ODEMBA vs KAMANDA MULIRO - ''KAZI IMEKUSHINDA - KWANINI WATU WANAPOTEA? MMESHINDWA KUDHIBITI?''...

  Рет қаралды 15,085

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@TeodoriLussona
@TeodoriLussona 2 ай бұрын
Si vizuri
@joachimnguma6812
@joachimnguma6812 2 ай бұрын
Mtangazaji odemba big up kwako sana
@eddykatamba1008
@eddykatamba1008 Ай бұрын
Safi kamanda
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 ай бұрын
Kamanda upo vzur sana japo muangalie vzur yasemwayo yapoooo😢🎉😢🎉
@obednyagani506
@obednyagani506 2 ай бұрын
Odemba fire🎉🎉🎉🎉🎉
@RichardMsema-e1c
@RichardMsema-e1c 2 ай бұрын
Big up ODEMBA
@raphaelonyango703
@raphaelonyango703 2 ай бұрын
Jeshi la polisi Tanzania tafuteni jinsi ya investigation. mnavyo pelelezi ni kizamani sana,tafuteni vyuo vya mipango hii ya upelelezi twende na wakati mnavyotaka tutumie gas kupikia😂😅😅siyo kumtazama mtu machoni na kumtuhumu bila uhakika kwamba ni muuaji
@samidquiz6316
@samidquiz6316 2 ай бұрын
Odemba anakuja kwa kasi sana
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Wala haji vizuri ni kiburi kimemjaaa Alafu hapendi kumpa nafasi mjibu swali
@joachimnguma6812
@joachimnguma6812 2 ай бұрын
Odemba yuko vizur sana
@TeodoriLussona
@TeodoriLussona 2 ай бұрын
Bado hujajibu swali
@EnosKuzenza
@EnosKuzenza 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂Tulimuokoa
@mdendejr5844
@mdendejr5844 2 ай бұрын
Jibu swali Mzee acha tantalila😮
@hopemanrevocatus1472
@hopemanrevocatus1472 2 ай бұрын
Jeshi la Polisi linakiri watu kupotea Rais anasema ni viji drama drama tu
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 2 ай бұрын
Kua kiongozi mwana mke ni kosa kubwa sana na nchi imemshinda ebu angalia kamanda uyu anaguvu kubwa lakn anaongea kitu ambacho kina mashiko sio rais rais aongea kwa kumtumia mamraka vibaya kwa kufikilia ayupo mtu wa kumfanya chchte
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 2 ай бұрын
Kwan husem ukwer mtanzania so mjinga we mwenyew nimhusika na hunataluma yoyot hapo ulipo
@allywaziry6419
@allywaziry6419 2 ай бұрын
Huyu kamanda yuko fresh sana ktk Kujibu mambo...
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 ай бұрын
Siku yakikukuta ndo utajuwa kuwa yupo fresh au mtindi ndigiri wee
@RichardMsema-e1c
@RichardMsema-e1c 2 ай бұрын
Anakwepa kujibu maswali uhakika Iko wapi SS ni raia tunataka kuishi Kwa amani
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 2 ай бұрын
Hayo maswali mzee amepata taabu sana
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 ай бұрын
Jeshi la police kujichunguza ni uwongo kuwe na kitengo tofauti na jeshi la police chakufanya uchunguzi maana tunapoelekea ni kugumu sana TANZANIA
@IssaTayari
@IssaTayari 2 ай бұрын
Sema kamanda namkubl kwasababu siyo muoga ukimuita anakuja mshindane
@DerickEdson
@DerickEdson 2 ай бұрын
Tunaongozwa na watu wasio na taluma mung tusaidie
@RASHIDYSAIDY-o7v
@RASHIDYSAIDY-o7v 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@RamadhaniSalehe-o8t
@RamadhaniSalehe-o8t 2 ай бұрын
Mahojiano mazuri nimependa maswali odemba kauliza vizur sana ila big up kwa kamanda hakutoka mchezoni kakubali dosari na kujitahidi kujibu hoja kujitokeza kwenye public na kujadili mambo magumu ya taifa inatia moyo
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 ай бұрын
Odemba 😂😂😂😂😂😂 Swali Zuri Sana Hao washkaji ndiyo walio Mpeleka Police ?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 ай бұрын
Nape alipotolewa bastola mlipaswa kusema ni mtu wenu amemtolea polisi, cctv camera za issue ya tundulisu mlipaswa kutoa ufafanuzi
@zabronmshana3277
@zabronmshana3277 2 ай бұрын
Kamanda amekwepa maswali anchoulizwa sicho anachojibu
@TeodoriLussona
@TeodoriLussona 2 ай бұрын
Mmmmmh
@lazarojohn6256
@lazarojohn6256 2 ай бұрын
Police mwenyewe anahis kushambuliwa kihoja Yani mkali hana amani
@mwalukojohnjohn6467
@mwalukojohnjohn6467 2 ай бұрын
Waoneshen basi kamanda nchi itahalibika jama duuu 😢 😢
@Moosamly
@Moosamly 2 ай бұрын
SIMBA kumbe wanafanya matukio ya UTEKAJI 😂😂??
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Kamanda anazingua sana
@lembricesaravo3543
@lembricesaravo3543 2 ай бұрын
Na heshima hujengwa, Jeshi la police lijenge imani kwa wananchi. Kuna namna mmechafuliwa na hali ya sasa kwenye nchi yetu
@ShedrackmartinBalama
@ShedrackmartinBalama 2 ай бұрын
Duh 😢😢😢😢
@amoji126
@amoji126 2 ай бұрын
Kwanini mtu "akitekwa" sababu kubwa inakuwa uanachama wake? Mtu anaweza kuwa mwanaCCM or CHADEMA or chama chochote na nyuma ya pazia akawa na mambo machafu tu so hayo mambo yanaweza kuwa yalosababisha kutekwa so tusiingie kwenye kuhukumu ht km hatukubaliani na SERIKALI.
@abassjuma6248
@abassjuma6248 2 ай бұрын
Anakibu vizuri sana.Ila hawezi kukuridhisha wewe ambae unaajenda zako
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 2 ай бұрын
Umeona ee?!!! Chadema Wana gubu sana na wanadhani wao ndiyo wanaofikiri sawasawa?!!!
@bensonphilip9673
@bensonphilip9673 2 ай бұрын
​@@Sahlomon-jp4jr kuna tofauti ya chadema na haki ya kuishi
@ShaulizSeleman
@ShaulizSeleman 2 ай бұрын
​@@Sahlomon-jp4jrww zoba kweli , watu wanatekwa wanauliwa kweli , huyo Sativa humjui au , sio mnachangia mada tu wakt watu wanatekwa wanauliwa
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 2 ай бұрын
Mwandishi jifunze kuhoji watu mashuhuri, ukiuliza msubiri amalize hoja, sio unataka kumharibia uwasilishaji kwa jamii na kulazimisha kushinda mwandishi kuliko unaemhoji.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 ай бұрын
Acha uwoga ana umashuhuri gani mbona wakawaida sana
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 ай бұрын
Edemba ni kipaji kingine
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 ай бұрын
Jeshi la police limeshazeeka hawana mbinu za kufanya uchunguzi
@paulsamwel1281
@paulsamwel1281 2 ай бұрын
Tutamwajiri baba ako ama familia yako tako wewee😂😂
@ramahanijuma599
@ramahanijuma599 2 ай бұрын
Ikiwa kama nikiungo kahili kabisa na madhubuti kwanini mmeshindwa kuwakamata
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 ай бұрын
Hata huruma huna na watanzania,ngoja na mwanao atapotezwa
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n 2 ай бұрын
Ukiona mtu kapotea labda hajui njia
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 2 ай бұрын
Wewe kamanda ni muongo akina deusi nyinyi ndio mmewachukua acheni uingo.hao sio kuku ni binadamu
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 2 ай бұрын
Umeulizwa wakowap wakina soka unakwep kujib
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 ай бұрын
Mo alitekwa lkn kimya lisu kimya na uchaguz hamna
@SalahSalum
@SalahSalum 2 ай бұрын
Namkubak muliro yupo sawa kabisaa ila anaehoji ndo hajielewi anakili ndogo ya ufaham
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 ай бұрын
Wew Malaya ndo hujielewi odemba yuko vizur sana anapenda haki siyo chawa kama wew malaya
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
ODEMBA HUWA HUNA HESHIMA NA ADABU KWA WALIOKUZIDI UMLI SABABU UNAWAITA KAMA VILE UNALINGANA NAO UMLI HIVYO KUWA NA HESHIMA KWA WALIOKUZIDI UMLI
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 2 ай бұрын
Shanga umenvalishwa au umezivaa mwenyewe
@Moosamly
@Moosamly 2 ай бұрын
We KUKU acha ujinga
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
SHA​@@alexmalyango1405SHANGA UMEZIVAA WEWE USIEJUWA ALAMA ZA NYAKATI
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
​@@MoosamlyHAIYA WEWE BSTA UNAEKUNYA HOVYO HOVYO HUNA UNALOLIJUWA
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
@@Moosamly BATA WACHA UPUUZI USIJE WAKAKUNANILIU SHAURI LAKO
@peter3970
@peter3970 2 ай бұрын
Kaz ya police siyo kuchunguza bali ni kulinda na kuzuia uhalifu.. Mzazi wako hawez kukuulza swal kwann mbuz wamepotea ukamjibu nilikuwa nachunguza chanzo chakupotea. wakat kazi yako ni kuchunga syo kutafuta mbuz waliopotea
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 ай бұрын
Wanasema jeshi la police ndiyo wamemuokoa je walijuaje yupo huko?
@amoji126
@amoji126 2 ай бұрын
Uchunguzi.
@abassjuma6248
@abassjuma6248 2 ай бұрын
Mwandishi wenyewe ametumwa
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 ай бұрын
Nyie ndo msiye julikana sio!?ipo siku yenu mtajulikana na tutamalizana na nyie endeleeni kuteteani tu!
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 2 ай бұрын
Hapa ndipo wazungu wanapojidanganya kwa kuandaa uhalifu afrika na kutaka watoe hukumu wao kwa waafrika
@GwakisaAngetile
@GwakisaAngetile 2 ай бұрын
HAMNA KITYU HUMOO UNAULIZWA MASWALII MAGUMUU AFUU UNAJIBIWA MAJIBU MARAHIS NAYASIYO NA MANTIK
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 2 ай бұрын
Mnajua mnachokifanya
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 2 ай бұрын
Eti washkaji kwaio washkaji si wapo au unaropoka tu?
@peterjohnedward7154
@peterjohnedward7154 2 ай бұрын
Odemba wwe n hatar
@oswinimlambalamba4158
@oswinimlambalamba4158 2 ай бұрын
Kama Unasikiliza Vzr Nä Maelezo Ya Kamanda Utagundua Nn Kipo Nyuma Ya Pazia
@abassjuma6248
@abassjuma6248 2 ай бұрын
Msomeshe huyo muandishi
@MriceeTZA
@MriceeTZA 2 ай бұрын
Sasa maik anapiga maik imefanyaje
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 2 ай бұрын
Odemba jiangalieni utapotezwa
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 2 ай бұрын
police mpo Sasa hihi kabisa pigeni kazi zenu uyo alie kuoji kaja maswali ya kutumwa mbona ajaoji watoto kubakwa mashuleni wanawachukulia hatua gani anae bakwa hakizake nini ayo ndo maswali
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 2 ай бұрын
Jipange na wewe uende Sasa pengine amesahau we veep
@abassjuma6248
@abassjuma6248 2 ай бұрын
Kamanda wafundishe hao wanaotumiwa na Chadema
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 ай бұрын
Kweli wewe bumunda Sana maswali ya msingi Hayo
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 ай бұрын
Hivi wee unaishi kuzimu au duniani!hacha uchoko basi kwenye vitu vya msingi sawa wee shoga
@ShaulizSeleman
@ShaulizSeleman 2 ай бұрын
DARASA LA 4 WW HUNA AKILI, VUA CHUPI KAA PALE 👉
@Moosamly
@Moosamly 2 ай бұрын
Jina lenyewe ABASS JUMA
@mdendejr5844
@mdendejr5844 2 ай бұрын
Jibu swali Mzee acha tantalila😮
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Kamanda Muliro: 'Sisi Polisi Ndiyo Tuliyomuokoa Sativa'
11:51
The Chanzo
Рет қаралды 15 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Eksklusif: Prabowo Subianto Bicara | Mata Najwa
1:49:52
Najwa Shihab
Рет қаралды 23 МЛН
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 156 М.