Zanzibar mnapatikana wapi mm dalili zote ninazo jamani nahangaika uzazi
@NisherHozza13 күн бұрын
Mbona hamtaji bei ya dawa tukajua
@saudahafidh-qu2xk Жыл бұрын
Doctor mie nin ttz la uwasho 🥹
@DorothyKerubo-lz4cdАй бұрын
Mimi nimekaa nayo Hadi nimegive up hata hyo dawa nimekunywa
@LucyDismas-op8nf2 ай бұрын
Me nasumbukaa xnaa na maumivuuu chin ya kitovu na uchafuu nitumiee dawa ganiii
@Khalidselemani-m8m12 күн бұрын
Mm nipo kilwa naipataj Hy dawa jamn nixhachok kuumia
@CeciliaBuhonde7 ай бұрын
Nchini Zambia Munapatikana Sehemu Gani?
@naasibabuu8 ай бұрын
WALE JAMAA WANAITWA SAMARIA MWAKA 2010 WALIKUA UBUNGO KISIWANI PALE SOKONI SIJUI SASAIV WAPO WAPI AISEE WAPO VIZURI SANA KWENYE TIBA
@RhodaMbeke-d4o9 ай бұрын
Hey daktari mm najikuna adi navigation sehemu ya siri ama tunapofanya mapenzi nawashwa just huwa inakam inapona alf intruding tena, can u help me please 🙏
@MariaHasha-m6tАй бұрын
Nahitaji nambayakoyasim
@LucyNnko-c1o10 ай бұрын
Mm nipo zanzbar jaman naweza kuonana na daktari jmn
@SalomeLukambiyo7 ай бұрын
Shinyanga mpo sehem gan
@MwantumuElieza10 ай бұрын
Dawa began na naipataje
@deborahmajura31025 ай бұрын
Bei gan
@AntarySalum Жыл бұрын
Hizo dawa zinauzwa wapiii jmni na mm natatz hilo
@AntarySalum Жыл бұрын
Daressalam mpo pand zipi
@pamellahanainga7958 Жыл бұрын
Mmimi nko kenya naweza pata aje
@Biasha-yv8un Жыл бұрын
Jamani
@ashahaji477 Жыл бұрын
Nishingapi jamn mi nitakuja ninatatizo jmn inauzwaje na dodoma sehem gn🙏
@Maryam-j1d6u Жыл бұрын
Dawa hiyo ni shiling ngap doctor,ninawatoto wawili namda kama miaka mitano nimehangaika sipati ujauzito tena
@nacykyalo75357 ай бұрын
Kitui mnaonekana kweli
@GloryColin2 ай бұрын
Bei gani
@NimrodMokaya-tj8hv4 ай бұрын
Niko kenya na ipataje
@PiliSaidy-s4g10 ай бұрын
Ni bei gani
@MariaKisoma11 ай бұрын
Iringa ni sehemu gani
@FaithShantel-wr6vx11 ай бұрын
Hi doctor mimi nimevimba kwa sehemu zangu za siri nifanye nini
@winniemueni-hr7iz24 күн бұрын
Same ulipata dawa juu naumwa na tumbo chini sana aki
@ocenathrkalwans6545 Жыл бұрын
Thanks
@abbykilangi5510 ай бұрын
Na mimi ninaujauzito ila napata maumivu makali chini ya kitovu pia ninamaumivu upande wa kushoto napanaigumu nipo dodoma mwauzaje hizo dawa
@Esterswai-pg2vn6 ай бұрын
Morogoro mpo sehemu gani
@halimaalyy409 Жыл бұрын
Zanzibar mupo wapi
@ConfusedGlassblower-le5rs7 ай бұрын
Ni kwel wana tibu Awana tiba feki
@SarahPool-rc4yq6 ай бұрын
Arusha inapatikana wapi
@kazungujoseph85323 ай бұрын
Je kama hii shindi iko utanisaidiaje
@zakariachoma56217 ай бұрын
Dawa bei gani jamani
@abeidramadhan2413 Жыл бұрын
Zanzibar munapatikana sehemu gani na hio dawa ni bei gani
@aminahhuawei1133 Жыл бұрын
Doct mm nasumuliwa na miwasho sehem za siri naninatoka uchafu wa njano nishatumia dawa ilaa bado naomba dawa
@MimahFeisal11 ай бұрын
Hi
@fadhilaally3052 Жыл бұрын
Jaman mim niko mbali pemba naweza nikaipata nina matatz hayo hayo
@KarnaEmma10 ай бұрын
Mimi nikomtwra naipataje daw ya muasho sehemu ya sir? Nani beigani?
@ShadiaHassani10 ай бұрын
Samahan ulifanikiwa kutibu tatizo lako
@JudyMushi4 ай бұрын
Na je Kuna vipimo?
@beathauwezo34948 ай бұрын
Ni ko gara tuta wappataje
@LuciaRevocatus5 ай бұрын
Samahan dawa bei gan?
@SublimeMussa Жыл бұрын
Naushuhuda na hii dawa mdg wangu kaitumia na mwezi mmoja na mimba juu
@UpendoMassawe-e9c9 ай бұрын
Hongera
@GraceDaud-z5c11 ай бұрын
Ndo nataka nilale
@AnesiaKamuntu-kr6qg Жыл бұрын
Kahama sehemu gani na utwambie bei bhas
@benjaminhonga677111 ай бұрын
Waongo Hawa usijalibu mie walinipa dawa kumbe uongo wakipata ela tu hawakujui WAONGOOOOOOO
@AlanusMikupi5 ай бұрын
ASa dada ulitumi dawa gani ukapona
@EmaKazamwedo7 ай бұрын
Munipe namba za lubumbashi
@RahimaKhamis-b4k2 ай бұрын
mm naota vijipu
@ZakayoHermanseba-do1yr Жыл бұрын
Hizo dawa za lonzwe nilichukua lakini hakuna mabadiliko yoyote
@salmaadam4033 Жыл бұрын
Hbr
@gloryhery7285 Жыл бұрын
Mambo, nenda hospital ya tegeta kama uko dar
@estermathias8354 Жыл бұрын
Hata mm best havikunisaidia
@neemakimaro6871 Жыл бұрын
@@gloryhery7285 iyo hospitali ndo wanatibu?
@shukuruhussein5093 Жыл бұрын
Afadhali kabla sija enda
@ashahaji477 Жыл бұрын
Dodoma mko sehemu gani??
@MashakaKanoni-p6k Жыл бұрын
Dawa bei gn
@ZAINABUMWINYI-go3cg3 ай бұрын
Huyu doctor wa hovyo Sana ukiwacheck watssap hata hawarespond
@BwaySavage-mc8jj Жыл бұрын
Shiling ngap
@KennyMtundeCom Жыл бұрын
Nimeteka mm naomba musada
@khalidhalid9636 Жыл бұрын
zanzibar ni wap jamani 😔😔😔😔😔😔😔😔
@farajamwailaku7029 Жыл бұрын
😂😂😂
@MimahFeisal11 ай бұрын
Samahani doctor ni ipi dawa ya kuondoa muwasho sehem za Siri maana naona shida sana
@Tinah-lu4sh8 ай бұрын
Bei
@rukiamagendero8249 Жыл бұрын
Samahani doctor naomba kuuliza juu ya mimba kuharibika husabanishwa na nin?
@neliagerald6343 Жыл бұрын
Nakuja hapo mda si mrefu
@KhadijaMichel Жыл бұрын
Arusha mnapatikana wap
@sarazephania7669 Жыл бұрын
Habar,hi dawa ni bei gani
@LeilaKombe-v7y Жыл бұрын
Mimi pia nipo nnje ya nnchi nita ipataje
@daudimlapilwa0689 Жыл бұрын
Tabora mnappatikana semgani?
@SneyouSaidi-dg1bc Жыл бұрын
Mm naitaka hiyo dawa bei gang yapid
@EvaGidion-zm2kv Жыл бұрын
napataje hiyo dawa dokta
@lahabudaud406 Жыл бұрын
Hai
@NasraBoki-ks9hh Жыл бұрын
Na Kwa babat mpo sehem gan na ni shingap hiyo dawa
@Asiasuleyman10 ай бұрын
Sa kinachofanya msijibu sms nini mnazingua tajen bei yadawa hyo nyie vipi
@JoyceJoseph-o6k Жыл бұрын
Bei Gani iyo dawa
@Queensimkoko-we7wu Жыл бұрын
Jamn Mimi nko njombe makete napataje hiyo dawa
@leticiamagunila573 Жыл бұрын
Geita hampatikani?
@nasiamrido7631 Жыл бұрын
Samahan dokta dawa shi ngap
@LidyaRobert-vd6oz Жыл бұрын
Dawa ni bei gan na kwa musoma mnapatikan wapi
@zausaid1695 Жыл бұрын
Hiyo dawa nilazima unywe namume wako na ni sh ngapi
@NadhiriKilibaze1999 Жыл бұрын
Me nipo Moshi naipataje hiyo dawa
@lahabudaud406 Жыл бұрын
Dakitari mm nipo mbali nje ya nchi nitapataje dawa?
@sumayyahally3199 Жыл бұрын
Me nipo Dubai napataje iyo dawa
@emmilianatanzania1575 Жыл бұрын
Habar
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Bei gani iyo dawa?
@Szya_Peter Жыл бұрын
Dokta mimi muke wangu alichoma sindano ya majira lakini alipochoma 2 akaanza kutokwa na damu kila siku nitumie dawa nizuie damu nisaidie
@MerryNarry-wz8jz10 ай бұрын
Ends pharmacy iliyok karib ukose hyo daw
@SalomeJoseph-wx7hm Жыл бұрын
Nahitaji hii dawa ya lonzwa mbeya
@maryamolo63019 ай бұрын
😊😊
@SublimeMussa Жыл бұрын
Naushuhuda nayo hii dawa
@AnesiaKamuntu-kr6qg Жыл бұрын
Naomba unambie imekuwaje maana mm nipo na ilo tatizo