MSIBANI kwa WAREMBO wa FAMILIA MOJA WALIOFUKIWA na GHOROFA KARIAKOO na KUMUACHA MAMA YAO MZAZI...

  Рет қаралды 237,200

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 511
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 Ай бұрын
Mungu kakuamini unaweza mama . Najua utashinda tuu kipenzi. Pole sana mama yetu
@VioletBasli
@VioletBasli Ай бұрын
Mama pole kwa maumivu makali ya kupotelewa na watoto. Mwenyez Mungu akulinde na akupe nguvu yakulipokea hili
@romanarosemedard2551
@romanarosemedard2551 Ай бұрын
Pole sana Mwanamke mwenzetu
@ZuhuraNgasinda
@ZuhuraNgasinda Ай бұрын
Mungu azidi kuwatia nguvu wote mliopotelewa na ndugu zenu.
@MariaAndreaMusa-j6n
@MariaAndreaMusa-j6n Ай бұрын
Mama neema pole xn mwanamke mwenzangu
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Ай бұрын
Poleni wana familia,kazi ya Mmungu haina makosa,mbele yao nyuma yetu,kwa hakika msiba mzito😢😢😢😢😢
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et Ай бұрын
Mama Pole sana kwa maumivu unayo pitiya Mungu akufarishi Mama yangu inauma sana ndugu zetu kutoka East Rwanda 🇷🇼 tunawapa Pole nyingi muendele kuvumilia ndugu zetu wa Tanzania 🇹🇿
@GabrielOmassawe
@GabrielOmassawe Ай бұрын
Poleni Sana wanafamilia, pole sana mama mzazi Kwa kuwapoteza wanao inauma sana but endelea kumshukuru Mungu. Mungu roho mtakatifu awatie nguvu na faraja Kwa wakati huu mgumu wa majonzi.
@DorothMlaponi
@DorothMlaponi Ай бұрын
Eeh Mungu mwema ni nini hiki jamani tumrudie Mungu ktk sala ili atunusuru majanga yanayotupata. Baba Mungu tusamehe. Kila wakati Mungu ni mwema poleni wafiwa, poleni majeruhi Mungu awe pamoja nanyi ktk kipindi hiki kigumu Tumsifu zyesu kristo Amina
@onehouronlinetv1893
@onehouronlinetv1893 Ай бұрын
Poleni sana kaka Izzo na familia kwa ujumla
@HamzaChilongola-tq7ty
@HamzaChilongola-tq7ty Ай бұрын
poleni sana wenzetu kwa msiba lakini niwaombe tuwe wavumilivu katka kipindi hiki chamaomborezo tumtangurize mungu atupe myoo yauvumilivu nauturivu tuwsombee wenzetu wariotanguria mungu azilaze maharipema pepon Amina
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 Ай бұрын
Inauma Sana kupoteza watoto 2kwa wakati mmoja 😢😢😢😢😢😢 kiatu Cha huyu mama kigumu mno Ila yote kwa yote MUNGU akupe faraja mama yangu
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
San yn 😢😢😢😢😢😢
@MishiOmar-s3e
@MishiOmar-s3e Ай бұрын
Mmh poleni sanaaaaa
@ZuwenarashidiLukanga
@ZuwenarashidiLukanga Ай бұрын
Pumzikeni kwa amani wadada dah ama kweli kifo hakichagu eeh mungu tusamehe tuliobaki na utupe mwisho mwema😭😭😭😭
@MohamediHashimu-q6t
@MohamediHashimu-q6t Ай бұрын
Mungu awaweke mahali pema malehem wote
@salomenjogoro4399
@salomenjogoro4399 Ай бұрын
Da!! Pole sana mama, Mungu awe faraja kwako. Kikombe hicho ni kigumu kukinywa. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi🙏🙏
@HghvghVfg
@HghvghVfg Ай бұрын
Poleni sana mungu awape subra
@FadhilaMushi
@FadhilaMushi Ай бұрын
pole kwa familia pole sana mwanamke mwenzetu Mungu wa mbinguni akutie nguvu
@mkukiruben8688
@mkukiruben8688 Ай бұрын
Pole mama naelewa unavyojiskia Mwenyezmungu akutie nguvu mama livuke salama
@rosemarytheresia6885
@rosemarytheresia6885 Ай бұрын
Poleni Sana Wana familia Kwa ujumla, inasikitisha sana Mungu awape Nguvu ktk kipindi hiki kigumu ...pole sana Mama yangu Mungu akusimamie ktk ili😢
@lucympakasy5280
@lucympakasy5280 Ай бұрын
Poleni sana kwa msiba huu mkubwa.mama Neema mungu tu ndo mtoa faraja ya kweli
@SuzanKabika
@SuzanKabika Ай бұрын
Pole sana mamayangu jamani ata cha kusema nakosa uwiiii eeh Mungu wa mbinguni mfunge mkanda uyu mama maana sisi kama wanadamu cha kumfariji uyu mama tunakosa tunakuomba Baba wa mbinguni.
@naomilumolwa7864
@naomilumolwa7864 Ай бұрын
Pole familia, Mungu awape wepesi ktk kulipokea hilo. Pia mama Mungu atakuonyesha njia ipi upite ili maisha mengine yaendelee.😭😭😭
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs Ай бұрын
Polenta sana ndugu zangu mungu Awape.Subra polenta sana.
@WinnieMsuya-m3i
@WinnieMsuya-m3i Ай бұрын
Mungu amtie nguvu mama angu kipnz..... Na pole Kwa ndugu jamaa wa familia hioo....
@mariasampa2803
@mariasampa2803 Ай бұрын
Pole kwa familia Mungu amtie nguvu huyu mama inauma mno😭😭
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Ай бұрын
Mungu Mungu Mungu wangu nimeumia sana nakumhurumia mama mwenzetu hakika huyu mama tumuombee ili Mungu amfariji kwa namna ya pekee kabisa Pole sana mama mwenzetu Mungu pekee awe faraja kwako Watoto wetu wapumzike kwa amani
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e Ай бұрын
Pole sana kwa famlia Allah awape subra ktk kipindi hiki kigumu
@IddaDaimonmfilinge
@IddaDaimonmfilinge Ай бұрын
Pole sanaaa mama MUNGU AWE MFARIJI WAKO
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 Ай бұрын
Pole mama pole mama😢😢 poleni wanafamilia Mungu awape uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu
@YahyaNuru-v7d
@YahyaNuru-v7d Ай бұрын
Mama Mungu akupe subra
@SesiliaNjala
@SesiliaNjala Ай бұрын
Sisi sote tunampa pole mama Neema na kumfariji kweli kibinadamu tumeumia mnooo, uchungu wake auelezeki. Ila yupo mfariji mkuu YESU KRISTO mwana wa MUNGU, awe faraja kwake na kwa familia nzima 🙏
@ZuuAthman
@ZuuAthman Ай бұрын
Pole sana mama yangu mungu akupe subra na uvumilivu
@MariaBwarwa
@MariaBwarwa Ай бұрын
Poleni kwa misiba miwili jamani inauma sana, mungu hawape nguvu na hujasira
@NeemaDotto-d1b
@NeemaDotto-d1b Ай бұрын
Pole sana mama angu kwa kumpoteza wa jina wangu nimelia sana mama kusikia neema ndo alikuwa kila kitu ni melia sana kwani ata mm naitwa neema ndo kila kitu kwa mama angu na kwa wadogo zangu wapo wanao soma na pambana nakila kazi.kwaajili ya wadogo zangu na mama baba pia alisha faliki kaka angu mkubwa pia dada angu mkubwa pole sana mama neema wajina wangu alie kua na maisha kama yangu mama ukuniliko nalia sana
@JosephineMegora
@JosephineMegora Ай бұрын
Pole
@Dmsiris5
@Dmsiris5 Ай бұрын
Pole sana Neema
@daisybelle6485
@daisybelle6485 Ай бұрын
Hii inaumiza sana mungu awatie nguvu familia ya marehemu, awapunguzie adhabu Za kabri walio tangulia na atujaalie mwisho mwema tulio bakia. Kazi ya mungu haina makosa 🤲🏾
@PriscaAtaro
@PriscaAtaro Ай бұрын
GB poleni Sana! Mungu awatie nguvu
@RenathaJackobo
@RenathaJackobo Ай бұрын
pole sana wafiwa wote mungu awatie nguvu 🙏
@AnastaziaMalwa-i3n
@AnastaziaMalwa-i3n Ай бұрын
Pole. Sana mama mwenyezi. Mungu akupe nguvu kwa. Kupoteza watoto wawili. Inauma sana
@MwajabAbubakary
@MwajabAbubakary Ай бұрын
Pole mama😭😭 mwenyezi mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu,hakika ni maumivu makubwa sana
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku Ай бұрын
Poleni Xana ndugu zangu mungu awatie nguvu kwenye wakati huu kigumu
@ceedanstan6780
@ceedanstan6780 Ай бұрын
Jaman pole sana mama yangu jitie moyo unankumbusha kabisa kama wimbo wa abwene misuli ya iman kwann Mungu umeamua kuchukua wangu tyuuuu😭😭😭😭😭
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Ай бұрын
Kweli kabisa mwanamke mwenzetu tumuombee sana Mungu ampe farajaa
@ceedanstan6780
@ceedanstan6780 Ай бұрын
@@EmmaculateGembe inaumiza sana kiatu hicho kukivaa n vigumu sana japo yakitokea lazma uyapokee lakini unayaookea kwa huzuni kubwa sana Ulizoea kuona wanao Leo unaona matuta ya makaburi mmmh n ngumu sana lakini mama yangu ajipatie moyo kaz ya Mungu haina makosa
@arafalawvu6401
@arafalawvu6401 Ай бұрын
MwenyeziMungu akufatiji mama. Allah hakosei
@avelinanyoni7334
@avelinanyoni7334 Ай бұрын
Mungu akutie nguvu mama pole sana
@ZainabuZaina-dk7mx
@ZainabuZaina-dk7mx Ай бұрын
Mama poleni sana Allah akutie nguvu
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Ай бұрын
Innalillah wahinnaillah rajiuun, poleni xn mungu awatie nguvu jmn😢, uko very smart bro kwny maongezi.
@pelagiamaumba8602
@pelagiamaumba8602 Ай бұрын
Poleeni sanaa jaman Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@getrudasanga9469
@getrudasanga9469 Ай бұрын
Muandishi yuko vizuri na aliyehojiwa yuko vizuri
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala Ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote wa hao ndugu zenu Mungu awafariji sana
@AgnessJohn-i4h
@AgnessJohn-i4h Ай бұрын
Mungu azilaze roho zamarehem wote mahali pema peponi my god
@TheodoraChaki
@TheodoraChaki Ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote marehemu wote wapumzike Kwa amani
@rehemaathuman7303
@rehemaathuman7303 Ай бұрын
Pole mama ..mungu akupe nguvu Kwa wakati huu wa huzni
@HassaniKangomba
@HassaniKangomba Ай бұрын
Mwenyezi mungu amtie nguvu mama kwa kipindi kigum alicho nacho
@MkwaviBangwe
@MkwaviBangwe Ай бұрын
Dahh polen sana wanafamilia mungu awapumzishe kwa aman
@LainesLucas
@LainesLucas Ай бұрын
Poleni sana jmn😭😭 Mungu awatie nguv katk kipind iki kigum🙏🙏🙏
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 Ай бұрын
umeongea vzur brother 🙏🙏
@LeahMbeleselo
@LeahMbeleselo Ай бұрын
Mungu awape Pumziko jema ndugu zetu😭😭
@ShamimuKanju
@ShamimuKanju Ай бұрын
Pole kwa wafiwa Mwenyeezi Mungu awatie nguvu
@agathekibobe
@agathekibobe Ай бұрын
Pole sana kaka yangu uchungu na mashozi poleni mungu amupe mama huyo moyo wasubira
@lisabeshy7894
@lisabeshy7894 Ай бұрын
Poleni sana familia na Mwenyezi Mungu azilaze roho zamarehemu mahali pema mbinguni. Mungu azidi kuwafariji
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Mungu akupe uvulilivu mama yetu kwa kipindi kigumu hiki!!
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 Ай бұрын
Poleni sana na hili janga! Tunawaombea Mungu awatie nguvu🙏🏽🙏🏽
@SubiraJohn-v9s
@SubiraJohn-v9s Ай бұрын
Innalilah wainnaylilah rajiuun! Mwenyezimungu awajalie kauli thabit! Pole sana Mama na familia
@JojojoJojojo-wx1vi
@JojojoJojojo-wx1vi Ай бұрын
Mungu akutie nguvu mama mzazi sababu siyo raisi
@HamadBitesigilwe
@HamadBitesigilwe Ай бұрын
Pole sana mama mungu akutie nguvu inshaallah kwa uwezo wake mungu atakupa nguvu
@أمطارقالبحرية
@أمطارقالبحرية Ай бұрын
Allah awape subra wafiwa Hii ndio kazi waliyo nayo wenzetu wa palestina kl siku Allah awasaidiye wote kwa jumla
@tagomshana4032
@tagomshana4032 Ай бұрын
Ooh pole sana wafiwa jamani imeniuma sana mungu awatie nguvu hasa mama jamani mungu awape rehema
@nurujuma5959
@nurujuma5959 Ай бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu kipindi hiki
@MagrethKasunzu-zg5xd
@MagrethKasunzu-zg5xd Ай бұрын
Ee Mungu nisaidie nikutumikie mpaka mwisho wa maisha yangu .
@Dmsiris5
@Dmsiris5 Ай бұрын
Poleni sana kaka Izzo na familia yenu yote.Shemej zako wapumzike kwa Amani.
@BitteMandele
@BitteMandele Ай бұрын
Munguu akupe nguvu mamang na akupe moyo wa ujasir pole xana
@maryfaustine4144
@maryfaustine4144 Ай бұрын
Dah pole sana mama uliepoteza watoto wako mungu akutie nguvu
@KhaythamGulela
@KhaythamGulela Ай бұрын
Mama pole sana mwenyez mungu akutie nguvu
@stellakaguo8728
@stellakaguo8728 Ай бұрын
Poleni sana kwa familia Mungu akawe mfariji kwenu.
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Ай бұрын
Poleni sana wapendwa
@Happywillson-tp4ix
@Happywillson-tp4ix Ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu najua inauma ila hatuna buud sote njia nimoja kikubwa kukmbeana bwana ametoa nabwana ametwaa jinalabwana lihimidiwe lahaya mlele umpe eebwana namwanga wamilele uwaangazie wapumzike kaamani amina
@AshaHassan-b9f
@AshaHassan-b9f Ай бұрын
Poleni sana wafiwa mngu awajali subira kwenye kipindi hichi kigum
@CalmOmbreSky-iz2hj
@CalmOmbreSky-iz2hj Ай бұрын
Mama neema pole sana mungu amtie nguvu hata ayubu yalimkuta makubwa kama haya mungu mwenyewa angalie afya yake
@SalmaStephano
@SalmaStephano Ай бұрын
Poleni sana ill kweli kwenye swara lakuokoa waongezee bidii
@Sesilialucas-pk4ze
@Sesilialucas-pk4ze Ай бұрын
Polen sana, mwenyez MUNGU Yuko p1 nanyi
@HamidaMlawa
@HamidaMlawa Ай бұрын
Mungu ni mwema mtie nguvu mamá uyu amina
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Ай бұрын
Innalilah wainna ilayhi rajiuni 😢 polen sana wafiwa msiba ni wetu sote watanzania
@bejamataria7362
@bejamataria7362 Ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu watanzania Mungu awape subra kutoka Kenya
@lizahkantai8361
@lizahkantai8361 Ай бұрын
Pole sana kwa mama na familia,mungu awape nguvu wakati huu mgumu
@monicalucas3738
@monicalucas3738 Ай бұрын
Poleni saa wafiwa MUNGU akawe faraja kwa familia🙏
@JanetNjobvu-xf4vq
@JanetNjobvu-xf4vq Ай бұрын
Pole mama angu mungu akutie nguvu mama inauma sana pole mama mungu akutie nguvu
@FaithJohn-v2y
@FaithJohn-v2y Ай бұрын
pole sana ndugu zetu.
@upendomlaki1943
@upendomlaki1943 Ай бұрын
Mungu awe na ninyi ktk kipindi hichi kigumu,mama pole kwa mungu akufunge mkanda
@VioletBasli
@VioletBasli Ай бұрын
Daaaah Mwenyez Mungu awarehemu
@josephrobinmalafyale8416
@josephrobinmalafyale8416 Ай бұрын
Daaah inaumiza sana pole sana mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu inaumiza sana tena sana duuuh
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta Ай бұрын
Poleni wapenzi wangu mungu hawape subra shaa Allah
@akibaviateurofficial8433
@akibaviateurofficial8433 Ай бұрын
Lalaaa!!! Poleni sana na Mungu awasaidie na kuwafariji zaidi kbsa🤦😢
@DeboraKibassa
@DeboraKibassa Ай бұрын
Poleni Sana wafiwa Mungu awatiie nguvu.
@OmaryTikilu
@OmaryTikilu Ай бұрын
Poleni sana mungu awajalie wepes na nguvu
@Maher-w4o
@Maher-w4o Ай бұрын
mwenyezi munqu azilazi roho zao mahal pema peponi amina
@ZulfaAbdul-g4t
@ZulfaAbdul-g4t Ай бұрын
Pore mama mungu amewapenda zaidikikubwa upate wepesi kwamsiba mzito mama angu
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Ай бұрын
Poleni kazi ya mungu haina makosa ila tumuombeni dua muhimu
@salmaahmadramadhani8118
@salmaahmadramadhani8118 Ай бұрын
Pole Sana mama mungu akutie wepesi katika kipindi hiki kigumu
@AishaYassin-e7r
@AishaYassin-e7r Ай бұрын
Pole sana mama mwenyezingu akitiye nguvu mbele yao nyuma yetu
@winifridamalunde8484
@winifridamalunde8484 Ай бұрын
Pole sana mama mzazi Mungu Akutie Nguvu hiki kiatu ni kikubwa mno kukivaa polen familia RIP
@MosesChikutu
@MosesChikutu Ай бұрын
Poleni ndugu inasikitisha kwakweli Mungu awasimamie
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
What will happen in 2025? - The Global Story podcast, BBC World Service
38:19
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
NILIKUWEMO KWENYE LILE GOROFA KARIAKOO, MUNGU ALINITOA KIMIUJIZA.
5:00
ALIYECHOMOLEWA KWENYE KIFUSI AELEZEA VIFO ALIVYOAACHA NDANI SHIMO LA GHOROFA.
10:31
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН