Mashaallah masha Allah masha Allah, Allah sw akuzidishie kipaji ulokuwa nacho, na unasauti nzuri Mashaallah, hongera sis wangu Aysha wa pekee. Love you so so much, napenda sanaa utenzi wako kwasababu, unatuliwaza, unatufunza mambo mingi, na mengine Allah sw akubarik na akuongoze ktk njia ya kheer inshaallah kheer 🥰🥰
@alyhamad852 Жыл бұрын
Mashalah Mungu akupe kipaji zaidi mtunzi na sauti mashalah
@BoscoAnthony-ej6uj6 ай бұрын
allah akupe maisha maref na subira soma kuluan sana
@meenameddy62875 жыл бұрын
Mashaallah mola akujalie mwanadada unasaut nzuri sana
@ashamattar58294 жыл бұрын
Wallah nakupenda kwa. Ajili ya Allah By mudrikh mungu akujaalie
@ashamattar58294 жыл бұрын
Mashallah
@rehemabakali4945 жыл бұрын
Maashaalllah sauti nzuri maashaallah alllah akuzidishie subra ni ngumu lkn ina malipo kutoka kwa allah na kila mwenye kusubiri yu pamoja na allah
@firdausmohammad3935 жыл бұрын
Rehema Bakali kabisa Allah afanye wepes wake
@fatmakhalfan5219 Жыл бұрын
Mashallsh.. nataka kudownlod haitak
@radhiaathuman33505 жыл бұрын
Masha allah nimeipenda ubarikiwe
@jamilaiddy34785 жыл бұрын
Manshaallah Mamy allh akuzidishie mamy
@haidarkhamis56705 жыл бұрын
very nice
@shishibeibi75484 жыл бұрын
Maa shaa Allah I lyk ur voic
@lailtbicheche43735 жыл бұрын
Masha Allah da aysha sauti ty
@ashazaharan17505 жыл бұрын
Masha Allah. Shukuran
@rajabuamani17543 жыл бұрын
Ahsantum
@ysherahmad6525 жыл бұрын
Pambe tyuuu somo yngu
@asiaa51965 жыл бұрын
Masha Allah 😍❤❤👌
@jadidaomary43412 жыл бұрын
Nakupnda bureee jaman unanikoshaaa dada
@radhiaali80433 жыл бұрын
Ukhty Aysha mashaallah mashaallah 👏🏼👏🏼
@halimakibuta49115 жыл бұрын
Dunia inachangamoto nyingi sana na subira ndo inayotakiwa katika maisha
@seleboy23955 жыл бұрын
hongera dada kwa saut yko mazur najua kwa utezi uwo ww ni kutoka Zanzibar kati ya unguja au home PEMBA ilove u zanzibar