MZEE ALIYEMPA KUKU HAYATI MAGUFULI, AFIKA CHATO KUMZIKA - "ALILETWA NA MUNGU, NINA MZIGO MKUBWA"

  Рет қаралды 168,648

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 256
@milkamugomo218
@milkamugomo218 3 жыл бұрын
Huyu mzee ana hekima kweli mungu akujalie kila unachoomba kwa mwenyezi mungu
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Aamin
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Sanaa.amen
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 3 жыл бұрын
Amiin
@integerconsulting9344
@integerconsulting9344 3 жыл бұрын
What a wonderful elder. May God bless him and his family.
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 3 жыл бұрын
Jaman sikuwaona akina babu seya namwanae 2
@athmanihaji7771
@athmanihaji7771 3 жыл бұрын
Anaweza Sana kuwa kiongozi mzuri mfano wa mwendazake
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
Amen
@frenkreuben5650
@frenkreuben5650 3 жыл бұрын
Big Up mzee Kimbwembwe. Una roho ya upendo. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
@sharifabwamkuu5075
@sharifabwamkuu5075 3 жыл бұрын
Hongera mzee kimbwembe umewakilisha Lindi yetu na kilwa pia, kufika chato ni ushujaa na mapenzi makubwa sana
@aloycesamba998
@aloycesamba998 7 ай бұрын
Mzee unaupendo sana,mungu akubariki sana
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Mzee anaongea maneno ya busara huchoki hata kusikiliza maashallah Allah ampe umri mrefu inshaallah
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Umeongea kweli
@ahmedh9882
@ahmedh9882 3 жыл бұрын
Amin
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Kabisa yani nilimsikiliza dar na huyu ndo alimuoji yani nimependa mno
@neemaruben6531
@neemaruben6531 3 жыл бұрын
Kabisaàaaa
@labnalast7551
@labnalast7551 3 жыл бұрын
Masha allah mzee umeongea kitu kizuri Sana mungu akubariki
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Uyu baba nimempendaaa.MUNGU ambariki sana kwa kuja kumzika mwanae.maguful wkt yupo hai.alisema uyo atakua baba yake.amen amen amen
@msetijacklinegmail.commset3093
@msetijacklinegmail.commset3093 3 жыл бұрын
Msingi mzuri wa malezi ya heshima,upendo wa dhati na yenye utu na uzalendo wa kweli.Mbegu iliyopandwa Kwenye udongo mzuri ikatuzalia matunda ya kazi njema,wajibu,haki na usawa kwa kumtanguliza MunguBaba kwanza.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
Mzee kimbwembwe umenifurahisha sana juu ya kauli zako. Umeweza kufika CHATO KUMZIKA BABA YETU TENA UMEFUATANA NA MKEO HONGERA SAAAAAANA. BARIKIWA.BABAAAA UKO VIZURI KIMAWAZO KABISA.
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Mzee Kimbwembwe nampenda kwa Ajili ya Allah!!
@clementiddi6244
@clementiddi6244 3 жыл бұрын
Tunahitaji sana wazee kama hawa kwenye jamii yetu.
@bakarirutengwe3036
@bakarirutengwe3036 3 жыл бұрын
Na wewe ALLAH AKUPENDE.
@charlesaketch3264
@charlesaketch3264 3 жыл бұрын
Sasa yametimia kuwa mzee kimbwembwe amefika chato maajabu mungu amenijibu maombi na masomo yangu amen barikiwa mzee mungu akipenda nikutane nawe tuombee amen
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 3 жыл бұрын
Duuh kumbe babu hd chato kafika mungu akutie nguvu babu tupo pamoja kwenye majonzi Mazito 😢😢😢
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 3 жыл бұрын
Nimefarijika sana kumuona mzee Kimbwembwe amefanikiwa kumzika Rais wetu mpendwa. Mzee aa mapenzi ya kweli kwa Magufuli na ana busara ya hali ya juu. Mungu akutunze mzee wetu.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Maashallah Imani ndiyomsingi WA kilakitu Mungu yupo in Allah maswabirin
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
Safiii sana. Asante MZEE WETU kwa kuja CHATO KUWA PAMOJA NASI. MUNGU AKULINDI KWA MOYO WAKO SAFII. UBALIKIWE BABA
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 3 жыл бұрын
Pole baba MwenyenziMungu amrehemu rais 💔
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 3 жыл бұрын
Baba ana hekima sana mungu akupe maisha marefu insh'allah baba ipo siku nita kuja kuuona nikija tz
@sinailarajabu6111
@sinailarajabu6111 3 жыл бұрын
Mashaallh yani hua huchoki ukimuangalia uyu mzee mashaallh mungu ampe maisha mlefu
@marrymenas
@marrymenas 3 жыл бұрын
Safi sana Babu, umenipa amani moyon mwangu, kwamba Maguful alishamaliza kazi yake ndio maana Mungu kamchukua. Pumzika kwa aman Baba. 🙏
@azizairakoze1230
@azizairakoze1230 3 жыл бұрын
Yaani babauyu anaongeya vizurisana mungu ampekilalaheri amiina
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 жыл бұрын
Mzee nampenda huyu anajiamini mno ningependa apewe japo mwenyekiti wa kijiji huko kwao
@binbaya923
@binbaya923 3 жыл бұрын
Nikweli ndugu, anaongea kwa kujiamini na wala sio limbukeni wa kamera anaongea kama mzoefu. Mola ampe mwisho mwema
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Maashallah Baba kimbwembwe una mapenzi ya zati 😭😭😭🤲
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
safi sana mzee wangu, mungu mbele.
@rosemaryalex3152
@rosemaryalex3152 3 жыл бұрын
Mzee Mungu akubariki akuongenze imani
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
NILITAMANI SANA KUMUONA AFIKE JU MAOMBI YAKE ALISEMA HANA PESA ILAANA TAKA KUFIKA CHATO KUMUAGA MR PRESENTS MAGUFULI I'M SO HAPPY FOR THAT REST IN PEACE🇰🇪 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇨🇿
@raziaidd2392
@raziaidd2392 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah umeaema ukweli kabisa Allah akupe maisha mema
@happysanga6595
@happysanga6595 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mapenz ya kweli na rais wetu😭😭🙏🇹🇿
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Mungu akujalie mzee,tulikuona Siku ile unatoa joogo mkubwa,na mwanafunzi akapewa Ml.5 za shule ya Msingi Somanga.
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 жыл бұрын
Mzee upo vizuri na umejitoa sana çhato mbali
@omarisarai7699
@omarisarai7699 3 жыл бұрын
Swadakata baba,Mungu azidi akuongoze katika njia hiyo ya imani Inshallah
@rabbithare381
@rabbithare381 3 жыл бұрын
Wonderful and smart old man.. Very impressive speech... Poleni
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
👍🏼👌🏿 nimempenda kwaajili ya Allah huyu mzee natumai kwa uwezo wa mungu siku moja nikipita Somanga kwenda nyumbani masasi nitamtafuta inshallah naomba namba ya huyo mzee please 🇨🇭🇹🇿🇹🇿
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Mzee kimbwembwe mwenyezi mungu akubariki sana baba,,Big up mzee
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 3 жыл бұрын
MashaAllah. Wazee kama hawa siowengi wakumtanguliza mungu.weengi wao wamejjaa uchawe
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Mtazamo wako kwani mtu akizeeka anakuwa mwanga?au wewe kwenu wanga watupu.
@kashindijohn5145
@kashindijohn5145 3 жыл бұрын
Wow we need elders like you my grandpa 👍👍👍👍👍❤️❤️👍👍
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Jamani wananchi wenzangu wa pendwa tumchangieni huyu mzee japo nauli. Mnaonaje
@omarkimbwembwe9251
@omarkimbwembwe9251 3 жыл бұрын
Kwel jaman
@omarkimbwembwe9251
@omarkimbwembwe9251 3 жыл бұрын
0787706014 Namba yake hiyo
@hamidahamadi6488
@hamidahamadi6488 3 жыл бұрын
@@omarkimbwembwe9251 asante sana
@omarkimbwembwe9251
@omarkimbwembwe9251 3 жыл бұрын
@@hamidahamadi6488 sawa uyo ni brother na iyo ndio namb yake mm naish mwanza ata jana wakat anatoka dar mm ndio nilienda kumpokea stend Nyegezi maana yeye ni mgen uku
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Nitumie namb yake ya Simu
@athmanihaji7771
@athmanihaji7771 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Mzee wetu amejaaliwa ufasaha na hekma katika uzungumzi wake utadhani nimaneno anayasoma
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Yaan anajua kuongea Maa sha Allah!!
@mohammedsururu4047
@mohammedsururu4047 3 жыл бұрын
Mzee kimbwembwe Big up
@athmanihaji7771
@athmanihaji7771 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Mzee anaweza uongozi mfano wa uongozi wa mpendwa wetu Rais John pombe Magufuli,Rais mpya angempa nafasi bungeni au kazi yoyote ya serikali kama mtetezi wa haki za binadamu
@zozonaamani9719
@zozonaamani9719 3 жыл бұрын
Mzee anahikma. Utu. Upendo. Msema kweli. Allah ampe maisha Mema na mkewe wake. Na Familiya na kijiji a apo eshi Namfatiliya nampenda,, muomani from Oman بارك الله لك يا شباب 🇴🇲🇴🇲
@HhhHhhh-yc9hf
@HhhHhhh-yc9hf 3 жыл бұрын
Mzee yupo vinzuri safi sana umenifrahisha
@elishamrimi3549
@elishamrimi3549 3 жыл бұрын
Mungu ailinde Tanzania
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 3 жыл бұрын
Mzee nimempenda uyu🤩 anatia raha sn ana mapenzi ya kweli
@Waky-h8u
@Waky-h8u 3 жыл бұрын
This reporter should make a quick fundraiser for this old man's return fare. Pls forward this clip to the Presdent. H. E. Suluhu. Maneno ya Busara sana hapo Mungu kamchukua Baba.
@Byoshifidel
@Byoshifidel 7 ай бұрын
Hongera mzee wangu
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Huyu mzee alimpenda sana Magufuli .
@MarieHeleneEtienne-bf9ub
@MarieHeleneEtienne-bf9ub 5 ай бұрын
no speech less mzee wa point
@clementiddi6244
@clementiddi6244 3 жыл бұрын
Pole sana mzee wetu, maneno yako yana hekima.
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
Mzee wangu una hekima sana Mungu akuinue zaidi na akupe maisha marefu.
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Baba upo vizuri mno
@zubedachao3970
@zubedachao3970 3 жыл бұрын
Mzee maneno yako kuntu ♥️♥️
@peterokalo9632
@peterokalo9632 3 жыл бұрын
Asante 👏🏽🙏🏽 baba mzee That was true ukiona mtoto wakiwa n’a matambia vyema uwa kuna muzazi au wazazai wako nyuma
@xjxjxnxn2673
@xjxjxnxn2673 3 жыл бұрын
raisi wangu alipenda hadi watu wa kiwango cha chini,mungu naomba umpokeee kwako raisi magufuli,siyo kawaida kuwa na rahisi kwa huyu africa nzima alikuwa yy tu na ashaondoka,asante mungu mapenzi yako yametimia
@satiajobdesmond3388
@satiajobdesmond3388 3 жыл бұрын
Mzee yupo vizur sana mashalaaah nathamani apate nafs serikalini ajenge hoja
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
Nimefurah sana hakka, Mungu akurnde daima milele Mzee wa busara
@omarymtamajika6947
@omarymtamajika6947 3 жыл бұрын
Nakukubali sana father
@omarkimbwembwe9251
@omarkimbwembwe9251 3 жыл бұрын
Hongera kaka umeongea maneno ya busara sana hakika ww ni kichwa cha familia yetu
@mzeewamadodoso1816
@mzeewamadodoso1816 3 жыл бұрын
Big up
@magenierick5939
@magenierick5939 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee unaonekana unamtanguliza sana Mungu kwenye maisha yako, umeongea vizuri sana sana. Barikiwa sana.
@binbaya923
@binbaya923 3 жыл бұрын
Hongera Mzee wetu. Unaongea kwa umakini na kujiamini kama mzoefu wa kamera. Mola akupe umri mrefu na mwisho mwema
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 жыл бұрын
Nilikuwa sikuelewi leo nimekuelewa uko vizuri mungu akusimamie Sana mzee
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 3 жыл бұрын
Aisee mzee hongera Allwah akuzidishie akili na afya njema, akili, elimu busara na hekima zako ni tunu hata kwa jamii iliyokuzunguka Allwah akufanyie wepesi riziki zako Aamiyn 🤲🤲🤲
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 жыл бұрын
Umeongea vizur sn babu yangu
@tangainyawa6620
@tangainyawa6620 3 жыл бұрын
Mzee SMART sana kwa maongeo yake....very CONFIDENT na pia anafrahisha anavyoongea. Big Up mzee Kimbwembwe.
@andrewsaidesalmo3087
@andrewsaidesalmo3087 3 жыл бұрын
Huyu mzee ni wa kweli. Hongera sana kwa hoja kubwa aliyo telemsha. Kweli Magufuli alikuwa mtu wa watu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
@annaanyosisye8682
@annaanyosisye8682 3 жыл бұрын
Ndiyo babaaaaa.mungu akusaidie
@separatebetres5315
@separatebetres5315 3 жыл бұрын
Namkubali mzee jamani mungu amtunze,amuepushe na matatizo ya dunia
@godfreyjokala9823
@godfreyjokala9823 3 жыл бұрын
Mzee pole💁
@kudisalashija9823
@kudisalashija9823 3 жыл бұрын
Hongera sana mzee kwa upendo na hekima yako. Mungu akuzidishie ulipotoa
@omarathman3827
@omarathman3827 3 жыл бұрын
Huyu mzee ana hekima sana ateuliwe hata japo mjumbe.
@mussakituku4190
@mussakituku4190 3 жыл бұрын
Nakubali mzee kimbwembwe.
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Huyu mzee angependeza kua mbunge jmn au mnasemaje
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 3 жыл бұрын
Subhanallah
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 3 жыл бұрын
Allah akuhifadh insha'Allah
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu kwa upendo kwako .mungu akujalie sana tens sana
@hassanjuma6254
@hassanjuma6254 3 жыл бұрын
" Mungu Mbele " mzee hakiyamungu bado anaendelea kutumia busara zake, mzee yuko sahihi mno juu ya neno la imani.
@queenjayztz8615
@queenjayztz8615 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️Babu
@medadihoza8099
@medadihoza8099 3 жыл бұрын
Pole Sana baba mungu ata kupigania
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Mungu tujarie
@mustafamaulid8276
@mustafamaulid8276 3 жыл бұрын
Mzee kimbwembwe umeonesha upendo na uzalendo wajuu kabisa mungu awabariki kilwa
@aminaathumani3148
@aminaathumani3148 3 жыл бұрын
Inshaallah hiyo point babaangu
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 3 жыл бұрын
"Hekima ni Bora kuliko Elimu "
@brendahnamfukwe1281
@brendahnamfukwe1281 3 жыл бұрын
Kweli Baba Mungusi mbele
@nicholasirunguofficial7714
@nicholasirunguofficial7714 3 жыл бұрын
From kenya ..pliz help mzee
@annayakobo7686
@annayakobo7686 3 жыл бұрын
Mzee yuko vizuri
@faumamakwaia5095
@faumamakwaia5095 3 жыл бұрын
Umeongea point lkn nimefarijika na maneno ya busara ya kutia moyo mungu akubariki sana
@aloismwenda8975
@aloismwenda8975 3 жыл бұрын
Jamani nimeonana na huyu mzee hapa Chato akiwa anajiandaa kurudi Kilwa. Mungu ambariki, nimeguswa sana ikabidi nimchangie nauli namba yake ni hiyo hiyo iliyowekwa hapo chini
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 3 жыл бұрын
Huyu Mzee Safi sana
@sahraqaalib902
@sahraqaalib902 3 жыл бұрын
Naomba namba ya mzee kimbwembwe
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 3 жыл бұрын
Mzee una busara sana mungu akubaliki
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Big up mzee Kimbwembwe! Wa Somanga
@separatebetres5315
@separatebetres5315 3 жыл бұрын
Mzee jamani amefika??? Jamani mzee huyu wa busara na mkewe mungu awabariki mweeh wazazi wangu natani niende somanga nikawasalimie ,na sipajui mungu awabariki sana
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
💔💔
@niimasinan
@niimasinan 3 жыл бұрын
Kweli maneno yako mzee 🤗
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@silverpadana2138
@silverpadana2138 3 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana clever
@jumajuma2689
@jumajuma2689 3 жыл бұрын
Saf sana mzee
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 3 жыл бұрын
Nimefurahika sana moyoni kumuona mzee aliyempenda sana JPM kufika Chato kumzika Rais wetu...akina Wema kweli mmeshindwa kumsafirisha japo kwa ndege mzee Kimbwembwe anaporejea Dar??barikiwa sana mzee wetu kwa moyo wa upendo....R.I.P MAGUFULI
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Aliletwa na Mungu kweli.
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Kwa kweli wale madokta wachunguzwe vizuri huenda wametuulia rais wetu
@chikumuya8063
@chikumuya8063 3 жыл бұрын
Wallah mzeee anatia raha kumsikiliza hutamani amalize kuongea, Allah ampe afya njema na family yake.
@simontchaz5272
@simontchaz5272 3 жыл бұрын
Huyo mzee apewe cheo mara moja serikalini atafanya makubwa.
@tsaonethapelo6373
@tsaonethapelo6373 3 жыл бұрын
Poleni watanzania wenzangu mlioguswa na msiba huu ila baada ya maumivu tujiulize mzee wetu amefariki kihalali?
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 669 М.
HOTUBA YA MKUU WA MAJESHI KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI
15:21
Wasafi Media
Рет қаралды 64 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН