Poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na washirika wote katika BWANA,Bwana alitoa Bwana ametwaa.Jina la Bwana litukuzwe Daima.Amen!
@VumiliaWilson28 күн бұрын
Pumzika Kwa amani Pastor. Mungu awafariji family yote.
@albertmlay834229 күн бұрын
Poleni sana familia Elisha aliekufa ktk ugonjwa wake Kwa hiyo tujilinde na dhihaka mtumishi amepumzika
@salometabu10029 күн бұрын
Pole sana kwa familia kwani mpaka ukifika huwezi kuuvuka. Hivyo Mungu akawe faraja kwao
@groryjackson4486Ай бұрын
Poleni sana , tunamwombea mtumishi wa Mungu pumziko la amani
@GraceKazi-z8dАй бұрын
Acheni zihaka kwenye issue ya kifo! Kaeni mkijua kifo kipo kwa kila mtu! Hata awe nani kifo lzma kimkute. Hakuna kitu kinachoweza kuzuia kifo ,kama Mungu ameamua lzma litimie. R.i.p Mtumishi wa Mungu
@MoosaMd-h6bАй бұрын
Hili limeniumiza sana. Bwana ametoa na ametwaa jina la Bwana libarikiwe amen 🙏.
@PeterKandonga-bj3vdАй бұрын
Tuache dhihaka kifo kipo kama wakati umefika tumwombee kwa mungu apumzike kwa amani
@tegemeakyangenyenka6111Ай бұрын
Mungu akiamua hakuna wakuzuia, sisi some njia moja,poleni sana
@RoseKayolaАй бұрын
Pole wafiwa wote.Mungu ampumzishe marehemu pema peponi
@Georgia-l6rАй бұрын
Mtume Paulo ariponya watu lakini yeye akupona tumbo lake mpaka mwisho wa maisha yake
@AbisinaRashidi-c8dАй бұрын
Poleni wanafamilia na wasambaa wenzangu mungu amlaze mahali pema peponi
@EstherJerald-tc6ct29 күн бұрын
Mungu alitoa na Mungu ametwaa kazi zake hazina kipingamizi Hata uombeer vipi muda ukifika unaonaondoka tuuu rip
@janemarymilemberutahoile7210Ай бұрын
Pumzika kwa Amani Mimi nakumbuka alimwombea Mjukuu wetu pale Aghakhan Mtoto alikuwa ICU baada ya kumuombea mtoto alitolewa ICU Askofu Jonathan
@cliffdenis14429 күн бұрын
Naikubali sana hekima ya baba dastani
@wilfredyhumphrey918Ай бұрын
MUNGU nifundishe kunyamaza tusipende sana kuwa wepesi wakufungua vinywa kupigana na wapakwa mafuta wa BWANA nawashauri tu
@HellenDennis-bq7ovАй бұрын
Amen
@angelanaftael7965Ай бұрын
Pole family ya ndg yetu..ila kuna foot of thought... waumini be ware
@desderianziku305928 күн бұрын
Poleni bwana yesu awatie nguvu kwetu sisi tuliookoka kufa ni faida kuishi ni kristo
@EricUbalijoro-x1lАй бұрын
Pumzika kwa Amani mpendwa wetu mwendo umeumaliza imani umeilinda
@HellenDennis-bq7ovАй бұрын
Kazi umeipiga mwendo umeumaliza pumzika kwa amani pastor Jonathan
@josephkamanziАй бұрын
Pole sana wapendwa
@annachristersimonАй бұрын
Hakupata Neema yakupokea uponyaji kutoka kwa mtume. Kila jambo namajira yake. Mtume uishiiii🎉
@GeorgeGiga-fo1xrАй бұрын
Mbona Elisha aliwaponya wagonjwa weng lakini yeye alikufa kwa ugonjwa muda ukifika unaondoka tu
@HalimaEmanuel-tr6cdАй бұрын
Pumuzika Kwa aman baba etu mpendwa amen
@DesderiusRwabuhaya-w6g27 күн бұрын
Mtumishi pumuzika kwa amani
@ChristineElias-bn4dwАй бұрын
Poleni xn wapendwa
@roselyimo8024Ай бұрын
Olewako were unayejadili mamboya mungu tubu mara mmoja
@Registon-ed8syАй бұрын
Ukweli lazima usemwe tu ndugu😂😂😂
@jothamkibona2919Ай бұрын
Jina la Bwana lihimidiwe
@matildasaul9369Ай бұрын
Poleni sana
@magrethmathayo2800Ай бұрын
huyo janabi si daktari wa moyo au sielewi 😢😢😢😢
@asteriashios1852Ай бұрын
Kifo ni fimbo na Kila mtu atakufa tujue Hilo tuu Cha msingi Kila mtu ajiweke tayari ili tukutane huko juu mbanguni
@sophiaselemani2474Ай бұрын
Ila janabi😆😆
@gmmassawegilbertАй бұрын
Mungu ni Mungu hata kama hajajibu kama tunavyoomba.Pole kwa familia na Kanisa.
@Stellastella-yi5vuАй бұрын
Kila mtu prof Janabi kwani hawapo wengine au ndo kumpa promotion
@shuwehaharuna630929 күн бұрын
Ngwajima kwann hujaungana na mwamposa mumfufue si mnajiita nyie wakweeli
@OdethaEligiusАй бұрын
Tusilaumu penye hakuna mungu ametwa jina Lake lihimidiwe
@arafaally289529 күн бұрын
Wale wagonjwa wa cancer muendelee kwenda hospital.
@RoseKayolaАй бұрын
Wangempaka mafuta au kumywesha angepona labda Mwamposa alisahau kumpaka
@felicianvictor8223Ай бұрын
Atakuja kukupaka wewe usife
@EricUbalijoro-x1lАй бұрын
Kichwa maji tutolee maneno yako ya kejeli nani kakwambia kuna upako wa kuzuwia kifo siku ikifika hakuna wa kuzuwia
@khambhai36028 күн бұрын
😂😂😂😂
@RosemaryMalyaАй бұрын
Shukrani ya kwanza ni Kwa mwenyezi Mungu Kwa Zawadi ya Baba Yenu. Pumzika Kwa amani 😢🙏
@roseirungu919329 күн бұрын
Rest in peace till we meat again
@GideonJackson-bq2lg29 күн бұрын
Upumzike ulipopaandaa wakati wa uhai wako baba
@BlandinaMindiwiri29 күн бұрын
R.I.P
@RoseKayolaАй бұрын
Angelishwa Cake angepona😅
@mgayan1222Ай бұрын
Dada Rose🌹 umeamua kuongea kama yule mwizi pale msalabani🙌aliyekuwa amesulubiwa pamoja na Bwana wetu Yesu Kristo. Naamini Umenielewa. LAKINI kama hujaelewa bhasi heshimu amri ya Mungu kwamba KILA NAFSI ITAONJA MAUTI
@EricUbalijoro-x1lАй бұрын
Keki utalishwa wewe au wazazi wako siku mkiwa mnakaribia kufa ili msife muishi milele
@ambroseemiliАй бұрын
Mungu akuremu mtumishi wake apumzike kwa amani
@FatmaHalfan-w3lАй бұрын
Ndo walokole mshtuke mnapigwa pesa tu mwenzenu mchungaji ana kua tajiri mbona kashindwa kumponyesha msaidizi wake.mtegemeeni mungu tu sio mwanadamu kila amtegemeae mwanadamu ameangamia
@FrolenceRogath-fv6kuАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@LeticiaJoseph-hq5rkАй бұрын
Kama mambo ya walokole huyaelew yaache naufunge domo lako watu wapo kweny majonz unaandik vitu vyaajab
@HellenDennis-bq7ovАй бұрын
HUJUI unachoongea acha tu utakosea na ujue sii mtu anaponya kama wakati wako ukifika hakuna kitakachozuia ipo siku utakiri kuwa huyu ni mtumishi wa MUNGU
@verombwambo3703Ай бұрын
Kila nafasi itaonja mauti na Ili ufe Kuna njia lazima upite.wewe unayesema mwamposa angemponya unakosea sana Mungu ndie anaponya kupitia kwa mtumishi wake mwamposa.
@FatmaHalfan-w3lАй бұрын
@@LeticiaJoseph-hq5rk hahahaha 🤣🤣🤣 pole
@edithafrancis847Ай бұрын
RIP Jonathan pastor 😭😭
@janethismail5946Ай бұрын
Baba pumzika kwa amani
@huldamichael444529 күн бұрын
Aliugua nini?moyo au ni shida gani???
@FatmaHalfan-w3l28 күн бұрын
@@huldamichael4445 cancer ya ubongo
@BahatiJohn-y5jАй бұрын
Polen sana family na watoto mungu awalinde sn amen😂😂😂😂😂😂😂
@jacklinehatungimana1730Ай бұрын
Pumuzika baba tutagukumbuka dayima
@NeemaEnzi-ei1ywАй бұрын
Wote mnaohukumu amjui mlitendalo
@JosephMzipilaАй бұрын
Watamalizana mafanikio ya haraka yanawaponza, hao wanaojiunga nao hawawajui?
@fransiscahenry3968Ай бұрын
RIP
@OCTAVIANSINZOАй бұрын
RIP lakin Mwamposa kwann hukumuombea ili kumuondoa hyo kansa?
@MtanganyikaTanganyikaАй бұрын
Kaka hilo nalo neno au hakuna na imani
@exprodigitaltechtv5571Ай бұрын
Hana huo uwezo zaid ya kuwapiga maskin hela zao
@wemaMichael-fr4thАй бұрын
mbona hawakutaja ugomjwa hiyo kansa wewe umeipata wapi
@TasainaАй бұрын
Kwani yes hakufa na alikuwa mungu and kama wewe mwisilamu u know
@TasainaАй бұрын
@@exprodigitaltechtv5571my dia..mungu akusameehe but mambo mengine kuepuka rahana jifunze kunyamaza