UVUMILIVU WA MUNGU by Nyarugusu AY Choir(official video)

  Рет қаралды 50,669

NYARUGUSU AY CHOIR

NYARUGUSU AY CHOIR

Күн бұрын

Waefeso 5:16-17
Mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Ephesians 5:16-17 KJV
Redeeming the time, because the days are evil.
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is. ”
SONG CREDITS
Composer:Dr Enock Zabron
Vocal Arrangement:Dr Enock Zabron
Instrumentation credits:Dr Enock Zabron
English subtitles:Ambs.Dr Mpoki M Ulisubisya
Audio recording&Mixing:Kitula
Video:Shelevision INC
Audio and video rights:Exclusively owned by Ay Nyarugusu Geita,Tz,2024
Email: aynyarugusuchoir@gmail.com
Instagram link: www.instagram....
Facebook page: link:www.facebook.c...
Tiktok: @aynyarugusuchoir
Whatsapp chanel link: whatsapp.com/c...
Phone(whatsapp) contact: +255 769 253 067, +255 755 000 788, +255 768 652 134.
All rights reserved by Ay Nyarugusu Choir Geita,Tz,2024

Пікірлер: 124
@ThabitaMirumbe
@ThabitaMirumbe 7 ай бұрын
❤❤❤❤😭😭😭 daaah MUNGU ATUSAIDIE SANA WAIMBAJI najisikia uchungu moyoni sanaaa nyimbo ni neno la kuponya moja kwa moja Bwana atusaidie tuwe kielelezo kwa mwenendo na matendo. Mbarikiwe sanaaa. Litukuzeni jina la YESU. MUINUENI JUUU. TUIKATAE DHAMBI YESU NI MSHINDI
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@danielmbonika2792
@danielmbonika2792 7 ай бұрын
waiting sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@theengoges
@theengoges 7 ай бұрын
My fav SDA choir ❤ Sending hugs from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@danielmasunga4049
@danielmasunga4049 7 ай бұрын
mbarikiwe sana watu wa Mungu..kazi njema na ujumbe safi... Mungu tu azidi kuwainua ktk vilele
@MailaLazaro
@MailaLazaro 7 ай бұрын
BWANA awabariki sana kwa kumuimbia wimbo huu unaogusa maisha yetu
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@mlindaiwasanda
@mlindaiwasanda 4 ай бұрын
Utumishiiii wenu ukazid kuwaleta wengii kwa Yesu
@DoricasElias-q4k
@DoricasElias-q4k 5 ай бұрын
Wimbo mzuri na wa kumtukuza Mungu ajabu🙏
@Devd-l2g
@Devd-l2g 4 ай бұрын
Mbalikiwe sana watumishi wa baba nmebarikiwa sana
@ayubukilinda633
@ayubukilinda633 7 ай бұрын
Ujumbe makini, Mbarikiwe sana Songeni mbele
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@sarahamri1620
@sarahamri1620 18 күн бұрын
Mnaimba mnaimba kweli kutoka rohoni
@SamwelZawadi
@SamwelZawadi 3 ай бұрын
Nimebarikiwa sana bwana awabariki msikate tamaa
@ThomasMakoye-jb8cx
@ThomasMakoye-jb8cx 7 ай бұрын
mbarikiwe kwa wmbo mzr..na nmebarkiwa kwa ajr ya bro Gidion
@jailomhengilolo2898
@jailomhengilolo2898 7 ай бұрын
Amina barikiwa watumishi wa mfalme kwa ujumbe huu, Bwana azidi kuwatumia ahsante.
@IsackEnos
@IsackEnos 7 ай бұрын
Nimebarikiwa sana , Mungu atukuzwe sana wimbo mzuri sana
@magrethamos4366
@magrethamos4366 7 ай бұрын
🎉🎉🎉barikiweni sana mkaimbe wimbo wa nne mbinguni pia❤❤
@roselynquarshie8636
@roselynquarshie8636 6 ай бұрын
Why do I feel tears coming out of eyes whenever I listen to this song….thanks for translating. Jesus, help to not take your love for granted 🙏🏾
@lulochristv
@lulochristv 7 ай бұрын
Eagerly waiting 🎉🎉🎉❤
@etvmtazamemungu2890
@etvmtazamemungu2890 7 ай бұрын
Amen
@dannysamu8921
@dannysamu8921 7 ай бұрын
Song Kali Sana mbarikiwe❤
@mosessabena17
@mosessabena17 7 ай бұрын
Wow mbarikiwe Sana watu wa MUNGU
@SarahThomas-yj3lp
@SarahThomas-yj3lp 7 ай бұрын
Barikiweni sana kwa kazi nzuri ya MUNGU
@Ally-i4f
@Ally-i4f 6 ай бұрын
Daah Mbarikiwe sana watu wa Mungu ,namuomba Mungu kwa neema yake atusaidie sote tupate nafasi tukamwimbie zaidi mbinguni🙏
@keheyemwitamsabi580
@keheyemwitamsabi580 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki sana
@fadhilibryceson4593
@fadhilibryceson4593 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
@AnastaziaDaudi-f9y
@AnastaziaDaudi-f9y 7 ай бұрын
Amen..be blessed❤💕
@Salome-qv8nk
@Salome-qv8nk 7 ай бұрын
Aminaa
@hery_online_5tv
@hery_online_5tv 6 ай бұрын
Karama hii ni kubwa Sana ❤
@ajuayekanyecha
@ajuayekanyecha 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@adventistcreativetz
@adventistcreativetz 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo wenye ujumbe wa pekee
@Dyness-dh1gc
@Dyness-dh1gc 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana, mzidi kumtumikia katika nyakati zote.Pia awabariki kwa muonekano wenu mzuri unaovutia na kumtukuza yeye MUUMBAJI WETU.
@stevensteven4513
@stevensteven4513 7 ай бұрын
❤❤❤❤ Mubarikiwe Sana❤❤❤
@RaymondNyandoro
@RaymondNyandoro 6 ай бұрын
Blessed is the one who gives the testimony of Jesus to the world. Wish to meet this group of dedicated sons and daughters of God face to face. 🙏
@yakoboMsafiri
@yakoboMsafiri 7 ай бұрын
MUNGU awabariki sana
@neemakisinza
@neemakisinza 7 ай бұрын
Bwana awabariki sana
@eddieabbie1563
@eddieabbie1563 7 ай бұрын
Am really blessed with your songs AY Nyarugusu continue praising the Lord
@eddieabbie1563
@eddieabbie1563 6 ай бұрын
Am blessed with this song glory to God who has been so patient with us sinners as He waits upon us to repent. AY Nyarugusu am really blessed.
@janetmbaheze4450
@janetmbaheze4450 7 ай бұрын
Amen. God bless you
@samwelgwitaba6454
@samwelgwitaba6454 7 ай бұрын
hii n yenyewee kabsaa❤
@josmalmalugujr6210
@josmalmalugujr6210 7 ай бұрын
Bwana awabariki
@HappyJegu
@HappyJegu 7 ай бұрын
Emen,,,glory to God
@RoseIbrahim-ih7tg
@RoseIbrahim-ih7tg 7 ай бұрын
Hongera sana Kwa uimba wenu mavazi yenu hat mwonekano Bado unaakis usabto wetu ule zamani😍😍
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@gelardjames2595
@gelardjames2595 7 ай бұрын
More blessing 🤗..
@lionsontv946
@lionsontv946 7 ай бұрын
Waooooo,🎉
@nelsonamani9489
@nelsonamani9489 7 ай бұрын
I'm here waiting for it
@nyachirangimlengwa
@nyachirangimlengwa 7 ай бұрын
Amen
@GIFTKITELEJA
@GIFTKITELEJA 6 ай бұрын
❤ mbarikiwe
@SalomeOlia
@SalomeOlia 7 ай бұрын
Tunaisuburi kwa hamu sana
@Bisayaraphael
@Bisayaraphael 7 ай бұрын
Amen 🙏
@abednegoLumala-po3zc
@abednegoLumala-po3zc 7 ай бұрын
Bwana awabariki sana wapendwa kwa wimbo mzuri unaotusogeza karibu na muumbaji wetu❤️✅🙏
@momanyijunior1566
@momanyijunior1566 6 ай бұрын
You are my Best
@elizabethyakanuka
@elizabethyakanuka 7 ай бұрын
Mnanibariki sana Bwana azidi kuwatumia zaidi na zaidi ✨✨✨
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@derricksiakacha7113
@derricksiakacha7113 7 ай бұрын
powerful... May GOD keep on Blessing you as you do His work
@UkaNge
@UkaNge 7 ай бұрын
Mbarikiwe
@dottomanyama9105
@dottomanyama9105 7 ай бұрын
Good song🎉😅
@JosiahAmos-e1o
@JosiahAmos-e1o 7 ай бұрын
The nice message
@TheHealingFamily
@TheHealingFamily 7 ай бұрын
Hakka mbarikiwe sana kwa wimbo mzuriiiii
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@abednegoLumala-po3zc
@abednegoLumala-po3zc 7 ай бұрын
Nasubiri nikiwa Ukonga sda church Dar es saalam
@PhilomenaMgaya
@PhilomenaMgaya 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri ya Mungu
@samweljilala
@samweljilala 7 ай бұрын
Am blessed via your service God bless you all ❤
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amen
@GladnessMhiche
@GladnessMhiche 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana Kwa kazi yenu ya utume kupitia nyimbo,,nyimbo n nzurii hakika Bwana asifiwe
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@obedpeter6874
@obedpeter6874 7 ай бұрын
Mbarikiwe Kwa jumbe nzuri
@yakoboMsafiri
@yakoboMsafiri 7 ай бұрын
MUNGU awabariki mzidi kusonga mbele
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@RuswekaJulius-hj8hj
@RuswekaJulius-hj8hj 7 ай бұрын
Hakika ujumbe huu ni zaidi ya Tafakari ya Jana ,, Bwana Awatendee Makuu Sana yaliyo magumu katka Kazi ya utumishi wenu ...
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@nellykavutha9926
@nellykavutha9926 7 ай бұрын
Aminaa..Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia😊
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@fideliskivai2669
@fideliskivai2669 7 ай бұрын
Amina!
@EvaMassasi
@EvaMassasi 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa🙏🏼❤️
@WitnessIbrahim-k9f
@WitnessIbrahim-k9f 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana ndg zangu
@unclejonah7350
@unclejonah7350 7 ай бұрын
Ameeen
@JovineChamba
@JovineChamba 7 ай бұрын
Barikiwen san
@gerizim516
@gerizim516 7 ай бұрын
Ever gospel choir barkiwa
@eliadaroswe5025
@eliadaroswe5025 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa kwa wimbo mzuri na mtamu🥰🥰 Mungu azidi kuwatumia katika viwango vya juu sana
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@lucassondoma4766
@lucassondoma4766 7 ай бұрын
❤ amen sanaaa
@victorelias518
@victorelias518 7 ай бұрын
God is good ♥️
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
All the time
@NathanErasto
@NathanErasto 7 ай бұрын
Hongereni sana
@BoniphaceKaje
@BoniphaceKaje 7 ай бұрын
BWANA ATUKUZWE SAAANA
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@gracengilangwa9008
@gracengilangwa9008 5 ай бұрын
Uvumilivu wamungu unatisha
@rhobijackson-vl2ir
@rhobijackson-vl2ir 7 ай бұрын
The song I waited for so long🫶🙏Nabarikiwa sana na ujumbe huu Mungu azidi kuwatumia vyema na mwalimu Enock ubarikiwe uzidi pata njozi nyingi za kuandika nyimbo zinazo gusa mioyo yetu🙌
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@Venance-ib8dw
@Venance-ib8dw 7 ай бұрын
Good song.good quality.good movement.good director.kazi nzuri watu wamungu.
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amen
@stephenkadushi9483
@stephenkadushi9483 7 ай бұрын
Nabarikiwa sana na sign language 🎉🎉
@adventistcreativetz
@adventistcreativetz 7 ай бұрын
Amen
@MIGANGASDACHOIRTZ
@MIGANGASDACHOIRTZ 7 ай бұрын
waiting
@danielmbonika2792
@danielmbonika2792 7 ай бұрын
yeap yeap
@graceManyongo-kt3ie
@graceManyongo-kt3ie 7 ай бұрын
Muende mbali na yesu
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@YusuphCharles-d4b
@YusuphCharles-d4b 7 ай бұрын
Aiseee😢
@willymosses1612
@willymosses1612 7 ай бұрын
Amina
@RossaRutasha
@RossaRutasha 7 ай бұрын
Nabarikiwa nikisiliza nyimbo za ukombozi Mungu tusaidie tuwe nawe🙏🏾🙏🏾
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@Richardandrew-fl2zk
@Richardandrew-fl2zk 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu 🎉🎉
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
Amina
@adolfaloyce
@adolfaloyce 24 күн бұрын
🙏🙏
@NeemaEzely-pj8cr
@NeemaEzely-pj8cr 7 ай бұрын
🎉🎉🎉
@benzohtz4527
@benzohtz4527 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@SamwelZawadi
@SamwelZawadi 3 ай бұрын
@JacobGeorge-eg2ww
@JacobGeorge-eg2ww 7 ай бұрын
Mvuto wenu unazidi kupungua hamna ushawishi tena, mtunzi wa nyimbo tunga nyimbo zinazoendana na wakati
@mwasikishina
@mwasikishina 7 ай бұрын
Heee😅, Wew unavutia??? Watungie wew mkuu
@KalmelaChesco-ok2yl
@KalmelaChesco-ok2yl 7 ай бұрын
Funga kwa maombi, mwulize roho mtakatifu juu ya hiko unachokiwaza kuhusu huu wimbo
@JacobGeorge-eg2ww
@JacobGeorge-eg2ww 7 ай бұрын
@@KalmelaChesco-ok2yl sio kila kitu kinahitaji maombi ipo siku utakuja kukataa hii 'a' sio aaaaa na hilo nalo utafunga kuomba ili upatiwe uelewa kuwa ni a
@asumabee1533
@asumabee1533 7 ай бұрын
6g😢.
@asumabee1533
@asumabee1533 7 ай бұрын
6
@elizabethjulius1691
@elizabethjulius1691 7 ай бұрын
Mungu awabariki kwa ujumbe huu
@dottoyohana5128
@dottoyohana5128 7 ай бұрын
Amen
@IsackEnos
@IsackEnos 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@sporamavanza2939
@sporamavanza2939 7 ай бұрын
Amina
@nyarugusuaychoir1665
@nyarugusuaychoir1665 7 ай бұрын
🙏
@bokechacha5199
@bokechacha5199 6 ай бұрын
@@nyarugusuaychoir1665 Ujumbe unachoma jaman, mbarikiwe sana
@asumabee1533
@asumabee1533 7 ай бұрын
6g😢.
@gracemasolele3580
@gracemasolele3580 7 ай бұрын
Amina
PENDO LA MUNGU(Groupe Alleluia Nyarugusu) SHINA LA YESE
8:30
Groupe Alleluia GEA
Рет қаралды 442 М.
UCHAGUZI by NYARUGUSU AY CHOIR-TAUS RETREAT(USA)2021
6:31
NYARUGUSU AY CHOIR
Рет қаралды 250 М.
Squid game
00:17
Giuseppe Barbuto
Рет қаралды 38 МЛН
1%🪫vs 100%🔋
00:36
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Israel Mbonyi - Tugumane
13:22
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
MWALIMU HUNYAMAZA By AY NYARUGUSU SDA CHOIR - Official Video 2024
3:58
NYARUGUSU AY CHOIR
Рет қаралды 68 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
Squid game
00:17
Giuseppe Barbuto
Рет қаралды 38 МЛН