SHEMEJI WA BILIONEA MSUYA AZIKATAA MALI, MTOTO ALIPUKA "HAWANIPENDI HAWA"

  Рет қаралды 106,751

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 253
@matronafrank9838
@matronafrank9838 2 жыл бұрын
Hongera mkuu wa wilaya ww ni mpatanishi lazima ufalme wa Mungu uipate hauna upendeleo
@nyamugushatshiye6922
@nyamugushatshiye6922 5 жыл бұрын
Heshima zako mukuzo wa wilaya, buzara yako haijatoka kwa wanadamu Bali hekima, maharifa na busara umepewa na Mungu naomba akuzidishie Mara dufu!! Ubarikiwe
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Mh. Jerry Muro smeonesha hekima ya hali ya juu sana. Safi sana.
@nancymwangi3129
@nancymwangi3129 5 жыл бұрын
Mungu abariki huyu DC, amejaa hekima ya Mungu
@tulizachatal7053
@tulizachatal7053 4 жыл бұрын
Poleni sana mtoto Mungu yuko atakushindia
@lucymacha1853
@lucymacha1853 5 жыл бұрын
Mjomba anapont Sana simama imara mjomba
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 5 жыл бұрын
Sasa kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu jerry muro,leo ndo namupna bonge ya wise man!Mungu kweli humbadilisha mtu!Jerry Murro. Salute!heri wapatanishi,maana hao wataitwa wana wa Mungu!
@alisharia6831
@alisharia6831 5 жыл бұрын
Jerry murro I give u big up for deal this crises
@رمضانالكيني
@رمضانالكيني 5 жыл бұрын
Msondo ngoma band, waliimba kwenye msiba wa masikini mambo uwa shwari, lakini kwa mwenye mali ni matatizo
@mrprotocolremmy5830
@mrprotocolremmy5830 5 жыл бұрын
Kweli
@nemesitarimo6481
@nemesitarimo6481 5 жыл бұрын
Poleni wasuya.antuja pole sana.
@davycm9750
@davycm9750 5 жыл бұрын
Hehehehe
@khadijasanga2296
@khadijasanga2296 5 жыл бұрын
Bora mama angu aliondoka na nguo za mwilini tuu, leo wako wapi ? Ndugu wa baba staki hata kuwaona , wajomba ndo ndugu zangu.
@pendokileo7882
@pendokileo7882 5 жыл бұрын
Mjomba nimekupenda simama imaraaaa
@dunstangeorge3263
@dunstangeorge3263 5 жыл бұрын
Uncle has more confidence with a lots of points, izo evidence usipimee 👏👏👏👏
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Mjomba yupo sahihi kuwasimamia wajomba maan ameon watakosacurithi kwa vile mashangaz wote hawawataki
@aggreydominickmagombana9388
@aggreydominickmagombana9388 5 жыл бұрын
Uhoro mbaya sana mnagombea Mali za watoto na mke wa ndoa akiwa hai daaah dunia hii aibu gani hiyo
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 5 жыл бұрын
Na wamemsweka ndani
@faithli3426
@faithli3426 5 жыл бұрын
Sisi kwetu tuna amani kwasababu Baba yangu alikuwa maskini Kwahiyo tunaishi kwa amani sasa hivi kinyumba alichotuacha nacho ndo hikohiko sioni hata mtu akija kumsalimia mama yangu tena 😆😆😆😆😆tungekuwa na Mali sasa kama naona case zinavyofululiza vile🙏🏾Mungu tunakushukuru kwa maisha ya Baba yetu na nafasi uliyotupa kuwa naye hapa duniani 🙏🏾
@faridamoshi6831
@faridamoshi6831 5 жыл бұрын
Asiskupenda we hawez kumpenda mama ako
@WilykistaMasas
@WilykistaMasas 3 ай бұрын
Uko sawa mtt wangu una hakili sn awawezi kukupenda ww wamchukie mama anko waongo hao
@waltermbelwa4973
@waltermbelwa4973 5 жыл бұрын
PROBLEM KUBWA HAPO NI BABA YAKE MAREHEMU ERASTO.Anazidiwa kauli na mke wake na mabinti wake.Anaburuzwa.Hana sauti.Yupo yupo tuu hapo.
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 4 жыл бұрын
Nalay ushauri wangu kwa hiyo familia mukumbuke mali niyamareemu sasa mukigombea ivyo marehemu wenu hapokelewi kule Anakoelea yani kwamungu kwaiyo chaguweni moja mugombee mali marehemu wenu Awenjiapanda ama mrike ili mumuombee dua Aongozwe njia ilinyooka? Nyie wazee waongozeni watoto wenu mungu Anavyotaka munakwenda kanisani kufanyanya nini Au mungu kafanya makosa kumchukua uyo nduguyenu? Nyinyi ndio mutazikwanazo? Mbona aliyezitafuta Ameziacha jielizeni namuwe namioyo yenye subra muombeeni napengine munaenda kinyume namatakwa yamarehemu mukae namumuombe apo mulipokosea ili mambo yaishe mukiamini kwapamoja yote yatakuwa sawa mrudieni mungu musije mukakufuru
@CatherineMvanga-oz8bd
@CatherineMvanga-oz8bd 7 ай бұрын
Nimejifunza kitu apa Ila Mungu ni Mungu wa Jane na yatima
@sospetermathias4253
@sospetermathias4253 5 жыл бұрын
Dar hii familia inapitia magumu Sana mungu awatie wepesi muyamamalize kwaupendo
@mirajiibrahim51
@mirajiibrahim51 5 жыл бұрын
Ata iweje hauwezi kupatikana upendo apo hao mpaka apo walipofika tayari ni maadui wa kutoana rohoo kabisa trust me watajichekesha apo lkn wakitoka apo kila mtu atashika njia yake kumkomesha mwezake mungu awasimamie
@ibrahimchediel4867
@ibrahimchediel4867 5 жыл бұрын
waokoke yesu anahitajika hapo mama kashakiri kuua kuna nini hapo tena
@WilykistaMasas
@WilykistaMasas 3 ай бұрын
Khadija upo sawa mm watt wangu leo mwaka wanane nalea mwenyewe
@rodasanga1312
@rodasanga1312 5 жыл бұрын
mama nakuomba mama yangu angalia wajukuu zako msamehe mwali wako hata kama aliuwa mungu atamuhukumu nakuomba mama yangu
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 5 жыл бұрын
Hii issue ukiiangalia haraka haraka unaweza dhani babu na bibi wanagombea mali kumbe ni zaidi ya mali, as long as bado wanaona na wanaamini mkwe wao anahusika ktk mauaji ya watoto wao huu mtihani utakuwa mgumu kuuvuka. Kama watafika siku waamue kwa dhati ya mioyo yao kusamehe na kuachilia hapo ndipo amani ya kweli itakapopatikana.
@leinaamos9559
@leinaamos9559 5 жыл бұрын
daaa inaniuma mama kuuliwa watoto wawili daa mama pole San ten sana
@maximobonga9617
@maximobonga9617 5 жыл бұрын
wazee tamaa mbaya
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 жыл бұрын
Haswa.nashangaa macho yamewatoka.
@marsgenesis7200
@marsgenesis7200 5 жыл бұрын
Ila huyu jamaa muro nilikua simpendi ila leo nimemuona in another light kajamaa kako vizuri yaani amesimama katikati bila chembe ya upendeleo. Big up muro
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 5 жыл бұрын
Hao mashangazi na bibiako ndo wachawi wenyewe
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 5 жыл бұрын
Hao ndio wauwaji
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 5 жыл бұрын
Tanzanian goverment please help this Children,,😥🙏🙏kwamali zao jama .maliyote kwawatoto,it's pain..hizi bibi babu zataka nini?
@aggreydominickmagombana9388
@aggreydominickmagombana9388 5 жыл бұрын
Huyo mama mwenye PHD anaonyesha ana roho mbaya sana alafu anajifanya ana mamlaka acheni Mali za watoto chumeni zenu
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 5 жыл бұрын
familia za watu ni shida hapo sio mali kuna zaidi ya hapo
@allymohamedi991
@allymohamedi991 5 жыл бұрын
mi naona kifo cha msuya kichunguzwe upya hhuenda ndugu ndio wahusika
@tiffersaloum7300
@tiffersaloum7300 5 жыл бұрын
Mjomba shukran sana
@lolx4160
@lolx4160 4 жыл бұрын
They guy have good point 👍❤
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
Inauma saana kijana huyu wa marehemu anauchungu mzito ikizingatia umri. Wake mdogo 😭😭😭😭 wanacheka cheka kama watu wasio na hekima sijui kipi kimewafirahisha
@karolinamasawe8978
@karolinamasawe8978 2 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya kama wachochezi
@benbenedict2720
@benbenedict2720 5 жыл бұрын
Kucheua wengine wanatapika kabisa, pole Jerry
@prophetessmarylight434
@prophetessmarylight434 5 жыл бұрын
Mimi nakupenda hao wengine wote wezi......... Lakini kwanini msitafute vyenu mnangania Mali za watoto . Tena mashangazi amfai kabisa kwa hili bado kidogo muitwe wachawi
@amannkondo5232
@amannkondo5232 5 жыл бұрын
Big point n kwa mjomba
@wardawarda3427
@wardawarda3427 5 жыл бұрын
Lakini maskini uyu baba ake na Msuya inaonyesha yeye anaroho nzuri analazimishwa tu kufanya dhulma na huyo mkewe bibi Roho mbaya
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂bibi roho mbaya
@shedrackhm2204
@shedrackhm2204 5 жыл бұрын
Gubibi gumependeza gumejaa magold lakini bado haliridhiki...
@habibadhikr9406
@habibadhikr9406 5 жыл бұрын
Toka lini pesa ikamtosha mtu
@doramsuya5294
@doramsuya5294 4 жыл бұрын
Jamani mbona hamuwaweki ndani wezi hao mali za watt jaman
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@doraliana6253
@doraliana6253 5 жыл бұрын
Mmetia aibu sana wapare
@leokamil6284
@leokamil6284 7 ай бұрын
Hii picha ukitizama inafikirisha unaweza kusema hawa wamemsingizia Wifi yao kwa snema hii
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Pole kijana umekosa Baba na Mama...Mama yako hawezi kupendwa muuwaji mkubwa! eti wampende Mamaako???
@jenifamuia2286
@jenifamuia2286 5 жыл бұрын
Mzee ameongea vyema,tunaenda kanisani kufanya nini?kunyanganya watoto mali hio ni kujitafutia laana🇰🇪
@masasimgengeli5710
@masasimgengeli5710 5 жыл бұрын
Jenifa Muia
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 3 ай бұрын
​@@noeldifson9713 kwani mwenyewe Erasto c Ameandika mirathi kwa nini asiurudishe kwa baba ake huo mgodi, baba ake mwenyewe alimpa mwanae basi ni Mali ya watoto wa 3rasto
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 5 жыл бұрын
DC Jerry Muro uko vizuri. Mali za Marehemu Erasto Warithi ni Mke wa Erasto na Watoto wake. Baba na Mama na Marehemu walishapata mamilioni yao na akina Dada wa Msuya wameshavuta 73 milioni kila Dada. Mali zilizobaki ni za Watoto wa Bilionea Erasto Msuya. Full stop.
@laurentjozee8777
@laurentjozee8777 5 жыл бұрын
Kama unamuona mroho wa mali anagongea maji like kwake.
@hemedhamis1652
@hemedhamis1652 5 жыл бұрын
Hahahaaa nkajua nmeona peke yang
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 5 жыл бұрын
Cjawahi ona mijitu kama hiyo tangu nazaliwa, uroho gani huo!! daah!
@neemafungo753
@neemafungo753 5 жыл бұрын
Mnyonge mnyongen haki yake mpeni Mungu wetu hapend dhuruma
@edwinernest2012
@edwinernest2012 5 жыл бұрын
Mheshimiwa tenda haki kisheria mali ni za watoto na mama yao! Waambie ukweli hao ndugu wa marehem! Kama unatenda haki wote waliogawana mali ilhali watoto na mama yao wako hai ni makosa kwa Mujibu wa sheria! Hata kwa Mungu ni dhambi!
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 5 жыл бұрын
Mzee umeongea vizuri sana
@prisslakabyemela4891
@prisslakabyemela4891 5 жыл бұрын
Uyu shangazi ndoadui mkubwa wafamilia achunguzwe
@glorymushi7397
@glorymushi7397 5 жыл бұрын
hawezi kukupenda wewe angalia hampend mama yako kinachonekana apo babu hana sauti bibi na mashangazi wamemmeza alafu hawo shangazi wanacheka unafiki MTU ila wajuwe uma unawacheka ni aibu tupu
@shufaaattass1920
@shufaaattass1920 5 жыл бұрын
Shangazi hao madui wakubwa mumgu awauwe moja baada ya mwengine wakishika mali za hao watoto mungu onyesha nguvu zako
@justinejoasi7390
@justinejoasi7390 5 жыл бұрын
Mwenyekiti anatumia busara sana
@estermsuya8818
@estermsuya8818 5 жыл бұрын
Nashauri maisha muliyoishi erasho akiwwpo yawe rejeo wakati munaendelea kuongea. Mungu awasimamie
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 5 жыл бұрын
Huyo mama wawatoto ameua watu wawiri mungu atawalani
@christopherkiwanga4257
@christopherkiwanga4257 5 жыл бұрын
Mashangaz mnatia aibu Mali za kk yenu mnataka kuwapelekea waume zenu?? Wakat watoto wa kk ynu wapo??? Aibu
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake hiyo shangazi ni Mtu mzito yeye ndio alimsaidia mdogo wake huyo bilionea msuya hadi akafikia ubilionea shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri
@delsbeatstz4732
@delsbeatstz4732 4 жыл бұрын
Msondo waliimba "Tunatoana roho yarabii ii kwa mali alizoachaa baabaa"
@eetlady
@eetlady 5 жыл бұрын
When death comes that’s when you know who is for you and not for you. Kifo ya vurungisha amani. It’s sad kwa umri huu wake wakati anahitaji uelekezi haya yatokea. I pray mkarejea wakati uhusiano ulikuwa mchanga na alifurahi kuwatembelea bibi na Wajomba walifurahi kuwaona. It was pure love and had nothing to do na Mali. lakini kitumbuwa kimeingia mchangaa, when the ones who should love and protect hurts you, it hurts. Kijana anamachungu kwa ajili ya kilochotokea, But God heals all relationships. Time will heal your broken heart, if God is for your family no one will stand against God’s will.
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 5 жыл бұрын
Upande wa wajomba tatizo ni mke wa marehemu alie fungwa na Upande wa marehemu ni mtoto wao kauwawa sasa ili kukomoana wanataka wa taka wa miliki mali sasa upande wa wajomba wanamtumia mtoto , sasa mtoto yupo kati yani haelewi uchungu upo kwa baba marehemu au mama aliefungwa
@faridamoshi6831
@faridamoshi6831 5 жыл бұрын
Mwenye mal kaziacha ndg vswaswadu wasiojielewa mkumbuke na ninyi mtakufaaaaaaa
@annalyimo8462
@annalyimo8462 5 жыл бұрын
Jerry uko juu .MUNGU wa Mbinguni alibariki sana
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Jerry Muro Pole
@simonkagonji2331
@simonkagonji2331 5 жыл бұрын
DC Mungu akubariki
@husnabiltonsanga1402
@husnabiltonsanga1402 5 жыл бұрын
Mzee umeongea Kweli kabisa, Mali nizawatoto mnatia Haibu upande wa marehemu. Dogo simama Mungu atakusaidi
@joycemerinyo7133
@joycemerinyo7133 5 жыл бұрын
jamn mali hiz....ukiwanazo shida ukikosa shida jmn....
@aminaissah2693
@aminaissah2693 5 жыл бұрын
Udugu ni kwa mama kwakweli, Mali ya watt, mijitu wanaitolea mimacho
@nshomamayungu2326
@nshomamayungu2326 5 жыл бұрын
Wenda walimua msuya ili waje wachukue Mali na kutesa watoto wake.ila hizo Mali hazitawaacha salama.
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake hiyo shangazi ni Mtu mzito yeye ndio alimsaidia mdogo wake huyo bilionea msuya hadi akafikia ubilionea shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri yena hao wajomba hapo wanaonekana wema lakin sio maana inasemekana hao wanawashawishi vibaya sana hao watoto
@MaryMary-iw3jh
@MaryMary-iw3jh 5 жыл бұрын
Ondokeni uko wezi wakubwa acheni mali za watoto tafuteni zenu wezi wakubwa
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri
@nice5671
@nice5671 5 жыл бұрын
Wapare munatia aibu Sana kugombea mari za marehemu wakati watoto wapo
@johnlaoz1416
@johnlaoz1416 5 жыл бұрын
Siyo wapare hawa ni wachaga bro hata lafudhi huioni
@nice5671
@nice5671 5 жыл бұрын
Hata kama wachaga waache roho mbaya wawe na utu kwa watoto wa marehemu ama kwel unatafuta mali kwa shida mwisho wa siku wanagombea jmn
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 5 жыл бұрын
john laoz msuya kumbe niwachaga alf hyo ni Arusha lafudh km hujui uliza
@jasminpino3854
@jasminpino3854 5 жыл бұрын
Nice التوبي wachaga wapare uongeaji ule ule
@jasminpino3854
@jasminpino3854 5 жыл бұрын
Leonard Johnson wachaga wapare rafudhi yao moja tu
@moureenngowi8712
@moureenngowi8712 5 жыл бұрын
Kweli ndugu wa baba hawanaga utu kabisa hawa ndugu wa baba ni wezi kabisa alafu mtu mzima anampeleka mtoto polisi kisa uroho wa mali. Hapo wabaya ni ndugu wa baba kwa kweli mjomba na babu wako so on point
@rossejoseph9312
@rossejoseph9312 5 жыл бұрын
mjomba simama mpaka mwisho hao watoto wapate haki yao.hao ni wezi tu
@najmarushda4390
@najmarushda4390 5 жыл бұрын
Jaman huyu mzeee mmoja anabusara sana anasema kuwa aliye zichuma hayupo Mali ni za watt
@niasanga2373
@niasanga2373 5 жыл бұрын
Mali za watoto lkn wengine kama zao duuh mda mwengine bora ufe maskini tu
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri
@lucymacha1853
@lucymacha1853 5 жыл бұрын
Mashangazi aibu eti wasomi wasomi gani hao mafisadi
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Nyie watoto msikubalii hao mashangazi wachukue mali zenu.uzeni zote muende mkaishi nje ya nchi
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
saitoti saitoti , mm naona itafaa zaidi
@aliethlwaitama9592
@aliethlwaitama9592 5 жыл бұрын
Mmmh Mali hatari wachaga salute kila mtu anang'ang'ania waache watoto mashangazi macho yamewatoka,aibuu!!
@miriamsulle8198
@miriamsulle8198 7 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Huyu mwanasiasa sio mwanasheria
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
Hivi muheshimiwa unasema kila kitu wanacheuwa kucheua kwingine uangalie sana bibi kasema amewafuta hao wajukuu kwenye hesabu ya wajukuu zake,kisha kaenda kutoa ushahidi kwamba mama wa haohao watoto kaua, kisha shangazi kaenda kukazia kesi ya mama ya kuua iunganishiwe mtoto humohumo ndani bado unaongea mambo ya kucheua yani hueleweki kabisa.. Achieni hao watoto mali hizo ni haki zao!!!!
@greysonpeter6403
@greysonpeter6403 5 жыл бұрын
Huyo mama yao kamuua wifi yake na kakubali mahakani Kwahiyo nimuuaji tuuu atakama nani angeenda nani kutoa ushahidi , na hao mama na wanae wanauchungu kufiwa nawatoto wawili waliouliwa kinyama
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
@@greysonpeter6403 kwahiyo wakipewa mali ndiyo itarudisha roho zao? Hapo inaongelewa mali na roho mbaya kwa wajukuu zake!!!
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 5 жыл бұрын
Ukoo wa dubu ni dubu tu hayana huruma hayo,, Mali ni za mama na wanawe full stop
@aishajumaa3430
@aishajumaa3430 5 жыл бұрын
asikwambie.MTU mjomba no.mama
@nasratyaqram4799
@nasratyaqram4799 5 жыл бұрын
Inatia huruma sanaa hawa ndugu wanauroho na mali kama aliyezitafuta kaziacha wao ninani😢😢😢
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 5 жыл бұрын
Mm kinachonishangaz ni bibi tena bibi upande wa Baba anaongoza mapambana ya kuwazurumu wajukuu wake mali wali zilizoachwaa na Na marehemu Baba yao! Badara ya kua mtetezi Huu ni ushenzi sijui nikabilagani lakishenzi namana hii!!
@missiontown8177
@missiontown8177 5 жыл бұрын
We mkuu wawilaya muro .hao Dada zake msuya weka ndan hao wez hao wanafukuza watt wamwenye afu iweje? Nawambia huko aliko baba yao ananung'unika xana kwa Tania zenu loooo !
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 5 жыл бұрын
Mashangaz mnajifanya wasomi!! Usomi wenu uko wapi?? Achen uroho, hizo mali ni za mke wa marehem na wanawe
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 жыл бұрын
Nyinyi mashangazi!!!!!muogopeni mungu sana mali za malehem!!!
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Hawana usomi wowote,mt msomi hafanyi ujinga huo
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
Hivi hyo Babu km kiongozi au baba Erasto mbona haongei chochote wakati yy ndie kiongozi wa familia.
@zuhramsuya8194
@zuhramsuya8194 5 жыл бұрын
Mbarikiwa Mbarikiwa ukishaoa mmeru haitakaa itokee cku upate nafas ya kuongea ahahah.
@mohamedsimonmruma7639
@mohamedsimonmruma7639 5 жыл бұрын
Dc Muro Mungu akubark xna broo
@mwanaidiamanzi7187
@mwanaidiamanzi7187 5 жыл бұрын
Wameru ndivyo walivyo wanawake wako juu cjui vp
@leinaamos9559
@leinaamos9559 5 жыл бұрын
Mali husimamia mjane na shemej zake kama wapo upande wa kike hauna sauti jamani ,ss wabena endapo inatokea shemej or upande wakiume wanashindwa kusimamia watajua wao maana watoto wakopata matatizo hufuata upande wa kiume siyo wa kike, nakingine ss wanawake Mungu aturehemu tikifiwa na waume zetu tukaachiwa mahari wengi wetu huhongea wanaume wengine baada ya siku mbili unakuta mpaka nyumba wameuza kuwen makini na wanawake
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
Thubutu aongee mbele ya mke na watoto mabedui ataenda kula kichapo nyumbani 😂😂😂😂😂
@furahinimtunguja2668
@furahinimtunguja2668 5 жыл бұрын
Sijawahi kuona watu kama hawa duh watu wazima hovyo
@noeldifson9713
@noeldifson9713 5 жыл бұрын
Shida ya ndugu si mali hao ni matajiri wote hizo mali za msuya 80% ni mali ya familia yao huo mgodi alipewa na baba yake maana kwao ndio wa kiume peke yake hiyo shangazi ni Mtu mzito yeye ndio alimsaidia mdogo wake huyo bilionea msuya hadi akafikia ubilionea shida ya hao ndugu wanauchungu kwenye mioyo yao maana ndugu zao wawili wameuliwa kisa hizo mali na mke wa huyo msuya ndie alituma watu wamuue mdogo wa msuya hao ndugu wanauchungu kupoteza ndugu wawili kwa wakati mmoja tena kwa mauaji ya kinyama sio ishu ndogo alafu mali zinazosababisha ni zao kama familia fatilia kesi vizuri sio rais kama unavyofikiri yena hao wajomba hapo wanaonekana wema lakin sio maana inasemekana hao wanawashawishi vibaya sana hao watoto
@athumansuleiman6279
@athumansuleiman6279 5 жыл бұрын
Huyu shangazi wa Australia hana kauli nzuri yani hafai kabisa kwenye kikao
@namirihamisi1989
@namirihamisi1989 5 жыл бұрын
Tunatowana roho yarabi Kwa Mali alizoacha baba
@miriamdaniel3532
@miriamdaniel3532 4 жыл бұрын
Wewe mtoto kuwa naekima bando unakuwa umjui atakeye kuzika wewe atakama shangazi kasema mangum bando unaitwa kwajina la musuya tu ata baba mzazi anaweza kusema maneno mangum lakini bando ni baba tu wewe Kama mtoto kuwa nabalas wote wako upande wa mama niwachochrzi Sana mnaalibu watoto uyo nibabu yao hebu vaa kitu ww alafu Mali za mtoto wako zinaelemea upande mmoja namila zetu mwanamke akiolewa siwakwenu Tena pingana Dada yako atoke sio natetea Mali za watoto tafuta zako sio za Dada nakuwateka watoto wape ushauli wapatane na upande wa kwao sio kwenu ukiwapa muongozo nilaisi Sana kumtoa mama yao ww nisawasaw hunapingilia msumali Dada yako asitoke
@kamanda007
@kamanda007 4 жыл бұрын
Hili ni swala la kisheria straight up , hao wenyekiti na wakuu wa wilaya wanafanya nini hapo, yaani ni aibu tupu kinachofanyika hapo, hapo ni mahakama tuu na wanasheria wengine stay away mpaka muitwe kutoa ushahidi
@silassteven9682
@silassteven9682 5 жыл бұрын
Hizi ni siku za mwisho
@marrysiphaeli8482
@marrysiphaeli8482 5 жыл бұрын
Mama anauma jamani
@jescajulius8023
@jescajulius8023 4 жыл бұрын
Mjomba ni mama siku zote hawaiz acha watoto wa dada ake kwa namna yyt ile
@zuhurambonde7599
@zuhurambonde7599 5 жыл бұрын
Mjomba ni mama anayo haki kutetea watoto was dadaake inavoonekana kuna kuzarauliana na kubaguana hapo sote binadamu utu bora sana kuliko Mali tutaziacha pendaneni jamani natamani Siku moja nione warita na wasuya mnakula pamoja .
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 5 жыл бұрын
Huyu mtoto wa Erasto hajitambui maskini... Anawaza mali tu
@mwajumashomari3453
@mwajumashomari3453 2 жыл бұрын
Yaan minaona waha Babu na bibi wako sahihi
@feisalomar3414
@feisalomar3414 5 жыл бұрын
Mkuu pongezi
@andyclon2277
@andyclon2277 5 жыл бұрын
More money more problems the family is torn apart because of the wealth sad
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Utajiri ni balaa jamani.mmm Rip Msuya na mdogo wako jamani.
@alexmakundi5006
@alexmakundi5006 5 жыл бұрын
Waachieni hao watoto mali za baba yao..ni Baba yao..acha watoto watunze mali..nyie wengine wote katafuteni zenu 😡😡😡😡😡
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 5 жыл бұрын
Mambo magumu Mali hiii mauaji family imemwagika hapaa
@jeenal6599
@jeenal6599 5 жыл бұрын
Ohhhhvkijana u are right hio ni mali yako
@peterkihongosi1966
@peterkihongosi1966 5 жыл бұрын
Mambo ya kifamilia kwaninikuyaweka mitandaoni?.naonakamanikujiaibisha
@veronicadickson1859
@veronicadickson1859 5 жыл бұрын
bora kufa masikini kila mtu atafute za kwake, maana watu hapo Mali za kaka yao kila mtu kazitolea macho. tafuteni za Kwenye hizo nizawatoto na mke.
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 5 жыл бұрын
Kweli dunia hii bana hapo hutosikia Mimi naombeni nikae kulihudumia kaburi nipesa tuu mnataka
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 5 жыл бұрын
Kweli walio imba Mali ya baba inanitoa roho hawakukosea. Mm mpka Leo Mali ya baba angu inanitoaga machozi Ila wacha wale wenye nguvu
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Mali ni fitna sasa Mali inarithiwa na familia nzima wakati watoto wapo miaka kumi
@joycekokunula9137
@joycekokunula9137 5 жыл бұрын
Hekima ya kiungu itumike Wazee mmeishapewa fungu lenu Sidhani upendo unatajwa hapo ni wa kutoka moyoni, mali ni ya mke na watoto wake, mara zote wajomba ndio wana uchungu wa kweli
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 5 жыл бұрын
Hilo tangazo la mataili ya gari libadilisheni sio zuri yani mnahamasisha watu wawafungie break miguuni kisa taili ni aina fulani
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
JELAS NKOMA , kweli wamezingua
@hanifahassan9138
@hanifahassan9138 4 жыл бұрын
Huyu marehemu nawasiwasi sijui kma hawakumuua KWA kuwatumilia majambazi
MAMA WA BILIONEA MSUYA AKUBALI YAISHE, DC MURO AMIMINA MAOMBEZI
10:40
Global TV Online
Рет қаралды 107 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,5 МЛН
MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAANZA KURUDISHWA KWA WATOTO NA SERIKALI
12:07
Global TV Online
Рет қаралды 192 М.
MTOTO WA MAREHEMU BILIONEA MSUYA AMLILIA MAGUFULI, MALI ZAMTESA!
10:57
Global TV Online
Рет қаралды 330 М.
DADA WA BILIONEA MSUYA Aangua KILIO "Nilikua Na Pesa Kabla Ya MSUYA"
10:40
MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAITESA FAMILIA,SERIKALI YAINGILIA KATI
4:34