Wimbo uliobeba jina la album ya university corner-uvc,iliotoka mwaka 2003,ambayo ilikua na jumla ya nyimbo nane.
Пікірлер: 88
@HamadiNamwenda14 күн бұрын
2025🎉🎉🎉 Ndani ya MJ Record na Midundo ya G-Unit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josephmalebo838725 күн бұрын
2025 ndani ya bongo. T shirt na jeans 👖 👇👇 Wahenga bado tunashi nayoo
@BarakaKakomeye-hm1pz6 ай бұрын
Kitambo sana,,, kijijini tulikua tunaenda kuangalia video kiingilio sh. 50
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅 Acha mwanangu umenikumbusha mbalii
@engcyprianfuime20493 жыл бұрын
Timeless, age mates tujuane hapa enzi izo
@Sokomoko13 Жыл бұрын
If your here 2024 let's gather here haha😂🎉
@abangaabanga4677Ай бұрын
Am here 28th Dec 2024 mate 👌🏿
@HassanAlly-h2e3 ай бұрын
Da ase nakumbuka 2004 mpaka leo 2024 bado naiskiliza ngoma kali sana hii haichuji
@AmisseSumail-x9j9 ай бұрын
T-SHIRT na JEANS..tutavaa hadi UZEENI..God akibles
@queenandchill912 жыл бұрын
Enzi hizo 2003 nilikuwa darasa la 5 😀 Am here Tuesday, August 2, 2022 ✌🏼🇹🇿❤❤❤
@RaiderTube6 ай бұрын
Na 2024 profile ina Jeans 😂
@queenandchill916 ай бұрын
@@RaiderTube 😂😂😂😂
@Gchodahitman Жыл бұрын
2023 AND BEYOND T SHIRT NA JEANS 😜🙌🕺🔥🔥🔥🔥
@nackplankton16694 жыл бұрын
Daaah hatari sana aisee University corner tangu std4 mpaka leo2021 february daaah.....Ckuhizi wasanii wanapiga kelele tu
@sammymiano1495 Жыл бұрын
Walai old is gold.when bongo was real💪🏼
@ashaahmadinasoro85713 жыл бұрын
Wow🤩 2021 cpo pekeangu naeitazama hii ngoma
@stevenmwakasitu97874 жыл бұрын
All days when missing planet Bongo on EATV was like missing free air
@abangaabanga46772 жыл бұрын
Aaaghhh m’menipereka mbali sana teenage years ❤️
@b_cheune8 ай бұрын
Phat Farm, Dada, Fubu na Sean John! Our labels growing up! Nostalgic song.
@bensonthobias676511 ай бұрын
UVC..IDRISA NA HASHIM MTU NA BINAM YAKE WALIUA SANA HUMU NA ILE WAKO NA FERUZ
@jovialphiri55555 ай бұрын
Before diamond platnazm wow.. amazing
@hamimuadisababa54712 жыл бұрын
It's 2022, still enjoying hili goma
@sadockalfred67504 жыл бұрын
Kitambo nilikuwa form three hiyo ngoma inabamba kinoma noma kila pembe ya nchi
@bizbiz50234 жыл бұрын
UVC hamkutenda haki kwa ss mashabik zenu 😀😀 Pamoja na planet 2000 Peace E Yaki Man kichefu Roho 7 Ob na riziwan wa irng ( mkt lil moja moja)
@idrisamakupula72114 жыл бұрын
Usijal kaka,kuna.cku tutafanya jambo kwajili yenu
@Kbaya862 жыл бұрын
Machozi I really miss this old times uzee jameni
@WaheedHamad-d5g8 ай бұрын
Nina miaka3 hii nyimbo😅😅😅😅lkn kuna watu walikua na miaka 20+lkn tunakoment pamoja😅😅😅
@drcezzane36303 жыл бұрын
Tuvae Barakoa Tuliokuwa Disco Enzi Hizo
@davidernestemmanuel7019 ай бұрын
Wa 90's tu ndo tunaelewa hizi drums Emmanuel Majivuno d47
@elyvileelema49852 жыл бұрын
golden era.golden singers
@RaiderTube6 ай бұрын
Master Jay
@geofreynjanga67943 жыл бұрын
La sita upendo view sumbawanga disco toto mtoto wa kotas za NMC karbu polisi line dah kitambo sana
@bama92715 жыл бұрын
Kitambo sana aisee
@hassanparamana22153 жыл бұрын
bado nawakumbuka hadi leo 2021 🔥
@emmanueljoseph65094 жыл бұрын
Kama unaitazama hii goma2020 like yako bas tujuane
@hannansdeliciousfood42614 жыл бұрын
Long time ...kitamboooo...toka nipo primary...had leo 2021
@MOHAMEDSAID-vs6jt11 ай бұрын
Dah Niko elimu ya awali 2003
@asueddy14653 жыл бұрын
Master J Noma sana kwa hii beat
@BarakaKakomeye-hm1pz Жыл бұрын
Enzi hizo kijijini disco linapigwa hakuna kulala vumbi vumbi mwanzo mwisho
@jamesmakyao81035 жыл бұрын
kitambo sana 2003 form five
@yasiniselemani24125 жыл бұрын
Form six man now VP
@noahkyando84014 жыл бұрын
Hii ngoma ni noumer na nusu wazee 👬
@yvesyveldinhomzee.5682Ай бұрын
Kitambo kabisa
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Belinda hiyo White sand mbezi beach African
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
sana2😢😢 mahom boy
@janeskuria46314 жыл бұрын
Reminds me of eatv...bongo planet show
@fulgencebeno296911 ай бұрын
Kipindi hicho ulanzi na power zipo kichwani alafu juu Nina Sean John jeans ya zeezle ya Kaki chini Nina And1 alafu nazama disco 😂😂😂😂
@awadhtamla23534 жыл бұрын
Long time big up good song
@HassanAbdu-pq4rh Жыл бұрын
😥😥😥 those days
@ramadhanseif4564 Жыл бұрын
Nimefurah dah za kale dhahabu
@keamaoli4 жыл бұрын
Tshirt na jeans clasic 2020 march
@awadhtamla6989 Жыл бұрын
Nilikuwa darasa la tatu Turiani primary school Magomeni Dsm
@teddykioko17212 жыл бұрын
20222 t-shirt na 👖Bado ni🔥🔥🔥
@SampleKiller993 жыл бұрын
Jay kama Master kwenye beat.
@arizonajerad4624 Жыл бұрын
HAAAH WAP HARCORE TEAM
@athumanabubakary59307 ай бұрын
2003 nilkua class 4😅😅 14 years
@francismunyambo-ij8cw Жыл бұрын
Hiyo ngoma enzi zake wacha tu
@atikombogolo23564 жыл бұрын
nilikuwa form 4 Shule ya Sekondari Mwembetegwa iRINGA
@sammymwaikambo31637 күн бұрын
Tupo wan iringa 2025
@danielngoko79004 жыл бұрын
2/1/2021 heshima kwema Old school
@maka_veli894 жыл бұрын
bongo flava kwenye ubora wake imebaki story
@mcharomcharo82034 жыл бұрын
Big up saaaana up to now 15.11.2020
@qudratv91694 жыл бұрын
master j😋
@laumasefi664 жыл бұрын
Hii ngoma imetoka mwaka gan
@idrisamakupula72114 жыл бұрын
2003 mwamba
@nassirjuma3793 жыл бұрын
2003
@sadockalfred67504 жыл бұрын
Jamaa hawa waliendaga wapi sjui
@idrisamakupula72114 жыл бұрын
Tupo mwamba,ila mambo mengi tu,kila mmoja anafanya maisha tofauti,ila kwabahat nzuri wote tuko sawa
@jamilthani2639Ай бұрын
Eti Jeans haifuliwi jamaa hapo alitupiga
@mrutusimonshundi6283 жыл бұрын
2022
@lucymgina80932 жыл бұрын
jeans haishuki thamani
@akili9yechuman2213 жыл бұрын
2022🇹🇿🇹🇿
@umeedkassam6974 Жыл бұрын
Damn am old
@jonathandaud25845 жыл бұрын
Pin hatar
@neemaswai88015 жыл бұрын
ngoma inaishi
@deomarwa658311 ай бұрын
2024
@angelsis65084 жыл бұрын
Tshirt na jeans
@anuarymzee98982 жыл бұрын
2022🙏💯🔥
@danielhaule1554 жыл бұрын
Wamepotelea wap hawa wakal.
@mcdadedady77772 жыл бұрын
2022🎤
@deadcrush5 жыл бұрын
hahaha... 2019?
@saidmajeba97912 жыл бұрын
Duuh siku hizi Kuna Wabana pua Wanyoa viduku Wazee wa scandal Watengeneza attention ya watu na kukuza tu brand kupata mihela WASANII WENYE UWEZO KWA SASA HAKUNA
@travelahmbowe4375 жыл бұрын
24,12,2019
@jumasalum97754 жыл бұрын
Duh
@kirimagodfrey94642 жыл бұрын
Back in the day,,,bado tunaenjoy mziki mzuri,,
@germainuwayezu36984 жыл бұрын
Old skul kabisa!! Nani anaweza nipa ngoma yazamani imeimbwa na group fulani, wakiimba:" Tuko pamoja tunafanya kazi pamoja, haina adhi yakutengana wakayi mambo ndo ivo yanafaaa". Najifkiri ni awa awa ma jama🙄
@idrisamakupula72114 жыл бұрын
Yaya ni hasheem ambae alifanya chorus hiyo ambayo alishirikishwa tu,ila ndio mmoja wapo wa uvc,verse ya kwanza kwenye tshirt na jinz