No video

Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023

  Рет қаралды 1,714,139

UTV Tanzania

UTV Tanzania

Күн бұрын

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.
Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.
Tazama highlights....

Пікірлер: 807
@irenemakundi-og9xg
@irenemakundi-og9xg 7 ай бұрын
Kama na wewe unarudia kila siku kama mimi gonga like za kutosha
@user-kw6kl6fz4d
@user-kw6kl6fz4d 7 ай бұрын
Haitajirudia tena simba ngv 1
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 7 ай бұрын
Tupooooooo😃😃😃😃😃😃😃😃
@user-kp7bt2ol4h
@user-kp7bt2ol4h 7 ай бұрын
Aa mm kilasiku narudia tamuhii
@BenjaminNgata-wm7ek
@BenjaminNgata-wm7ek 5 ай бұрын
Tunawasubilia, ijayo tutawapiga 10
@wolframdamian9113
@wolframdamian9113 5 ай бұрын
​@@veronicangwale7159q
@drcharlestz
@drcharlestz 3 ай бұрын
Kama Unatazama 2024 Gonga Like hapa ❤❤
@habibukilango7738
@habibukilango7738 7 ай бұрын
Tunaotizama tena leo tar 5 January gonga like
@hakeemzero9677
@hakeemzero9677 2 ай бұрын
Nipo leo tarehe tareh 20 mwez wa 6
@DoriceSephania
@DoriceSephania 9 ай бұрын
Diara umejua kumkand mgen rasmi 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛nakupenda bure diaraa
@bushbabytz
@bushbabytz 7 ай бұрын
kwa tuliorudia kuangalia mara tano tano hapa mwaka 3055 gonga LIKE😂
@magrethshishwa5481
@magrethshishwa5481 9 ай бұрын
Tunaotizama tena leo hii mechi gonga like za kutosha tujuane hapa💚💛💚💛💚
@user-ke9ef7wr5v
@user-ke9ef7wr5v 9 ай бұрын
@GabrielkindoleGodfrry
@GabrielkindoleGodfrry 9 ай бұрын
Hii siku watu walipotea had kwao anashituka amepanda gar la mbez wakat anakaa gongolanyolo
@user-gu6eh4gl8l
@user-gu6eh4gl8l 8 ай бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💚
@fatma4628
@fatma4628 8 ай бұрын
Ila simba walikoswa mno ilifaa wakule kumi😊
@claudiamoses7016
@claudiamoses7016 8 ай бұрын
​@@user-ke9ef7wr5vlq look
@lechiboymaster691
@lechiboymaster691 23 күн бұрын
Leo tarehe 3 august naangalia tena kabla ya mechi ya tarehe nane august 😂😂😂😂😂. Nipeni likes zangu kabisaaaa
@rehemangoye9845
@rehemangoye9845 22 күн бұрын
😹😹😹😹 yaan acha tu
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 9 ай бұрын
Yanga mnafurahisha kweli, mnajua mnajua, mnajua tena. Hongera sana yanga na viongozi wenu wazuri
@salummkumbe5694
@salummkumbe5694 7 ай бұрын
Tunaorudia kutazama gonga like
@tenatanz
@tenatanz 7 ай бұрын
Happy new yeah
@ManenoAbeli
@ManenoAbeli 4 ай бұрын
Kama hii mechi ulifurahi weka like
@apostleisaacnyika4669
@apostleisaacnyika4669 7 ай бұрын
Kila Siku Hii Ni Mechi Mpya Kwangu....Naipenda Yanga Sports Club 🔰💛💚
@rahimuhabibu6388
@rahimuhabibu6388 7 ай бұрын
Hii mech naiangalia Kila siku 3_1_2024
@habibukilango7738
@habibukilango7738 7 ай бұрын
Me mwenyewe daily never miss 😅
@ManenoAbeli
@ManenoAbeli 4 ай бұрын
Even me, YOUNG AFRICANS the CHAMPION 🏆🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆 🏆🏆🏆🏆🏆🏆
@swaigift1694
@swaigift1694 8 ай бұрын
Tunaoangalia 2024 tujuane apa kwa 👍
@user-ts4oj4eg5m
@user-ts4oj4eg5m 8 ай бұрын
Mpira wetuu unakua kwa kasi sana what a performance by young africa
@FatmaBakar-ws3yumm
@FatmaBakar-ws3yumm Ай бұрын
❤❤yAni hiii siku ilikua Special kwa ajili ya wanamchi
@HerenaReganga
@HerenaReganga 7 ай бұрын
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
@AhazyStanley
@AhazyStanley 3 ай бұрын
Game zangu Bora Ambazo sichoki kuangalia Finał France 🇫🇷 vs Argentina 🇦🇷 Simba vs Young Africans FT 1-5 Club African vs Young Africans FT 0-1 Young Africans vs CR Belouzidad FT 4-0 Simba vs Young Africans FT 2-2 #Balama Greatest games of all time 🙌🏻💛💚
@nicodemasmasabo5412
@nicodemasmasabo5412 7 ай бұрын
Ila sisi yanga hatuna huruma kwa kweli 😅😅😅😅😅😅😅yaan kila siku tunaiangalia hku tunacheka
@tawsi-yc3nk
@tawsi-yc3nk 26 күн бұрын
Jaman tareh 8 ifike tu
@bensonjackson9635
@bensonjackson9635 26 күн бұрын
Umeon 😅
@sharonrichard2176
@sharonrichard2176 24 күн бұрын
Watakula nyingi sanaaaa
@bahatichikoko6362
@bahatichikoko6362 7 ай бұрын
Nairudi hii mechi Leo tarehe 25|01|2024 tujuane hapa kwa like,Yani machungu ya tutofuzu afcon 16 taifa star Yanga inanipa amani
@patrickndelwa8903
@patrickndelwa8903 5 ай бұрын
Ukiangalia hii mechi shida ilikua kwenye defense
@kudramzee5769
@kudramzee5769 4 ай бұрын
Nikiwa na stress naangalia hili game
@ochu1012
@ochu1012 5 ай бұрын
06/03/2024 leo nimerudia😂
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 25 күн бұрын
Yes yes UTV kazi nzuri mnafanya
@mamahairat2223
@mamahairat2223 5 ай бұрын
Nimerudia kuiangaria Leo tarehe 24/3/2024
@harriethdeogratias9466
@harriethdeogratias9466 18 күн бұрын
Tunaoangalia Leo mechi hii baada ya kuwafunga Tena Moja bila shusha like happ😅
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Miee nairudia hii mechi leo trh 27/7/2024 😂😂😂😂hii mechi nilikauka sauti siku hiyoo jamaniii kuwa funga makolo raha sana 😂😂😂LIKE 2024 😂
@bensonjackson9635
@bensonjackson9635 26 күн бұрын
Mi naangalia leo 😅😅😅
@BarakaLagoh
@BarakaLagoh 26 күн бұрын
Me leo tarehe 31
@trice_yanga
@trice_yanga 5 ай бұрын
sema azizi ki anakuaga na mzuka😂halafu huyo mtangazaji amesemaje eti ohooho🙌🙌
@AdamSadick-ik5jg
@AdamSadick-ik5jg Ай бұрын
Tar 15/7/2024 nairudia tenaaaa🙌🙌
@roi2554
@roi2554 7 ай бұрын
2024 still watching it😂😂😂
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 9 ай бұрын
Yangaaaaa yangu....vivaaaaaaaaaaa.
@YondoBishweko-si4uh
@YondoBishweko-si4uh 8 ай бұрын
Nilikua na mawazo yangu nimeangalia haya marudio nimefarijika😂😂
@naomysalumu1858
@naomysalumu1858 6 ай бұрын
Leo Tena tareh8 mwezi wapili 2024
@hassanmakame
@hassanmakame 5 ай бұрын
Nipo hapa Leo 8/3/2024
@kudramzee5769
@kudramzee5769 2 ай бұрын
Ukiwa na stress naangalia hili tujuane
@user-vr8fv5ic8v
@user-vr8fv5ic8v 8 ай бұрын
I love so much young african 3:16 ❤
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 3 ай бұрын
Hii ndo dar young Africans buana❤❤❤❤
@Swedyally-su5bm
@Swedyally-su5bm 15 күн бұрын
2nao iludia tarhe11 mwez wa8 2024 2juaneee
@mahamduKadebe-uu4le
@mahamduKadebe-uu4le Ай бұрын
mechi ilitangazwa kwa viwango sana🎉
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 9 ай бұрын
Nimeumia.sana kwa mtokeo sikutegemea ila Kuna maisha baada hii 😢😢
@Emmy-my2xc
@Emmy-my2xc 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@user-oh2ib9me5g
@user-oh2ib9me5g 9 ай бұрын
Leo mzize katulia
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 ай бұрын
😂😂😂😂 sanaa raha jamani
@user-ui4bl2pb1g
@user-ui4bl2pb1g 6 ай бұрын
Yangu tamu bana❤❤❤❤
@dinermafuru4433
@dinermafuru4433 21 күн бұрын
Leo tarehe tano nimerud tena hapa😂😂
@SurprisedHoneyBee-pm9lq
@SurprisedHoneyBee-pm9lq 19 күн бұрын
Awamu hii seven days 😂😂😂
@bensonjackson9635
@bensonjackson9635 26 күн бұрын
Kuelekea siku ya Wananchi nimepita hpa Kuangalia hii tukiwasubiri trh 8
@BarakaLagoh
@BarakaLagoh 26 күн бұрын
😂😂😂tupo weng
@annabanene6567
@annabanene6567 25 күн бұрын
​@@BarakaLagoh tupo hapa 😂
@amanikasekwa7454
@amanikasekwa7454 4 ай бұрын
Yanga yangu nakupenda saana🎉🎉
@ArnoldRwegasira-hp9gt
@ArnoldRwegasira-hp9gt 9 ай бұрын
Nimeirudia Tena leo😂😂
@user-so5vq9rh6v
@user-so5vq9rh6v 9 ай бұрын
Bado amjasema hadi mseme hii ndio yanga ya sasa ongera sana yanga🎉🎉🎉
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi 4 ай бұрын
Nipo Live Tarh 2/4/2024
@yohanaemanuelylazaro5109
@yohanaemanuelylazaro5109 4 ай бұрын
2ko pa1
@user-um2ov6gm8j
@user-um2ov6gm8j 7 ай бұрын
Yan leo taree27 mwezi 1 naangalia mludio haya magoli yanavyo ingia mwili unasisi mka machozi yafuraa yanatoka kama mechi inachezwa saa6 hii
@TumainiKaminyoge-qm8nx
@TumainiKaminyoge-qm8nx Ай бұрын
Yaan wewe
@MagdalineMambo
@MagdalineMambo 19 күн бұрын
Leo tarehe 7/8/2024najikumbusha
@kulthumabdalla
@kulthumabdalla 9 ай бұрын
Leo tarehe 30/11/2023 naangalia kwa mara nyengine 💚💛
@LovenessJohn-kz7lg
@LovenessJohn-kz7lg 8 ай бұрын
Me leo tar 12/12/2023
@ValeeMitindo-od7fs
@ValeeMitindo-od7fs 9 ай бұрын
Mpaka hapa nadhani mshajua timu Bora ambayo CAF wanaizungumzia ni ipi...YANGA IMEMALIZA UTATA.....MPAKA MSEMEEEE....😂😂😂❤❤❤
@user-ob8ih9iz3o
@user-ob8ih9iz3o 8 ай бұрын
yanga
@prosperpius9030
@prosperpius9030 9 ай бұрын
Mzize the Unsung Hero
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 6 ай бұрын
Hakuna mechi za yanga Sinto choka kuiangalia kama hii ya Simba na Ile ya CR belouizdad,,zinanipa Raha sana😊
@sylvesterthomas9341
@sylvesterthomas9341 9 ай бұрын
Wangap wanarudia hapa
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 9 ай бұрын
5gggg hamtasahau wanssimba maisha yenu yoote.
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 2 ай бұрын
Sichok kuangalia hii mechi 😅😅😅
@jacksonnyoni1978
@jacksonnyoni1978 9 ай бұрын
Kila mda naiangalia ihi mechi mpaka laha 😂😂😂😂
@MdogowaKaka
@MdogowaKaka 9 ай бұрын
Inafrahisha sana😂
@jacklinendimbo4529
@jacklinendimbo4529 4 ай бұрын
Kabla ya tareh 20.. nmekuj kujitidhisha tenaaa Kun sehem tulikoseailibid tuwafunge7
@beatricemasaoe1308
@beatricemasaoe1308 3 ай бұрын
Naona raha
@edsonmgaya5795
@edsonmgaya5795 8 ай бұрын
Wanao sema yanga siyo maneno nimepira kwer gonga like hapa
@user-wl2bi1vy7o
@user-wl2bi1vy7o 8 ай бұрын
Good kabisa😅
@nassorkhalfani1467
@nassorkhalfani1467 21 күн бұрын
Nimejikumbusha tena Leo 6/8/2024
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 6 ай бұрын
Nashindwa kabisa kufanya kazi kila saa narudia mechi ya yanga na simba na mechi ya yanga na CR Bulzdad. kama kuna mtu anamfaham daktari wa saikolojia naomba msaada.
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 5 ай бұрын
Nitafute haraka sana nikutibu huo ni ugonjwa😂😂😂
@halimahamis7370
@halimahamis7370 5 ай бұрын
Uko sawa tu huna shida yoyote nipo mwenzako hapa kila usiku ndo kazi yangu😅
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 5 ай бұрын
Acha kulakula kipolo😊
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 5 ай бұрын
@@galluskanenge4898 kabla ya hizi mechi nilikuwa nakula kipolo cha wali na maharagwe na sipati hili tatizo 🤦‍♂️
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 5 ай бұрын
Ahaa ! Hauhitaji daktari wa saikolojia ,ila tafuta mechi mbili mlizowahi kufungwa na simba magoli mengi zaidi ya manne na meji za nje ambayo mlifungwa mpaka mkachelewa ndege yaani unapona kabisaa ,ukiona bado ,nitakuagizia njegere mabichi upike ule na wali utona shwari kabisa.
@jumakassim8718
@jumakassim8718 9 ай бұрын
Asante sana yanga kwa kunipa heshima mtaani kimyaa
@Derrick-hf4di
@Derrick-hf4di 8 ай бұрын
Tunaongalia mwaka 2024 ❤
@EsterinaAdroph
@EsterinaAdroph 7 ай бұрын
Laivu
@habibukilango7738
@habibukilango7738 7 ай бұрын
Leo tar 18 tujuane 😅
@calvinnelly2898
@calvinnelly2898 7 ай бұрын
Tupo live 😂
@user-wl6il1zk6m
@user-wl6il1zk6m 9 ай бұрын
Poleni sana wana simba nikionjo kidogo hicho bado atuja wafunga mpaka tuwafunge mabao nane ndo tunarizika rahaaaa mpaka kufaaaaaa from louis ville kentucky
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 9 ай бұрын
Yanga World Wide, Chicago, IL
@MossesMria
@MossesMria 8 ай бұрын
narudia na leo tena😂😂
@user-ux3jj1er3e
@user-ux3jj1er3e 6 ай бұрын
Tunaotizama tena leo tar 5 february gonga like apo😂
@husnakumburu8853
@husnakumburu8853 4 ай бұрын
Haichoshi kuangalia hata mara miaaa😅😅😅😅
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 7 ай бұрын
Hii atar kila cku naangalia raha sana
@moviekaa
@moviekaa 5 ай бұрын
Walikufa vibaya mbwa hawa 😂😂😂
@ashamkenga6072
@ashamkenga6072 5 ай бұрын
😂😂😂yan mpka raha kurudia rudia haichoshi😂😂😂
@moviekaa
@moviekaa 5 ай бұрын
@@ashamkenga6072 Jeuri yote imekata 😂😂😂
@user-pf5ob7un7x
@user-pf5ob7un7x 7 ай бұрын
Daaah yanga noma❤
@user-zf6wi8cp4u
@user-zf6wi8cp4u 9 ай бұрын
Hiki ni kipigo Cha mbwa Koko. pole yenu simba.
@user-zb2pg4ix5s
@user-zb2pg4ix5s 9 ай бұрын
Yanga unanikosha Mimi mwenzenu💛💛💛💛💛💚💚💚
@user-op7mh5sp4p
@user-op7mh5sp4p 7 ай бұрын
😂😂 Hii mpaka ifutwe ndio ntaach kuangalia😂
@user-vr8fv5ic8v
@user-vr8fv5ic8v 8 ай бұрын
I love so much young african 3:16
@user-ok2rx9wl1w
@user-ok2rx9wl1w 9 ай бұрын
Jamani nan Kama yanga
@Stevekapugi
@Stevekapugi 3 ай бұрын
Huyu mtangazaji.jamani ananikosha sana.gonga like kama unamkubali🎉🎉🎉
@MUSK_HARMONY
@MUSK_HARMONY 7 ай бұрын
Hii video inanifurahisha nikiitazama .
@dicksonmwenyembegu2523
@dicksonmwenyembegu2523 7 ай бұрын
nikimaliza hii naenda kutafuta ile ya kingereza😅😅
@user-ih5bq9mw7t
@user-ih5bq9mw7t 8 ай бұрын
Yanga tamu
@dullahamis4043
@dullahamis4043 9 ай бұрын
Movie yangu hii ya kila siku
@danielsunghwa487
@danielsunghwa487 9 ай бұрын
Ata mimi jamani sichoki kuangalia hii movie💚💚💚💚💚 yanga
@senkondonyange5769
@senkondonyange5769 6 ай бұрын
Kikosi cha gamond cha mauaji....hiki ndo kiliua simba...hiki ndo kiliua cr beliouzdad
@mackysuphian
@mackysuphian 5 ай бұрын
Nimerudi baada ya kupigwa na wajelejela😅😅😅
@user-vr8fv5ic8v
@user-vr8fv5ic8v 8 ай бұрын
Nilifrahia Sanaa hii mechi🙀
@mwajuma802
@mwajuma802 5 ай бұрын
Kwa raha zangu shida zenu makolo😂😂 29 Feb 24
@witnessniclass3777
@witnessniclass3777 5 ай бұрын
Sijawahi kuchoka kuangalia hii😂😂😂
@EsterKway
@EsterKway 5 ай бұрын
Women day nipo hapo
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 6 ай бұрын
Leo trh 18 niko apa kitakacho nitenganisha mim na kuangalia hii mechi ni kifo 😂😂😂
@PaulojohnMalimi-xv8he
@PaulojohnMalimi-xv8he 6 ай бұрын
😂😂😂😂 hatariii
@JuniorShadrack-iw9ru
@JuniorShadrack-iw9ru 3 ай бұрын
Mi narudia leo saa 23:26 usku tareh 16 .05.2024
@user-vr8fv5ic8v
@user-vr8fv5ic8v 8 ай бұрын
I love so much young african
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 4 ай бұрын
Kesho tenaaa😂😂😂😂😂
@bushbabytz
@bushbabytz 6 ай бұрын
yaani leo niko nashinda kuangalia kurudia rudia hizi mechi tuliowakanda tano makolo na mechi tuliomkanda mwarabu belouizdad nne😂😂 kama movie yaani
@mariahmushi7106
@mariahmushi7106 6 ай бұрын
Ngoja niangalie tena leo 20/2/2024😂
@user-yt3tn6dx3f
@user-yt3tn6dx3f 6 ай бұрын
Tuko pmoj😅😅
@petermanala6138
@petermanala6138 6 ай бұрын
@user-yt3tn6dx3f😂😂😂😂😂😂et uchaw waroge nawao kama rahsi yanga raha😅😅😅
@BusagalaMbute-fk7nw
@BusagalaMbute-fk7nw 9 ай бұрын
5👏👏👏👏👏👏 Yanga💛💛💛💛
@CalvinNkya-dw7it
@CalvinNkya-dw7it Ай бұрын
Round hii dube yupo kwetuu mjiandaee saaan..💚💚💚💚💚💚
@berthambilinyi8310
@berthambilinyi8310 Ай бұрын
Hahaahah
@JoshuaLaurent-wv3tz
@JoshuaLaurent-wv3tz 3 ай бұрын
Mm pia narudia sana hii mchi
@elijahsomebody9164
@elijahsomebody9164 5 ай бұрын
Tareh 15/32023 nimeitazama Tena full naona tumewafunga Tena magoli matano😂😂😂😂😂
@PetrontemiNyaga
@PetrontemiNyaga 3 ай бұрын
Hii mechi mpaka mda huu naitazama kwaumakini.
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 9 ай бұрын
I love you ❤❤ yanga
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,8 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 4,8 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,8 МЛН