🔴

  Рет қаралды 8,517

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online 20 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@pronettv3403
@pronettv3403 20 күн бұрын
Mbowe Mungu amekupa kinywa chenye busara sana, ni Mungu aliyekuweka hapo bila shaka.
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 20 күн бұрын
Tumia busara zako zote na hakuma zako zote uendelee kuwa mwenye busara zaidi uongo Zi kama kijitu kaa na pamoja na mwezi mujenge chama maneno ni mengi Lakini usijali mshukuru mungu kwa yote nimefurahi ulivyosamehe ❤❤❤ BARIKIWA SANA. Amen 🙏🙏 msikubali kugombanisha .
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 20 күн бұрын
Umetisha sana 😅
@DaimaAndrew-l7m
@DaimaAndrew-l7m 20 күн бұрын
Kwer mzee umeturithisha Sana siasa Sasa mzee tuachie na sisi tuwarithishe wengine mwachie tundu
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 20 күн бұрын
Mnyika hafai atoke
@HamisAlly-g6m
@HamisAlly-g6m 20 күн бұрын
Usimuachie lisu inawezekana mamluki hatujui huko nnjeee Alipokuwepi Ameahidiwanini 7:03
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 20 күн бұрын
Mbowe ndugu yangu jiondoe kabisa,usigombee kwa heshima yako.😮wala usikubali kuwa makamu wa chizi Lissu
@phaustinemmao424
@phaustinemmao424 20 күн бұрын
Lissu kuazia Sasa namuona akiwa c😅😅😅
@Jabiridihimba
@Jabiridihimba 20 күн бұрын
Hawa wasanii kweli, mnamdanganya nani mboe anagombea nanyi mepangwa kufanya ivyo
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 20 күн бұрын
Mwalimu Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa TANU tangu mwaka wa 1954 mpaka mwaka wa 1977. Akawa Mwenyekiti wa CCM tangu mwaka wa 1977 mpaka mwaka wa 1990. Kwa vyama ambavyo havijakamata Dola havibadilishi Viongozi wanzilishi wa vyama hivyo.Wakifanya hivyo ni rahisi sana chama kufa. NCCR iko wapi CUF ina hali gani?
@paulinebogohe-pi8gn
@paulinebogohe-pi8gn 20 күн бұрын
Wengi tutafurahi ukisema, umetosha na uwaachie watu wengine
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 19 күн бұрын
Gombea kura zetu zipo tutakupa, lisu hajakomaa kisiasa ila amekomaa kiarakati. Mwana unahitajika bado songa mbele.
@JohnValle-xn1dx
@JohnValle-xn1dx 20 күн бұрын
Jibu ni utagombeya
@dittokalole3286
@dittokalole3286 20 күн бұрын
Uongozi ni kazi sana ila unahitaji umakini sana /m/kiti umekiwezesha chama kimekuwa so! Unaweza kuwa makini sana na wapiga kelele je wajua kesho?
@Saidmathayo-uv4gj
@Saidmathayo-uv4gj 20 күн бұрын
Tumesha elewa mbowe hutaki kuachia nhaz
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 20 күн бұрын
lissu si mtu sahihi wa kiongoza chadema!!ukisusa kugombea ujue umeitosa chadema @!
@abuusaid3297
@abuusaid3297 20 күн бұрын
Achiamapema kabla hujuchukiwa huo mkate mwachie namwingine
@abuusaid3297
@abuusaid3297 20 күн бұрын
Waachie nawengine nafasi hiyo miaka 20 inatosha
@PinelMlay
@PinelMlay 20 күн бұрын
Tafukuri
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 20 күн бұрын
Poa
@R10_Rajab
@R10_Rajab 20 күн бұрын
DRAMA ZINAENDELEA HAHAHH YAANI MAAMUZI UTOE KWA SIKU MBILI SI UONGO HUO?HIYO NI MIPANGO BABAAA HHAHHA SIASA BHANA
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 20 күн бұрын
Dogo una miaka miaka mingapi
@R10_Rajab
@R10_Rajab 20 күн бұрын
@jonijoogabriel3728 Mia Tisa na tisini na tisa
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
JTV24X7 06-01-2025 NEWS
32:17
Jtv 24x7
Рет қаралды 2
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН