🔴

  Рет қаралды 192,265

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: MANARA AVUNJA UKIMYA, AMJIBU ALI KAMWE KUHUSU UGOMVI WAO, AFICHUA CHANZO NI MTOTO WAKE..
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara, Leo Septemba 18, amezungumza na wanahabari jijini Dodoma na kuelezea gumzo linaloendelea mitandaoni likimuhusisha yeye na mchambuzi wa soka nchini Ally Kamwe..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 345
@GraceJohn-bw1xw
@GraceJohn-bw1xw 9 ай бұрын
Haji manala unajuwa wew nibinadamu unamapungufu omba msamaha hata jamii ikuone kwanza hata mungu atakusamehe omba msamaha simba omba msamaha kwa mo dewj
@peterkimangano5517
@peterkimangano5517 Жыл бұрын
Pole sana ndugu Haji Manara yatakwisha tuu.
@wazaelshamandi
@wazaelshamandi Жыл бұрын
Pole sana brother hao ndo wanadamu wasamehe saba mara sabini
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 2 жыл бұрын
Je uliwahi kumwambia jambo alilokukosea kabla ya kukataa salaam yake.... kiubinadam ungepokea salaam mengine yangefuata baadae Hakuna binaadamu anaeweza kumhukumu bunaadamu mwenzio ni mungu pekee tujifunze kusameheana maisha yaendelee
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 2 жыл бұрын
Bro.Hajji Mimi Najuwa Kama Ulivyo Sema Kunawatu Watakupenda Na Sirahisi Wote Kukupenda Kwahiyo Mimi Nakuomba Mshitakie Allah Kwa Maneno Haya Hasbiyallah Waneemalwakiyl. (حسبي الله ونعم الوكيل) Allah Atakuhukumia
@suleimanmagembe1410
@suleimanmagembe1410 2 жыл бұрын
piga kazi mungu ana makusudio yake na sisi tupo nyuma tutakuombea dua kwa munyazi mungu Allah subhana watallah
@peternaaly4081
@peternaaly4081 2 жыл бұрын
Hamna lolote mtu asiyependa kukosolewa Kwan we mungu
@samweledward7664
@samweledward7664 2 жыл бұрын
Dah! Mungu akusimamie🙏
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 2 жыл бұрын
Kwannukatae mkonowake Mjingasana we pumbavuzako ww
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 2 жыл бұрын
Achakusingizia Allah we kwaniniukatae mkonowake
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 2 жыл бұрын
Boyaww
@SultanBakali
@SultanBakali 7 ай бұрын
Acha kujifanya mungu wa mpila mshamba Sana ww
@hajihajibobea5442
@hajihajibobea5442 2 жыл бұрын
Nyote wawili mnazitumia Aya na uislam vibaya,usahihi ni kuwa waislam wawili wanapokaa hali ya kuwa wamekosana ikatimia ramadhani Hadi ramadhani hali ya kuwa hawasemi,Mungu hapokei funga zao mpaka watakapo ondoa tofauti zao. Muogopeni Mungu !
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 жыл бұрын
Shida wanataka sifa binafsi
@JuliasMseven
@JuliasMseven 6 ай бұрын
😅Of l0p9😅😊
@FrankLusega-dp2of
@FrankLusega-dp2of 6 ай бұрын
Pole Bro ndiyo binadamu tulivyo samehe 7x70
@apostleisaacnyika4669
@apostleisaacnyika4669 2 жыл бұрын
Msamehe brother nakuomba
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@Isaack tumia hekima kidogo tu..mwanzo Manara anakiri hajawahi kumuombea ajira Ally Azam..halafu dakika chache mbele anasema ni kweli alimsaidia Ally kupata ajira Azam hivi huoni huyu bwana kidogo si sawa???
@apostleisaacnyika4669
@apostleisaacnyika4669 2 жыл бұрын
@@rockygappi1018 Unajua hao wote mimi nawakubali sana ndo maana sioni haja ya wao kugombana..Na unajua mkubwa huwa haombi msamaha mapema ndo maana nikamwambia Haji amsamehe dogo tu..
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@@apostleisaacnyika4669 ni kweli kabisa usemavyo hata mimi wote nawakubali.. mmoja ni Legend na mwingine upcoming..lakini kama mkubwa huwa haombi msamaha basi pia kwa hekima mkubwa pia hunyamaza hajibizani.. muungwana akivuliwa nguo huchutama..
@jacksonmtenga1276
@jacksonmtenga1276 2 жыл бұрын
Kwanini unagombana na watoto
@mohamedmagubikila3499
@mohamedmagubikila3499 Жыл бұрын
Haji manara jamani kabarikiwa na mtu aliebarikiwa mtu mnafiki hawezi kumshusha mie nakiri hata huku nje nilipo tabia hio ipo Kuna waandlishi chipukizi ambao bado wakembe Kwenye tasinia ya habari ndio wachafuzi wao ndio ambao hata hawapini wanacho kiandika bora wapate like nyingi na kulitumia jina la mtu vibaya ili mradi habari zake zisomwe hata kama habari zake ni za uongo wapo waandishi hao, big up sana Haji manara nimeona juzi ulivyomshauri Nandy akubali kusemwa maana kataka mwenyewe kuwa star lazima aukubali uzito japo Kwa shingo upande
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 2 жыл бұрын
Kaka manara fanya kazi zingine Kaka Hawa wadogo hawana ishu kaka
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 2 жыл бұрын
Unamatatizo lkn hutk kukubali unafikilia wewe n Mungu
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 2 жыл бұрын
Pole kaka
@happynesslnc2044
@happynesslnc2044 2 жыл бұрын
Ali kamwe mm nakuomba sana muombe msamaha manara kama kweli alikusaidia kupata ajila mungu apendi ivyo mtu kakusaidia uwezi kumsema vibaya mungu apendi najua ww kamwe unajua dini vizuri wacha kuingia kwenye makundi yakijinga
@ramadhanmzee7113
@ramadhanmzee7113 2 жыл бұрын
Kwahyo mtu akikusaidia ndo akunyanyase kwenye majukum yake
@emmanuellisso4346
@emmanuellisso4346 2 жыл бұрын
Amuombe msamaha wa nn, huyo manara mnafiki tu anajikweza na kujifanya yeye n bora kulko wengne ,anapenda sifa sana na kujiona yeye ndo kila kitu ,mpuuzi tu manara
@TheMrisho
@TheMrisho 2 жыл бұрын
Alikuwa mtetezi wa Yanga leo anamtetea Mungu. Huyu wazimu
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 жыл бұрын
WE BONGE MAKU KWELI hiyo ndo point ulioiona
@iddimwega109
@iddimwega109 2 жыл бұрын
Jembe manara
@immeldantausigafoundation3795
@immeldantausigafoundation3795 2 жыл бұрын
Kwani wewe Suala la simba ulilisema baada ya muda gani
@johanessmwijage1192
@johanessmwijage1192 2 жыл бұрын
Mungu wa wa hajimanara sijui nimungu gani
@pontiankaganda150
@pontiankaganda150 2 жыл бұрын
Kwann Haji anawadharau waandishi na mko kimya ? Anasema hata elfu kumi,hamumuwezi !
@MasabudaJames
@MasabudaJames 6 ай бұрын
Mungu jua Zumaridi hahaha!!!
@adelinamhanga1973
@adelinamhanga1973 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia binadamu tumeumbwa kusema.
@idemo4680
@idemo4680 2 жыл бұрын
Hawatoweza kukushusha wewe haji mwingine bado haujazaliwa💪
@ndayishimiyeabdulkabir9793
@ndayishimiyeabdulkabir9793 2 жыл бұрын
Show
@RubenMasige
@RubenMasige 6 ай бұрын
Brother rudi nyumbani huko siyo mahali salama
@suleimanmohamed3650
@suleimanmohamed3650 2 жыл бұрын
Ww mswahili sana bana
@AsumaniallyAlly
@AsumaniallyAlly 6 ай бұрын
Nashukuru umewasuta waandishi wachonganishi wakubwa hao
@happnessmtei3791
@happnessmtei3791 2 жыл бұрын
jamani hyu zeruzeru ni kiumbe mbaya sana ni mfitnishaji na huku akimtaja sana mungu ili watu tumuone ni mwema ,tumuhurumie,sisi hatutaki kumtja mungu wetu kwenye fitna zako yani njaa inakufanya umsahau mungu wako
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 2 жыл бұрын
Tuna kuhamin sana Kk weye ni umoja tu
@habibuismaili3881
@habibuismaili3881 2 жыл бұрын
Aly umekosea sana hatakama manara alikukosea hekima nikitu chabule usijione umekua
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 2 жыл бұрын
Amekosea nn?
@yranhassan8788
@yranhassan8788 2 жыл бұрын
Spika zishaanza kupungua naona 🤣🤣🤣
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 жыл бұрын
@Yran. Nilikuwa sijazihesabu mike zipo sita 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BOAZMWANGOGE
@BOAZMWANGOGE 6 ай бұрын
braza dogo Ally kakukosea ,,,ukifanyiwa wema kumbuka dogo Haji kakusaidia wew kakutoa out wew
@happynesslnc2044
@happynesslnc2044 2 жыл бұрын
manara wewe waache kaka mungu atakulipia kwayote wakukushusha Nimola sio binadamu
@sauka9622
@sauka9622 Жыл бұрын
Haya sasa kimeanza kuumana sasa 😂😂😂😂
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Manara umeita press sababu ya Ali Kamwe. Ali Kamwe umekua dogo. Wewe ni mkubwa sasa.
@filbertvictor6159
@filbertvictor6159 Жыл бұрын
Haji ww mshamba Sana ulitakiwa uishi shamba unalalamika kama demu acha tabia ya kike ww
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Hahahahahaha " AMRISH PUR "😀😀😀😀😀😀
@berthareuben4902
@berthareuben4902 2 жыл бұрын
Haji bhana akifanya Jambo anaanza kuwa mbishi na kumtangiliza Mungu ili aonekane kaonewa
@MasabudaJames
@MasabudaJames 6 ай бұрын
Ally kamwe ana chapa kazi, Mungu ndiye aliyeruhusu apate hayo mema hata kama u singe kuwa ww angemuinulia mtu mwingene,, acha tambo ww ni mtu mzima, halafu watu tunakujua sana una matatizo ww, Domo lako haligandishi, Anayekuweza ni Dulla makabila
@MusaKogan-l6q
@MusaKogan-l6q Жыл бұрын
Badoo haujasema😂😂😂
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 2 жыл бұрын
Uko sawa manara mnafiki dawa yake kukaa mbaliii
@machibyawalwa8759
@machibyawalwa8759 2 жыл бұрын
Ww manara kunasehem mungu anataka kukuweka kwaiyo unayopita Acha yapite mungu ndoatalipa yeye ndie mungu wa visasi
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 ай бұрын
Ww mswahili mnooo tunajua hta familia yko inajua,haiwezekan kila mtu awe mbaya kwako bhna jitafakar,jitu zima ovyooo
@valentinadaud5122
@valentinadaud5122 2 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu Hawa watu Wana mambo makubwa wanayaficha
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 2 жыл бұрын
Wallah haji kama kweli ww ni malaika na haukosei ipo siku tutajua huwa hupendi kuambiwa ukweli
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 2 жыл бұрын
Mnafki sana huyu jamaa
@chacha_makurutz
@chacha_makurutz 11 ай бұрын
Ni kweli umenena sana huyu jamaaa ana mdomo sana ndio kitu ambacho kinachomponza pia tatizo akiambiwa ukweli anaona kama anatukanwa
@attunelson8828
@attunelson8828 2 жыл бұрын
Sikuzote ukitaka maadui saidia,watu wengi wakisaidiwa huwa wanatengeneza uadui.Mungu atakulipa kwa wakati wake.
@abcxyz3740
@abcxyz3740 2 жыл бұрын
Msukule wewe kila. Mtu unagombana naye mfano kitenge shaffi Dauda Jemedari Said oscar Bumbuli Nugazi mbwa sana wewe
@julianamargwe1663
@julianamargwe1663 2 жыл бұрын
Ali Kamwe aliaminika sana sasa hivi amenza ujingaujinga.
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 2 жыл бұрын
Kila CK wewe tu unagombana na watu hujioooni kuwa hauko sawa brother,jirekebishe usipende kujitukuza hata kama umemsaidia mtu Mungu pekee anapaswa kutukuzwa wewe ni binadamu ni mavumbi TU kama nilivyo Mimi na wengine
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 2 жыл бұрын
Tumia hakili wewe kama ume skiliza pande zote 2 utajuwa
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 2 жыл бұрын
Ogopa fitina ww adui wako mkuu anaweza kukutengezea maadui wengine ili watu wakuone mkorofi ivyo adui ni mmoja tu ila anatumia madui wengine
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 7 ай бұрын
VIMEUMANA , MIMI NI YANGAA !!!!!?
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 7 ай бұрын
SOMBA UNAWAITA KUKU BASI NJOO KWENYE KUKU WENZIO.
@PatriciaFelix-hx9wc
@PatriciaFelix-hx9wc 6 ай бұрын
Kineumanaaaa
@AzizAziz-le1pj
@AzizAziz-le1pj Жыл бұрын
Manara Jitu moja kubwaaaaaa sana lisilo na akili yaani pumba
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 2 жыл бұрын
Manala nakukubali sna Ali shuklani ana
@drallan6879
@drallan6879 2 жыл бұрын
wewe ni mshari hujatulia kutwa kuzua unnessary quarrels ;
@maniakihengukitogo6007
@maniakihengukitogo6007 2 жыл бұрын
Acha lawama za kike,,,wewe ni mnafiki sana
@agltanzania434
@agltanzania434 2 жыл бұрын
Huwa anampiga bit inbox atulie Dawa imuingie
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Mm kila cku uwa nasema wandishi wahabar ndo chanzo cha matatizo na ndo wanao zushaga Tafrani kiujumla ni wachinganishi
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 жыл бұрын
Huyu Baba hataki unafiki anataka ukweli
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 2 жыл бұрын
Hakuna mtu mnafki kama manara hapa Tanzania
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Wakati yeye ni mnafiki
@rashidinuru8325
@rashidinuru8325 2 жыл бұрын
Poresana rafiki
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 2 жыл бұрын
Mungu atalipa kaka haji manara.haki ya binadamu haipotei.atakuja juta ali kamwe.atakukumbuka ipo siku
@dafrosakapinga9472
@dafrosakapinga9472 2 жыл бұрын
Na kesha lamba dume sasa huyo ali hahaha sa sijui ndio mungu amelipa?
@paschalbayo3232
@paschalbayo3232 2 жыл бұрын
Manara nakupa big up km unayoyazungumzia niya kwel na ali kamwe akuombe msamaha pia ukumbuke pia ww unaletag chili kwenye mpir wa tz san san kat ya simba na yanga hp pia jirekebishe brother
@isayamwidete6420
@isayamwidete6420 2 жыл бұрын
😂😂!!et heshima yangu!!! 😂
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 2 жыл бұрын
Aisee! Tuishi na watu vzr jamani kuna kesho na keshokutwa
@loner_wolf
@loner_wolf 6 ай бұрын
Kama jamaa alikwambia umekosea kumsaidia dogo basi ulikosea haswa ulitakiwa uulize kwanza, nikakimeo 😅😅😅
@officialfrolencetv7323
@officialfrolencetv7323 Ай бұрын
mbn unakazia sana kumsaidia kumsaidia kumsaidia ilo neno umelitaja zaidi ya mara 100 we mnafiki
@stellakagemlo8095
@stellakagemlo8095 Жыл бұрын
Mengine uwa unanyamaza mwache mungu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
kumbe Kamwe na Manara kuna Tatizo
@allyabdallah7698
@allyabdallah7698 2 жыл бұрын
Kwa vyovyote vile Ali kamwe anaujinga mwingi kwanini alazimishe ugomvi na haji urafiki na jemedari
@AbdallahMohamed-wz8lc
@AbdallahMohamed-wz8lc 2 жыл бұрын
Kawaita kuwasuta😆😆😂😂
@afredyohana356
@afredyohana356 2 жыл бұрын
Wandishi wewe siyo mwandishi Manara unajiona wewe mwema sana
@salimusafuko8594
@salimusafuko8594 2 жыл бұрын
Watu maarufu wanaotajwa sana nchihii (1) RAIS SAMIA ((2) HAJI MANARA , Fanya utafiti utanikubali🙏
@FreeGod368
@FreeGod368 2 жыл бұрын
amka kumekucha
@mwamvitamwebeyo5547
@mwamvitamwebeyo5547 2 жыл бұрын
Kweliiiiiii😃😃😃😃
@ibrahimkhoja5727
@ibrahimkhoja5727 2 жыл бұрын
Mmh.. mandonga mtu kazi 1
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Жыл бұрын
Daah hapa shida ni maokoto alikamwe anahisi haji akirud atachukua nafasi yake nahaji nae anahis alikamwe atachukua nafasi yake
@albogastmselejr4583
@albogastmselejr4583 2 жыл бұрын
Amekondaa Sahivi Jamani Kifungo Hiki 😁😁
@AbdallahNgoge
@AbdallahNgoge 6 ай бұрын
Umeongea kwa uchungu sana ,ila umewaambia ukweli
@justusmukurasi4383
@justusmukurasi4383 2 жыл бұрын
Duh, mdogo wetu ally anakukosea msamehe kama ni kweli. Wote nyie ni wananchi please
@kevintimothy7333
@kevintimothy7333 6 ай бұрын
Unajua wewe ni mnafiki sasa mambo yanakurudia kwa sababu fitina adhabu yake iko hapa hapa
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
Pole kaka ndio binadamu tulivyo ukifanya wema hubadilika ukawa kama wewe mjinga achana nao hao wapuuze wasikupe Headache Wala usitaje mema ulowafanyia ukaharibu Imani yako kwa Allah
@ThomasMtui
@ThomasMtui 7 ай бұрын
Muache aly kamwe afanye kaz
@rojasmagambo2304
@rojasmagambo2304 2 жыл бұрын
Usilindepinde wakati TFF wamekunyoosha mpaka ukanyooka😀😀😀😀😀😀
@sakinaathuman5797
@sakinaathuman5797 11 ай бұрын
Ali kamwe wewe na manara sitaipu yako muache wewe hatautangazaji wako humfikii manara chefuuu
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 6 ай бұрын
ali kamwe mnafiki hana akili haswaaaa!
@chakubutakamangila2274
@chakubutakamangila2274 2 жыл бұрын
Kwani aly kamwe alikoseya wapi unapenda waku abudu wewe ni mungu acha mambo yako kwani ukimsaidia mtu unapenda aku abudu acha mambo kama hayo wewe alb acha dogo afanye kazi wewe dah
@slymsameer5415
@slymsameer5415 2 жыл бұрын
We bwege kama unachukinae pia jitokeze suane
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 Жыл бұрын
Tatizo babaangu kunamaneno unayasema lakini unayasaau,uwe na akiba yamaneno,nausitumie Sana mungu kuonekana unaonewa uyo ni mwanayanga mwenzio kwanini akusingizie? Au mnagombania kitumbua kimoja.
@omaryjr5385
@omaryjr5385 2 жыл бұрын
Ni ipi sabab ya kumblock na kukataaa mkono wake wakat anakusalimia??? Acha kutafuta huruna haji tayar kwa sasa unaonekana umejawa na ubinafs rohoni mwako bwana haji
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 жыл бұрын
Huyu nae ovyoo
@GilibertMajumba
@GilibertMajumba 6 ай бұрын
Wewe ulijishanganya kwenda yanga
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 2 жыл бұрын
Mbwa haji manara Umetumia dk kibao kuongea pumba tu Unazunguka tu hkn hapa point moja
@FrankUlaya
@FrankUlaya 6 ай бұрын
Rudi bwana kwenye Simba yetu inazid kutuumiza
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
ally kamwe mimi yanga umeanza kuvimba kichwa kwa manara kama ccm wanavyo nyanyasa wa tz kwa kuuza bandari na mama wa kambo anaturia kujiona yupo sawa kamwe muache manara ajakuja yanga kwa upofu wako amekuja kwa upenzi wa yanga usimtaniee huyo mwamba
@limai8078
@limai8078 2 жыл бұрын
Yaan weww ukera sana
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 2 жыл бұрын
Me kwakweli haji siku hizi simuamini kwa kweli alianza na moh na barbara kwamba hawafai watu wakaanza kuwashusha thamani ,amekuja kwa raisi wa TFF amemchafua watu hawamuheshim tena leo yupo na ally kamwe anajitetea ally kamwe anasimulia unaona kabisa anaongea ally kamwe ni mtoto mdogo sana kwako hawezi kikuzulia uongo from no where halafu umemsaidia haji jitathmini brother wee endelea tu naona hat mitandaoni siku hizi unavyotengeneza chuki hata mitandaoni nan alisema mgunda hana cheti cha CAF tena mitandaoni leo unalialia ngoja allah atakuweka bayana mbele za watu sema kuna watu wanakupenda hata hawawezi kuongea ukweli wanakukingia kifua ila ipo siku utawapiga suprise na ww maaana ushawahi mpaka kuapa kwamba hutakuja kufanya kaz yanga lakini leo unasema ulikuwa unaipenda yanga hujawahi kuipenda simba halafu unaita wenzako wanafki halafu hata ukisema kamchafua mwanao alimchafuaj tuambie tuchuje ili tuone
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Huyu Alipatiwa UMAARUFU na Simba..sasa anaringa kuwa na Followers
@barakamwasala228
@barakamwasala228 2 жыл бұрын
hii ni michezo yenu yakuwekana active.....tunaijua iyoooo
@hamisimartin7873
@hamisimartin7873 2 жыл бұрын
Duh Kaka rudi unyamani kumenoga😜😜😜
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 Жыл бұрын
Kwaiyo Yanga day haijapendeza kwako,ulikuwa nalako moyoni.
@ShabanAlly-my4rf
@ShabanAlly-my4rf 6 ай бұрын
Kuna namna hata mm naona hyu jamaa anashida,,kwann iwe ww tu kilakitu? Lisemwalo lipo
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 7 ай бұрын
Kaka usikubali kugombanishwa na hawa mamluki wa Simba mwombeni mwenyezi mungu awatangulie msamehe mdogo wako kila mmoja anamapungufu hivyo msamehe kaka
@suzanaaloyc4903
@suzanaaloyc4903 6 ай бұрын
Chefu uko utopoloni wenye akili ni wawil Sasa apo Simba kaingiaje😏😏😏
@amoschacha2885
@amoschacha2885 2 жыл бұрын
Daah huyu mtu jaman.chiz hebu msikilze kwa Makin eti anasema Mimi Sina usewezo wakukutafutia ajila hapohapo anasema Mimi nilmtafutia pale Azam Sasa tushike lipi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Mwehu tu
@MasabudaJames
@MasabudaJames 6 ай бұрын
Simba day walimchafua kwa pempasi ya zungu huyu jamaa hata alipokuja yanga mm nilikasirika sana, simtaki kabisa arudi yanga, domo lake ndio lililomfanya afungiwe na TFF
@MdoeShabani
@MdoeShabani Жыл бұрын
Inauma Sana mbona wanakuzaririsha kiasi hicho serekari inakazi gani
@matashobyajosia2109
@matashobyajosia2109 2 жыл бұрын
tuko pamoja nawewe kamada wetu tunakuombea Sana kuna siku utafunguriwa
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 2 жыл бұрын
Huyu anapenda kuonewa huruma , yeye hakoseagi.
@samsonmaiko6089
@samsonmaiko6089 Жыл бұрын
Khaji fanya urudi simba, huko uta teseka Sana, usifikiri una pendwa, nisababu Wana jua Washa kuweka kapuni. Ulipewa usemaji ukawekewa bunbuli, uka wekewa kamwe na priva dinyo, Kaka sanuka.
@angupeter3439
@angupeter3439 2 жыл бұрын
Where there's smoke,there's fire bro...haiwezekani akakusema bure!!!!!!
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 2 жыл бұрын
Kabisa yan
@mainethwella9504
@mainethwella9504 2 жыл бұрын
Waandishi wanesutwa🤣🤣
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 11 ай бұрын
Pambana sana halafu vumilia ipo siku utakua kiongozi mkubwa kwenye nchi hii hao viongozi wa tff wataondoka
@mohamedmwijai231
@mohamedmwijai231 2 жыл бұрын
Hapa kubwa alichokosea kaka Ali kamwe kumsifia jemedari said ( kazumari)kwa mujibu wa Haji
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Hehe
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН