HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI 'MTATA' wa MWALIMU NYERERE - MATAMSHI YAKE YAZUA MANENO MENGI

  Рет қаралды 112,478

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HUYU NDIYE DK BASHIRU: MSOMI na MFUASI 'MTATA' wa MWALIMU NYERERE - MATAMSHI YAKE YAZUA MANENO MENGI
Machi 31, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya safu ya utawala wake mara tu baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Hayati Dk John Pombe Magufuli aliyetangulia Mbeya haki siku ile ya Machi 17, 2021.
Siku hiyo Rais Samia alifanya teuzi; alimteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya Dk Philip Mpango ambaye siku hiyohiyo aliapishwa kuwa Makamu wa Rais.
Kisha alimteua aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru Ally Kakurwa kuwa Mbunge wa Kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kabla ya hapo, uteuzi wa Dk Bashiru kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi uliofanywa na Hayati Magufuli haukutarajiwa na ulizua maneno mengi, lakini wengi waliamini anaweza kuitumikia vyema nafasi hiyo kabla ya kuondolewa na Rais Samia na kubaki kuwa Mbunge wa Kuteuliwa na Rais ambaye ana nafasi kumi za kuteua wabunge kikatiba.
Kwa nini Dk Bashiru anazungumzwa sasa? Ni kwa sababu katika Mkutano wa 10 wa Bunge linaloendelea jijini Dodoma ametoa hoja iliyoibua mjadala mzito.
Dk Bashiru amezungumzia mfumko wa bei akisema ‘njaa’ inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi na inatweza utu wa binadamu.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 153
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@kichwachafamilia
@kichwachafamilia Жыл бұрын
Wakwanza jmn like zangu kwa mwamba mtata 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@geofreykalo
@geofreykalo Жыл бұрын
Yuko vizur sana
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Nampenda sana Bashiru sana tu! Namuomba Mungu 2025 achukue form huyu ni Rais wang ajaye! Niko radhi anioe hata mke wa pili, yaan namkubali mno!!!
@samhadas788
@samhadas788 Жыл бұрын
Mungu akulinde
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Dr Bashiru keep your head high.Tunakupenda
@josephatmasawe5924
@josephatmasawe5924 Жыл бұрын
Moja kati ya walimu wangu bora sana.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Hiyi Global TV izingatiwe kua miongoni mwa TV bora sana Za online. Maana habari zenu zina tija kwa jami. Ongereni sana.
@iddyngaiwa
@iddyngaiwa Жыл бұрын
Bashilu nakuelewa sana
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Kiongozi mkweli na wa kweli.. Mwl J Nyerere na hayati Dr Magufuli wakiungana na kumuibua jemedari Dr Bashiru Ally.
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Жыл бұрын
Huyu ni aina ya Kiongozi ambaye ni sura ya Nyerere au Magufuli ila kuna hapendwi kutokana na msimamo wake madhubuti Tunamwombea Mungu iko siku Watanzania tutafanikiwa kumpata huyu Kiongozi Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika
@habibumohamed1543
@habibumohamed1543 Жыл бұрын
Naona ni kiongozi mzurii Sana Bashiru hasa katika kuifanya serikali iwe makini katika kutekeleza wajibu wake kikamilifu Anafaa Sana Bashiru nasimama katika kuamini Hilo kuwa Bashiru ni kiongozi sahihi Sana, hakosoi serikali Kwa Nia mbaya au Kwa kuichukia Bali ni katika kuiweka serikali makini
@Noricssa
@Noricssa Жыл бұрын
Ninampenda huyu baba jmn uwiiii😭 Mungu wetu mtu huyu anatufaa saaana wapenda haki
@winfredmgindo3268
@winfredmgindo3268 Жыл бұрын
Mungu ambariki sana huyu kijana! Msemakweli ni mpenzi wa Mungu! Kazi ya binge sio kusifu Bali ni kuangalia namna ya kuleta maendeleo
@czmediaconsultant5640
@czmediaconsultant5640 Жыл бұрын
Kwa Tanzania 🇹🇿 ndiye pekee ambaye ana sifa ya kuiokoa Tanzania 🇹🇿, nje ya hapo taifa litakuwa linatania tu,kama nchi tunataka uimara wa nchi yetu basi wale watoto wa vigogo waachane nao,huyu pekee
@oliviahill7891
@oliviahill7891 Жыл бұрын
✅✅👏👏👌🏿
@roviykamage5423
@roviykamage5423 Жыл бұрын
Nampenda sna huyu shujaa sana . Na mtu kweli
@emmanuelrupaki4505
@emmanuelrupaki4505 Жыл бұрын
Bashiru na Pole pole wote hao 2 ni majambazi wa kisiasa na wanafiki wakubwa. Watakumbukwa Kwa jinsi walivyotekeleza Sasa za jibabe za nwendazake
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Bashiru ccm inamuogopa as simple as that 😊😊😊😊
@williamchina6355
@williamchina6355 Жыл бұрын
Bashiru Ndio Mzarendo Tunaemuona Kwa Sasa Ukweli Tupo na Hali Ngumu mno
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 10 ай бұрын
huyo nae hakuwa muadilifu.
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 Жыл бұрын
Namkubari mwambaa
@barnaba3037
@barnaba3037 Жыл бұрын
Dr Bashiru ni mwamba huyu hapaaaaa! Oya huyu ni mtu kazi sio poa
@jadilimasambo2575
@jadilimasambo2575 Жыл бұрын
Wewe..ndio unasema ukweli wote...ila watakutafuta wenzako
@charlestimoses2211
@charlestimoses2211 Жыл бұрын
yupo sahihi kabisa ni mwiba mwingine
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Жыл бұрын
Bashiru siyo "Mnataka" ni mtu mwenye akili nyingi mkweli anayesimamia ukweli na Imani kwa anayoyasema. Viongozi wa CCM walioko madarakani wanamhofia kwa kuwakemea na kuwaambia ukweli. Madudu mengi sana kwa sasa nchini,wananchi wanaomboleza.
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 Жыл бұрын
Kwa nini ukweli huo hskuusema wakati ile wa mateso?
@mrjaula7769
@mrjaula7769 Жыл бұрын
Jamaa maoni yupo vyema Sana Magufuli sijui akitaka amuweke Nani
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Жыл бұрын
Za chini chini angemrithi kiti Cha uraisi
@jorammasoro3536
@jorammasoro3536 Жыл бұрын
waiting to learn something.
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali Sana anamisimamo balaa tangu nyumbani ni no a Sana amenifundisha mengi
@emmanuelrutaihwa6545
@emmanuelrutaihwa6545 Жыл бұрын
Mpo vizuri kwa kuhabarisha
@NenoTV1
@NenoTV1 Жыл бұрын
Barikiwa sana.
@jeremiaholesingooi3940
@jeremiaholesingooi3940 Жыл бұрын
Shida ya CCM mkiambiwa ukweli mnachukui juu viongozi wengi wa CCM wanapamba serikali
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Huyu jamaa anataka kufanana na Ruto wa Kenya
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kabisa!
@MustaphaKiluke
@MustaphaKiluke 6 ай бұрын
Mjamaa Bashiru Ally namkubali sana
@benjaminmpandangazi
@benjaminmpandangazi Жыл бұрын
Mungu Akulinde
@muhiyidinishabani
@muhiyidinishabani 10 ай бұрын
Bashiru yupo vizuri
@nashonmwagito4873
@nashonmwagito4873 Жыл бұрын
Yupo vizuri
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Dr Bashiru Uko sawa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Wapili hapa naingoja hiyo
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 Жыл бұрын
Kikwete Tunakushukuru Kwa mda wako Asante tuache tutafute viongozi wetu
@geofreykalo
@geofreykalo Жыл бұрын
Kikwete kasema haoni mtu wa kuchukua fomu 2025 hivi Yuko sahihi?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@geofreykalo Kwa mujibu wa taratibu zao CCM kiongozi anapokuwa madarakani hatakiwi kupingwa mpaka amalize miaka 10 ili kuepusha mgongano! Nadhani ndiko JK aliposimamia
@tadeishirima717
@tadeishirima717 10 ай бұрын
Dr Bashiru anasifa zote za uongozi Ccm bado hatujamjua wapinzani wamemjua ni mpole na msomi aliyebobea anasifa za kutosha Mungu alimnde
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Mjamaa aliyebaki
@athumanadam954
@athumanadam954 10 ай бұрын
Kiukweli huyu anafaa sna katika ustawi wa nnchi yetu mungu awaongoze walioko kumpa nafac
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Bashiru mwamba kwelikweli
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Dr. Bashiru kaa ndani ya ccm ikosoe, wape ukweli juu ya udhaifu wao.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Rais wetu ajaye 2025
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 tunatakiwa kuwa na kiongozi Kama huyu Bashiru is the best
@allankimaro4327
@allankimaro4327 Жыл бұрын
My best leader of all time after John magufuli....
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Ccm lazima tumrudishe Bashiru Ally ndani ya system za juu
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Dr keep it up
@bekabakari7394
@bekabakari7394 10 ай бұрын
Mbegu alizo zipanda magufuli Lazıma zitaota kwani zimepaliliwa Na mbolea bora Rip Magu
@mboneamshana9080
@mboneamshana9080 10 ай бұрын
Bashiri tunakuombea Mungu akulinde akupe afya njema wewe ni kipenzi cha wanyonge
@J4UPro
@J4UPro Жыл бұрын
Huyu mwamba anamkubali sana.
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Yuko sawa mambo ya kusifia kwenye hakuna kisa wachumia tumbo si sawa acha aseme na chama cha ccm hakitakuwepo kimedharaulika kweli tutakufa na njaa kweli
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Mzalendo Na mchapakazi Shijaaa SIMBA Ni Bashiru 2025
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 Жыл бұрын
real pillar
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Mzalendo wa kweli Bashiru
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Yani nimekuja jikuta namfatilia bashiru hata sielewi Kwa nini
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Huyu ni chawa Hanalolote mshamba tu,amuache mama afanyekazi ya kulijenga taifa
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
@@salehesalehe2967 kwaiyo mmekutana machawa wawili 🤣🤣
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
@@salehesalehe2967 huyu kiboko cha samia
@eutychusthiongo1335
@eutychusthiongo1335 Ай бұрын
Tupeni huyu ndugu wa Tanzania aje asafishe siasa zetu Nairobi
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Mungu akulinde ni wewe tu uliyebaki kuiletea heshima Tanzania
@babajohn8308
@babajohn8308 Жыл бұрын
Ukute badae anakua Rais sijui watu watajifcha wapi
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Raisi ajae 2025
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
DR BASHIRU SHUJAA WETU
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Yeah wa Pumbafu 😊😊
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Albashiru is the polition who suppose to be prime minister not position ccm use albashiru as the voice on low classes capacity of high volume on gavment albashiru is not pasornol can be undermine vary lteligence polition vary educated polition not only educated polition but vary lteligence polition this is what ccm they have to know value of albashiru
@ley688
@ley688 Жыл бұрын
Ebu ncheke wa tatu hapa
@damianichayo895
@damianichayo895 Жыл бұрын
Acheni unafiki wa kupenda tu bila kuona nani mkweli. Bashiru msimamo wake hautifautiani na JPM kwamba ukiwa CCM na unaharibu atakuacha. Sifa zao ni yeyote mzalendo ama nje ya CCM au ndani ya CCM.
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Жыл бұрын
Sukuma gang wanateseka sana, wangekuwa na uwezo wangemrudisha mungu wao
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Жыл бұрын
awe sukuma gang au laa! anauelewa ,na si mnafiki,ila wasomwelewa na wasiojielewa wanamtafsiri vibaya.kwani anayesifiwa ni samia tu?
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 Жыл бұрын
CUF?
@josephgervas5308
@josephgervas5308 Жыл бұрын
Bashiru mwamba anafaa kuwa rais ajae
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kabisa, Ila watu wa hivi huwa hawapendwi sana
@roviykamage5423
@roviykamage5423 Жыл бұрын
Aje kua mtawala wetu siku za uson anaweza
@henricomuhoja3368
@henricomuhoja3368 Жыл бұрын
Dr.Bashiru ndiye wa pekee uliyebaki Mwenye Msimamo,Tunakupenda Sana Watanzania
@manasemeta4668
@manasemeta4668 Жыл бұрын
VIP gro chetu mp Cruz VII
@johnmangaga4949
@johnmangaga4949 Жыл бұрын
Huyu NDIYE anafaa kbsa' kuwa kiongozi mkuu WA NCH kama tunataka maendeleo!; Siyo hawa wanaopenda kusifu Kila kitu HATA kitu hakistahili kufanya HiVYO!;
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Tulia mwalimu Bashiru ujilie vyako kaka maisha yenyewe mafupi
@janerosesolomon832
@janerosesolomon832 10 ай бұрын
pambana kaka kakurwa usiache
@kamugishajacob3014
@kamugishajacob3014 Жыл бұрын
umemfafanua vizuri miminaongeza kusema bashiru hajawai kujivunjia heshima wala kuvuruga kakuru ni mpambanaji shujaa toka utotoni mwake kila anapoeda ushika nafasi za juu kuanzia shule hata timu za mpira kila timu iliyokuwa na bashiru ilishika nafasi ya kwanza
@MasoudMgassa
@MasoudMgassa 10 ай бұрын
Kaka yangu Bashiru ipo siku Dunia itakuzungumza kuhusu wewe Kila neno lako linanipa kusisimka mwili
@adamzakaria5860
@adamzakaria5860 Жыл бұрын
aongee tu ukweliii na ukwelii unakatiliwa lkn badae watagundua
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Global ni ya Sukuma gang.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
My foot
@ezekielchaz
@ezekielchaz Жыл бұрын
Kusifu na kushukuru kwa haki yenu cyosaw mwamb bashiru
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Ajitokeze bila kuogopa.....kugombea urais kupitia chama chochote .. Wajamaa wote tuungane tukomboe nchi toka Kwa ubepari uliopo....
@filibertmassao1252
@filibertmassao1252 Жыл бұрын
Shenzi, channel mavi. Dr ameongea tumemsikia. Huyo anayerudia alichokisema anajua bei za mbs?
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Diiii
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Жыл бұрын
Jembe
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Жыл бұрын
Mwizi tu
@reahwillisonmwasenga7805
@reahwillisonmwasenga7805 4 ай бұрын
Tumezoea kizuri hakidumu wasiojulikana wasije mdhuru
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 Жыл бұрын
Sasa huo wosia vpp??, kwani mwendo ashaumaliza?
@shabandamas1759
@shabandamas1759 Жыл бұрын
Huyu mwamba wangempa uprofessor tu.
@adamskainga6056
@adamskainga6056 Жыл бұрын
Hivi bunge ya tz inakaa kichinjio
@franciskasembele5938
@franciskasembele5938 Жыл бұрын
Nikweli kwakweli watu wanaumia sana snaw tu.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Albashiru is educate polition Sometimes albashiru use his education for benefits ccm but ccm rooling same of members who think albashiru is agast ccm Wich is not but political with no check and balance outcome part goes on Rong darection this is what ccm rooling part they have to understand who is albashiru and valeu his education in politics
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Bashiru yuko sahihi samia ameshindwa kabisa kuongonza nchi tumemuchoka na matozo yake
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Жыл бұрын
Hama nchi
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@reubenbushiri1753 thanks
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Watu kama Dr Bashiru Ali wapo tunawapenda shida yenu watanzania hatuna ujasiri was kuwatetea kusimama nao na kuwalinda wanapo hujumiwa na mfumo tunaacha wapambane wenyewe ndio maana na wao husita kuendelea na misimamo yao inawabidi watulie tuli. Majasiri wema kama hawa wangejua umma uko nyuma yao angesimama imara
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
Ni kweli sana
@bongomastory791
@bongomastory791 Жыл бұрын
Nikikumbuka Bashiru kabla ya kuteuliwa alipokuwa anatoa hoja zenye kusisimua na kujenga Ila baada ya kuteuliwa akageuka shetani
@lameckmmbaga7605
@lameckmmbaga7605 Жыл бұрын
Tumeona viongozi wasiasa wanafiki Makufuli alopokuwepo huyu ndiye alipokufa hakufaa leo mama anaupinga mwi hi hakuna mzalendo hapa
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Amesema acheni kusifia anataka waangalie mambo ya wananchi
@thestar_tz
@thestar_tz Жыл бұрын
Mbona huyu ni Mwl nyerere kabisa???. Nimeingia kwa undani kwenye uwepo wa huyu jamaa. Nimemuona mwl nyerere
@furahafrank8267
@furahafrank8267 Жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana.
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Жыл бұрын
Kwa lipi,lakini Kila mtu na mtazamo wake
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
@@reubenbushiri1753 huyu ni kiongozi bwana watu kama nyie hata kwetu mupo
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Жыл бұрын
Vema mgekuwa mnaweka na jinsi ya kuwasiliana na watu maarufu kama huyu, email au/na cmu yake. DYAMVUNYE DSM.
@amosmichael8986
@amosmichael8986 Жыл бұрын
Mwamba anajua
@mussamsawilah2762
@mussamsawilah2762 Жыл бұрын
Wasomi kwa hi inchi uwaawapewi nafas za kuongoza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Unataka wapewe nafasi gani tena, wakati mawaziri kadhaa na wabunge Wana PHD
@yassinmuamba2526
@yassinmuamba2526 Жыл бұрын
Mwamba huyo hapo tandandaa
@sabraham5308
@sabraham5308 Жыл бұрын
Huyu si mfuasi katika sukuma gang?
@musakihama7205
@musakihama7205 Жыл бұрын
Acha ufala.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Huyu naye ni jiwe kama J.P.M wazee wa kulakula wanamuogopa
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Mjinga Wewe, mbona kipindi Cha dictator John pombe magufuli ulikuwa unasifu mpaka ujinga ?.
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Kiongoziyoyote. CCM ikimufia.mikononimwake huyo atakuwakiongozi wakarune kwakuwa CCM nivyama vichachesana hapaDuniavikongwe ambavyobadoviko madarakani .
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 21 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 21 МЛН