Рет қаралды 145
UTT AMIS PLC
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano Mr.Daudi Mbaga akielezea jinsi mifuko ya uwekezaji inavyoweza kuwanufaisha wawekezaji.Maonesho hayo yalianza kufanyika tarehe 30/06/2024 na kumalizika tarehe 13/07/2024.