SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI

  Рет қаралды 856,573

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....

Пікірлер: 642
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 жыл бұрын
Kweli yesu ndio haki ya dunia unaona hawapingi quruan lakin biblia ni moto.
@nadhrakhamis7675
@nadhrakhamis7675 5 жыл бұрын
Waanzaje kwa mfano kupinga kitabu cha Allah wameamua kuipinga bibilia sababu sio kitabu cha haki
@wilsonuhenge894
@wilsonuhenge894 5 жыл бұрын
@@nadhrakhamis7675 haki inapatikana mahakamani baada ya ushahidi kutolewa, uwe wa ukweli au uwongo yote sawa
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Wanapinga zote hakuna cha ukristo wala uislam huko. Sikiliza vizuri mpaka mwisho
@nadhrakhamis7675
@nadhrakhamis7675 5 жыл бұрын
@@edwardsichilengwe2330 nimewaelewa lkm nimemjibu uyo alisema yesu ndo haki ya dunia
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
@@nadhrakhamis7675 sawa my dea, mi mkristo ila kila dini ni njema machoni pa mtu. Mungu haangalii we na Yesu wako wala mohamad ispokuwa matendo yako. Mimi kwangu dini zote ni bora kwa mwny dini, wazazi wng wangekuwa waislam ningekuwa muislam so swala la dini ni swala la kiimani sana
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 жыл бұрын
Ambao wangeweza kuishi Korea ya kaskazini kama mim, gonga like hapa tujuane.
@neemamayco3238
@neemamayco3238 5 жыл бұрын
C kweli
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Edwin Alexander tuko pamoja
@zakhilamanzi2006
@zakhilamanzi2006 4 жыл бұрын
Uyu MTU sio mzur akiwaza kukuuwa ajipapasii...!!!
@abasmzeebabamiminakukubals3230
@abasmzeebabamiminakukubals3230 4 жыл бұрын
Ww
@feysal8604
@feysal8604 4 жыл бұрын
Mmhhh labda useme wavuta bangi mjuane...weeeeee mashart magumu hivyo?
@robsonwisdom4025
@robsonwisdom4025 5 жыл бұрын
Nashukulu mungu kwa kuzaliwa Tanzania mana yajayo
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 5 жыл бұрын
Jamani wale ambao wanaamini kuwa wanaweza kutoboa maisha ya KOREA KASKAZINI mpaka mwisho... Tujuane kwa like
@saidmawazo7680
@saidmawazo7680 3 жыл бұрын
Nakama ndo ipo ivo ni noma sana
@muhameeimamu677
@muhameeimamu677 5 жыл бұрын
Mm nmeipenda iyo ya kutembe na demu wako respect sana
@kilimanjaro_media
@kilimanjaro_media 5 жыл бұрын
Anayesema kuwa hii story ingesimuliwa na Ananias Edgar ndo ingenoga zaid Fanya kugonga like kama zote
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 5 жыл бұрын
Kabisaa ingelinoga sanaa Sijuwi kwanini hawakumpa hii story
@iddynyaihere5424
@iddynyaihere5424 5 жыл бұрын
Nawapenda sana global tv mko vizr
@marympemba2878
@marympemba2878 4 жыл бұрын
Mtangazaji kazi yako nzuri na unaijua kweli kweli
@mohamedkassimu8789
@mohamedkassimu8789 5 жыл бұрын
Endeleeni kuchimbua asili ya Nchi mbali mbali hongereni global tv
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 жыл бұрын
Asante mungu kwa kuzaliwa tanzania
@prosperswai490
@prosperswai490 4 жыл бұрын
Uyu rais ni noma sana ndo maana corona haijagusa nchi yake na alitangaza kuwa mtu atakae kutwa na corona hana haki yake ni chuma tu
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 8 ай бұрын
😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saidomar6806
@saidomar6806 4 жыл бұрын
Mungu mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa ni Allah na Muhammad nimtume wake na Issa yaan Yesu ni mjumbe wake pia Hivo tulielewe vyema stay safe and your family Corona is Dangerous virus From Tanzania🇹🇿🇹🇿
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Allah ni Mungu wa Waarabu, Muhammad ni Mtume wa Waarabu acha kujivuruga
@happinessmillanga982
@happinessmillanga982 4 жыл бұрын
Nani anarudi mara ya pili ni Muhammad au YESU?
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
@@happinessmillanga982 Anarudi anaenda Wapi Africa ama Israel kwao??? Izo ni story za alinacha hakuna Yesu anarudi.
@jouzemussa5505
@jouzemussa5505 4 жыл бұрын
Amin unachokiamin kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyew
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Achaneni naye huyo.. Hayupo tofauti na sheria za korea kaskazini maana wao wanaamini katika mambo ya kihuni tu
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo 5 жыл бұрын
Simulizi yako nzuri sahuti nzuri pia bigup kaka
@chamblainreuben7431
@chamblainreuben7431 3 жыл бұрын
San kaka anasauti nzur san kam mtafsili
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo 3 жыл бұрын
Nilihipenda
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo 3 жыл бұрын
Nina Jaribu ku copy siwezi
@solomonimkwere498
@solomonimkwere498 5 жыл бұрын
wasioo weza kuishi Korea kasikazini tutuane
@mhojamalekana1724
@mhojamalekana1724 5 жыл бұрын
hahahahaaaaaaa balaaaa
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 5 жыл бұрын
Siwezi
@berry9kazoro256
@berry9kazoro256 4 жыл бұрын
Duuh!!,,, Niatar
@abuuhashim9971
@abuuhashim9971 4 жыл бұрын
Me hapna xiwez
@Offical_neyvoice
@Offical_neyvoice 4 жыл бұрын
Siwez
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 5 жыл бұрын
Kwako zuri kijitengemea safi sanaa,nimependa sana
@pendomvungi6538
@pendomvungi6538 4 жыл бұрын
Nmeipenda hyo sheria ya kuvuta bangi sana
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@sele2507
@sele2507 5 жыл бұрын
Kila mtu anataka like hamtoi hamtoi mawazo
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Yani nishida hawa waomba like
@nassoromussa4440
@nassoromussa4440 8 ай бұрын
Hebu jaribu kufikiria Yale maisha tuliyoishi vjjni zamani hakuna shda chakula, hakuna magonjwa tuliyoletewa na wazngu, no stress ila ulivyoingia utandawazi wa wazungu ndoa hazieleweki, ushoga, usagaji, kujinyonga watu kupitia movie kwaiyo Korea kaskazn waliyajua na msichokijua wao ndo wanaishi vzr kuliko sisi tunaosema hatutamani maisha yao. Mfano wao waliamn Corona ni shetan aliyetengenezw na wazngu hvyo ukiingia umetumwa utakufa ni sawa na sisi tulivyoletewa na wazngu Sukari, Ukimwi, magonjwa mengi ya zinaa, cjui UTI yametoka wapi mbona zaman kulikuwa hamna .
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 жыл бұрын
Waliojikuta hawatamani kwenda hata bure tujuane hapa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Niko hapa
@aminamustapha1724
@aminamustapha1724 3 жыл бұрын
Labda wanipeleke kwa uchawi
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 9 ай бұрын
Naipenda sana tena Sana Korea kskzn.
@AzizaHussein-wq8ql
@AzizaHussein-wq8ql 8 ай бұрын
​@@jumamustapha8254😢😢😢😢 mungu akulinde
@justinbara6783
@justinbara6783 8 ай бұрын
Mimi nitaenda lakini Korea Kusini kule hakunaga mambo mengi sana
@Baraka-wo9rw
@Baraka-wo9rw 6 ай бұрын
Yesu kristo atawaponya babang
@saidydoe9260
@saidydoe9260 4 жыл бұрын
Hii sio nchi ya kuishi kabisa
@Jojo-princess-x1z
@Jojo-princess-x1z 5 жыл бұрын
Number 4 💪
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 4 жыл бұрын
Mm Katina yoote nimependa vitu viwili 1.Kukataa haya madini ya kuletewa. 2.Kuruhusu bangi.
@حميدالكيومي-د7ظ
@حميدالكيومي-د7ظ 4 жыл бұрын
K
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 5 жыл бұрын
Kumbe ndo maana marekani alitaka kuchokoza vita akashindwa 🤣🤣
@japhetpaul8132
@japhetpaul8132 4 жыл бұрын
Salim Mohamed Salim Raivan
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😉
@tiktokboy6791
@tiktokboy6791 4 жыл бұрын
Dah asante sana kaka nashkuru bora nishindwe kaburini kuna sheria zake lakini sio Korea
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂😂 hatr na nusu yake
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hhusseinsherally8554
@hhusseinsherally8554 4 жыл бұрын
Safi sana Lakini mbona unarudiarudia dini umesema zaidi ya mara mbili pia unasema hii ya mwisho lakini bado unaendelea bro acha kuchanganya kuchanganya
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nasemaje asant Mungu kwa kuzaliwa tz tz ni laha tuu afrika nzima tanzania laha tuu nasema mataifa ya kitajili mengi ayana amani bola sisi masikin tunakula lahaa atali Mungu ametubalik fraha na kila kitu asante Mungu
@neemamayco3238
@neemamayco3238 5 жыл бұрын
Kwel
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Jifunze tofauti basi ya R na L huenda kwenye kuongea kwako ukawa una tatizo hilo ila ni la kimaumbile na ni ngumu kulirekebisha🙏🙏ila kwenye kuandika unaweza kabisa kulirekebisha.Laha(Raha) utajili(utajiri) bola(bora)baliki(bariki)
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 4 жыл бұрын
We mjinga kabisa unajua nch ngapi hapa afrika? Ulizia maisha ya Botswana, uliza Maurtius uliza cychelas .!!
@chamblainreuben7431
@chamblainreuben7431 3 жыл бұрын
Asante YESU kwa kuw mtz
@AzizaHussein-wq8ql
@AzizaHussein-wq8ql 8 ай бұрын
​@@Pedeshee01😢😢😢😢😢 acha bwan mwenzio ajiskie amni😮
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 5 жыл бұрын
Izo ndosheria za Musa Sasa ,,watanzania wengi wanaweza kuhishi Korea sababu ya bangi tu
@documentariestvshow
@documentariestvshow 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@gloryren7162
@gloryren7162 4 жыл бұрын
😂😂😂
@rajabundonyi32
@rajabundonyi32 4 жыл бұрын
benson a Q Qàààà11
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣
@sultansaidisaid-ft6yv
@sultansaidisaid-ft6yv 8 ай бұрын
may almight lord give you long life his excelence
@taucymadebe7133
@taucymadebe7133 4 жыл бұрын
Duuuuuh, nchi nzima ni wavuta bangi😃😃😃😃😃😃😃
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 2 жыл бұрын
Hiyo safii, Ila kwa wavutabangi wamewaweza wavute mpaka waoge zingine kichwani,pangekuwa ha tz duuuuh,sijui tuuu🙉🙉🙉🙉🙉
@boazambokile7060
@boazambokile7060 4 жыл бұрын
Upo vizuri boss
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 7 ай бұрын
Asante maana nilikuwa bize kutafuta passport yakwenda Korea🇰🇷2026 sasa nageukia upande mwingine Mungu Akubariki ❤❤
@suzanakabatano6581
@suzanakabatano6581 8 күн бұрын
Hii ni Korea nyingine hiyo uliyo weka bendera yake Ina amani kabisa na wapo huru Kuna south Korea 🇰🇷 na north Korea 🇰🇵 na north Korea ndio inayo semwa sasa hivi Ina masharti sanaaaaaa
@omaryjuma4668
@omaryjuma4668 5 жыл бұрын
bless sauti ya ghetto.... darboi
@arunamwaholi1351
@arunamwaholi1351 5 жыл бұрын
Jamaa nomaa sana kungozana na mpenzi wako barabarani azabu yake huiwezi kuihimili hata kidogo daa hatari sana
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 4 жыл бұрын
Safi Sana, na sisi Tz tungekuwa na misimamo ya mila na desturi zetu.
@ablysonco8850
@ablysonco8850 5 жыл бұрын
KWELI HAWA WOTE N WAVUTA BANGE MAANA SHERIA ZAO TUU ZIMEKAA KBANGE BANGE TUU MWANZO MWISHO....
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Umeonaee
@ablysonco8850
@ablysonco8850 5 жыл бұрын
Yaah! Najma we mwenyew siumeona mambo yao yaan n balaa tupu...
@kamanda007
@kamanda007 5 жыл бұрын
Hakuna tofauti na bongo mnajidanganya tuu
@neemamayco3238
@neemamayco3238 5 жыл бұрын
Umeona eeh
@elizabethmarwa2472
@elizabethmarwa2472 5 жыл бұрын
Heheeeeee
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 жыл бұрын
Ebu fikiria ingekuwa umepigwa marufuku kuingia Dar hii ingekuwa noma sana.
@zach4068-c9e
@zach4068-c9e 4 жыл бұрын
Daah bora nilivo zaliwa Tanzania
@arunamwaholi1351
@arunamwaholi1351 5 жыл бұрын
Kwenye sili hapo ndo marekani wameshindwa had leo jamaa hawaingiliki kabsa japo wavuta bangi wako makini na kutunza sili zao
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 4 жыл бұрын
Kwani Bado inatawaliwa na makaburu??haijapata Uhuru Wake duu!!ni shiida ndani ya shida 😁😋😁🤒🇹🇿🙏🙏
@micamathew2595
@micamathew2595 4 жыл бұрын
Dahhhhh hii nchi ni ya kipumbavu
@amanhassan7460
@amanhassan7460 4 жыл бұрын
hyo number 7 sheria ni nzuri
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Sheria nyingn Safi mpk Marekan mwenyew mjuaji kashindwa
@anorderick7162
@anorderick7162 2 ай бұрын
Hiyo kumi 17 nimeipenda sana...
@aishamustapha7381
@aishamustapha7381 4 жыл бұрын
Mmmh!!kweli noma sana
@robertmrosso2901
@robertmrosso2901 4 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri
@angerolucas5203
@angerolucas5203 2 жыл бұрын
Mapenzi ya Ina na angero😍😍😍😍😍😍tupa kule🏇🏃
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 5 жыл бұрын
Kama hakuna sheri uliyoipenda gonga like apo
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 7 ай бұрын
Wako vizuri mno
@beliusdaud4866
@beliusdaud4866 4 жыл бұрын
Daaah that is very crucial to know
@shabanipili4919
@shabanipili4919 4 жыл бұрын
Nampenda huyu rais
@kevinmasinde6699
@kevinmasinde6699 4 жыл бұрын
Cheers kim
@tresorkingombe6230
@tresorkingombe6230 3 жыл бұрын
Napenda ih yocheriya yakutokuwa nadini wamefanya vizuri madininiya uongo Awa watu awataki danganyiwa nawazungu awataki
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 4 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha ha kweli kazi ipo vyote vizuri ila tatizo Mambo ya Mungu wamenyimwa haki
@saidiyusuph964
@saidiyusuph964 4 жыл бұрын
Hongera,sana! Ila nawachukia wanaobeza wakati hawajui chochote!
@magembemartinimartinimagem5269
@magembemartinimartinimagem5269 4 жыл бұрын
Nice
@bongecabd
@bongecabd 2 ай бұрын
Ningependa kuishi huko hata tv sitski
@joelmussa2701
@joelmussa2701 7 ай бұрын
Wapo vizr😅
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 жыл бұрын
Kwa mfano nikiambiw nichague nchi ya kuishi mbali na tz mi nachagua korea 🤣🤣
@reubendick4033
@reubendick4033 5 жыл бұрын
Nashukuru kuzaliwa tanzania
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Bangi ajawai mwacha mtu salama sheria bangi ikatungwa na wavuta bangi mambo moto mjini akuna kukaha kama auna kibali korea shikamo 😂😂😂😂bangi bangi achie korea peke dio wanaweza kuivuta na kuifanyia kazi
@hassanmkungile6021
@hassanmkungile6021 3 жыл бұрын
Korea kaskazin ndomana inawakimbiz wengi watu wanaikimbia nchi yao huo n usenge 🙌🙌 mamae nchi nzima wavuta bangi😂😂😂😂
@kauresand8181
@kauresand8181 5 жыл бұрын
Looo bora nilivyo zaliwa Tanzania maaana😕😕
@saidathumani913
@saidathumani913 5 жыл бұрын
kaure sand duh!!
@Urgrlnut18
@Urgrlnut18 3 жыл бұрын
Tanzania sihami😂😂😂😂😂 Korea noma😅😅😅
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante studios
@juliusmugyabuso7560
@juliusmugyabuso7560 4 жыл бұрын
Walioona anatembea na miez 3 hawawezi kuthibitisha miaka yake? Pasipo kujua tarehe?
@taucymadebe7133
@taucymadebe7133 4 жыл бұрын
Hahahahahaaa, no kubusu no ku'hag daah!! Ingekuwa bongo mbona ingekuwa ni noumaa
@lauedwardwilliam8582
@lauedwardwilliam8582 4 жыл бұрын
Kwenye TV ya serikali noma sana😂😂😂😂
@salvatorymboya704
@salvatorymboya704 4 жыл бұрын
No ubaguzi haufai
@aronpaul2331
@aronpaul2331 3 жыл бұрын
Mbona ni noma.sana.
@johnlihawa4145
@johnlihawa4145 3 жыл бұрын
Duuui aisee uongo mwingi sana kwenye takwimu hapo.. Jipangeni
@bama9271
@bama9271 4 жыл бұрын
Hatari kweli
@JumanneJoseph-jo4yc
@JumanneJoseph-jo4yc 9 ай бұрын
Bora ata nngezaliwa huko mana sheria zao nzuri sana c huku TZ
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 жыл бұрын
Siyo kweli kuhusu biblia,korea kaskazini kuna makanisa,mambo mengi unayosema hapa ni copy and paste toka kwenye propaganda za marekani
@magretangel5242
@magretangel5242 5 жыл бұрын
Kama unamtaka/umemiss Ananias Edgar tujuane 😎😎😎
@kissomundende3696
@kissomundende3696 5 жыл бұрын
Mambo uko pouwa mage.... naomba unicheki number zangu hizo 0719619494
@titomhagama5545
@titomhagama5545 4 жыл бұрын
Najiskia upwekee kutosikia Edgar voice
@Chemba67
@Chemba67 5 жыл бұрын
Asilimia 100 ya taarifa yako umekopi toka ktk media zinazoendeshwa na wamarekani au watu wa magharibi zimejaa majungu na propaganda na siasa chafu. Fanya tafiti ili uandike mwenyewe ulichokishuhudia. Hakuna ukweli wowote ktk mengi uliyoyasema........tulikua huko last summer .........
@issahajji1815
@issahajji1815 5 жыл бұрын
Saidi Mohamed acha shobo
@Chemba67
@Chemba67 5 жыл бұрын
@@issahajji1815 Shobo au ndio ukweli mzee wa Shobo
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 3 жыл бұрын
Sheria namba 17 ingekuwa Tanzania tungepunguza ukimwi
@zuukhayrah6621
@zuukhayrah6621 3 жыл бұрын
Mm nimependa kua hakuna ukristoo mana si dini hta km uislam haupo nao ila ukiristoo umekanwa wazi wazi noma kweliiiiiii
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Nimeipenda korea kwa marijuana, kushikanashikana na hiyo issue ya dini..... Zingeletwa na tz tu tuenjoy.
@kingafrojr6970
@kingafrojr6970 5 жыл бұрын
I see hatareeeeeeeeeeeeee yani motoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mustafamchucha4199
@mustafamchucha4199 3 жыл бұрын
northen Korea wananchi wafungwa kiongozi ckyama motoniwako
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 3 жыл бұрын
Twamasiku mpoki nguponiya🤗
@Aakhar-z3c
@Aakhar-z3c 9 ай бұрын
Usisahau na za kwenu tanzania uchaguzi unasimamiwa na wakurugenzi wa serikali husika Tume ya isiyohuru na matokeo kumiywa.
@BenKiba04
@BenKiba04 4 жыл бұрын
Hiyo nchi ndio Wana enjoy maisha kwasababu wanajipangia wao safi
@mustafamchucha4199
@mustafamchucha4199 3 жыл бұрын
kuanaakilimpuuzi utakulavi
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Corea ya kaskazini safi sana wallah raha sana kuishi
@mudimkongo4632
@mudimkongo4632 4 жыл бұрын
Uko atar sana
@rashidbakari4882
@rashidbakari4882 5 жыл бұрын
Natamani izo Shelia ziwepo Tanzania hasa uhuru wa Kuvuta Bangi
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 4 жыл бұрын
Mucheki jiva ana ngoma kali
@JumanneJoseph-jo4yc
@JumanneJoseph-jo4yc 9 ай бұрын
Hii no 17 nmeipenda mana hapa TZ wangeletaa ili tupunguzee ukimwii
@RehemaSalamba
@RehemaSalamba 6 ай бұрын
Hiyo 17 nimeipenda
@khalidali1130
@khalidali1130 5 жыл бұрын
Mimi nchi ingenishnda ..hata ile ck moja nsingeweza kuushi kabisa bora uwe mfungwa wa Tanzania
@mustafamchucha4199
@mustafamchucha4199 3 жыл бұрын
nendambele kwamatupac siokwawafup nishida
@ramadhankondo4643
@ramadhankondo4643 4 жыл бұрын
Kuna msikiti mmoja katika ubalozi wa Iran, ila wanasali foreigners only. Wakorea wenyewe hamna waislamu wala wakristo.
@wilsondomisian8680
@wilsondomisian8680 5 жыл бұрын
Iv mbona nchi nyingi mwafirka wamo kibao vip huko korea wapo
@kefaphilipo8060
@kefaphilipo8060 3 жыл бұрын
Sauti yako ni nzuli Sana Yaani na iipenda Sana
@princessttz1279
@princessttz1279 4 жыл бұрын
Aaaaa uko noma kuish uko bora ufe
@yohanacharles5758
@yohanacharles5758 4 жыл бұрын
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele
@mbanguluzito5496
@mbanguluzito5496 5 жыл бұрын
Upo sawa ila ananias edgars is the best
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 5 жыл бұрын
Yuko vzr tu.... maandiko yanasema LIIGENI LILILOJEMA
@theoniyonkuru6423
@theoniyonkuru6423 5 жыл бұрын
Ndio asimuliy hii tutaskiya raha
@miirajmohamed6352
@miirajmohamed6352 4 жыл бұрын
Sasa inahusiana nn na mada hii
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 8 ай бұрын
Hii nchi umbea hakuna ,uzinzi ,hakuna ubakaji ,hakuna ushoga ,hakuna ulawiti hakuna na mengi tu hapo ,bangi sio lazima uvute , shida tu wakristo hatutaweza kuishi
@noahlameck1564
@noahlameck1564 4 жыл бұрын
Wakristo wapo,zipo dini pia ata mitandao ya kijamii ipo aise
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Usiri wa nchi yao ndio maana Wamarekani wamewashindwa. Raisi wao mwenyewe nalingana nae😂😂😂😂
@ubwabwa1790
@ubwabwa1790 4 жыл бұрын
nimekubar
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kweli aisee Marekan anajifanya mjanj ila hapo kashindwa
@hussainomar1849
@hussainomar1849 5 жыл бұрын
NI KOSA KUINGIA MJINI BILA YA KIBALI HII NOMA SANA .
@mhojamalekana1724
@mhojamalekana1724 5 жыл бұрын
hapo ni majanga
@neemamayco3238
@neemamayco3238 5 жыл бұрын
Hahaaa noma kwel
@hisexcellencyhon.dandabeni84
@hisexcellencyhon.dandabeni84 4 жыл бұрын
hii sheria ni balaaa tupu.Hii nchi inamilikiwa na shetani 100%
@ramadhankondo4643
@ramadhankondo4643 4 жыл бұрын
Hii ni kweli bro, nimeshuhudia wakati nikiwa pale kikazi.
@stevensosipita
@stevensosipita 9 ай бұрын
SASA DAR ES SALAM NDO MJI MKUU WA TANZANIA?
@jimmymbella997
@jimmymbella997 2 жыл бұрын
Mmmh🤔🤔hii nchi sheria zake ni za ajabu sana tena za kibabe mno, haki za biandam wako wapi sasa! mbona hua wanapiga makelele sana huko hawaendi kuwatetea binadam🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sofiajackson9672
@sofiajackson9672 4 жыл бұрын
Hatareee sanaa
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
40:32
Global TV Online
Рет қаралды 2,2 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
TAZAMA HOTUBA YA TRUMP KWA KISWAHILI, ATANGAZA JINSIA MBILI TU MAREKANI
19:23
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 429 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН