MAMA FEI TOTO AIBUA MAZITO - "MWANANGU ALIKUWA ANAKULA UGALI NA SUKARI, TFF IMTENDEE HAKI"

  Рет қаралды 51,764

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAMA FEI TOTO AIBUA MAZITO - "MWANANGU ALIKUWA ANAKULA UGALI NA SUKARI, TFF IMTENDEE HAKI"
Wakati leo Alhamisi Machi 2, 2023 kukifanyika marejeo ya shauri la kimkataba la Mchezaji Feisal Salum almaarufu Fei Toto na Klabu yake ya Yanga SC mbele ya kamati ya sheria, haki na hadhi za wachezaji ya TFF, mama mzazi ameibuka na mambo mazito.
Kuelekea katika siku hii muhimu kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa kuwa Mama wa Fei amekubali mwanaye arudi Yanga kitu ambacho siyo kweli nay eye mwenyewe kama mzazi ameibuka na mambo mazito.
Mama mzazi wa Fei Toto jana alizungumza kila kitu kuhusiana na sakata la kijana wake jinsi alivyoteseka akitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania limtendee mwanaye haki.
Mama Fei Toto anasema kuwa, mwanaye amepitia kwenye magumu mengi ikiwa ni pamoja na kwenda mazoezini kwa kumkop[a bodaboda na sasa anaonekana kama ameua kama ambavyo anaeleza mwenyewe kwenye video.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 371
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@SalhiaHaji-d5i
@SalhiaHaji-d5i 2 күн бұрын
Poleni
@Pratnumzsimba
@Pratnumzsimba Жыл бұрын
Anaeamini huyu mama kakulupuka. Nipeni like
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Жыл бұрын
Kunywa soda aise
@shabanipande5379
@shabanipande5379 Жыл бұрын
Hajakurupuka sema nyie Utopolo hamtaki Kusemwa Uovu wenu
@shabanipande5379
@shabanipande5379 Жыл бұрын
@@sarahkeivaly3351 Ujinga wa Kufanyaje
@noelmtao2735
@noelmtao2735 Жыл бұрын
Haki haitolewi kwa kumuonea mtu huruma!!!
@barakajoram9891
@barakajoram9891 Жыл бұрын
Angekua ali angekua napiga mashuti kama yale
@nanaleetz
@nanaleetz Жыл бұрын
We bimdash unamwaribia mwanao utajutia mdomo utakuponza🙌🏽 mama umekurupuka mno
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Ajutenini uxhungu wamwana ajuemzazi
@mosseskanini255
@mosseskanini255 Жыл бұрын
@@tatotato506 Huna akil ww,unadhan mkataba ni kama ndoa,tff washafanya maamuz kulingana na kanuni na taratibu ya mkataba sahv ashaanza kujitia
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162 Жыл бұрын
Wamekata video na kuviunganisha vipande tofauti tofauti, huwez jua alikua anazungumza nini ukiskiliza video nzima. Hawa jamaa wamekata sehem flani flani tu na kuunganisha ilikukamata hisisia za watazamaji. Huenda ikawa Mama Feisal kweli kaongea pumba lkn kwanini wasiweke interview nzima au angalau waweke swali gani anaulizwa na majibu yote ya ilo swali husika?
@christinakaiya7363
@christinakaiya7363 Жыл бұрын
Mama fesal mama mwenzangu mtoto kudai hakiyake siyo vibaya ila hukustahili kuongea maneno mengi Tena mazito kumbuka mwanao walipeana mkataba na hao yanga kisheria na aliusoma kabla hajasaini na aliposaini inamaana aliridhika maana hakusomwea mkataba na mtu mwingine na kilichofuata ni KAZI na yeye kulipwa stahiki yake kadri ya makubaliano na bajeti anajipamgia mwenyewe Sasa kama alikuwa anatumia vibaya mshahara wake mpaka anafikia kula ugali na sukari au kula na njaa hapo yanga wanahusikaje?makamas alikuwa ugali na sukari hizo milioni 112 alizitoa wapi?mama mwenzangu hata wewe na mwanao jitahini kumuogopa mungu!!
@abuusirleh8196
@abuusirleh8196 Жыл бұрын
Funga domo lako
@rashasramsey7292
@rashasramsey7292 Жыл бұрын
Mama mshamba wewe kahaba wee kadhalilika kafw
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Si inavunjwa mikatabaaa yangaaaa wamuachiee kam atapotea ajutie yy yanga wamefeli kama hataki kucheza yanga wamuache kwan fei ndo yanga nzima wamuache alipe pesa asepe anakotaka yanga wanamgandiana nn wakati yy hataki
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
@@rashasramsey7292 kahaba mama ako ww umemzaa fey unamjua sana mtoto wake uwe na adabu mbwa ww kwan lazima achez yanga si hatak wamuache
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
@@abuusirleh8196 fungeni nyir mikundu yen hamjamzaa fey wala kumlea ko mama ake muacheni asem nyie mnaishi nae mmemzaa nyie vip kwan lazima acheze yanga yanga wavunje mktaba yy si kataka wanamg'ang'ania nn mtu hatak kukaa yanga jaman kwan shida n
@titobernard383
@titobernard383 Жыл бұрын
Mamaaa !! Neno moja tuu ! MKATABA !
@manyamapeter9803
@manyamapeter9803 Жыл бұрын
Tamaa mbaya,rudini mkausome vizurii mkataba mama.
@peteradioyona5919
@peteradioyona5919 Жыл бұрын
Mama feisal unaudhalilisha uislam Sana Bora umurudie mungu mpira umeujulia wapi mama feisal mnakula ugali kwa sukari unalalamika ungekuwa ugali na chumvi je mama tulia mwanao afunzwe na walimwengu wewe c umeshindwa.
@davidmichael8748
@davidmichael8748 Жыл бұрын
Kabla ya Fei hajaja yanga ulkuwa na hayo maisha....daah basi mutafutie tmu
@joycekikoti8670
@joycekikoti8670 Жыл бұрын
We pasuka mama ongea tu kama kweli unajiamini sio kidogo tu mimi Muislam mimi Muislam kama umelazimishwa kuongea kwanza mpira Dhambi na unajua
@khamismtanga4848
@khamismtanga4848 Жыл бұрын
Naisi huyu mama akapimwe akili
@chrispauly3539
@chrispauly3539 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUSAMEHE MAMA 🙏🙏✨
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 Жыл бұрын
Mama hata macho yako yanaonyesha kuwa unachosema hakina ukweli na maneno unayoyasema sio ya kwako
@ibrahmatage
@ibrahmatage Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 mama mwanao hajui kudai haki... Kama hakutendewa haki zipo mahakama co kurudisha pesa knyemela. Pili mama angu anakopa boda af anapata 100M ya kurudsha tuheshimiane bac unadanganya mpaka tunajua.
@hassanndaro1766
@hassanndaro1766 Жыл бұрын
Bongo lawama tukiwapa nafasi wachezaji wetu wakitanzania ili kukuza viwango vyao Watambulike kitaifa na kimataifa uswahili na kukosa elimu vinafatana Bora tuchukue wachezaji wa nje kwa gharama kuliko wa tzd wasiojielewa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Ni her wamuache kama anaharib life yak aharib tu yy lawama ibak yy uongoz wa yanga wanaogopa tacheza simba au yanga ndo maan hawamuachii
@mosseskanini255
@mosseskanini255 Жыл бұрын
@@faidhamyovela179 Shida siyo kucheza wap yule ana mkataba,subir amalize uone kama watamzuia
@saleheomari3090
@saleheomari3090 Жыл бұрын
Hii ndo maana fikiri kabla ya kutenda uongo kwa mtu mzima ata haipendezi
@omaryomary4813
@omaryomary4813 Жыл бұрын
Tusubirien Kamanda aseme "Mbele geuka" au kibao kigeuzwe" hapo ndo atajua hajui au utaona wanajeshi wabaya 🤗🙌
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 Жыл бұрын
Mama muongo!!! Baba wa fei yuko wapi?
@bethjohn928
@bethjohn928 Жыл бұрын
Wewe mama unaonekana ni mshari sana 🤣
@sheirasaid3623
@sheirasaid3623 Жыл бұрын
Kama Mama lazma utakuw upande wa mtoto.. ila ifkie mahal elim n muhm jaman
@mylifepurpose
@mylifepurpose Жыл бұрын
Dah kweli ukiwa mwanaume achana na mamabo yakina mama kwenye majukumu yako we pambana wape kibunda watulie ila wakianza kukushika utapotea mapema Sana
@yasinomary2147
@yasinomary2147 Жыл бұрын
Mshahara milioni 4 kweli feisal Salum Abdallah alikuwa anakula ugali na sukari???je alipokuwa jku alikuwa analipwa shilingi ngapi?? Mama hata kama Yanga imemkosea Feisal,Ittaqullah haithu maakunta!!Shahid wa uongo,sahidi wa uongo Shahid wa uongo!ATAADHIBIWA
@footy_genius
@footy_genius Жыл бұрын
Daah huyu Mama bwana yuko personal mpaka anapitiliza 🤣
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162
@idrisaabdillahibpxkijykbs4162 Жыл бұрын
Wamekata video na kuviunganisha vipande tofauti tofauti, huwez jua alikua anazungumza nini ukiskiliza video nzima. Hawa jamaa wamekata sehem flani flani tu na kuunganisha ilikukamata hisisia za watazamaji. Huenda ikawa Mama Feisal kweli kaongea pumba lkn kwanini wasiweke interview nzima au angalau waweke swali gani anaulizwa na majibu yote ya ilo swali husika?
@footy_genius
@footy_genius Жыл бұрын
@@idrisaabdillahibpxkijykbs4162 yeah uko sahihi ilitakiwa tusikie vyote alivyoongea ndo tujudge
@fgffhjjnchgf
@fgffhjjnchgf Жыл бұрын
uhkk maneno yako mkatba sio muhimu mbele y mtoto ....sahihi mama wanchi blessing
@joshualwelu7302
@joshualwelu7302 Жыл бұрын
Hata mtu mwenye msharaha wa laki tatu hawezi kuishi maisha anayoyasema mama Fei, basi mtoto wake hajui bajeti ya fedha. Kwani fei anaidai clab mishahara? Atwambie tulijue
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 Жыл бұрын
Mama kadandia mtumbwi wa vimbwengo 🤣🤣🤣
@johnmayala6114
@johnmayala6114 Жыл бұрын
Mama Muache Mtoto Acheze Mpira
@azizasaid7660
@azizasaid7660 Жыл бұрын
Huyu mama atamponza mwanae
@AziCure
@AziCure Жыл бұрын
Mambo
@azizasaid7660
@azizasaid7660 Жыл бұрын
@@AziCure poa
@AziCure
@AziCure Жыл бұрын
Naitwa Azizi Said 😅
@AziCure
@AziCure Жыл бұрын
Am ur namesake, ivo tu!
@azizasaid7660
@azizasaid7660 Жыл бұрын
@@AziCure naitwa yope myao
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
Yaani mama hili sio jambo la familia ni jambo la kisheria.
@jobagustino9077
@jobagustino9077 Жыл бұрын
Uyu mama jau sana samahani lakini.... Sasa analalamika nini akati mwanae analipwa mshahara.....kula ugari na sukari si budget ake mwenyewe......kupanda dala kwa mkopo nayo si upendo wake tu...... Uyu mama jau sanaaa kaah
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Жыл бұрын
Mitandao inawaharibia watu wengi maisha bila kujijua..... Picha linaendelea ila chanzo ni mitandao ilimpasua kichwa Kijana...
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 Жыл бұрын
Mama unekosea sana kaombe msamaha sijona la maana unaloongea hapo
@Ockliantravel
@Ockliantravel Жыл бұрын
MAMA Hapo haujengi ila unabomoa,😭😭😭
@gregorymatandu9602
@gregorymatandu9602 Жыл бұрын
Amezalilika au amejizalilisha? Tamaa ndio iliyomfikisha hapo. Kwani wakati anaingia mikataba hakujuwa hayo acha uongo we mama mungu anakuona,hao waliowapandikiza ndio wamewafikisha hapo
@mwajumakamba
@mwajumakamba Жыл бұрын
Mpeleke kwenye timu Yako akacheze wew mama mtu mzima unaongea ujinga akil hun
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 Жыл бұрын
Ooh!!! Mungu wangu!! Ugali na sukari na buku ya bodaboda hana uuuuuuuuwiiiiiiiiiii,wanachiiiiiiiiiiiiiii,tunadhalilishwa hukuuuuuuuuu jamani jamani
@SharhabilMuhamed
@SharhabilMuhamed Ай бұрын
Dah yan iyi inanikumbusha mnal sana man
@abubakarimaliyatabu5385
@abubakarimaliyatabu5385 Жыл бұрын
Allah akufahamishe pia akupe moyo wa subira pia urejeshe istighifar
@maliakalinga-xj4lk
@maliakalinga-xj4lk Жыл бұрын
Mungu simama mwenyewe
@mohamedshauli-pp3fb
@mohamedshauli-pp3fb Жыл бұрын
Ww mama huyo Fei bila yanga asingejulikana
@mrpcm_tz4307
@mrpcm_tz4307 Жыл бұрын
😂😂😂daah mpaka mambo ya allah cjui
@anjelinakaniki9162
@anjelinakaniki9162 Жыл бұрын
Pole sana mama kwauwongo wako kakuta yangu naataiyacha
@chilihelman-wr6nq
@chilihelman-wr6nq Жыл бұрын
Mm sikujua kama mama fei ungekosa elimu kiasi hicho halafu nimuongo sana na unamtaja mungu katika hili Rudi darasani kwanza
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
Nimekuja kucheki kweli mama alisema fei kala ugali na sukari kabla ya Yanga au nyuma huko,nimegundua fei amedanganya kule kwenye interview😮
@alnaabytz4097
@alnaabytz4097 Жыл бұрын
Mtangazaji appriciate
@tinajoe5487
@tinajoe5487 Жыл бұрын
Haki naunga mkono aipate kama hakupewa,Lakini Mama yake umeongea maneno mengi magumu ambayo ukisiliza sana hayana Ukweli,Fei kutoka Yanga sio shida ila ongea kwa staha
@salimgachu6765
@salimgachu6765 Жыл бұрын
Yanga mchukulieni hatua huyu mama maana amechafua klabu
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Ety Kala ugali kwa Sukari hayo ni maamuzi yake tu mshahara time to time alikuaa ana collect ,,,Mama kwa ufupi hauna hoja ya msingi
@elliotandrew3540
@elliotandrew3540 Жыл бұрын
Fei tayari anayo zaidi ya milioni mia maana alijaribu kurudisha Yanga. Sasa hiyo pesa alipata wapi kama alikuwa anapata shida?
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Pesa za fei amekula mzee mpili na manala mama
@bakarinassoro5513
@bakarinassoro5513 Жыл бұрын
Hili limama limechanganyikiwa fuata Sheria acha ujinga
@You-py6ns
@You-py6ns Жыл бұрын
Hayo mambo menigine achana nayo.... ila tumeelewa "whats inside the box" 😀
@mwinjatheson2367
@mwinjatheson2367 Жыл бұрын
We Mama utachomwa kwa unafiki wako 😂 Acha kuhusisha Uislam na Tamaa
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 4 ай бұрын
Bas mama pole hawa wala mihogo sio watu
@nsumbaboy3549
@nsumbaboy3549 Жыл бұрын
Pole mama kuwa m2 mzima sio ndo kuwa nafiucha kama wewe umetumwa uonge hivyo
@allyseleman9531
@allyseleman9531 Жыл бұрын
Mama umekurupuka sana. Hujui chochote inaonekana kuhusu mikataba tafuta wanaojuwa wakuelimishe.
@Manyoniartsonlinetv6441
@Manyoniartsonlinetv6441 Жыл бұрын
Kwa huu unafikia wahuyu mama kiukweli pepo tutaidikia tu hivi kweli pesa imewabadilisha kiasi hichi
@benngideon9317
@benngideon9317 Жыл бұрын
Huyu mtoto wanaomwongoza wanamdanganya. Wao wanachotaka ni Hela hawaangalii Sheria inasemaje. Pili Fei alipewa mkataba akasoma akakubaliana na kilichopo Katia Saini Sasa mama unalalamika nini????? Kuzalilika huko anapataka yeye kama analipwa 4m anakosa nauli huo ni ujingaa wake
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 Жыл бұрын
Nilidhani wazazi wote wana busara kumbe siyo hivyo. Huyu mama ni wa ovyo sana asiyeelewa masuala ya mikataba. Haki ipi aliyokoseshwa? Jee hakuwa akilipwa mshahara wake kulingana na mkataba wake? We mama unashauriwa vibaya.
@azzodreyproducer
@azzodreyproducer Жыл бұрын
Mmmh bi mkubwa umepuyanga unatumia mpk jina la Mungu Kwa kueleza uongo eti ugali na sukari.... Ila ndio ushampoteza mwanao. Mtume fei toto anahama
@allylalika4746
@allylalika4746 Жыл бұрын
Mama katafuta kiki sawa wamekuona subiri usumbufu😂
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
We we ndio unacheza Tamaa zake
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 Жыл бұрын
Kweli dunia Ina Mambo.
@rashidmohamed1903
@rashidmohamed1903 Жыл бұрын
Wewe mama acha uwongo Fei alipwa m 4 leo unasema anakula ugali na sukari kama kweli basi mnalaana
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
We mama acha kumharibia karia mtoto wako. Leo upo hai utamsaidia ila kesho na kesho kutwa Mungu amekuchukua utamuacha mtoto wako anateseka. Hakuna mtu alopata ufalme bila kupitia machungu wala mateso. Feisal kweli aliteseka kipindi anatafuta nafasi awepo alipo leo. Ila sio kuja kuongea kuwa aliteseka kiasi sasa hutaki kumuona akirudi Yanga. Nani asiejua kuwa Yanga ilifikia kipindi kulipa mishahara, posho na marupurupu wachezaji ilikuwa haiwezekani. Ila leo hii Yanga ipo vizuri, Feisal analipwa mshahara, posho na marupurupu kama walivyokubaliana kwenye mkataba, alafu unasema aliteseka.?! Wee mama wee,...
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 Жыл бұрын
Mshahara wa m4 anaendaje mazoez na boda boda.. mtakuwa mmemfanya kitega uchumi Cha ukooo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Huna akili ya maisha
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
@@thadeylyimo9772 Ndo swali la kujiuliza. Au huyu mama ameshawishiwa huko na vijisenti vya watu kadhaa, akaona haya ndo maisha.?! Alafu wazanzibar shida yao kubwa ni watoto kuwa vitega uchumi.
@abuusirleh8196
@abuusirleh8196 Жыл бұрын
acha ujinga nyama ww
@abdulsaid8006
@abdulsaid8006 Жыл бұрын
Sw ilifikia kipindi yanga ilishuka lkn sio kula ugali na sukari Ata sk moj em kuw na akili bc uy ni mama imagine ndio ww mwanao utakuj kusem km umepew rushwa
@mcgabby
@mcgabby Жыл бұрын
Hivi mbona Kuna Mameneja wanalipwa mpaka 1M ila hawali ugari na Sukali Wala hawakopi boda kwanda job hivi 4M ni Ndogo hivyooooo kweliiiiii🤔🤔
@gordstartv1887
@gordstartv1887 Жыл бұрын
mama kama mwanao ala ugali na sukali wajuaje kama anaenjoy😂
@zakiahassan674
@zakiahassan674 Жыл бұрын
Uongo bwana uongo😂😂😂acha tamaa mama ulikua unakula ela za mwanao mshahara million 4 alaf apande boda kwa mkopo uongo😂mfundishe kwanza mwanao kutumia ela vzr na bajet zake.
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
Na kuhusu kurudi yanga mara fei yuko tayari kurudi ila rahisi aondoke mara mama alisema fei hataki mchanganyo
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 Жыл бұрын
Kuna mambo ya kimkataba Fei hakukuambia Mama.
@azizasaid7660
@azizasaid7660 Жыл бұрын
Eti mtume alikuwa madina akahamia madina daaaah😂😂😂😂
@ibnmasuod2184
@ibnmasuod2184 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 huyu mama amekurupuka tu eti alikua madina kahamia madina
@azizasaid7660
@azizasaid7660 Жыл бұрын
@@ibnmasuod2184 tamaa inamuwewesesha😆😆😆😆
@stanleyjohn6859
@stanleyjohn6859 Жыл бұрын
Mama huo ugali na sukari anakula huko nyumbani kwako asingeondoka bila utaratibu angekula vizuri, nenda kawe wakili wake.
@ivanbreezy-7970
@ivanbreezy-7970 Жыл бұрын
Kweli nakumbuka alienda kuchukua tuzo akiwa kavaa hovyo Sana na watu walimponda Sana Maana alikua anacheza timu kubwa sasa naanza kupata picha anachosema mama ni kweli
@mkanamc8341
@mkanamc8341 Жыл бұрын
Hayo ni maisha yke na familia mshahara alilipwa 😄
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 Жыл бұрын
Yaani mshahara wa milioni 4, ashindwe kuvaa au kununua gari.. na bado alipewa milioni 100 ya mkataba... Basi inawezekana anagawana hela yake na ukoo ndo maana haimtoshi Hadi wanakula ugali na sukari ... 🤣🤣🤣🤣... Hapo mama anaomba huruma baada ya kuyakanyaga!.. Asa anataka yanga wamwachie tu kwa kumhurumia... Sasa wachezaji wengine wote nao si wataondoka wakijiakia
@michaelselis8531
@michaelselis8531 Жыл бұрын
Sasa mbona aelezi alicho nyanyasika?
@mathewjohn8740
@mathewjohn8740 Жыл бұрын
Ww mama ni muongo sana. Mwambie mtoto wako afuate utaratibu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Uongo upi
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Utaratibu gani mwingine jamani mbona Fei amefata utaratibu ambao wamekubaliana kwenye mkataba, mbona Yanga mnajitoa ufahamu.
@shukurusimba6850
@shukurusimba6850 Жыл бұрын
Kafwanywa meng fei kafirwa
@mabrozacpmstancesa1207
@mabrozacpmstancesa1207 Жыл бұрын
@@shukurusimba6850 Hovyooo
@hosea7919
@hosea7919 Жыл бұрын
Sema yote🤣🤣
@raykomba-um2os
@raykomba-um2os Жыл бұрын
Labda mama anajua mwanae alicheza Kwa zuchu akapewa sukar 🤣
@jacquelinekitale8209
@jacquelinekitale8209 Жыл бұрын
Hiyo hela ya sukari si angenunua dagaa mchele ale na ugaliii?mkataba hueshimiwe
@barakahlago2648
@barakahlago2648 Жыл бұрын
Hahaha kbsaaa umejua kunifurahisha exactly sukari shingp?na dagaa shingap huyu mama bhn
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 Жыл бұрын
hahahaj
@vebestgraphix6392
@vebestgraphix6392 Жыл бұрын
Sheria haiko ivo anavyo fikiria yeye, sema Yanga dogo wamuachie tu aende anakotaka
@Frolianagabito3000
@Frolianagabito3000 Жыл бұрын
Kweli young mmezidi kuwatapeli vijana mkome mbwa nyinyi
@goodlucklema2558
@goodlucklema2558 Жыл бұрын
Huyu anajilaani mama huyu.. Ugali na sukari labda wale huko Zanzibar kwa mama yake.. Mboga za majani 500,. Sukari 3000 mwehu huyu mama..
@musafrancis3584
@musafrancis3584 Жыл бұрын
Jmn ivi kwann yanga msimuachie fei akaenda zake kuliko kuipotosha timu km hvyi ....mchezaji mmoja ndo aipotoshe timu jmn
@esterjaphet6949
@esterjaphet6949 Жыл бұрын
LIMAMA LIKUBWA HALIJUI LINALOONGEA.
@yasinomary2147
@yasinomary2147 Жыл бұрын
Mama unajichanganya, mtume alikuwa madina baada kuhama kahamia madina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@andreafortunatus126
@andreafortunatus126 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fatmataufiq2373
@fatmataufiq2373 Жыл бұрын
Kweli wamemdhalilisha sana
@zulfakudema2743
@zulfakudema2743 Жыл бұрын
Eti ugali na sukari mama unajichanganya na usiishirikishe dini na tabia mbovu za mwanao ambazo unaendelea kumfunza
@hosea7919
@hosea7919 Жыл бұрын
Kajichanga
@stevewanga957
@stevewanga957 Жыл бұрын
huyu mama amekurupuka tu,..contract inaongea kila kitu ...mama unaheshimiwa sio poa kujiongelea tu
@sophiamoses431
@sophiamoses431 Жыл бұрын
Siku anapewa mkataba na yanga we mama ulishangilia mnooo kwamba mwanangu yupo timu kubwa ina Mana alikubaliana na mshahara anaolipwa mbona hakugoma kabla ya kusaini mkataba alafu ww Leo hii unaropoka mnooooooo kwani bila mwanao watu hawachezi mwambie mwanao hivi wachezaji wapo na wanafunga balaa
@dainamickdady4137
@dainamickdady4137 Жыл бұрын
Kaa kwenye mitandao uharibu kipaji cha mwanao kwa mikono yako mwenyewe
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Жыл бұрын
Kabisa
@omaryally5555
@omaryally5555 Жыл бұрын
Kwani alikua halipwi mshahala huo wa million 4 mpaka akakopa usafiri wa bodaboda kwenda mazoezini au mpaka kufikia kula ugali na sukali. Mama acha uongo tena unamshilikisha MTUME umasikini mbaya sana mama unaadhilika
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Mara Fei Anakopa Bodaboda. Mara Bodaboda Wanamjua. Mara Oooho Fei Ananipigia Namimi Namtegemea. Umekurupuka Mama Kufikiri Kabla Yakusema Au Kufanya Nibora. Kuliko Kuongea Kwa Kukurupuka Kimaneno.
@modycadabra8721
@modycadabra8721 Жыл бұрын
Mpe kaz za ndan then mlipe ml20 kwa mwez uone ilivyokuwa ngumu
@jameslukindo3785
@jameslukindo3785 Жыл бұрын
Mimi fundi mageti Sina mshahara lakini sijawahi kufikia hatua ya kula ugari na sukari Bodaboda nikimkopa najua nitamlipa vip Ww mshahara 4m unashindwa kununua mboga unashindwa kumlipa boda au kununua ki staleti cha 4m acheni ujinga wenu nyie heshimuni taasisi za watu
@jaqlinemanyama1876
@jaqlinemanyama1876 Жыл бұрын
Kwan mwanao si alisoma mkataba na kuona atapewa milioni4????? Sasa sijajua haki gani mnataka
@alisaghir4259
@alisaghir4259 Жыл бұрын
Mama shikilia Uzi HUO HUO mpaka kieleweke kwani wamezoea hao mayebo yebo kuwatesa na kuwadhalilisha wachezaji!
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Mama achana hisia sheria ni msumeno
@lovenesshamid-hx1yy
@lovenesshamid-hx1yy Жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti😂😂
@japhetpwiti9651
@japhetpwiti9651 Жыл бұрын
Jamani hivi ndo Yanga wanatesa watoto wa watu,kilio cha mama yake chatosha mpeni kijana haki yake kwa nini mnamlazimisha busara itumike viongozi wa Yanga
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 Жыл бұрын
Km ww ni muislam na unafata Sheria za kiislamu bc funika mikono yko kwnz...au hujui km uchi wa mwanamk ni mwili mzm ucpokuw uso na viganja viwili 2
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Sasa mikono ni uchi ?
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 Жыл бұрын
Sidhani kama GSM anashindwa kumlipa Fei vizuri!Tatizo Fei ni kucheza Yanga.Fei,Mama,Yanga na timu inayomtaka Fei wakae pamoja Ili hiyo kijana acheze mpira TFF iwe mwisho mbona inawezekana tu!
@dullahmohamed-xu7yg
@dullahmohamed-xu7yg Жыл бұрын
Kwaiyo alikua alipwi? Au
@alnaabytz4097
@alnaabytz4097 Жыл бұрын
Mdomo wa zanzibar na kulalamika wallah
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Mmmmmh ugali sukari upi 😥😥
DUNIA (Ep 48)
23:19
ASMA FILMS
Рет қаралды 154 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
NI FITINA TU NDIZO AMBAZO ZINAMKWAMISHA FEISAL SALUM PALE AZAM
4:26
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН