Kona izo tunazijua sana. Kubwa umakini na kutambua kila eneo uendapo safari. Wenye magari watengeneze magari yao. Ukiwa makini izi kona azina tatizo,napita kila mwezi mara 4 . Mungu mkuu aturehemu sote.AMEN.
@allymsega56392 жыл бұрын
Hapo pakawaida sana tofauti na zaman kbl hapajawekwa lami kuna barabara mbaya sn hlf rafu rodi ukitoka babati kwenda mbulu kuna mlima magara unakona kibao unapita juu ya mlima huk bonde na huku bonde barabara katkat
@swaumukadidi71242 жыл бұрын
Kuna Kona Kali Sana hapo Ila Kama hujawahi kufika unaweza ukazarau watu wakifikaga hapo kila mtu na maobi yake wa yesu nayesu wake wa mtume na mtume wake
@heyumi23402 жыл бұрын
😂😂😂😂
@heyumi23402 жыл бұрын
Dah niliwahi pita hizo kona ni hatariiiiiiiiiiii sana
@humphreyiddy29862 жыл бұрын
Am kweli sitaisahau kolo kwenye maisha yangu ni kumshukuru mungu sana nilinusurika sna
@zakiaferuz45612 жыл бұрын
Maeneo hayo sio mazuri Tena afadhali wameweka rami Kwa sasa tunaishukuru serikali 🙏
@MichaelMathew-j3f11 ай бұрын
Nendeni Magara huku pande za Mbulu. Ninyi hamuijui hii njia. Ukifanikiwa kupita mara mmoja tu, utasema sitawahi kujaribu kurudia kupita hii njia ya Magara. Ina kona zaidi ya mia mbili 200. Ndo barabara yenye kona mingi zaidi kupita barabara zote hapa Tanzania. Njoeni Mbulu, ukianzia Haydom kwenda Arusha, kupitia hapa Magara.
@AllyTingi8 ай бұрын
sio kona mia200 ban
@benderarulenge24772 жыл бұрын
Tatizo Ni madreva lakini barabara Ni nzuri sana,Bora uwenatahadhari kuliko kulibuluta gari,kwani ukitembea na gear ndogo kunatatizo gani,
@zarriaabushiri6612 жыл бұрын
bro gari ikipita salama iyo sehem unamshukuru m.mungu
@nyangehassan9022 жыл бұрын
Kona mbaya zaidi zipo Barabara ya Mbinga-Mbamba bay
@SongeaDistrict Жыл бұрын
Barabara nzuri Sana ukilinganisha na zamani
@wilfredelimeleki45432 жыл бұрын
kuna maeneo hatar zaid ya hayo,nyang'olo baada ya kutoka mtera,acheni uwongo tatizo hamtembei
@sereriadia63219 ай бұрын
Nyangoro ni kona tu lakini hakuna kuteremka wala kupanda tofauti na kolo,kolo ni kilima tena kikali kimesima inawezekana wewe ndo hujatembea kolo ni ya tofauti sana
@fumbokhan19132 жыл бұрын
Millard ayo Mmoja ni sawa na Wasafi Tv 200
@tinnymarty2 жыл бұрын
.from twitter to youtube 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@willyanastazi9115 Жыл бұрын
Hujawah kuona njoo huku kagera Kama unaelekea Uganda njia ya kuelekea Uganda panaitwa rwabunuka ndo atariiiiiiiiiiiiiii sas Zaid ya hizo
@safarimallya45362 жыл бұрын
Hivi Mmekosa habari auuuu duh nendeni upareni
@elihurumamatowo28722 жыл бұрын
Hapo pakawaida sana tena ni mlima na kona za kawaida sana. Dereva anaeshangaa happ huyo bado hajatembea. Kama una gari lako lina breki za kunjunga ndio itakupa shida. Tembelea njia ya kutoka kigali kwenda bugarama ndio utajua milima.
@josephlorri4312 жыл бұрын
Huyu dreva vipi,anaomba bumps na rasta barabarani.. watanue zaidi hii njia
@rambazojournalist6662 жыл бұрын
Yaani hapo mara ya kwanza kupita kwenda Arusha kutoka Mbeya du ni noma, pia kizunguzungu lazima ukipate.
@rajabually86592 жыл бұрын
Hapo mbona pazuri sana njooni mombo soni mjifunze kona zaidi ya kumi njia nyembamba kona nyingi
@jonasjackson9872 жыл бұрын
Kuna kitonga,kuna k9,kuna machinjioni rusumo sasa sijui kama hilo eneo ni hatari kuliko hayo maeneo niliyotaja
@johnfrankmputa9915 Жыл бұрын
Tuishukuru selikari ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuboresha miundo mbinu hasa barabara zetu zinapitika vizuri kipindi cha miaka ya 1990 waulize madereva wa new Arusha Mwanga star Mtei na Tashiriff ndio ambao wanaijua hiyo barabara vizuri na hapo Bonga walikuwa wanamwaga maji wanateka magari tuishukuru serikali ya Rais wetu Mh samia suluhu hasani kwa kuboresha miundo mbinu
@sadikibaruti4733 Жыл бұрын
Hapo kolo ikiwekwa mabamsi ndio itakua hatari zaidi. Nashauri hatazile zilizopo kule chini zitolewetu.
@nyangehassan9022 жыл бұрын
Kona zipo barabara ya Mbinga- Mbamba bay hizo za Kolo Cha mtoto nazifahamu
@nsajigwamwakalonge57022 жыл бұрын
Waambie hawajafika buruma kuelekea chunya mpaka mbaba bay
@arafathussein79102 жыл бұрын
Hajatembea uyuu,,anapajua nyang'olo na kitonga
@jabirjabir46522 жыл бұрын
Madereva wenu wazembe nende mombo kupandi Soni lushoto ndio utajua madeleva wapo tofauti Tena mwaka unaisha hakujatokea ajali
@mrh28122 жыл бұрын
Jaribu kutembelea eneo moja lipo RUKWA eneo muze ile bara bara sio poa mnapita pemben ya mlima kushuka chini sehem ilipopita bonde la ufa
@saimonijonas43562 жыл бұрын
Kuna sehemu nyingine inaitwa Mbinga Mbamba Bei.Ile barabara kiboko.
@ManzabaySalim Жыл бұрын
Corner kawaida sana kuna k9 ngara chiweta milima hio cha mtoto tu
@petershedrack46682 жыл бұрын
Jamani hebu nendeni Upareni huko Mtaona Mambo ajabu
@christopherdismas40922 жыл бұрын
Kuna maeneo hatari zaidi ya Kolo. Nenda Dabili, Magara, Nenda njia ya kwenda Usangi ukitokea Mwanga, nenda Kitonga,
@FatumaMohamedi-t6t8 ай бұрын
Kitonga usiseme mi nilipata homa sku ya kurud safari yangu nilipofikiria ile njia .
@frankmare17082 жыл бұрын
Kwa Babati nafikiri njia ya Dabil to Dongobesh hapo kwenye kimlima ndo mtihani
@billgussy6099 Жыл бұрын
Kabla ya kuwekwa lami ndo zilikua hatari sana
@shangwehalisi76592 жыл бұрын
aaah mbona barabara nzuri hiyo nenda Rukwa ukaone
@maryberege30932 жыл бұрын
M8lad ayo ukitaka kujua bara bara yenye kona hatari na bara bara nyembamba nenda mgeta morogoro huko naona uzajifunza mengi na utapaaza sauti yako. Najua hujatrmbelea huko karibu uone milima ya uluguru ila usije piga kelele kwa uoga
@marylutengano15552 жыл бұрын
Jamani Mbona hizo Cha mtoto,miradi ayo nenda kazi angalie kona za kawetere kungia rwanjiro zile ndo kona sasa
@vincentmushi12472 жыл бұрын
Hapa umenena dadaangu Tena ile njia ya chunya wakati ule wa miaka ya 80 na 90 ilikuwa ni vumbi tuu Mlima mkali na kona kali na madereva walikuwa wanapanda na kushuka ...na ajali zilikuwa chache...dada Mary mara yangu ya kwanza kupanda roli la mbao toka isanga mpaka kawetere mkojo ulinibana na tumbo la kuhara...sister yaani nawasifu madereva walivyo na roho ngumu...na uso ulikuwa mwendo wa poda... sasa hivi barabara mwake mwake, ila kona ndio usiseme
@marylutengano15552 жыл бұрын
@@vincentmushi1247 hao niwavivu hawatembelei sehemu tofauti tofauti za nchi kuna barabara ziko milimani mpaka unatamani ushuke utembee maana mkidondoka mmejizika hukohuko.
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Mlima.hatari sana ni mlima magara ukitokea arusha kuelekea haydom
@nuryatmussa99662 ай бұрын
Magara😢
@johnfrankmputa9915 Жыл бұрын
Nenda lushoto mlalo kutokea mkomazi kuna kona 120 na hakuna ajali madereva tuache uzembe
@emmanuelburchard3153 Жыл бұрын
"Escape Rane Lamp" ni wangapi wanaelewa maelekezo haya kwa nini isiwekwe na kwenye lugha inayoeleweka hasa kiswahili?
@karyori692 жыл бұрын
Mbona njia nzuri na ina extra lanes kuepusha ajali brake ziki-fail! Hapo ajali ikitokea ni sababu ya mwendokasi au ubovu wa gari yaani brakes! Pita kwa mwendokasi wa 30 km/h utavuka salama!
@kambamazig020242 жыл бұрын
Tatizo si kona, bali watumiaji wa barabara, madreva wanashindwa kuchukua tahadhari na maoni wanayopewa, hizi kona si kona kama vile Rocky Mountains Marekani ambako hata wakati wa winter barabara zinajaa barafu lakini ajali ni chache sana.
@johnswai16222 жыл бұрын
Lakini kuna escape ramp hapo kolo
@AminaJuma-r4v Жыл бұрын
I'miis kolo ndo kwetu 🌹🌹🌹🌸🪷🪷🪷🇹🇿🌺🌺🌺🌺
@khamiskiandiko29652 жыл бұрын
Hapo hapafai kuweka bamsi itakua hatari zaidi
@petersilas42342 жыл бұрын
Siku nyingine ingefaa utumie drone kupata picha nzuri.
@shinipapaya8462 жыл бұрын
Ayo tv 📺🤣😂ina watangazaji viraza eti jamvi wakati anaona ni ZEGE 🏃🏃🏃🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@domymerinyo81652 жыл бұрын
Ila hiyo barabara ingepitia Galapo kule hakuna milima
@benderarulenge24772 жыл бұрын
Huyu hajfika wilaya ya Biharamulo mkoa wa kagera,kama anaogopa hapo tuu duuuuh,tembeeni muone kunasehemu gari likianguka ata ukiwambia watu wakakate sikelepa hawaendi,ruyenze nendeni mkapaone😛😛😛😛
@dennischeyo13022 жыл бұрын
Njooni barabara ya chunya ndiyo mtajua kuna kona kali kuliko hizo
@douglasmichael74942 жыл бұрын
#Hancinho dos sàntos njoo utoe neno hapa
@madpusher20362 жыл бұрын
Katika safar zangu zooote Arusha Dom..Dom Arusha nilinusulka maana nmepta hapa mala nyingi mnooo
Mwenzenu nilipita hapo mwez wa 1 mwaka huu kutokea Arsh to Dom nilifurah kuona hizo kona kumbe ni hatar lkn Barbara zake ni pana za kutosha
@egdldm49812 ай бұрын
Kwa nini Serikali isigharimie ujenzi wa tunnels ?😮
@alfamgayatv872 Жыл бұрын
We utakufa kwajili ya kuu tembea na gari lako huyu mzee hamuami. Dele wake
@machaggechacha34222 жыл бұрын
Pesa zinatafunwa na safari za Samia na mafisadi wenzake.
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Pitia Marangu mtoni uje Rombo ndo utafurahi hizi kona za Dodoma bora hata unaiona gari inakotoka kona zingine unashtukia mmekutana tu paap
@victorjames37302 жыл бұрын
Kuna lane Tano hapo na Bado dereva analalamika
@philemonmartine73172 жыл бұрын
Kona Kali zipo Kiruka Kijiji cha Duma wilaya Same Kilimanjaro hizi mbona tambarare kabisa
@mariamelia39062 жыл бұрын
Kona ya hara Kona ya kolo ni balaa
@daudpius1302 жыл бұрын
Njoo kuruya ukiwa unatoka tarime uone kona hatali
@zanzibar.2 жыл бұрын
Hii mbon iko pouw tu
@jumakapilima72958 ай бұрын
Kolowasi Kondoa
@kutailadifi28542 жыл бұрын
Hv ninyi mnao Sema pakawaida hapo mliwah pita? Ss ambao Wa Arusha Sngd tunapaelewa Sn achen ushabig wanao ongea wanahakil timam
@jabirjabir46522 жыл бұрын
Waende India wakasome
@ireneassey99432 жыл бұрын
Punguza mwendo si mmeambiwa
@mustaphareua23702 жыл бұрын
Oyooo
@bjzee19812 жыл бұрын
Hiyo njia nilipita nili soma dua njia nzima. Ukipita eneo la Bonga tu unakutana na ma corner ya ajabu. Pamoja nakua barabara ni pana na ni lami bado inatisha. Sijui wakati wa barabara za vumbi hali ilikua vipi
@frankmare17082 жыл бұрын
Pa kawaida sana tembea uone
@heyumi23402 жыл бұрын
kwa dino kolo hiyo ukitokea babati kuja kondoa
@rubensaitoti68392 жыл бұрын
Hiyo kona iyacheni tuu imenipoteslzea watu wagu wakaribu san
@amosjuma45362 жыл бұрын
Polee Kaka
@hellendaniel38092 жыл бұрын
Du! Pole sana jamani
@Sengakarera8 ай бұрын
Hatari sana
@mcback43842 жыл бұрын
Unawauliza maswali magumu watu wasio na uelewa nayo na mbongo hawezi kusema sijui, hilo wala sio jamvi ni zege au concrete kali iliosukwa kwa nondo ndani kama barabara za BRT na ni zege sio lami sababu lami ina kawaida ya kumeguka kwenye kona Tembelea kona zote za lami lazima utakufa mmeguko na maeneo mengine mashimo kabisa sababu lami ni laini ukilinganisha na zege (sababu ya breaks na kukata kona) Pia Tembelea maeneo barabara zenye ubora zilipojengwa utaona kwenye kona au makutano wameweka zege mfano mzuri ni barabara za kuingia na kutoka stendi mpya ya Dodoma
@hidodomagarasha58042 жыл бұрын
Jamani kasimu nimekuona . ..
@frans_dede2 жыл бұрын
interview nzur kam hzi ndo znatakiw cyo kilack umbea
@komudibwe8662 жыл бұрын
Sasa serikali sasa ifanye nini mbona hueleweki
@pastorbonnyphillip89452 жыл бұрын
Unaifahamu Magara???〰️〰️
@josephmpunta16692 жыл бұрын
Kasimu idowa
@dr.eliasm.chrisant41102 жыл бұрын
Hiyo mbona ni barabara nzuri kabisa…. Nenda sehemu moja inaitwa kaburi wazi.. Ipo sumbawanga barabara ya kuelekea majimoto mpanda kupitia kijiji cha muze kuna kona kali sana zaidi ya kona 12 na njia ni nyembaba
@ummutaswaufi39802 жыл бұрын
Swali Nin kifanyike?
@douglasmichael74942 жыл бұрын
@Hancinho Dos Sàntos njoo utupe uzoefu
@johnedward78432 жыл бұрын
I suggest speed of moving car should be slowed
@SavegEfx7 ай бұрын
KOLO ni hom
@hichayasin72442 жыл бұрын
NENDA MAGARA BASHNET HIYO CHA MTOTO,
@frankmare17082 жыл бұрын
Pale mliman unaiona lake balangida zile ndo kona sasa
@realheartomary29722 жыл бұрын
Hapo kweli bro
@francosemmy2 жыл бұрын
Mbona Pako vzr kikubwa madreva wafate Sheria za barabaran pia wahakikishe vyombo vyao vya usafiri vinakuwa na service ya kutosha tii Sheria bila shuruti usalama ni jukum letu sote.
@ireneassey99432 жыл бұрын
Kama chunya mbeyaa
@tanzanite99442 жыл бұрын
Mjenzi alitakiwa aweke kingo za chuma kwenye curbs.
@mcback43842 жыл бұрын
Acheni ufala, Serikali ifanyeje tena wakati barabara ni pana sana na ina climbing lane tena 4 lanes, hukueni tahadhari, Huwezi linganisha kitonga na hii barabara, kitonga ina magari mengi sana na barabara ni finyu ninyi mna climbing lanes bado mnalalamika huo ni upumbavu, Mwingine anasema serikali ijenge njia nyingine, sasa kuna uwezekano wa kushuka au kupanda mlima bila kona? Elimu ndogo sana mnayo na akili za madereva kama ndio ndogo hivyo ajali haikwepeki hapo.
@barakakusa76062 жыл бұрын
Kweli Madereva hawajitambui sasa kama breki ndy zinafeli serikali inahusikaje hapo.
@manish-fp1fb2 жыл бұрын
Hiyo barabara huwa najiachia tu... haiko busy kabisa na ni pana
@ahz69072 жыл бұрын
@@barakakusa7606 labda wanataka serikali ishike hizo breki 🤣
@ayoubmbwambo44412 жыл бұрын
Mmmmmhhh
@franciscaaugustino43052 жыл бұрын
Msinikumbushe maana hata maumivu hayajaisha ilokuwa nusu kila mtu alishikilia roho.
@shedracksteven31832 жыл бұрын
Wew ndo unaye jikumbusha kwan kuna alye kuomba uingie huku kuchek😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@franciscaaugustino43052 жыл бұрын
@@shedracksteven3183 acha shobo dera litakuhusu
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Kwani madereva wa Tanzania hawajui kuendesha magari kwenye kona? Ujinga gani huo? Tena shida kubwa ni kuendesha magari mabovu
@ip_header2 жыл бұрын
Kumbe Kolo ni jina maarufu
@Fundi123452 жыл бұрын
Hakuna hito dreva anakijuwa huko tu kuna kona mburu huko kona hatai na metelemuko hatali 120 utasema nini wewe!
@محمدبنسعيدمشاوي2 жыл бұрын
Umesoma hadi darasa LA ngap wewe?
@smfkingdom99442 жыл бұрын
Usipitwe na hii kzbin.info/www/bejne/Y2PGZqx-qKuorLc
@drmussa12202 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#..*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@brenthylland25072 жыл бұрын
Unaongea kwakurudia sana improve kuongea
@drmussa12202 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#..*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@djtiffa96642 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#.*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM