Rais Magufuli Alivyomuomba Prof Jay Achane Mistari!

  Рет қаралды 2,338,360

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Prof Jay Alivyo- Rap Mbele ya JPM
Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule 'Profesa Jay' , amefungukia Rais Magufuli, kuhusiana na kero zinazowakabili wananchi wake wa jimbo la Mikumi ikiwa ni pamoja na uhaba wa maji pamoja na ubovu wa barabara.
Profesa Jay ameyasema hayo katika ziara ya Rais Magufuli aliyoianza leo mkoani Morogoro, ambapo baada ya kusikiliza kero hizo Rais alimuomba ashushe mistari kidogo kwakuwa mbunge huyo ni mkongwe katika tasnia ya muziki nchini.
Fuatilia Video hii kisha uone kiundani kilichozungumzwa.lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 318
@azorikilemo7078
@azorikilemo7078 6 жыл бұрын
Joseph Haule uko vizuri Mungu akulinde
@nicholussimon3229
@nicholussimon3229 5 жыл бұрын
Saf sana prof jay MUNGU akubariki umeongea point
@peterkobero5793
@peterkobero5793 6 жыл бұрын
huyu ni profesa lazima aongee point big up kamanda
@emmanuellaurent2234
@emmanuellaurent2234 6 жыл бұрын
Umeiva kaka... Hongera sana 😊
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 4 жыл бұрын
Profesa big up..mwanao hapa from Dallas TX.. tunahitaji viongozi Kama hawa
@kapuchu16
@kapuchu16 3 жыл бұрын
Professor jay mzee mzima mzee wa kazi tangu 1995 nakutambua kwa Sana 🎰🇰🇪
@eddymaroo
@eddymaroo 5 жыл бұрын
Hapo sawa. Aka heavy weight. Tuna miss enzi zile mungu akujaalie profesor
@sofiamutashobyaonlinetv6518
@sofiamutashobyaonlinetv6518 6 жыл бұрын
big up sana profeser J
@johnliheka6301
@johnliheka6301 6 жыл бұрын
Safi sana MBUNGE kwa kuwakilisha watu wako
@dullymutexadully5891
@dullymutexadully5891 5 жыл бұрын
Safii kiongoz from...... By dully mutexa
@markodhiambo6016
@markodhiambo6016 4 жыл бұрын
Angeachilia nyimbo yake...."Ndio mzee" i love you Jay...love from Nairobi Kenya.
@ngarimundu7300
@ngarimundu7300 4 жыл бұрын
Jaguar should learn from him.
@robizzo44
@robizzo44 3 жыл бұрын
@@ngarimundu7300 Jaguar shenzi type
@ngarimundu7300
@ngarimundu7300 3 жыл бұрын
@@robizzo44 Mungu amkumbuke tu
@bernardchibwana9310
@bernardchibwana9310 6 жыл бұрын
Makini sana broo God blessing uuu
@youngnyau2612
@youngnyau2612 4 жыл бұрын
Kizaz baba
@nyererebeatusmuyaga2232
@nyererebeatusmuyaga2232 5 жыл бұрын
I always like u
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Mm ccm damu lakini huyu mbunge napenda sababu anashiriki kwenye maendeleo ya wananchi asante sana
@alfredycheyo8847
@alfredycheyo8847 6 жыл бұрын
Wapinzani wote mngekuwa kama huyu Prof Jay (Joseph Leonard Haule) nchi yetu ingekuwa mbali sana.Prof Jay wewe unajua !!
@RuhettahTv
@RuhettahTv 6 жыл бұрын
Kila binaadam na akili yake Jichunguze huwez kufanana na mkeo kisa anampenda mwanae
@samsonkiteve2573
@samsonkiteve2573 5 жыл бұрын
Saf
@amanidaniel8806
@amanidaniel8806 5 жыл бұрын
Masungwa Masungwa ukowap
@salumhongo3955
@salumhongo3955 4 жыл бұрын
Utanzania raha sana ukiwa na Rais wetu Dr John Pombe Magufuri.
@ismailhanya2327
@ismailhanya2327 5 жыл бұрын
Hapo Sawa 💪💪
@lucyshine1271
@lucyshine1271 6 жыл бұрын
Uko vzr Prof
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 6 жыл бұрын
Unastahili kutendewa hayo unayoyaomba maana sijawahi kusikia ukimkebehii rais wala kumtukana big up prof J
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 жыл бұрын
NSODYA PHILIMON wanamtukana au wanampasha ukweri? we vp ww!
@yusuphmohamedi9839
@yusuphmohamedi9839 6 жыл бұрын
Wema yakobo
@phaleskanatal817
@phaleskanatal817 6 жыл бұрын
tuungane tuijenge tanzania yetu
@leonardgaliyela1535
@leonardgaliyela1535 6 жыл бұрын
o tgg. overnight , no by by ,
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 жыл бұрын
Sanaaa
@vickgrace4487
@vickgrace4487 6 ай бұрын
Tumepaata kitu KUMBUKA ULINDWE NA BWANA TUMEPAATA AKILI... DADA A LILIAN UKO NA MUNGU WEE MDADA❤❤❤
@melesnjau4516
@melesnjau4516 6 жыл бұрын
Hongera sana Rais J P M kwakuonyesha siasa si uwadui wala si chuki kikubwa mbele yako ni maendeleo na haki kwa wanyonge nilipenda sana kuona wabunge wote waupinzani wajue hili kama Prof J
@ebisalum8828
@ebisalum8828 6 жыл бұрын
Nimependa
@kimongeanzurunikimongeanzu1878
@kimongeanzurunikimongeanzu1878 5 жыл бұрын
kazinikazu Mungu hakusahindiyo
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 4 жыл бұрын
I love such kind of man is need to heal the World. I love u m'y Professor Jay
@mzizirashid709
@mzizirashid709 5 жыл бұрын
Natamani sana ungekuwa mbunge wetu maana wengine wabunge wetu hata hawaonekani bungeni wala kwenye majimbo yao
@patrickkiseo6669
@patrickkiseo6669 6 жыл бұрын
Prof J ur really man of the people, and you know enough ur potential to all Tanzanian regardless ur political party, yes that is Personality and political maturity...Big up Prof Mungu azidi kukupa hekima kama hii ulonayo,,,,,,
@mwajumafundi6234
@mwajumafundi6234 6 жыл бұрын
safi uzalendo kwanza
@happydamiani4483
@happydamiani4483 6 жыл бұрын
Safi
@simonhydue1135
@simonhydue1135 5 жыл бұрын
Wew
@njalimboomary314
@njalimboomary314 5 жыл бұрын
Hip hop 4 life
@sophiawerema5861
@sophiawerema5861 4 жыл бұрын
Hapo sawa.
@catherineamos7087
@catherineamos7087 2 жыл бұрын
Uliongea point sana Profesa J
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Big up bro
@faithfussi611
@faithfussi611 6 жыл бұрын
asante sana J
@ismaelabdufaraji868
@ismaelabdufaraji868 3 жыл бұрын
True Professor
@franknzalalika3956
@franknzalalika3956 6 жыл бұрын
Ukawa daima
@nawihadj6674
@nawihadj6674 6 жыл бұрын
yeah nakubal joseph mh.
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 6 жыл бұрын
Big up sana mtoto wa songea prof Jay.
@kimolyjunior7978
@kimolyjunior7978 4 жыл бұрын
Profesa just j nimekuelewa point zako big up
@fremwamedia1976
@fremwamedia1976 6 жыл бұрын
Huyu brother anajua kula na kipofu na anajua nn anachokifanya,wananchi wa mikumi kweli mmepata mbunge hadi wana ccm wanapga yowe,hongera sana jay.wabunge wa upinzani wangekuwa kama huyu jamaa nadhani 2020 uchaguzi ungekuwa mgumu kwa CCM,lakn kwa wabunge wa upinzani wa saivi loooo!!! Matusi matusi matusi,no hoja,hakuna kutetea wananchi wa majimbo yao.wanaota vitambi tu
@yuyasonayew5854
@yuyasonayew5854 6 жыл бұрын
Noma xna professor Jay
@ambaranguathuman4446
@ambaranguathuman4446 6 жыл бұрын
Big up sana braza maana unajitambua na kujielewa
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 жыл бұрын
Wabunge wote wa UKAWA akilizenu ziko vizuri 100% cjutii kuwa mwana UKAWA ✌
@makavelydivyele5650
@makavelydivyele5650 6 жыл бұрын
J,baba,watakuerewa,haomajz
@florachrist9602
@florachrist9602 3 жыл бұрын
Chefuuuu
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 3 жыл бұрын
@@florachrist9602 chefu Mamakooo
@dr.hamiduibrahim1307
@dr.hamiduibrahim1307 6 жыл бұрын
Wenzio wangekuwa na akili kama zako mbona tungekuwa mbali saana?? Kazi kutukana tu majukwaani.. Sasa umekomaa kamanda big up.
@hamidumandende1830
@hamidumandende1830 4 жыл бұрын
Point kijana wangu
@faustinemakona140
@faustinemakona140 4 жыл бұрын
A man pro j
@ndebilemathias8268
@ndebilemathias8268 6 жыл бұрын
Safi sana pro j
@viniaskadunda5768
@viniaskadunda5768 6 жыл бұрын
Daaa we ni miongoni mwa viongozi wazuri kutoka uko
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 6 жыл бұрын
He is very wise,, ukiongea hivo lazma magufuli akusikie Maaana unasema kwa hekima
@mtemimagema2978
@mtemimagema2978 6 жыл бұрын
ndiyo mzee
@gadhassan4014
@gadhassan4014 4 жыл бұрын
Namkubali sana proffesor J
@NYIMBOVICHEKESHOMAHUBIRInkbyDa
@NYIMBOVICHEKESHOMAHUBIRInkbyDa 2 жыл бұрын
Mungu akampe kupona mh Profesa
@stanslauselias4576
@stanslauselias4576 6 жыл бұрын
Unajitabua good
@jamilahemed4677
@jamilahemed4677 3 жыл бұрын
Aj
@rashijuma9173
@rashijuma9173 3 жыл бұрын
Hapo sawa
@hermanjoseph2062
@hermanjoseph2062 6 жыл бұрын
Big up bruda
@jacksonngechu4199
@jacksonngechu4199 6 жыл бұрын
herman joseph ..porno
@estarjuma7983
@estarjuma7983 4 жыл бұрын
Uko vizr sana prof jei mbunge Safi kbs 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@bahatindullu7576
@bahatindullu7576 3 жыл бұрын
chapa kz
@isangojambau1067
@isangojambau1067 5 жыл бұрын
Upo vizuri prof j busara zako maendeleo ya watu wa mikumi na Moro yote
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 6 жыл бұрын
Professor J. Jembeeee!
@bonphacebondo3874
@bonphacebondo3874 6 жыл бұрын
nimekukubari
@matalmmbando8896
@matalmmbando8896 6 жыл бұрын
Kweli jembe
@johnliheka6301
@johnliheka6301 6 жыл бұрын
Yes
@daudiasafu3235
@daudiasafu3235 6 жыл бұрын
Safi sana J uzalendo kwanza maana Kuna wabunge Wengine wa upinzani wanasusia mikutano ya rais, ww na msigwaa mmeonesha mfano mzuri
@isomangakasimu8118
@isomangakasimu8118 6 жыл бұрын
Yes vp
@dianahamischi3417
@dianahamischi3417 6 жыл бұрын
Alie mzaa pj mungu ambalik angetoa mimba angepata shot
@abbydadykhamiss1241
@abbydadykhamiss1241 6 жыл бұрын
kwann duuh mbona iii qaliii
@zureamandai1654
@zureamandai1654 6 жыл бұрын
diana hamis umesema kweli mijanamke mingine kaziyao kutoa mimba bila kujua wenda wabunge na mawaziri
@kingungengombari9159
@kingungengombari9159 5 жыл бұрын
Duuh umeumiza moyo wang! !!!!nalikumbuka janamke moja lisilo na akil lilivyotoa mimba
@thomasmathias833
@thomasmathias833 6 жыл бұрын
Prof j uk vizur big up
@josephmpemba8951
@josephmpemba8951 6 жыл бұрын
umetisha mbayaaa kiongozi wa ninadam na wanyama
@mahersayd8278
@mahersayd8278 6 жыл бұрын
big up pr. j
@raphaelmkali226
@raphaelmkali226 3 жыл бұрын
Thank you
@fadhilinyemba8399
@fadhilinyemba8399 4 жыл бұрын
Gud adviterser
@allykiama1289
@allykiama1289 5 жыл бұрын
Upo vizuri kaka
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
17 / 3 / 2021 Rest in peace JPM hatuto kusahau 😭😭😭😭😭😭😭😭
@bradakalufanya473
@bradakalufanya473 4 жыл бұрын
Dah!!!mimi kupenda PJ bure..uku kwetu Congo+243 wana bunge wanalala tu ,wengi awajuwi point maulumu,wala kifaransa ,Kiswahili ,kiluba,ao tshiluba kinawapiga chenga adi uko bungeni...naipenda tanzania sana.
@rwabu
@rwabu 5 жыл бұрын
Tunahitaji mzalendo Singida Mashariki... Tumetelekezwa!!!
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 4 жыл бұрын
Hi my somo
@joshuasaiga3434
@joshuasaiga3434 3 жыл бұрын
Bigup sana
@nelsonkasambala6849
@nelsonkasambala6849 6 жыл бұрын
Safi sana bro karibu nana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 жыл бұрын
Kumbe bado hujasahau lafuzi ya kule kwetu kunyumba eeh, hivo hivo ndo utunzaji wa luga huo, japokuwa umehamia Morogoro lakini unajulikana tu kama wewe ni kaka yangu Ubarikiwe.
@marykanini6772
@marykanini6772 2 жыл бұрын
WOW 🙏
@edwinelias8554
@edwinelias8554 3 жыл бұрын
Km umezoom Kuna kazee kamoja kamevaa kofia ya pama na miwani nyeusii kapo sirous km tembo like hapa
@jovithanakey2826
@jovithanakey2826 3 жыл бұрын
Uko vzr kaka
@deojohn1413
@deojohn1413 6 жыл бұрын
Safi kiongozi WA binadam na wanyama
@hassanikatanga2734
@hassanikatanga2734 5 жыл бұрын
Deo John o
@selemanisaidi4879
@selemanisaidi4879 4 жыл бұрын
Umenikosha sana
@iddbaya4225
@iddbaya4225 2 жыл бұрын
Good speech
@marcoabel1764
@marcoabel1764 6 жыл бұрын
braza unajielewa sana siyo km yule wa iringa
@petersimeone6621
@petersimeone6621 3 жыл бұрын
Salute kubwa
@dottokuhanga
@dottokuhanga 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@geel6909
@geel6909 2 жыл бұрын
Jay man❤️
@kelvin5952
@kelvin5952 4 жыл бұрын
Nakubali xanaa p j bigup kwa Nazi bombaaaa
@yussufmohamed571
@yussufmohamed571 5 жыл бұрын
Pole sana
@temesjames8867
@temesjames8867 6 жыл бұрын
Kiukweli umeongea point sana pj hakika unaijua kazi yako ni wachache wenye kujiamini kama wewe kiukweli taifa linakutegemea kazikazi kamanda.
@mwasonyajimmy9401
@mwasonyajimmy9401 6 жыл бұрын
temes james ok
@rehemamisenda1278
@rehemamisenda1278 6 жыл бұрын
Nnakaa
@markndeche535
@markndeche535 6 жыл бұрын
I wish Kenyan we had such like leaders
@kevinmauti754
@kevinmauti754 6 жыл бұрын
Kenya will never change saii ni kumix petrol na kerosene hapo ndo tumefika
@edwardmartin7008
@edwardmartin7008 5 жыл бұрын
baraka magufuri
@deogratiusmwalwiva9528
@deogratiusmwalwiva9528 6 жыл бұрын
Karibu ccm mzee.
@shaingurusangaza6584
@shaingurusangaza6584 3 жыл бұрын
Raisi God bless you all the best time
@chachasangi6783
@chachasangi6783 5 жыл бұрын
hatari sana kaka profess j nakupongeza kaka
@jonasspaul893
@jonasspaul893 5 жыл бұрын
azmtv
@jafarygeorge477
@jafarygeorge477 6 жыл бұрын
big up sana
@regimentish
@regimentish 3 жыл бұрын
The real OG ever geeen🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@andymaso1013
@andymaso1013 6 жыл бұрын
heshima kwako
@raymondtunugu2227
@raymondtunugu2227 6 жыл бұрын
nice profesa j
@mohamadjumanne2903
@mohamadjumanne2903 6 жыл бұрын
daaa prof nakkbali sana mung akujaliye
@sheluizonola7782
@sheluizonola7782 6 жыл бұрын
ee bhana ee! pj noma aise!
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 6 жыл бұрын
good
@yusufwilium6680
@yusufwilium6680 6 жыл бұрын
Consolata Maarufu
@ondigujoab6664
@ondigujoab6664 6 жыл бұрын
twakupenda Sana Lkn kumbuka feruci
@nashonshimba3614
@nashonshimba3614 6 жыл бұрын
nakukubali jay
@robizzo44
@robizzo44 3 жыл бұрын
Nipo hapa baada ya hotuba ya Rais Kenyatta katika maombolezi ya Hayati Maghufuli...🇰🇪
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 6 жыл бұрын
Nimekubali speech yako haule
@nurdinchiamba4735
@nurdinchiamba4735 5 жыл бұрын
B
@hidayausanga382
@hidayausanga382 3 жыл бұрын
R.I.P Magufuli!
@annurmunisy8579
@annurmunisy8579 6 жыл бұрын
uko vzr san
@peterchristopher9695
@peterchristopher9695 6 жыл бұрын
nashindwa kuelewa ivi ni kwann ccm wanavaa masaleyao yachama kwenye mikutano ya serekali.Au magufuli ni raisi wa chama .watanzania tubadilike xx
@aminahassan561
@aminahassan561 4 жыл бұрын
Nawe vaazako ukitakaa
@emmanueldeogratiaskafurujr2682
@emmanueldeogratiaskafurujr2682 4 жыл бұрын
Hapo ni kama kuvaa jezi ya Simba kanisani au msikitini ukiwa mwanasimba.. Hakuna ubaya..
@grediuce7039
@grediuce7039 5 жыл бұрын
Jay nakupenda
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 7 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 34 МЛН
MSIGWA: "Simpongezi MAGUFULI, Serikali Haina Adabu, Pesa Hakuna"
12:43
Global TV Online
Рет қаралды 1,9 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 620 М.
BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA
6:47
SYLI CLASSIC TV
Рет қаралды 4,9 МЛН