TAHARUKI! MZEE wa MIAKA 60 DOVYA ADAIWA KUWATAPELI WAPANGAJI - ANACHUKUA PESA ZAO na KUWAZIMIA SIMU

  Рет қаралды 6,820

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TAHARUKI! MZEE wa MIAKA 60 DOVYA ADAIWA KUWATAPELI WAPANGAJI - ANACHUKUA PESA ZAO na KUWAZIMIA SIMU
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 45
@globaltv_online
@globaltv_online 5 күн бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Subuhanallah. Huyomzee haogopi zambi za zurma. Nawala selikali aogopi. Ila naona katapelii. Ila kashafika mwisho. Inshallah. ..........na uyo sista na huyomzee lao moja abanwe huyo sista
@AnisaA-v4v
@AnisaA-v4v 5 сағат бұрын
Mzee jiheshimu na mungu akuheshim dhuruma mbaya hata mungu hauwezi samehe
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 3 күн бұрын
Poleni jmn uwii ndiomana watu wanachukua hatua mkononi
@aishatest4451
@aishatest4451 5 күн бұрын
duuu, pole sana
@Reyla255
@Reyla255 5 күн бұрын
Dalali na mzee lao moja,huyomzee akomeshwe km alkua polic ah mwanajesh isiwe kigez chakuumiza vijana wanaojitaftia maishayao.
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 5 күн бұрын
Tafta namba za mlilo
@JemaLupande
@JemaLupande 3 күн бұрын
Mwenyekiti Denis moyo😂
@Reyla255
@Reyla255 5 күн бұрын
Imanaan polic wameshindw kabis kumkamat huyomzee, au kuwapelek hao vijana kwahuyo mzee atoe ela au awape hionyumba ,inashangaza
@molenicharles9107
@molenicharles9107 2 күн бұрын
Mtekeni mpelekeni kusikojulikana...mtafutieni mateja wapige madole hadi kamasi zimtoke..kisha mwambieni tunskurudia kesho ..jioni hiyohiyomnalipwa
@KarimSaidi-pn8nw
@KarimSaidi-pn8nw 2 күн бұрын
Mwenyekiti chukua atua
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 күн бұрын
Mkiona mtu hata kama ni mzee anakuwa mwehu msiwahurumie. Mkogeni ajinyee 😅😅😅
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 күн бұрын
Lichomeni nyumba,wananchi mmepoa sana
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 5 күн бұрын
Hao wote lao moja
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 5 күн бұрын
Petrol ukiwa na dumu la plastik hawauz tafuta dumu la bati utanishukuru
@marthaaugustinokimilike4228
@marthaaugustinokimilike4228 4 күн бұрын
Unatafta hela kwa shida mtu anakula kiulaini tu,kwamba polisi nao wamemshindwa,watu wakichukua sheria mkononi wanakamatwa,,,,,haya bhana angekuwa Arusha ajaribu huo upuuzi ,wanatumwa wadudu chap angefurahi
@DeoJohn-j5n
@DeoJohn-j5n 5 күн бұрын
Wauni nao wanazeeka
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kwa saut ameanza kitambo sasa amezeeka
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 күн бұрын
Huyo mzee amekosa heshima mtafutieni vijana wamshikishe adabu maana hana adabu mtu mzima
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Mwaka 2025 bado kuna mafala. Sounds bad
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 4 күн бұрын
Uyo mzee umnamvizia mnampa kipondo apo apo anawapa chenu vinakuwaga sana na mikwala arafu avina lolote
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Күн бұрын
Hawa wazee ndio wanasababisha vijana waende jela aah
@NunuAmoni
@NunuAmoni 4 күн бұрын
Ongea vizur na askari apewe kesi ya wizi wa kuaminiwa
@kailakaziba
@kailakaziba 4 күн бұрын
😅😅
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 күн бұрын
Kabisa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Polic waingilietu. Wamkamate huyo.mzee. maana wakimpiga mapanga waliyo dhulumiwa nyue polic mtawakamata. Pia ila waoneeni huruma kutapeliwa kunauma namtu.anajitamba yeye ndiyo kusema haogopi . Mtihanihuwo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 күн бұрын
Serikali za mitaa nani aliyekuchaguwa? Ccm imefhulumu kwenye Uchaguzi wa nchi nzima.
@FatumaMwage
@FatumaMwage 5 күн бұрын
Sasa iyo nyumba yàke ivunje isie watu wanaishi kinyonge san.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 5 күн бұрын
Pole ,halafu una mafua
@HusnaMTITIKO-w3p
@HusnaMTITIKO-w3p 5 күн бұрын
😂😂😂
@Honorx6Honorx6-w4n
@Honorx6Honorx6-w4n 4 күн бұрын
Mataperi wakubwa nyinyi🫠
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
😂😂😂 yupo maakamani Duu jizi
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 4 күн бұрын
Petrol lita 5 inatosha kabisa
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 4 күн бұрын
Huyo mzee ni wa kupiga moto
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 5 күн бұрын
Duuh mtihani wallah wabillah
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 4 күн бұрын
Huyo mzee mwizi kumala mama yake.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 5 күн бұрын
Nenda moja kwa moja mahakamani.
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 4 күн бұрын
Polisi anamwambia mwananchi wake akamkamate mtuhumiw kinguv 😂😂daaah
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 4 күн бұрын
Hiyo nyumba yake itirieni maombi isipate wateja tena
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 5 күн бұрын
Mzee tapel uyo
@aishajuma7813
@aishajuma7813 5 күн бұрын
Tafuteni panyarodi wa Mshugulike
@HawaAlly-b9d
@HawaAlly-b9d 4 күн бұрын
Uwo mchezo yombo ulikuwepo ukapotea unaanza tena ndio michezo yao
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 4 күн бұрын
Kiufup hao wot matapel
@NeymuhMussa
@NeymuhMussa Күн бұрын
Apo kuna choro tapeli mkuu dalali dovya
@djnangaxtwo2975
@djnangaxtwo2975 3 күн бұрын
Njoeni kilwa mumloge
Миллионер | 6 - серия
28:05
Million Show
Рет қаралды 1,6 МЛН
NERF TIMBITS BLASTER
00:39
MacDannyGun
Рет қаралды 14 МЛН
The perfect snowball 😳❄️ (via @vidough/TT)
00:31
SportsNation
Рет қаралды 77 МЛН
Top U.S. & World Headlines - February 10, 2025
13:11
Democracy Now!
Рет қаралды 317 М.
KICHWA BOX
8:54
Joti TV
Рет қаралды 97 М.
Миллионер | 6 - серия
28:05
Million Show
Рет қаралды 1,6 МЛН