Yani hapo mnapopita sasa hivi panaitwa vwasuu alafu ukiabgalia kushoto kwenye hilo bonde ndio nyumbani kabisa vudee nilipokulia kwangu mimi ni kawaida nimekulia hapo
@yonahkazoka27353 жыл бұрын
CHOME pazuri karibu tena mtani
@zephaniakiboma29193 жыл бұрын
Barabara ya Tanga kwenda Bungu
@mako3312 жыл бұрын
Hawa wacha wakae hivyo hivyo ni uchaguzi wao, wanapewa kilo ya sukari wanachagua mbunge ambaye haonekani bungeni mpaka uchaguzi ujao
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
wapare wajanja mno wanataka kukaa juu view zuri hali ya hewa zuri wanawangalia madui vizuri enzi hizo za wakoloni wa kijeruma na badae waingereza
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
safu za milima ya upare yote hiyo zamani ilikuwa tanga kuanzia mwanga mpakasame ilifanywa kugawanywa na kurudishwa kilimanjaro😅😅😅😅ukienda lushoto ni hivyo hivyo
@latenitepiano3 жыл бұрын
Nenda milima ya Usambara si mbali na hapo, kule ndiyo uta ona na kujua rusha roho maana yake nini! Nadhani uki rudi kwenu salama, hauto rudia tena 🤣🤣🤣
@hancemagembe75543 жыл бұрын
Kweli naende hatarudia tena kwenda
@zawadimbwambo109110 ай бұрын
Sasa mnashukuru serekali .kwani hamkulipa kodi zenu? Ni sawa kutengenezewa barabar maana mmelipakodi. Shukurani nyingine ni uchawa au unafiki flani hivi. Huo umbali wa chome hadi same hata kama ni lami. Mama anaweza kujifungua njiani na mkifika same mtoto anaongea.
@cancelthisorder64653 жыл бұрын
Same nyumbani
@qwqw16653 жыл бұрын
Jamani tuchimbieni barbara tuinjoi
@fredymkanza3 жыл бұрын
Eti hapo wanasifia serikali siasa bhana!!!!🤗🤗
@zawadimbwambo109110 ай бұрын
Upumbavu na uchwa tu. Eti wamama walikua wanajifungulia njiani!!! Sasa huo umbali wa chrome Hadi same . Hata kama ni lami so moto anazaliwa mpaka mkifika same anaongea.
@CosmasBirigi7 ай бұрын
Panaitwa chome nimefika wilaya ya same
@jabirjabir46522 жыл бұрын
Nenda lushoto mtae au nenda soni vuga kuelekea kihitu halafu ukifika kihitu nenda sehemu inaitwa mkumbara wewe hujatembea tuulize sisi
@halimafazeli523 жыл бұрын
Ipo myingitu kilwa kipatimu ndoshinda iyo mbaya zaidi
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Kwani Kilwa kuna maeneo kuna milima ??
@emmanuelmsuya85782 жыл бұрын
Hhhhhh yani hapo unaambiwa imetengenezw ahuweniiii
@makindyeboy36243 жыл бұрын
Barabara tanga mombo kuelekea bumbuli ipo hivo
@justinecleophas29503 жыл бұрын
Yani iyo ndio imetengenezwa real?
@simonjustin59213 жыл бұрын
Duuh aisee hyo barbara ni hatar
@khatibabdi3 жыл бұрын
Duh!!! Sipiti hapo
@sskondopoleani96163 жыл бұрын
Mwanga Usangi???
@oswaldmakata80923 жыл бұрын
Hawa jamaa lazima waishi huko?
@sadickhemed33612 жыл бұрын
mwembe kwetu
@ndimimaskati36413 жыл бұрын
Imekuwaje barabara hatarishi serikali ipo wapi, haitizami Usalama wa wananchi.
@manwoka40783 жыл бұрын
Tunajenga fly over Dar es salaam kwanza, huko tutakuja kujenga 2030 mkinipa kura
@suleimanabdillah74903 жыл бұрын
Lazima kuwe na mpango endelevu,wa kudhibiti hii barabara,1)Uwepo mpango endelevu wa kuitanua barabara hii 2)Ni muhimu sana kutengeneza mifereji ya kuelekeza maji nyakati za mvua ndipo uharibifu napojirudia 3)Kiuhalisia barabara hii ya Chome na ile ya kuelekea Bwambo kupitia Saweni,zinahitaji msukumo wa makusudi sana
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Hawa mabbabu na mabibi walifata nini huko juu ???
@andreamndeme15392 жыл бұрын
UJINGAAAA MTUPU ETI MTU ANASIFIA GREDA BADALA WAWAZE LAMI