NABII MKUU ATOA MILIONI 20 KUSAIDIA UJENZI WA GEREZA KUU ARUSHA - GeorDavie TV

  Рет қаралды 54,245

GeorDavie TV

GeorDavie TV

2 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 139
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Jmn hpo arusha hakuna km huyo nabii mungu ambariki sana ampe umri mrefu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️ubarkiwe jina la yesu ni tamu sanaaaaa love you daddy
@bituninabarikiwasanannyimb5546
@bituninabarikiwasanannyimb5546 2 жыл бұрын
Hyu na biii mungu amuinue jaman n mpenda baba yetu jaman
@pastornaombanamba2559
@pastornaombanamba2559 2 жыл бұрын
Uyu baba jamani Mungu azidi kukmbariki pamoja namama aliemzaa
@francisgichichi6813
@francisgichichi6813 2 жыл бұрын
Nabii mkuu ubarikiwe Sana baba napenda Sana unavo mtumikia mungu sijawahiona mtumish mtoaji Kama ww Asante Sana kwaniaba yawote malafiki zangu tunakufatilia Sana,
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 2 жыл бұрын
Eeemen, Babà Nabii Mkuu uzidi kuwa na kipaji Mungu alikupa ukaweze kutusaidia kwa maisha yako
@FatumaMdagano-hd7em
@FatumaMdagano-hd7em Жыл бұрын
Nakupenda sana baba mungu akuzidizishie Mara mia natamani ningekua nipo huko ningeabudu hapo sasa nipo njombe
@fabrice9802
@fabrice9802 Жыл бұрын
Kiukweli mungu akubariki sana baba angu nataka nami unyobeye ata niko Bali na kwe ulipo
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 жыл бұрын
Na Mungu awabariki Maofisa hawa wa Magereza!!!
@josephmolle
@josephmolle 2 жыл бұрын
Amen barikiwa baba
@georgeleonard5384
@georgeleonard5384 2 жыл бұрын
Amen .....Man of God !! May Almighty God give you whatever you need In Jesus Name!!
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Mmependeza sana mungu wangu yani hongereni sana
@dianangailo9878
@dianangailo9878 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰 Mungu akuzidishie Sana Sana kwa upendo wako , Ni wachache Sana wenye moyo Kama wako , Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi Baba 🥰
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
Utadumu 🙏
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 2 жыл бұрын
Amina glory
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 жыл бұрын
Nampenda Huyu Baba kwa kutumia kipawa cha Mungu kuhuisha Jamii imjue, imuamini na kumpenda Mungu na kumtumikia katika uhalisia wa maisha yao. Mungu zidi kumpa moyo mwema!!!
@eliashibundabalinze2217
@eliashibundabalinze2217 Жыл бұрын
Asitumie fedha kuwashawishi watu wala jamii. Yesu alitumia huduma za kiroho na alijukana kwa matendo yake ya kuponya na kufufua
@msengelaprimaryschool8885
@msengelaprimaryschool8885 9 ай бұрын
Naomba no za nabii
@labanimoto6814
@labanimoto6814 2 жыл бұрын
Amini baba hii ndio ngurumo mpya tunaenda
@godfreykitambo6238
@godfreykitambo6238 2 жыл бұрын
Hongera sana nabii mkuu kwa kazi kubwa unayofanya kwa wanadamu ktk madhabahu yako.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Hongereni Kwa kazi nzuri ya Mungu na ujenzi WA Taifa
@jackemmanuel8426
@jackemmanuel8426 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Daddy napokea huo unabii kwa jina la Yesu
@josephdaniel799
@josephdaniel799 Ай бұрын
Baba nabii nitamkie baraka Niko pamoja na wewe
@johnrichard2939
@johnrichard2939 2 жыл бұрын
Nabii mkuu wa tanzania tena mnyiramba poti wangu mi nakupongeza sana ikikupendeza na mimi binafsi naomba tan tatu au mifuko 300 ya cementi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yangu nabii mi sisali hapo
@hamprehymuniss7458
@hamprehymuniss7458 2 жыл бұрын
Ameni
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 2 жыл бұрын
Upendo wa kweli unaishi siku zote, Nabii huyu anaishi mioyoni mwa watu , Mungu wa Mbinguni azidi kukuinua ili kivuli chako watu wapumzike
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mungu akuongezee makondoo ya kutoa sadaka
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@highskills5883
@highskills5883 2 жыл бұрын
Duuuuuuuuh.....
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 жыл бұрын
Amina Napokea katika Jina la Yesu🤲🤲🤲🙏!!!
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Aminaaa sana.
@kenya560
@kenya560 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana Nabii,nakufuatlia kwa karibu san
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 2 жыл бұрын
nimekupenda zaidi.
@barakawilliam3993
@barakawilliam3993 2 жыл бұрын
Hongera sana Nabii Mkuu Mungu akupe miaka mingi baba.
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Unabii uwo kajipa yy ama mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭jina hilo kubwa sana
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
Nabii wa mchongo.
@adamfundikira742
@adamfundikira742 2 жыл бұрын
@@kassimrajabu7805 amemchonga baba yako
@adamfundikira742
@adamfundikira742 2 жыл бұрын
@@kassimrajabu7805 muwe na akili nyie waisilam mbona mnapitaga kwetu kuomba michango hatusemi
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@adamfundikira742 kwaiyo anayo yafanya nisawa tuuu hee
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Жыл бұрын
Amen l receive in the name of jesus
@veronikaeliya4249
@veronikaeliya4249 2 жыл бұрын
Amen baba mungu ana makusudi ya kukuweka ktkt ya wanadamu Ili awafikie watu wake kwa urahisi
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 2 жыл бұрын
Tunakushukuru sana kwa msaadawako MUNGU azidi kukutunza Nabii mkuu hakika unatubariki sana
@philipomathias4334
@philipomathias4334 2 жыл бұрын
Mafundisho ya Baba na Matendo yake hakika ni Mungu ndani yakee hatotokea Mwingine hakika Mungu yuko katikati yetu ....love you Dady
@abdumpunda4026
@abdumpunda4026 2 жыл бұрын
Hongera kwa upendo mtumishi
@veronikaeliya4249
@veronikaeliya4249 2 жыл бұрын
Wewe ni mungu katkati yetu tusipo kutambua hatuwezi kutambua mungu mungu atujalie kuoana zaidi
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtu wa mungu
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Aaamen sana Baba!
@yawepetro2049
@yawepetro2049 2 жыл бұрын
Kweli magufuli ameacha mbegu nzuri, Ona sasa watu wanavyo jitowa sadaka daaah hatali jaman paka nafurahi..
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Amina
@naomimarunda9418
@naomimarunda9418 2 жыл бұрын
Baba nimelia sana na nimebarikiwa sana kwa huduma niko Dar chamanzi nahitaji kupata huduma..
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 2 жыл бұрын
Napokea baraka hizi nikiwa mbeya Amen.
@enockmsigwa6909
@enockmsigwa6909 2 жыл бұрын
Safi Sana
@yamungugerald9315
@yamungugerald9315 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@godlema6104
@godlema6104 2 жыл бұрын
Ameen napokea ktk jina La YESU
@jonasmuna4885
@jonasmuna4885 2 жыл бұрын
Hongera Sana Baba nabii Mkuuu
@antonisia5670
@antonisia5670 2 жыл бұрын
Safi sana
@samwelmollel602
@samwelmollel602 2 жыл бұрын
Amina baba
@seniorboniface8784
@seniorboniface8784 2 жыл бұрын
I like it
@pasteurmardocheemwale2023
@pasteurmardocheemwale2023 2 жыл бұрын
Ah mungu yuko kweri
@frankernestmtembezi9908
@frankernestmtembezi9908 2 жыл бұрын
Hongera nabii mkuu
@aginessmgaza9899
@aginessmgaza9899 2 жыл бұрын
Mungu
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 2 жыл бұрын
safi sadaka zinarudi kusaidia kusaidia kuliko kununua vitu luxury.
@gracekahinga9018
@gracekahinga9018 2 жыл бұрын
Amen
@alexloy5335
@alexloy5335 2 жыл бұрын
Baba nabihin
@sylvestermakoli2824
@sylvestermakoli2824 2 жыл бұрын
Nabii na neno la Mungu
@joycedanny9636
@joycedanny9636 2 жыл бұрын
Hakika ubarikiwe
@DjemsBonane
@DjemsBonane 11 ай бұрын
Amen 🇨🇩
@yasintamsuya5510
@yasintamsuya5510 2 жыл бұрын
Kwa kweli ww ni mbarikiwa
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 2 жыл бұрын
Huyu mtu anayajua maisha sio wale wa kutaka sadaka tu
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Hongera Nabii Geordavie mungu Ukulele zaidi tena na tena sijaona na Bibi kama wewe Kwani hao Ni binadamu kama sisi wengine 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 2 жыл бұрын
Mungu atazdi kukupa zaid mtumishi wa Mungu
@elizabethmhapa3658
@elizabethmhapa3658 2 жыл бұрын
Ameeeen
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Jamani atugaiye mitaji nasisi maskini
@joelyjoely7827
@joelyjoely7827 2 жыл бұрын
DR GEODAVIE KIUKWEL WW NITAJIL
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
Ili Watoto wetu wafungwe sawasawa...
@chrislandan6288
@chrislandan6288 2 жыл бұрын
Emeni
@bablematz1309
@bablematz1309 2 жыл бұрын
Napokea baraka hizi
@nyaikablack1529
@nyaikablack1529 2 жыл бұрын
Amen
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 2 жыл бұрын
Ameni nami napokea Kama nabii mkuu alivyo na upendo zidi yetu
@hamidbakar4057
@hamidbakar4057 Жыл бұрын
Ili kabisa liko sehem gani kisongo
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu
@mjombavuma679
@mjombavuma679 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏👍
@jaclineemanuel6957
@jaclineemanuel6957 2 жыл бұрын
Hongera Kwa Kazi Nzuri Mungu Akubariki
@nangaafataki
@nangaafataki Жыл бұрын
Ok
@alexloy5335
@alexloy5335 2 жыл бұрын
Baba nabihi nitamkihe mafaniho nahomba Sana hakika mungu nimemwema ameni
@kassamalimohamed4520
@kassamalimohamed4520 2 жыл бұрын
Mungu akuweke unajali wahalifu pia
@morgansinyangwe1487
@morgansinyangwe1487 Жыл бұрын
Naomba maombanzi nimafungwa na nguvu ya kuto kumirike fahdar naomba naomba
@alexgeorge4499
@alexgeorge4499 2 жыл бұрын
Napokea baraka hizi nikiwa dodoma
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Eti swaombee watoke! Kuna mbwa ametesa watu sana,
@uinjilistitv6671
@uinjilistitv6671 2 жыл бұрын
Huu ni utumishi uliotukuka. Nauona ukweli ndani ya utumishi wa huyu nabii
@kasyaniTv
@kasyaniTv 2 жыл бұрын
Baba nabii mkuu naomba kibali Cha kuimba hapo kanisa
@mariaikombe7839
@mariaikombe7839 2 жыл бұрын
Napokea baraka hizi toka kwa nabii mkuu
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
Wazee wa kupokea mpo, si mnapokeaga nini!!
@janethkomba4075
@janethkomba4075 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba
@nabintudivine7654
@nabintudivine7654 2 жыл бұрын
Jambo baba mtumishi wa Mungu mimi naishi Congo goma naipenda saana hiyi mahubiri unanitiya moyo saana n'a nguvu sasa naomba namba mimi nawafata kwenye KZbin kila siku jamani baba
@allymbaruku7072
@allymbaruku7072 2 жыл бұрын
Waachilie mbali wale waliofuata matamanio ya nafsizao
@blackscorpion6514
@blackscorpion6514 2 жыл бұрын
Namba namba ya mchungaji mkuu ,Niko nakuru
@makoyebhulahya3124
@makoyebhulahya3124 Жыл бұрын
Baba tenda miujza
@ayoubmtumishi
@ayoubmtumishi Жыл бұрын
Nayeye lazima atafungwa hapo hapo muda si mrefu utaona
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Huyo alimzawadia mwimbaji wa mziki wa injili"mercedes benz
@georgesikazwe5914
@georgesikazwe5914 2 жыл бұрын
Hata ww ukienda atakuzawadia tu
@nurualphayo6557
@nurualphayo6557 2 жыл бұрын
NABII MKUU.
@godfreysanziki1461
@godfreysanziki1461 2 жыл бұрын
Maana ya kanisa iliyo halisi
@suwedinamga581
@suwedinamga581 2 жыл бұрын
Gwajima ye anasaidiag kutusi watu tu mtandaon
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
uliomba msaada akaacha kukusaidia
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 2 жыл бұрын
GWAJIMA atakuwa amekunyang'anya MSUKULE....au ameharibu tunguri zako
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
W Kwamba waumini wafungwe tu!
@emmanuelmollely1538
@emmanuelmollely1538 2 жыл бұрын
Huyu ndiyo Nabii mkuu mtu mungu mwenye moyo wake wa pekee sana
@ulaweboy3479
@ulaweboy3479 2 жыл бұрын
Nabii unapenda watu wafungwe tetea watu watoke nabii tumia akili ombea wafungwa watoke iyo pesa ungepelekea watu yatima
@pastorchrisshalom
@pastorchrisshalom 2 жыл бұрын
Huna akili
@wisdomhalisi......8891
@wisdomhalisi......8891 2 жыл бұрын
KAZI YA NABII HAPO SIJAIONA ,,,,MAANA ANATAKIWA AWAOMBEE WATOKE(AWAFUNGUE WALIO FUNGWA KTK MAGEREZA) ANAPO TOA 20M MAANA YAKE ROHO ZA UHALIFU WZIONGEZEKE, OMBA WATOKE WOTE KM PAULO NA SILA, EF:3:10 JODAVI UMEPEWA MAMLAKA KUFUTA MAASI ZINAZO WAPELEKA WAJENGEWE GELEZA, HAKUNA NABII
@chalessabaya2938
@chalessabaya2938 2 жыл бұрын
Kwahyo aombe ili wafungwa wote watoke magerezani?ni akili ako kwel afu wakishatoka gereza libaki tupu sio?yani unataka watoke wakafanye mauaji tena, basi kamfufue Paulo aje awatoe wafungwa hii ni karne ingine wew
@mussatete2618
@mussatete2618 2 жыл бұрын
Chales 😁😁😁😁😁😁
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 жыл бұрын
@@chalessabaya2938 👍
@kasalamedia5863
@kasalamedia5863 2 жыл бұрын
na ww unaweza kuomba unaona watu wanataka msaada unasema maombi si wanaomba kila siku kuna muda wa maombi na muda wa matendo
@johnboniphace3519
@johnboniphace3519 2 жыл бұрын
Umepuyanga ndugu😂 ...Yesu alijua Yohana yupo gerezani na uwezo wakumtoa alikuwa nao u think kwanini hakumtoa? Kila jambo lina sababu ndugu.
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 2 жыл бұрын
A men
@airamullo1568
@airamullo1568 2 жыл бұрын
Hongera baba nabii mkuu,nakufuatilia Sana mambo unayo fanya ni makubwa,nitafurahi Sana siku nami nikifika kanisani kwako naimani nitabarikiwa.
@airamullo1568
@airamullo1568 2 жыл бұрын
Hongera baba nabii mkuu,nakufuatilia Sana mambo unayo fanya ni makubwa,nitafurahi Sana siku nami nikifika kanisani kwako naimani nitabarikiwa.
@airamullo1568
@airamullo1568 2 жыл бұрын
Baba barikiwa Sana,nitafurahi nikifika kanisani kwako one day kuchota baraka.
@naomimarunda9418
@naomimarunda9418 2 жыл бұрын
Baba Mungu akubariki sana, natamani kufika kuchota changu.
@naomimarunda9418
@naomimarunda9418 2 жыл бұрын
Nategemea kupata changu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wewe ndiyo nabii haswa wa ukweli wengine ubnafsi umewajaa kazi kukomba pesa za wajinga ndiyo waliwao hawawasaidii maskini wala kutoa msaada serikalini
@victorkamate4570
@victorkamate4570 2 жыл бұрын
Mikono na uso ni rangi tofauti nabiii wewe una rangi mbili???
@furahiniyouthschools6022
@furahiniyouthschools6022 2 жыл бұрын
Acha umbea Kijana
@rosemarry2020
@rosemarry2020 2 жыл бұрын
Ni camera tu bwana
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
NABII WA MCHONGO,NABII ANALINDWA NA BORDY GUARD???
@joycefrances4516
@joycefrances4516 2 жыл бұрын
Kaka Kassim,Kristo pia alilindwa na ma boardguard 12,wale wanaoitwa mitume ni ma boardguard, ni sawa pia kaka Kassim,maana watu wengine sio, waaminifuwengine wanaweza wakawa na kisu wakadhuru,
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН
JINSI  YA KUMILIKI UNACHOKITAKA.
38:48
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 63 М.
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.