Mungu hutuma mapigo yake . Wapo wengi walio wahi mtukana Mungu lkn miisho yao ni aibu vifo vya aibu
@uwesusaid53342 жыл бұрын
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. 🙌
@zahranomar85232 жыл бұрын
Ila Huyu sie
@jacksonmsuya58332 жыл бұрын
Huyu sio nabii anakunywa mapombe anapenda masifa mitandaoni huyu mganga wa jadi
@franciscoblawrent81282 жыл бұрын
Bibilia inasema usihukumu ili usije hukumiwa sa mnavyosema tapeli Mara mganga n.k nyie mnaezaje kutoa kibanzi wakati ndan ya jicho lako mnaboriti .Tatzo ni tafsri za wenye chuki ndo wanakuza mambo yasiyo stahili. Mungu abariki kazi yako mtumishi @SHILLA
@dhulmamwiko84522 жыл бұрын
Moja ya mambo nayoyashukuru kila siku ni kwamba nimezaliwa katika jamii ambayo haifuati dini yoyote; tunafuata mila za mabibi na mababu zetu. Nawahurumia Wakristo, kama na huyu ni "Nabii!" Ha! Tutayaona mengi, na kuna wendawazimu wanamwamini! Yaani, ana wafuasi huyu. Nchi yetu ya ajabu kweli!
@binhussain34452 жыл бұрын
Karibu katika Uislamu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Pole saaana
@anodearsulusi75362 жыл бұрын
Endelea kuamini unachoamini kama moyo wako una amani kwasababu tunajifunza " ibada na dini zetu( zetu, za kimzimu za kigeni) ni upuuzi mtupu Kama mwisho wake sio kumfikia Mungu, na hatuwezi kumfikia Mungu isipokuwa kwa njia ya kifo" hivyo basi mtukuze Mungu kwa namna yoyote ile Ila ujue kuwa njia unayoitumia iwe ya kumfikia yeye
@estermachea33732 жыл бұрын
@@binhussain3445 asante Sanaa
@abdulismail84182 жыл бұрын
Tatizo bongo mnapeana vyeo tu unabii unatolewa na Mungu yeye huyo kapewa unabii na nani pia hakuna nabii mnywaji wa pombe jamani hilo muelewe huyo hana sifa za kuwa nabii hata moja kujua mistari ya bibilia hakukufanyi uwe nabii
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Subuhanallah. Hakuna nabii Tena na hatotikea mpaka kiyama. Mtunewa mwesho Muhammadi swalallahu alahi wasalam💕👈
@ip_header2 жыл бұрын
Yaan kuna watu wana wafuata Nabii Shila, nabii Tito, kweli dunia ina viumbe ...
@georgekimasaofficial16292 жыл бұрын
Shilla usiwe na shaka we piga kazi maneno yapo na hayawezi kuisha wengi wanakuchukia kwa wivu wao tu.
@pescopenterprises27282 жыл бұрын
Mimi nilikuelewa vizuli sana nabii shila ulitolea mfano kua kama sisi watumishi tunalaumiwa katika hili bas inamaana na yesu alikua hivi mimi nilikuelewa ila uelewa tumetofautiana
@lilyrose79832 жыл бұрын
Sasa kwani huyu Shila ni Yesu?Yesu atabaki kuwa mtawala wa Dunia na Shila atabaki kuwa Shila
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Kwendenikule Yesu si MUNGU ni nabii wetu wote
@agapemwasomola.7772 жыл бұрын
Pesa zisiwafanye mjione wakubwa kuliko Yesu
@sylviermuhonjah84112 жыл бұрын
Misifa yako itakuweka pabaya hatakama unatafuta unga W C B
@johnsonnade74762 жыл бұрын
Alafu watu wenye sura mbaya huwa wanahela sana inamana itakuwa wamapitia makandokando
@Mkemia..Kirigiti2 жыл бұрын
We dogo mswahili swahili sana⛹️
@soccertv2932 жыл бұрын
Ulipofunga ulikua unafutari saa ngapi au ulifunga siku zote bila kula?
@aminanamoyo832 жыл бұрын
Manabii wa uongo ndio hawa hukufanya hivyo ki vipi wakati dunia nzima tuliona matukio na kauli zako tulisikia, unacho kiongea sasa wala hakieleweki we omba msamaha si kwa binaadam bali kwa muumba wako.
@musokedios81622 жыл бұрын
Mhhhh Mungu awe na rehema, shuka baba shuka, lakina mbona mimi niliona live na haikuwa oudio, anyway tutawatambuaje???
@anodearsulusi75362 жыл бұрын
Tutawatambuaje? Nimeipenda hapo bro
@deborangura27122 жыл бұрын
Kw matendo Yao.biblia imesema
@habibrwegoshora66242 жыл бұрын
YESU ALIKUWA NI MUISLAM..HUU UKRISTO AKUUACHA WALA AUJUI ..WALA AKUICHA HII BIBLIA AJAIACHA NI UONGONGO TU..NI VITU VYA KUMZUSHIA BW.YESU..NA WALA HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEJUA NCHI ILIKOTOKA BIBLIA AU HATA MJI ...UA ANAYEJUA MAANA KRISMAS AYUPO KABISAA..MM NASUBILI MAJIBU KWA ANAYEJUA
@IntelligentCreatures2 жыл бұрын
Naomba namba yako ya WhatsApp
@umibana67592 жыл бұрын
Huyu mpiga pesa kabisaa
@robertempire95422 жыл бұрын
Kwendaaaaaaaaa
@dostovan51422 жыл бұрын
Hafai hata kuskiilzwa, ajifungue arudi 2025
@hamzaadrin9412 жыл бұрын
Wallah huyu dogo sijawahi kumuaminigi kwalolote
@amanikafonogo96952 жыл бұрын
Tribulations
@Commentsplus2 жыл бұрын
Bangi bangi achaa kaka bangi acha
@petergadiye79112 жыл бұрын
Achakujitetea uliongea hadharani kwanza haionyeshi we kuwa mtumishi wa Mungu Bali wa shetani.
@jomiAfrica2 жыл бұрын
Mbona unamtaja yesu wakati ulisema ni tapeli
@zahranomar85232 жыл бұрын
How did this happen?(eti nani(nabii?)nabii my foot
@barakajustine70292 жыл бұрын
Mkitaka kujua hawa manabii uchwara kuwa hawana chochote wavue hayo mapete
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Yn kuponya sio tatizo yn mimi mwenyewe nikienda Nigeria nikiludi kazi imeisha miujiza kama yote lakini jina la YESU haliponyi nileteeni mtu alieponya kwa jina la yesu kama lingekua na maajabu basi lingewaumbua wengi lakini kwakua ni biashara ya shetani bas ngoja tupige pesa zetu
@IntelligentCreatures2 жыл бұрын
¹² Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. ¹³ Nanyi mkiomba lolote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. ¹⁴ Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. Yohana 14 KUPONYA KWA JINA LA YESU Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile. Matendo 16:18 33 Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza. 34 Petro akamwambia, Ainea, Yesu Kristo akuponya; ondoka, ujitandikie. Mara akaondoka. Matendo ya Mitume 9 ¹⁷ Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako. ¹⁸ Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. ¹⁹ Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru. Luka 10 ... Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo Matendo 4:12
@liesharehema51932 жыл бұрын
Acha kubwabwaja wewe laana lazima ikukute acha uongo je unahofu yamungu ila tutawajua kwa matendo yaoooo hamta jificha maana ndo wakati wakeeeee
@agriparose39422 жыл бұрын
Lilevi tu hata sura ilivyokaa mlevi mlevi tu mijisifa tuuuuuu
@emmadora78482 жыл бұрын
Uhai uo umeazimwa tu ndugu, kuna mwenye nao likumbuke hilo
@liesharehema51932 жыл бұрын
Hata hajui najua nihaki yake kupumua kila siku hajui ipo siku mwenye nao atauchukua shetani anajua kumdanganya mtu utajili namambo mengine ila hawezi kumpa mtu uhai anatukana mokozi wa ulimwengu ajabu sana
@lilyrose79832 жыл бұрын
Ni kweli
@zaburi23862 жыл бұрын
Huyu ni nabii kwa nan alitabiriwa na nan Katka kitabu gani katabiliwa ??
@soccertv2932 жыл бұрын
Akawadanganye WAKRISTO wenzake , kwa ss waislamu nabii wa mwisho ni Mohammad nahatokubalika nabii mwingine yeyote, Hamza alianza kutuletea Mambo hayo tulimpini down kwa hoja kashindwa
@adamfundikira16202 жыл бұрын
@@soccertv293 wewe ndio unajifanganya mwenyewe Kama ni nabii haikuhusu kaa na dini yako ya kukupeleka motoni
@franciscaaugustino43052 жыл бұрын
Huyu mtu alinitokaga toka enzi zile, hii siyo kauli Yake ya kuanza
@wilfredndalahwa15392 жыл бұрын
Hivi nani mwendawazimu anayemwita huyu mhuni nabii?dunia hii ina wahuni wengi,(kataa wahuni).
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wapo wengi tu
@lilyrose79832 жыл бұрын
Nakataa wahuni😂😂😂
@joelyjoely78272 жыл бұрын
TUBU KWANZA SIFA BAADAE SAUT YAKO NITOFAUT ILESAUT ILIKUWA NIWW NA VIDEO NIWW SOMA ZABULI 51 NAUNACHOJIDAIA UASKAL WA BABA YAKO UKEPATA AZABU KAMA MBOWE JAMAAYAKO
@zahranomar85232 жыл бұрын
Kwa sasa waumini washamkataa huyu jamaa..na amechoka na matusi yet Hadi akazima coment
@errydeo88652 жыл бұрын
Eti nabii..nabii my arse..
@josephmuchiri31802 жыл бұрын
Fala ww
@madamloveness72742 жыл бұрын
Huyu ni mganga wa kienyeji tu maana ana mambo ya ajabu Sana
@miltonmachage24622 жыл бұрын
Ningekuwa nakaa mtaa mmoja na ww ningeyakata mashavu yakoo yan leo unakana maneno ulioongea wee boya nn ,,
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hahaha
@mosesjackson_tz2 жыл бұрын
jamaa ana utani wewe
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Nabiii misifa acha unausomi gani wewe
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Hata unabii huna
@felisterjames97702 жыл бұрын
Lusifa Yuko kutapatapa
@frankcharles24832 жыл бұрын
Nabii gani huyu mbwa kabisa tapeli wa kiroho subiri wakati wako ukifika mumgu atakuonyesha
@Commentsplus2 жыл бұрын
Eti kanatembea na kiki
@stevemwakisimba59862 жыл бұрын
Huyu kijana ni mpumbavu sana na anataka kutufanya nasisi wapumbavu
@babafranco33662 жыл бұрын
Anaongea anaona aibu mwenyewe
@joshuamatagane13182 жыл бұрын
Haka kajamaa bwana....katapeli tu
@mkalimala35642 жыл бұрын
NABII KAWA YESU ANABAKI JINS TUPU...???!!¡¡
@Commentsplus2 жыл бұрын
Yani utamke wewe afu akosee edita TCRA pilz naona kosa hapo anawatoa akili kijana eti hamkusoma mi simooooooo
@mbwanakiting71802 жыл бұрын
Shetani anajitetea
@dianamdaku98022 жыл бұрын
😂😂😂na mbichwa huo!! Hebu tutolee upuuz wako😏
@devotamsemwa77342 жыл бұрын
Wewe ni ajenti wa shetan tu hata ukikata kripu zako zinakufunga uliongea live halafu unajifanya hukuongea hata hilo kanisa lako lifungwe tu fanya mambo mengine wewe ni sawa na walevi wengine huna hata hofu ya mungu ila jua tu mungu hajalala lazima atashughulika na wewe.
@liesharehema51932 жыл бұрын
Yaani huyu mimi nikisimama nae kwenye mambo ya unabii namshinda kabisa huyu nishetani tutawajua kwa matendo yao hawawezi kujificha maana nyakati zilizotabiliwa ndizo hizi tutawajua kwa matendo yao
@zaharamlau88172 жыл бұрын
Boya wewe
@jifunzekuhusuwewe74752 жыл бұрын
Mpuuzi huyu anaongea nini,
@aminahassan45232 жыл бұрын
Wewee ni mpumbavu
@vailettarimo45452 жыл бұрын
Acha upuuzi wewe tushakuchoka
@dominickjohn11282 жыл бұрын
Wew ni kenge peleka kende zako huko,ni kweli ulisema na usituchanganye danganya waumin wako
@Commentsplus2 жыл бұрын
Eti chumviiiii
@maulidmkessa41712 жыл бұрын
Bibilia Haina mwenyewe ndio maana kila kuicha utasikia leo huyu nabii kesho vivyo hvyo mara mtume leo mtu ameoteshwa .Vituko @siku Uisilam ndyo kweli