MFAHAMU HANS POPPE: BABA YAKE ALIUAWA, AKATAKA KUPINDUA NCHI, ALIANZISHA TIMU YA SIMBA GEREZANI...

  Рет қаралды 167,928

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MFAHAMU HANS POPPE: BABA YAKE ALIUAWA, AKATAKA KUPINDUA NCHI, ALIANZISHA TIMU YA SIMBA GEREZANI...
Zacharia Hans Pope amefariki dunia Septemba 11, mwaka huu na ameacha pengo hasa kwa wanamichezo lakini ana historia ndefu kisiasa ambayo wengi hawaijui.
Hans Pope aliwahi kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kutaka kumpindua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Hili vijana wengi hawalijui.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 137
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Wanasema Viva Nyerere Viva Tanzania, Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi,Amen
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 3 жыл бұрын
Mohd tamimu mola amlaze mahala pema peponi.Ameen
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Nawashukuru wote mlionipigia simu na kupongeza makala haya, endelea kuangalia na kusikiliza Global Tv
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 3 жыл бұрын
AMINA- Mungu Ibariki Tanzania ,,,
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 3 жыл бұрын
Mungu amsamehe tu apumzike kwa aman kwn hata kristo alijaribiwa lkn bado awakuweza hvy akuna jambo lisilo na misukosuko
@jessemhally55
@jessemhally55 3 жыл бұрын
Tafuta data Kwa umakini...baba wa Hans Poppe alikua mjerumani..
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Angekua Raisi Uyo TZ Ingekua Kama Congo Akumbukwe Nyerere Daima
@muhasatv9245
@muhasatv9245 3 жыл бұрын
kivipi
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 3 жыл бұрын
kivipi yani fafanua
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 3 жыл бұрын
kivipi ?? kwanini iwe kama congo na isiwe kama ulaya fafanua tukuelewe
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
na afafanue tu ,maana dah hatuwezi jua ...pengine huyo nyerere ndio katucherewesha hapa tulipo...,
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole5663 Nyerere Alijenga Taifa Lenye Mizizi Ya Amani Na Kutuleta Watanzania Kua Wamoja Ndo Mana Unaona Tanzania Ni Nchi Yenye Misingi Mizuli Sana Ya Amani Kwasababu Na Nchi Yenye Mapokelezano Ya Cheo Cha Uraisi Kwa Amani Ukienda Upande Wa Upinzani So Kama Awafai Kushika Madaraka Ya Nchi Hi Apana Wanafaa Sana Tatizo Kubwa Kwao Kujenga Siasa Za Chuki Unakuta Mtu Akiwa Jukwaani Ajengi Oja Za Kujenga Taifa Isipokua Anachofanya Mpinzani Kumshambulia Alie Madarakani Sasa Kama Taifa Likiwa Na Viongozi Wa Ivo Nchi Itakua Na Utawala Wa Kimabavu Inje Ya Madaraka Mana Unakuta Mtu Muda Wake Umepta Lakini Bado Anataka Azeeke Na Kufa Akiwa Ndani Ya Cheo Cha Uraisi Tunaona Uganda Pia Mtu Mzee Lakini Bado Unajua Kama Unaishi Madarakani Alafu Unakuja Kufa Ukiwa Na Uraisi Lakini Uraisi Wako Uko Inje Ya Katiba Ya Nchi Unaliangamiza Taifa Lako Kwasababu Akija Mwingine Awezi Eshimu Hata Wapinzani Ataisi Yeye Ni Yeye2 Kwanini Nyerere Nyerere Aliona Mbali Kujenga Taifa Kuwa Na Amani Napia Taifa Lenye Kueshimiana Na Taifa Lenye Kupeana Madaraka Kwa Amani Bila Kucheki Kabila La Mtu Au Jinsia Ya Mtu Nchi Zingine Wao Vita Ni Vita Kwasababu Walikumbwa Na Pepo Lakuishi Kiulaya Walisaau Kua Ukiona Kiongozi Anakua Na Jeuli Inje Ya Uongozi Siku Akiwa Ndani Ya Uongozi Akuna Wa Kumpigia Mayowe Atakua Kama Mfalume Kiongozi Nizamu Kiongozi Utu Kiongozi Kujali Taifa Kiongozi Kueshimu Wananchi Wako Kiongozi Kujenga Misingi Bola Nasio Kwenda Inje Ya Katiba Kwa Taifa Congo Walikua Na Raisi Ambae Ajui Ubola Wa Taifa Lake Mpaka Leo Bado Mapigano Ayaishi Ukiwa Raisi Kwanza Kabisa Jenga Uimara Wa Taifa Lako Kisa Ndipo Ucheki Maendereo Kwa Nchi Yako Unaposema Uwe Kama Ulaya Nchi So Mkoa Mkampa Mtu Cheo Bila Kujua Cheo Cha Uraisi Kikubwa Sana Kwa Taifa Letu Au Taifa Lolote Apa Duniani Unaweza Kua Na Katiba Nzuli Sana Lakini Mkichagua Mtu Ambae Aeshimu Viongozi Walio Ndani Ya Madaraka Nikazi Bule Maendereo Yenu Yatakua Ya Majukwaani2
@fanikiwamhapa4236
@fanikiwamhapa4236 3 жыл бұрын
Na mm ninavyo mjua Hanspope ni ndugu yangu kabisaa,kutoka Iringa pale,Ila alikuwa ananishangaza kuwa yy ni Shabiki wa Simba kindaki ndaki,R. I.P father Hans,.
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 жыл бұрын
Amina
@SawakaHD
@SawakaHD 3 жыл бұрын
Wabongo mnajitahidi xn kutunga story, hongereni iko pw hii story
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Hii ya kushiriki mapinduzi ni kweli
@SawakaHD
@SawakaHD 3 жыл бұрын
@@aloycemacha9894 hilo sipingi ila kujifanya wafatiliaji xn mtu akifa duuh!
@lawrencenardo3919
@lawrencenardo3919 3 жыл бұрын
Huyu mwandishi muongo bro.. tunahfahamu historia ya Hans na baba yake kabla ujatoa taarifa fanya utafiti
@SawakaHD
@SawakaHD 3 жыл бұрын
@@lawrencenardo3919 yeah nikwel bro wanajua xn tatizo mtu akifa
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
@@lawrencenardo3919 mbona hajakosea zacharia alishiriki mapinduzi baba yake alikuwa RPC mkoa wa magharibi na aliuliwa na wanajeshi wa amini
@hancepopessau2527
@hancepopessau2527 3 жыл бұрын
Mzee Hanspope alikuwa jasir sana
@patrickkagito3376
@patrickkagito3376 3 жыл бұрын
Waziri wa mambo ya ndani hakuwa mwinyi alikuwa Abdalla said natepe
@hassannourdin2170
@hassannourdin2170 3 жыл бұрын
No worries
@rashidmkwinda23
@rashidmkwinda23 3 жыл бұрын
Hatty Macghee(Hatib Candi) not Habibu Gandi
@ramadhanmohd2097
@ramadhanmohd2097 3 жыл бұрын
Watu wengi wanashangaa nahistoria watanzania tusomen history ili tuwe ma uchungu na nchi yetu
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mpambanaji Hans 😭😭😭
@mizumo6935
@mizumo6935 3 жыл бұрын
Aisee Ndio kwaaanza nalifahamu hili
@lawrencenardo3919
@lawrencenardo3919 3 жыл бұрын
Bro huyu mwandishi ajui story ya Hans pope
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 3 жыл бұрын
@@lawrencenardo3919 ww ndo hujui yote yalitokea tuliyasikia na kuyasoma magazetini siku hizo hakukuwa na tv
@lawrencenardo3919
@lawrencenardo3919 3 жыл бұрын
Baba yake zakaria asili yake n wapi?
@godmremi3558
@godmremi3558 3 жыл бұрын
@@lawrencenardo3919 NI KWAKO KILA KI2 UNAJIFANYA UNAJUA?
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 3 жыл бұрын
@@godmremi3558 pole inategemea wakati huo ulikuwa kijiji gani uenda hata redio kwenu alikuwa anaisikiliza babako tu. Na magazeti yalikuwa hayawafikii. Sio kosa lako huo ndo ukweli wa Zakaria Hans Pope
@frankkaiza3658
@frankkaiza3658 3 жыл бұрын
Mzarendo wa kwer ansipop🇹🇿⛪👏
@Official_adasco
@Official_adasco 3 жыл бұрын
Hii story inapindishwa mnooo.
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Жыл бұрын
Sanà,
@lawrencenardo3919
@lawrencenardo3919 3 жыл бұрын
Muongo siyo mgiriki ana asili ya kijerumani
@vailethkaaya3383
@vailethkaaya3383 3 жыл бұрын
Kweli si mgiriki na Mjerumani
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Babu yake alikuwa na asili ya Kijerumani lakini baadaye aliishi ukigiriki akawa raia wa huko
@shizoshop2469
@shizoshop2469 3 жыл бұрын
Hv kwanini hakumnasa makofi yule msukule ?
@andreafransisi5833
@andreafransisi5833 3 жыл бұрын
Kufa tujuwe istoria yako
@bekabakari7394
@bekabakari7394 3 жыл бұрын
Umemsahau Command Tamimu
@peteropanga9703
@peteropanga9703 3 жыл бұрын
Alitaka kamwaga damu ya watu, nae yamamfika.hakuna marefu yasiokuwa na mwisho.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Duuuh
@yesayakamomonga8202
@yesayakamomonga8202 3 жыл бұрын
Kama mjaelewa msichangie.
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Kwakwel me nisipate zambi za kununua sijaelewa hata bora 😷😷😢
@yakubumohamed6034
@yakubumohamed6034 3 жыл бұрын
Mzee umechemsha kipindi hicho 1982 Waziri wa mambo ya ndani alikuwa Abdalah Natepe na walivyotoroka Natepe alijiuzulu akachaguliwa Salmin Amouri
@godmremi3558
@godmremi3558 3 жыл бұрын
TUAMBIE WEWE BASI MAANA KILA KITU UNAJIFANYA UNAJUA.
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 3 жыл бұрын
@@godmremi3558 😂😂😂😂😂
@lawranceseverine7894
@lawranceseverine7894 3 жыл бұрын
Kwa hiyo alizikwa baada ya miaka nane baadae kutoka 1971-1979
@ahamadially8351
@ahamadially8351 3 жыл бұрын
Katunge tena store ya uongo
@emmanuelmwambona3438
@emmanuelmwambona3438 3 жыл бұрын
We ndo hujawahi kusikia hii kitu
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Ni kweli
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Tutunge kwa faida gani? Tujikumbushe tuelimike
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 3 жыл бұрын
Ni kweli
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa labda makosa ni kidogo
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Hadisi hadisi hadisi njoo uwongo njoo tamu korea🤣🤣🤣
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 3 жыл бұрын
Hachen kuongopa kama mnataka MB zetu si mnasema tu,
@ibrakulwa2737
@ibrakulwa2737 3 жыл бұрын
Haha nimejua tofauti ya yanga na simba
@mussaisaac
@mussaisaac 3 жыл бұрын
Maelezo mbona hayaeleweki vizuri,,,zacharia hansi pope nae alikuwa mwanajeshi au baba yake ndo alikuwa mwanajeshi
@alexkiria1901
@alexkiria1901 3 жыл бұрын
Hans
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 жыл бұрын
Mimi nalijua alitaka kupindua nchi mwaka 1982
@hameesabdalah3780
@hameesabdalah3780 3 жыл бұрын
Mohd tamimu ni uncle kbs pale tanga chumbageni
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Hee
@madarakabenjamini2784
@madarakabenjamini2784 3 жыл бұрын
Mbona hii stori inachanganya msimuliaji kachanganya Hans koppe wa sahivi na babaake alie zaliwa 1918. Mana nashangaa inaingizwa simba humo ndani hapo ndipo utata unapo anza kwangu kwani huyu alie kufa majuzi kafa akiwa na miaka 65
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 жыл бұрын
R.l.P Hans Pope😭
@kihagazanzibar1200
@kihagazanzibar1200 3 жыл бұрын
Hapa watuwengi tumewachwa njiani Msimulizi anasimulia story zawatu wawili yani Baba na Mwanae Mtoa simulizi anasema baba yake alikuwa asikari aliuwawa na Idiamini Matatizo ya kidiplosia ya TZ n Uganda yalianza kuharibika mwaka 1977/78 Sasa aliyefanaya jaribio la kupindua alikua nihuyu Hans Mtoto au Baba yake? Mimi namkumbuka Hans kuanzia mwaka 1980 hapo mm nimeanza kuwa na akilizangu Alikuwa na Hotel Tanga maeno ya karibu na Darajani Usagara inaitwa sprended kama sijakosea spelling Hapo Hotel dada yangu alikuwa nafanya kazi hapo nakila sikuku nilikuwa nakwenda hapo sasa mika hiyo nilikuwa namuona alifungwalini? Labda kama Baba aliwazaa watoto wakiume wengi na wote walitumia sir name Hans hapo sinahoja Inawezekana anayezungumziwa hapa alikuwa mdogo au mkubwa
@simbalucas8297
@simbalucas8297 3 жыл бұрын
Ndoapo
@rashidiathumani2300
@rashidiathumani2300 3 жыл бұрын
Nikweri ukitafuta history nyenye hakuna mtu mzuri ira kama hujasoma utabakia unamsifia
@emanuelmashenene8980
@emanuelmashenene8980 3 жыл бұрын
Iko hvyo ndugu hata huyo Nyerere Kuna janja janja nyingi sana Kwa moringe sokoine hata Kwa iddi amiin pia
@poulndimila4588
@poulndimila4588 3 жыл бұрын
Uongo kila kitu
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Kushiriki mapinduzi ni kweli
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Watanzania tujifunze kusikiliza na kusoma. haya maelezo ameyatoa Zacharia Mwenyewe na yapo kwenye kumbukumbu mbalimbali. hatuwezi kutunga uongo.
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 3 жыл бұрын
@@wastambuli8039 Achana nao bro si tushaakuelewa hao ni watu wa yanga wanamakasiriko ya kuibiwa moriso na huyu mzee hans pope
@mariamrajab9583
@mariamrajab9583 3 жыл бұрын
🙉
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Ama hakika MAISHA yana maswali magumu sana
@stanlaymsabaha4038
@stanlaymsabaha4038 3 жыл бұрын
Kumbe jamaa alikua mwamba kwelikwel
@tuduboynakubal9191
@tuduboynakubal9191 3 жыл бұрын
Hilo tatizo letu bongo mtu akitoka. Ndo ni watu munaanza ku commonite zetu
@reganuisso1256
@reganuisso1256 3 жыл бұрын
Unalisha watu matango poriii mzee
@jaffaryramadhani1467
@jaffaryramadhani1467 3 жыл бұрын
Mengi uliyoyaongea yapo sawa kama komandoo tamimu aliyepigwa risasi mkwajuni ila kwenye Tim ya simba kuanzishwa na hanc gerezani mh sio kweli
@globaltv_online
@globaltv_online 3 жыл бұрын
Alianzisha timu na kuipa jinala Simba, siyo kwamba yeye ni mwanzilishi wa club ya simba...kuna tofauti hapo
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Hii taarifa ifafanuliwe vizuri. Kwani Simba imeanza lini?? Je iltimu ya Simba imeanza baada ya 1982?????.
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
Sasa Kwan yeye muanzilishi?
@jeromemdoe6816
@jeromemdoe6816 3 жыл бұрын
Kaanzisha gerezani
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Alianzisha timu gerezani akaita simba
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
@@aloycemacha9894 Gerezani ameingia miaka ya 1982s. Sasa Simba ilianza lini? Kuna kitu sikielewi labda!
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Ukienda magereza yote kama vile Ukonga, hata sisi waandishi tulipoingia Ukonga tulizikuta na mwanzilishi wa mtindo huo wa simba na yanga magerezani ni Zacharia Hans Pope
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 3 жыл бұрын
Kufa usifiwe
@zamoamosy2938
@zamoamosy2938 3 жыл бұрын
Kama timu ya mpila imefikia mafanikio makubw kiasi hiki je angepata huo urais tungekuwa wap🚶na Tanzania yetu MAGU NA HANS POPE MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE WASHUA🙏🙏🖖
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Akuna kupumzika kule
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 3 жыл бұрын
Mafanikio gan? Timu haina hata uwanja
@adolphmaige4249
@adolphmaige4249 3 жыл бұрын
Et mafanikio
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 3 жыл бұрын
@@godfreylutengano9367 uwanja wenu uko wapi au ndio ule wa kwenye majaruba
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 3 жыл бұрын
@@adolphmaige4249 sasa ni nini kama sio mafanikio
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 3 жыл бұрын
Mm nimwana simba ila hii historia ya uongo mtupu.HAIWEZEKAN HANS POPPE AHANZISHE SIMBA WAKATI SIMBA IMEANZISHWA MWAKA 1936, SASA MBONA HAMNA UKWELI WOWOTE HAPO. ETI ALIANZISHA AKIWA GEREZA...!!?
@josephluvanga5233
@josephluvanga5233 2 жыл бұрын
Gerezani kijani
@eliawangwe7975
@eliawangwe7975 3 жыл бұрын
Mbna mtu akifa ndo mnaanza kusimulia hizo story ,,tena mnaaanza kusema mfaham mtu flaaan,,,,, ss haja gan tumfaham wakat enz za uhai wake hamksma mfaham,,,ili tumjue zaid,
@evancekazimoto9558
@evancekazimoto9558 2 жыл бұрын
Unaongea Kama unahubir injili
@nzungupeter3169
@nzungupeter3169 3 жыл бұрын
Muongo Lipuli ni ya Tabora
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 3 жыл бұрын
😂😂😂 wewe si mwanamichezo lipuli na Tabora wapi na wapi lipuli ni timu ya iringa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@lovenessgodson1075 😂😂😂sasa tumemjua yy ndo muongo
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 3 жыл бұрын
@@khadijahali4837 😂😂😂kabisa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@lovenessgodson1075 😂😂
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Lupuli ni Klabu ya siku nyingi ya Iringa mjini. Iliwahi kushiriki Ligi Kuu na kocha wao alikuwa Selemani Matola ambaye yupo Simba sasa.
@Kabaka_II
@Kabaka_II 3 жыл бұрын
Kuna uongo uongo mwingi humo....kwamba walipewa net gerezan ya kuzuia mbu!Crap...
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 жыл бұрын
Kwa taarifa yako aliyesema hayo ni Hans Pope mwenyewe. Hivyo amini hivyo
@Kabaka_II
@Kabaka_II 3 жыл бұрын
@@wastambuli8039 then he lied...jaribu kupindua serikali af upelekwe jera uone kama utapewa net.
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Hata molisoni alipindua meza
@ahamadially8351
@ahamadially8351 3 жыл бұрын
Mbona hii store kama uongo hasnpopendio alaeanzisha simba gerezani mwaka gani? Simba ilianzishwa 1936 leo hii wewe inasema 1980 acha kutuingiza chaka
@marcoakyoo760
@marcoakyoo760 3 жыл бұрын
Sio kuanzisha simba sikiliza vizuri aliahanzisha timu ya simba gerezani yaani kwa mashabiki wa simba
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 3 жыл бұрын
@@marcoakyoo760 "Aliahanzisha"😂😂😂😂😂😂😂😂🤔🙄
@marcoakyoo760
@marcoakyoo760 3 жыл бұрын
@@ME-kb8rk mfupa hauna ulimi🤪
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 3 жыл бұрын
Umeambiwa alianzisha timu ya simba gerezani butimba sio uraiani kuwa muelewa. Hajadanganya kitu hata kimoja
@ahamadially8351
@ahamadially8351 3 жыл бұрын
@@heriethmuta2903 kadanganya sasa kama yeye alifungwa mwaka 1982 simba ilianza mwaka gani mbona na wewe muongo
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 3 жыл бұрын
Mungu amsamehe tu apumzike kwa aman kwn hata kristo alijaribiwa lkn bado awakuweza hvy akuna jambo lisilo na misukosuko
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
HISTORIA YA ZACHARIA HANS POPE TANGU AKIWA GEREZANI
7:19
NJB TV NEWS
Рет қаралды 10 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Salama Na KADUGUDA Ep 40 | SIMBA WA YUDA Part 1
31:54
YahStoneTown
Рет қаралды 16 М.
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 47 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН