Ambaye ni mara ya kwanza kusikia five side football tujuane kwa kugonga like
@evaristjoseph14533 жыл бұрын
Mara ya kwanza nilishangaa kuviona hivi viwanja ilikuwa Maputo-Mozambique mwaka 2013, kwa kireno wanaita Futsal hasa hasa aina hii za viwanja ni kwa mataifa yenye damanuni ya Kireno wanapenda sana, na ni mchezo mzuri sana hata mimi na WATZ wengine baada ya kuingia vyuoni tuliiucheza na tuliopenda mpaka leo naupenda.
@rezegerezege6913 жыл бұрын
Yaap
@KUTOKA-ep2fk3 жыл бұрын
Nani amemwona waziri anapekua pekua bila kuangalia?
Leaders hapajachoka wao waliotumbuliwa wamechoka hii ni utovu Wa nidhamu kwani waliopita wakapaacha walikuwa hawapaoni ? Mtaka yote hukosa yote ccm oyee
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Rais wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli alimjua Huyu Waziri Lukuvi atafaa nyakati hizi....
@ezekielkazingo8903 жыл бұрын
Mzee Yuko kazini hataki mchezo bignup mh like ukuvi akika we Ni shujaa na mwenye maononya watanzania kuhusu maendeleo kwa kizazi kijacho
@2003hintay3 жыл бұрын
Hongera Mh Lukuvi kwa kazi nzuri yenye weledi Kinondoni kumeoza
@Mike-yg7pb3 жыл бұрын
Lukuvi nakukubali sana,, wewe ni kiongozi kweli kweli usiyemung'unya maneno wala kupindisha, unaongea na kutenda hapo hapo, we need strong leaders like you,
@saidaly63323 жыл бұрын
Dah!!!!mweshimiwa mm moyo waniuma izo badi 2 x ungetowa ofa kwa watanzania 2 au mateja mda mfupi eneo mbona lingekua wazi bila ata gharama za ilo dude .😍
@zuberikamote20783 жыл бұрын
Safi Sana wanatamaa hai🙏🙏🙏🙏mungu akuongozee baba
@Papaa_Hillary_Mrema3 жыл бұрын
Kazi nzuri Waziri Lukuvi
@dennisnjiro79223 жыл бұрын
Nimekupenda waziri kwanza unaongea bila kupaniki,,Kuna viongozi wengine hapo wakifika maeneo kama haya nikupaniki tuu had wanapoteza point! Kiongoz lazima uwe na busara na uelekeze kwanza kisha vitendo nimependa Lukuvi..
@abdallahmngombe57383 жыл бұрын
Mzee wangu nakukubali sana mwenyezi mungu hakulinde kwenye kazi yako
@yahayaolomi10573 жыл бұрын
Lukuvi mie namkubali Sana anafaa kuwa rais au waziri mkuu
@thomastemu33323 жыл бұрын
Hongera lukivi babaa hui coco beach ni ya watanzania wote wameongwa hao
@monicahovda45243 жыл бұрын
Thomas Temu . Yaani yamehongwa yangalie majuso yao yalivyowapalama, yamewapolomoka, wakajambe mbele kule wote mawizard hao, Baba Likuvi umewashughulikia vizuri aswaa, mwishoe wamejiona kama wajingaa
@yahyamkone56013 жыл бұрын
Mzee umetisha Sana kwa hatua hii safiiii
@kaniogachief61513 жыл бұрын
Nimechaka sana sana waziri kazi nzuri
@jacoblaiser76343 жыл бұрын
Lukuvi Lukuvi Lukuvi Lukuvi. Hongera mtetezi wetu
@monicaandrew82923 жыл бұрын
lukuvi mitano teeenaaa
@Ramadhanimsingwa3 жыл бұрын
Mh JPM upo vizuri sana mh Lukuvi hongera kwa kuibua hilo hawaendani na awamu ya tano wanasumbua viongozi hawana adabu mshahara Wa dhambi ni mauti karama Mungu ni uzima Wa milele
@tinertv13823 жыл бұрын
Kwanini wasiboreshe leaders pamechoka?
@harounali90573 жыл бұрын
Tatizo viongozi wa Tanzania hawa fanyi research kabla ya kutowa maamuzi 5 a side football pitch zime enea kila nchi duniani. 5 a pitch haiwi moja zina kuwa nyingi na zina weza kuchukuwa pitch hata 12. Na 5 a side =10 x 12 =120 vijana watakuwa waki fanya mazoezi. Na Muhusika kashindwa kuji eleza zaidi hilo nalo tatizo. 5 a side zina tumika katika Football Academy kote katika nchi zilizo endelea kwa ajili ya mazoezi tu.
@patriciamkupasi15533 жыл бұрын
Mh Lukuvi MUNGU Akutunze baba
@jacoblaiser76343 жыл бұрын
Nakukubali mno Mhe Lukuvi hongera kwa ujasiri na umakini wako
@africanbeauty65563 жыл бұрын
Kuchafuchua mji .Waziri anajua sana
@abuibra3 жыл бұрын
Safi sana mijitu mikubwa akili kitumbua,hawachoki kula mpaka lini watu wanapenda nchi zao wanajitahidi kuzijenga wengine fikra zao kujaza matumbo yao,tunapenda watu kama mweshimiwa lukuvi.
@barakashadrack76953 жыл бұрын
Watano watano wp nyie acheni wizi tumbua wote mheshimiwa
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Hapa nikazi safi sana waziri
@charlesngovi38023 жыл бұрын
Safi sana lukuvi
@westmanmoses5413 жыл бұрын
Waziri yuko vzr sana huyu
@alfinmbilinyi13263 жыл бұрын
Uko vizuri mhe.lukuvi naona unafuata nyayo za babu yako mkwawa.
@gracemima52343 жыл бұрын
Kuiongoza Tanzania ni kazi kubwa sana. Wakurugenzi waliozowea kufanya chochote wanachotaka kwa mipango ya rushwa. Wizi na kujinufaisha kwa mali za wote ndiyo ilikuwa kazi yao. Wengi ndiyo tunawasikia wakipinga Rais Magufuli muda wake usiongezwe ili waendelee kutumia mali za wote kujaza matumbo yao. TUSIKUBALI KUDANGANYWA
@vivianusrwezaura35553 жыл бұрын
Nafikiri hao watumishi hawakueleweka. The idea is good
@africa74793 жыл бұрын
Milion mia tatu, , watu watao watano
@maimunafundi35443 жыл бұрын
Safi sana, wamejali matumbo yao tu
@marrymenas3 жыл бұрын
Daah aisee...haya madaraka haya jaman, mmh
@derickmac64003 жыл бұрын
Safi sana Lukuvi
@mariammadebe65993 жыл бұрын
Sf sana bb Uje na huku Bgmoyo
@innobugobola16943 жыл бұрын
Et magendo kumb mnayajua eeeh jmn lkn apo Tatzo la Mkurungez ni watu watano watano 🙈🙊🙆🏻♀️🙉 au hiyo spece inashida nn😛😜🤪🙈🙊
@veronicasamson71213 жыл бұрын
👏👏👏👏
@onesmoakwilini62543 жыл бұрын
BOMOAAÀ...PUMBAFUU NYIE
@lirastanley3903 жыл бұрын
😀😀😀😀mm huwa nacheka sana na huwa sina neno siku zote maana bado ninahesabika kama vile nina umri mrefu sana wa kuishi ili nione mengi sana
@abermstafa28733 жыл бұрын
Huyu ndo raisi ajaye, safi sana
@mohamedpesambili94603 жыл бұрын
Ana umri mkubwa kuliko magufuli hawez kua rais
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa Siasa Safi ya kuwapunguza nguvu....
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Jamani sio kila kitu Ni kibaya lilikuwa wazo zuri la kuanzisha na kuvoresha eneo Hilo....mchezo wa soka wa tanotano Ni maarufu Tena ata wachdzaji wakulipwa ushiriki wakati wa mapumziko huko kwao...bahati mbaya waziri uelewi mchezo huo...bahati m Aya eneo liko oyster Bay na umeletewa taarifa za uvamizi...ilo eneo kwa miaka limetlekezwa ... Unafanya kazi nzuri lakini kwa hili sikuungi mkono ...mpango ulikuwa mzuri Sana....utaki kusikiliza...hao watu wanampaka ramani unakuja kuzikagua uwanjani....kwanini husiwaite ofisini mkaongea kwa kirefu na ukaelezewa faida ya hicho kitu...unakuja na makamera na maburudoza...tatizo mawaziri wengi wunasababisha watendaji walioteuliwa na rais kuonekana hivyo wakati wanafanya vizuri....ebu ingia KZbin uliza mchezo wa watano watano alafu utagundua umezuia mradi mzuri Sana....walianza na eneo Hilo na walitaka kuendeleza kwingine ... Nakupenda Sana lakini hapo umechemka....mh rais Kama umemuondoe huyo bwana naomba mwite msikilize utagundua Kuna kitu kizuri lilikuwa kinakuja...please do that...tatizo sio huo mradi tatizo tatizo Ni Hilo eneo...all eyes Ni hapo kila mtu analitamani na ndiyo maana waziri kauliza kwanini hapa...husipojengwa mradi huo ukiondoka madarakani utakuta hoteli hapo.....ruhusu mradi huo wa jamii uendelee...msamehe huyo mkurugenzi...eti eneo litumike kuosha magari na kuuza mihogo...du... wenzetu wanaboresha maeneo ya wazi...ulikuwa mradi mzuri Sana...tatizo Ni eneo sio mradi ndicho nilichokiona...just comment
@husseinmkanga77943 жыл бұрын
Ujui tunachoongea hilo eneo halitakiwi kujengwa. Unavyofikiri wakijenga litakuwa bure? Tunakwenda beach kufanya mazoezi kila siku hatuitaji jengo.
@musakhalf8793 жыл бұрын
Hapo panasubiri mradi mkubwa wa daraja la sarenda ukamilike ambapo yatagusa maeneo hayo ndio hatua ya pili kuboresha eneo uanzee na wao wanaramani wanajua jiulize kwanini wamenza wao! Hiyo ni shell project ! Wewe na mimi hatutacheza hapo !
@musakhalf8793 жыл бұрын
Hapo panasubiri mradi mkubwa wa daraja la sarenda ukamilike ambapo yatagusa maeneo hayo ndio hatua ya pili kuboresha eneo uanzee na wao wanaramani wanajua jiulize kwanini wamenza wao! Hiyo ni shell project ! Wewe na mimi hatutacheza hapo !
@husseinmkanga77943 жыл бұрын
@@musakhalf879 mwambie huyo aelewe. Na haijaanza leo wakati wa kikwete manji aliuziwa hiyo Coco Beach na viongozi wala rushwa magufuri kairudisha serikalini. Wanataka watuchaji hela kwenda kupunga upepo. Ili iwe sehemu ya wenye hela.hawapendi kuona wanyonge wanajazana na kuogelea hapo.
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Wanyonge....unyonge Ni ujinga
@onesmomwakasege52153 жыл бұрын
Katika viongozi wote alio waacha magufuli huyo ndie ilie baki na uchapaji kazi wa kweli wengine wanafiki 2
@williamuphilipo74473 жыл бұрын
Eti mpira wa miguu wa watu watano, imekuwa rede au kombolela? Acheni ukanjanja na kwa serikali hii ya Mh. JPM vishoka wote mtaisoma namba... Viva Tanzania... Viva Magufuli... Viva Mh. Lukuvi.
@farajisureman99253 жыл бұрын
Sasa watano watano si tutalala nje na foleni? Nami napinga hilo.Uwanja gani huo! Ebwana!
@neemakaluwa18413 жыл бұрын
Yaani acha tu kkngu . Walizoea janjajanja🤣🤣🤣🤣
@Mimi-wf7mb3 жыл бұрын
Breweries biashara ngumu. Kwa korona hii bia hazina wanywaji
@valenakomba44533 жыл бұрын
Udumu Lukuviii, Wamezoea hao Kutunyonya Watanzania sisi tusiokuwa kwenye maofici makubwa. Wao wanatajilika, sisi tunabaki kukosa haki za watoto wetu.
@NyegaNyegatrainer3 жыл бұрын
Nimegundua, Muweshimiwa leseni yake ya gari itakua kubwa aise yani dingi kaendesha litrekta kama katorori😳
@msalikemedia3 жыл бұрын
😭😭😭😭Nalilia hizo bati tu jaman kama ningekuwepo ningeomba msaada
@godblessjrtz.86523 жыл бұрын
Dah hata Mimi nazitamani kweli
@msalikemedia3 жыл бұрын
Umaskin huu tabu sana😭
@ashamsuya58333 жыл бұрын
Wanatamaa sana hao wapo wengi zunguka kote
@manasemwakilasa59313 жыл бұрын
Wanatamaa mkuu
@kelvinlusana55803 жыл бұрын
Sura zenyewe zinaonekana haya nimajizi kabisa, kamata sweka ndani
@vascojuma21583 жыл бұрын
Veep kuhusu garama zilizokua zimetumika watarudisha au! Haya makubaliano yamefanywa kienyeji hela ya wananchi imetumika kishetani tunaomba kiongozi anaetumia ovyo mali za watanzania awe anarudisha sasa uyo mmemfukuza hela alionunulia mabati na alizolipa vibarua za kuwawekea mafuta wasimamizi pamoja na vifaa vya kzi veep wataludisha au bahati mbaya
@gregorychogelo20133 жыл бұрын
Kuna watendaji wanakera sana!! Big up Mh Lukuvi, piga kazi kwa moyo hivyohivyo.
@robertigohe93383 жыл бұрын
Huyo in Maduhu kweli.
@robertigohe93383 жыл бұрын
Hawakomi tu jamani,tamaa hii ilimuua fisi,nanyi mnataka mini...
@samsonhaule36473 жыл бұрын
Watumbue hao wazembe, Wasilete Njaa zao kinondoni.
@mullecompany24113 жыл бұрын
Ubomoaji wa hoarding kama hiyo unatumia nyundo ze uselemala, nyundo za uhashi, sururu na makoleo tu, huna haja ya kuingia gharama za kutumia wheeel loader
@suleimanjokoro3 жыл бұрын
Utumie nyundo,halafu utamaliza lini?
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Matatizo yote yanayokuja hapo Ofisini kwenu mmeona kipaumbele ni kiwanja cha michezo cha watu watano watano . COCO BEACH ipo tangu nyie mko vijijini kwenu hamjafika mjini hapa , COCO Beach ya moto hiyo , imewang'oa wenzenu wengi , Ona sasa Mkurugenzi umetumbuliwa . COCO BEACH achaneni nayo ni ya wananchi wanyonge wanakuja kuenjoy sikukuu na week ends .
@soudkapimilila88423 жыл бұрын
Kumbe baba lukuvi NI oparetar well NI steglas George upige ndonga
@marthaleonard24443 жыл бұрын
Mheshimiwa ,wewe uishi miaka mingi!
@emmanuelgastine98263 жыл бұрын
Lukuvi shikamoo
@lawrencegwerino16563 жыл бұрын
Fukuza wote ,ni wapumbuvu akili hamuna...
@monicahovda45243 жыл бұрын
lawrence gwerino Fukuza wakajambe kuleee, hawana lolote na tamaaa zao zinawasumbua tuuu, nyooooo
@charlesrongo36153 жыл бұрын
Waziri uishi miaka Mingi mzee wangu
@georgewilliam60013 жыл бұрын
Watu wa Serikalini ni Shida
@andrewmnzava58233 жыл бұрын
Ndio asara za sisi kufanya kqzi nje ya professionalism. Wamefanya need assessment wakaona kinondoni wanataka aina hyo ya kiwanja.? Je inakuwaje construction inaanza hata wizara haijui?
@Hongkongman23 жыл бұрын
Asante Umelipiga greda mwenyewe
@chujimustafa72093 жыл бұрын
Kweli lukuvi
@NR-ll4sr3 жыл бұрын
Tengezeni beach hiyo ipendeze,ni mbaya sana is a shame
@mathiasmsese61283 жыл бұрын
serikali ina mpango na hilo ila watu wanataka kupiga
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Kuitangaza Beach si watatumia pesa , wao wanapenda miradi ambayo wao watapiga pesa .
@ntandumathayo83273 жыл бұрын
Waziri huyu kiboko yao, mpaka anaungurumisha mtambo mwenyewe!!!
@rashdiyange77583 жыл бұрын
Zeee zima ovyooo kwan kiandika shida nnn ivyooo
@mgawerevocatus85823 жыл бұрын
Unastahili kushika ikulu. Mungu akupe uhai baada ya Mwinyi Jr ni wewe
@darhustler3 жыл бұрын
Hatujaelewa hapo alipoulizwa ametumwa na wananchi au ni wao? 😀😀😵
@loner_wolf3 жыл бұрын
Nimependa the way BOMOA ilivyosimikwa kwenye jengo kwa wino mwekundu
@sponsor78823 жыл бұрын
Mbona wamevaa barakoa
@mathiasmsese61283 жыл бұрын
kwani wamekatazwa hayo ni maswali ya kijinga
@500gts___73 жыл бұрын
Kwa sababu mafua hayapimwi kwenye njia ya haja kubwa
@valenakomba44533 жыл бұрын
Waongo hao tayari hapoo. Badaye ukakuja kambiwa hiyo sehemu mmiliki ni TBL. Ndo ujanja ujanja wao huo. Unanzaga hivi hivi. Hao wasomii wasomii gani?. We nchi kubwa kama Tanzania, haina sehemu za wazi.
@ROBERT753763 жыл бұрын
Wakati haya yanafanyika, wengine huku Suka, hatujarasmishiwa ardhi zetu zaidi ya mika minne sasa na kulipia tulishalipia. Natamani atutembelee na sisi huku!
@majaliwamsigwa62063 жыл бұрын
Wamejituma wenyewe hao,waje tulimage huku
@mussaharun72573 жыл бұрын
Sasa kama Mkurugenzi alikula mlungula ndo imekula kwake
@ROBERT753763 жыл бұрын
Yuko sahihi kabisa, lakini ukweli, hakuna uwiano mzuri wa viwanja vya michezo kwenye wilaya zetu. Mfano, sisi wakongwe wa Basketball, tungeweza kuibua vipaji vingi mitaani lakini tupate wapi viwanja? Hili wazo ni zuri hats majuu wanafanya hivyo, ila uchaguzi mbovu wa eneo. Mfano mzuri ni eneo LA SOWETO arusha, wengi tumekuza vipaji pale na ni katikati ya makazi ya watu na eneo in wazi.
@justuswaziri56913 жыл бұрын
I wish nipate mawasiliano yako mh maana unaweza saidia watu wengi wanaopata shida
@antonymwajombe85363 жыл бұрын
Nimecheka sana mabati mnabomoa a gld😬😬😬😬
@africanbeauty65563 жыл бұрын
Makamu was rais
@mohamedfogo88203 жыл бұрын
Kuna watu wanapenda kumchokoza raisi
@myfetty19603 жыл бұрын
Good 😆😆😆
@manasemwakilasa59313 жыл бұрын
Watano watano wote kwer
@valenakomba44533 жыл бұрын
Na kwa nini wajengejenge?. Acheni tupate hewa jamani. Tena uviweke chini ya UNICEF. Na hiyo iwe kwa nnchi nzima.
@westmanmoses5413 жыл бұрын
Wamekula rushwa hao
@sultanabdallah50923 жыл бұрын
Akuna haja ya kubomoa na trekta bati wangepewa wananch
@saidiyusuph9643 жыл бұрын
Kulikuwa na sababu gani kuandika bomoa akati anabomoa mwenyewe?
@mathiaszakaria70523 жыл бұрын
Hahhhhhh hapa kazi tu
@highvoltages41693 жыл бұрын
Sheria ndo inataka hivyo
@mohamedpesambili94603 жыл бұрын
@@highvoltages4169 waelimishe tu waelewe
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Anatoa Ujumbe kwa wote.... kupitia Ujumbe huu
@majaliwawilson93723 жыл бұрын
Lazima aandike kabla yakubomowa
@estakapufi75823 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha waziri watu wa tano
@anyosisyemwangonji48713 жыл бұрын
Jasho jembambaa kwa mbaliii lukuvi noma
@twallibmangu84793 жыл бұрын
Huyo Afisa Ardhi ni Maduhu?
@godlovemasamakibatandu20923 жыл бұрын
Maduhu anpnda hela
@julianamasanja83013 жыл бұрын
Watu bado tu hawajaielewa serikali ya awamu ya tano harafu huyu mkurugenzi ni wa ajabu sana umezuiliwa mara 3 tena na viongozi wako bado tu huelewi inavyoonekana umekula cha juu sasa utakitapika badala ya kukitema na kazi unaitema mengine ni ya umejitakia mwenyewe
@Winstonfying3 жыл бұрын
😀😃mzee lukuvi, kweli kaamua
@mannabu93333 жыл бұрын
Viwanja vya wazi vyote vimeuzwa akuna sikuizi vimejengwa makazi
@africanbeauty65563 жыл бұрын
Wachafua jiji
@madaiincubationcenter49473 жыл бұрын
mkurugenzi nenda kajifunze kazi zingine na familia yako
@reaganlyimo62593 жыл бұрын
Duh
@abuumaryam16283 жыл бұрын
MUheshimiwa mabati basi
@nipolive..27453 жыл бұрын
Wazili acha kuwabania hali ningum sana mtaani huku nikugum sana
@kaisarimbisso75793 жыл бұрын
Haya majizi yanatakiwa yachunguzwe na TAKUKURU, yashitakiwe na yafungwe. Ni majitu yanayokwamisha juhudi za mheshimiwa Rais. Ni mibinafsi na iliyojaa tamaa sana hii mijizi. Itumbuliwe hii mihujumi uchumi
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Umeandika kwa uchungu hadi nikacheka. Hongera kwa uzalendo ndugu. Tuko pamoja. Hata mimi nachukia mijizi inayokwamisha juhudi za JPM