 күн бұрын
Amen
@luganonelson70107 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa ujumbe wake bora sana
@HappinessLinus-u7c7 ай бұрын
Your the best🎉, Mwenyezi Mungu awabariki🥰.
@lionsontv9467 ай бұрын
Waooow....Ujumbe Mzito....Unabii umerahisishwa...Ubunifu 🔥 Mbarikiwe sana Wapendwa
@dianaonyando57776 ай бұрын
Amen Amen😭😭🙏, my heart longs for my Lord so much. Even so come Lord Jesus 😭, thank you for this wonderful piece
@MIRIAMKEZIA7 ай бұрын
Amen mbarikiwe sana watumishi Mungu awatie nguvu katika utume
@thehumbledtanzania7 ай бұрын
Unabii wa muhimu sana katika wimbo mzuri sana, Mungu mnaemtumikia awafikishe mbali.
@AvelinaJohn-zi5yo7 ай бұрын
Mungu Awabariki Sana mnapo endelea kutumka shambani mwake
@barakagalus1626 ай бұрын
nawapa wito ndugu zangu,kwamba kama mtunzi wa wimbo wa kristo "nitakuandama kote(i will follow thee)" alivyosema kwa ujasiri katika kiitikio kwamba "and though all men should forsake thee ,by thy grace i will follow thee"(na ingawa watu wote watakuacha ,kwa neema yako BWANA nitakuandama)..maneno haya yanapatikana katika kiitikio cha wimbo huu kwa lugha ya kiingereza... wito wangu ni kwamba ingawa waimbaji wengi watauacha muziki mtakatifu,mziki wa kikristo ,muziki unaolenga injili si maburudisho,wote wajapouacha NINAWASIHI NINYI WATU WA MUNGU SIMAMENI IMARA KAMWE MSIMSUJUDIE BAALI....
@descendantstz28676 ай бұрын
Sema ufarisayo bado ni mwingi sana😂
@kadawimathias2877 ай бұрын
So blessing🏆, keep flying the colours of heaven🙏
@nellykavutha99265 ай бұрын
Amen 🙏..Heavenly music 🎶.
@gloriousnp6 ай бұрын
IMBA KWA AKİLİ ndo hii sasa. Hambahatishi, tukutane Paradiso wapendwa 😍🙏🏿🙌🏾🥰🇹🇿
@EverlyneOmari-i4z4 ай бұрын
Uimbaji wa nidhamu. Nawapenda tu saana
@rebekajackson72557 ай бұрын
🎉❤❤❤ nimewapenda Sana kuliko ,yaani huu wimbo umenikosha moyo, mwende mbali ila msipotee njiani
@KephaEdgar6 ай бұрын
Wow so amazing massages,may God blesses you all ❤❤
@melejisekeyan94926 ай бұрын
Keep moving to the highest steps Nyarungusu, you're my favorite.
@nyandanaftali80147 ай бұрын
Kutoka Mbeya mbarikiwe sana watu wa Bwana
@joshuasebastian62107 ай бұрын
"WE LOVE EACH OTHER THUS WHY WE SHARE WITH OTHER". Nyarugusu Mnajua kuimba kwa Akili. Stay blessed🎉🎉
@SifaelMpagike-gt1gz7 ай бұрын
Amen... Nyarugusu... Mungu awabariki sana..
@SaratuyaRebekaАй бұрын
kwakweli mungu awabarik kwa ujumbe mkuu
@yonasanga41747 ай бұрын
Oh! Hallelujah 🙏
@neemamashauri35022 ай бұрын
Mungu atukuzwe,mbarikiwe sana
@EdwardBoniphace-c4l3 ай бұрын
Nawapenda sana jmani mungu awabark
@kenedywarumbe88207 ай бұрын
Bwana awabariki sana Nyarugusu
@poetaclayofthepotter6 ай бұрын
Amen! What a simplified way of presenting prophecy! To God be the glory. Yesu jiwe Kuu ainuliwe milele!
@AbrahamuBukolionlineTv-ju6kn7 ай бұрын
Mungu awwbarik saana sana
@JUMANNEKIMIRA-kx8zs7 ай бұрын
barikiwa sana,Wimbo mzuri🙏
@ZipporahAbere-ls8hk6 ай бұрын
Amen. The best way to understand prophecy!
@rebeccabrown94825 ай бұрын
Amen! what a nice song❤
@jackplaymacheku30216 ай бұрын
Kazi nzuri sana, sahv inatakiwa waimbaji muimbe unabii tu, Yesu aje asee tumechoka
@rachelnassary45657 ай бұрын
MUNGU atukuzwe👏👏💕💕
@rosemsemo12916 ай бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki sana kwa kuhubiri ujumbe wa siku za mwisho kwa njia ya uimbaji. 💥💥💥
@mwitaandrew80537 ай бұрын
Kaka Enock umefikaje apo🫡, wimbo mzuri Sana mmeimba vzr Sana jmn...Mungu awabarik nyote
@cheyomasunga6 ай бұрын
enock ndo mwalimu wa hii choir toka enzi
@gloriousnp3 ай бұрын
@@cheyomasungapengine mgeni humu
@MosesSese-fq8pm6 ай бұрын
Thank you continue the work of the lord until end
@timothypaul17697 ай бұрын
Ooh.. Ameen🙏 Huu ujumbee🙌🔥
@PerfectJbo033 ай бұрын
Nimebarikiwa sana kwa ujumbe huu MZITO, mbarikiwe Nyarugusu, kama TUMEBARIKIWA pamoja naomba nione hapa
@davidmayenga487 ай бұрын
Enock Zabron,Mungu akubariki sana
@etvmtazamemungu28907 күн бұрын
Amen kaka Mayenga
@rachelnassary45657 ай бұрын
Sabato njema watu wa MUNGU
@BuguhiBaleleАй бұрын
Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🤝🤝🙏🙏❤️❤️
@aneciarutabingwa7 ай бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki kwa uinjilisti wa uimbaji, na azidi kuwatumia zaidi.
@rogyphiny95515 ай бұрын
Mungu awabariki sanaaaaa, mnauimbaji mzuri, creative kwenye shooting, ujumbe uko vizuri, Mungu awatunze na kuwafadhili mno
@EmmahMusa3 ай бұрын
Always apraising choir with humble in christ
@ivankihwelo-s1u3 ай бұрын
daah sijawafuatilia mda mrefu kumbe mumeachia vitu vizuri muendelee kujihusisha kwa moyo huohuo barikiweni sana kwaya yangu pendwa ay nyarugusu
@AbsalomMwamaloba-x7l2 ай бұрын
Bwana muumbaji awabariki sana,
@AbrahamPius-xu4id4 ай бұрын
BWANA awabariki sana wapendwa hakika mnafanya vyema kabisa nyimbo zenu zinanibariki sana
@maryachuti49976 ай бұрын
Amen and Amen. Tawala zitakomeshwa ubaki tu utawal wa Yesu Bwana.
@doreenpambea017 ай бұрын
Barikiwen mwalimu Enock na hii kwaya Mungu awatumie siku zote mzidi kutubariki
@Came-p1h7 ай бұрын
Wa mama wa vyijana Munaimba vyzuli sana mungu awabaliki sana 🇬🇦🇬🇦❤❤❤🙏🙏
@brightonjonas697 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@elvis_okerio6 ай бұрын
Wimbo mzuri sana...Danieli 2 imeelezewa vyema Utufuku kwa Mungu. Barikiwa Nyarugusu ❤
@fadhiltv59427 ай бұрын
Be blessed MY KWAYA
@EstherTeilaNgongolo13127 ай бұрын
Wimbo makini sana huu, Tr. Enock be blessed, with your Y.A Choir Nyarugusu
@etvmtazamemungu28907 күн бұрын
Amen Esther
@masomoyakarne51226 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwaya yetu pendwa hapa Tanzania Nyarugusu Ay, zitakuwepo kwaya nyingi nzuri, lakini Nyarugusu ay haitafananishwa na nyingine kwa sasa. Utulivu wa nyimbo na ujumbe ni bora sana.
@etvmtazamemungu28907 күн бұрын
Amen
@peteredward71137 ай бұрын
Amen,Amen Bwana awatumie
@ZawadiGasana6 ай бұрын
Hoo my God wimbo nzuri sana tena sana nimebarikiwa namafundisho mungu wetu azidi kuwapa ujumbe muendelee kusonga mbele ay nyarugusu my favority choir.
@PeterwaltsGmlowoka5 ай бұрын
Hallelujah!!! Praise God King's dream well interprated I like the song Keep on Glory be to God
@RoseeElys6 ай бұрын
Natamani sikumoja niimbe na nyie aseee❤❤❤
@victorelias5186 ай бұрын
Mungu awatangulie sanaa❤
@musaali87456 ай бұрын
This is how msanii was supposed to stand out all time ,lakini sahii vitu wanatuimbia ni za kidunia😢😢may God stand for us
@Christine0456 ай бұрын
😂😂😂
@Ally-i4f5 ай бұрын
Kweli kabisa
@HylineBwonda2 ай бұрын
Mimi hata sijawahi wapenda walahi
@nyafungonjarabi757 ай бұрын
Kazi nzuri hongeren jina la BWANA liinuliwe milele
@SamwellubigisaLubigisa7 ай бұрын
Mbarikiwe sana vijana wa nyarugusu zahanati
@deborahologo15776 ай бұрын
Amina Amina Yesu yuajaaaa❤tawalq zitakomeshwa
@lameckmawuti97596 ай бұрын
Mbarikiwe sana vjana at nyarugusu sda❤❤❤❤
@meshacknyachaekirera33106 ай бұрын
Timely message, God bless you all🙏
@Mathias-yi5bo7 ай бұрын
Mungu awabariki sana nyarugusu nawapenda sana na nyimbo zenu pia huwa zinanibariki sana bwana awatie nguvu live natokea Tegeta Dsm HAPPY SABBATH 🙏🌹
@fideliskivai26696 ай бұрын
Amina! Mungu atukuzwe. Mibaraka wapendwa, asante kwa wimbo huu.
@paulineonduro3556 ай бұрын
Wow❤❤..mmekuwa wakubwa Looking good guys Message on point👌👌
@ezekielkasole37389 күн бұрын
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
@ChristinaCharles-z5n6 ай бұрын
Mbalikiwe sana MUNGU azidi kuwatumia kama atakaavyo
@thelightacapella29656 ай бұрын
We are lovers of good music, this is the spirit at work. God bless you guys
@larryMk15 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki sana. Nyimbo zenu ni mahubiri tosha aisee
@Yonambindi-td6rh6 ай бұрын
Amen 🙏🙏mbarikiwe
@bernardwebiro69017 ай бұрын
Mungu awabariki sana asanteni kwa kutubariki namna hii.
@Yonambindi-td6rh6 ай бұрын
Oooh wimbo mzuri mbarikiwe Ay nyaragusu
@jimmysigntv87767 ай бұрын
Wow wonderful message
@HappinessMwandiki7 ай бұрын
❤❤❤❤❤God bless u saints❤❤
@jailomhengilolo28987 ай бұрын
Amina barikiwa watumishi wa mfalme kwa ujumbe huu, Bwana azidi kuwatumia ahsante.
@IsackMatata6 ай бұрын
Kwer zita komeshwa mbaliikiwe sanaa
@neemamoses70787 ай бұрын
Mbarikiwe❤
@gibsonbaraka-uw2tq6 ай бұрын
Nimebakiwa sana kumuona akiimba rafiki angu Mbusiro wote mungu azidi kuwapigania Kwa kazi nzur
@yakoboMsafiri6 ай бұрын
Mwalimu enock mungu akubariki sana kwa kazi nzuri unayo ifanya pamoja na kwaya yote mungu awabariki naamini pugu SDA church watabarikiwa sana kwenye makambi