No video

THE CLASSIC PROF JAY EP 1:MIONGO 3 YA GAME/HISTORIA YA BONGOFLEVA/TAJI NI LANGU/SIKUA NA NAULI

  Рет қаралды 51,450

KuviFacts

KuviFacts

Жыл бұрын

Uliikosa The Classic na Professor Jay ambae ni moja ya ma MC Bora na Muhimu wa Muda wote katika historia ya Bongofleva na Hiphop kwa ujumla Tanzania na Afrika ya Mashariki ?
Basi hii hapa nimekuwekea dakika 37 ambazo zitakupa mengi juu ya muziki wetu na heshima alisomika Professa jay kwenye Game yetu kwa ujumla ,HUPASWI KUZIKOSA HIZI
Usisahau ku subscribe

Пікірлер: 74
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 5 ай бұрын
Prof Jay need to be a Lecturer pale UD. Prof Jay need to be a Lecturer within East Africa, Makerere, UoN and UD. This guy is a legend. Everytime namsikiza najipata nalia. Long Live Jay. May be one day i will write a story. I am a Kenyan who could listen to RFA (Radio Free Africa), and it could only be located at specific place, had to get out of our house to located RFA to listen to Bongo Flava. Peace.
@robertmgulunde5069
@robertmgulunde5069 5 ай бұрын
Respect
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m 4 күн бұрын
Chemsha bongo ni all time best, yenyewe ni namba moja, mbili na tatu pia. Hizo nyengine anzeni kuzipanga kuanzia nne huko. Fanyeni adabu zenu jamani! .. eboo!!!
@kennedymaende5297
@kennedymaende5297 20 күн бұрын
Mzee hatari sana professor....kumekucha na nonini moto sana
@josephatmasawe5924
@josephatmasawe5924 Жыл бұрын
Legendary ....Tupo mwaka 2099 watu bado wanasimulia jinsi Chemsha Bongo ilivyobadili game ya Bongo Flavour
@johnrichard5482
@johnrichard5482 Жыл бұрын
Exactly... @josephatmasawe5924
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 7 ай бұрын
❤watu wameumiza vichwa mzuki mzuri unaishi na kupasua anga
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 4 ай бұрын
Time traveller 😅
@jerumayamwasomola1065
@jerumayamwasomola1065 Ай бұрын
Mtangazaji tatizo ana maswali marefu saana
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Maaan,i missed this ENERGY Jay ni Master of Story telling,kumsikiliza tu akizungumza ni MADINI YA KUTOSHA
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 Жыл бұрын
Wakunyumba mwenzangu....nimefurahi kukuona ukiwa na afya njeama mlongoo😊 mungu mkubwa
@johnrichard5482
@johnrichard5482 Жыл бұрын
RESPECT TO JOSEPH HAULE #ProfessorJay 🎧🎤🎵💥💥💥💥💥💥💥
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Ni kweli Prof.Jay huyu Jamaa Hasheem Dogo is the one of God Mcee wa Freestyle kwa hapa Tz
@azorindege2556
@azorindege2556 Жыл бұрын
Bongo dar es salaaam bonge la ngomaaa
@imogimasta9077
@imogimasta9077 Жыл бұрын
PROFESA JAY ALITU INSPIRE MPAKA LEO TUNAFANYA GAME
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
SEMA pole Sana kwa kuumwa prof jay
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 Жыл бұрын
Mungu mkubwa Jay is back
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Жыл бұрын
Pro Jay mwenye hiphop zke. Live long big bro. Much lv men. Vibe kma lote, interview nzuri sana.
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Жыл бұрын
Hii ngoma niliwahi kuitwa na waalimu ofisini, wakaniambia niwaimbie staff nzima baada ya kunisikia naiimba sehemu. Na baada ya kuiimba wakaniambia niwaandikie nyimbo yote. Kali sana hii.
@josephlyakurwa
@josephlyakurwa 4 ай бұрын
Sipati picha ulivyovimba 😅
@Kobe_254
@Kobe_254 Жыл бұрын
Vizuri sanamimi kazaliwa mapema na hizi zilinikuta nikiwa kijana ... Chemsha Bongo kweli ndio iliniingiza kwa hip hop, RADIO FREE AFRIKA enzi hizo tuliweka aerial ya redio kwa mabati pale Kisii- Kenya, kweli zilikua enzi za kukumbuka milele
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
LEGEND J🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RichardCossan-rk1ub
@RichardCossan-rk1ub Жыл бұрын
Mikumi standup 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🤛
@jimmykidult
@jimmykidult Жыл бұрын
The King, my King- live longer my brother.
@manyarasoja1082
@manyarasoja1082 Жыл бұрын
Professor ni icon Bongo....
@lucasmsogoti3435
@lucasmsogoti3435 Жыл бұрын
Kaka mkubwa Prof Jay,Mungu azidi kukuweka legend
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Kwangu zali la mentali nilikunywa yote enzi zile
@babusbabu3699
@babusbabu3699 Жыл бұрын
mungu ni mwemaa mkuu umerudiii nasubiri madini toka mgodini nakujuaa since kigurunyembe hukosei kuandikaaaaa
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Жыл бұрын
Hii niliikosa mkubwa.. pamoja sana
@shonviabdallah5392
@shonviabdallah5392 Жыл бұрын
Nakubali sana wana
@jacksonbad
@jacksonbad Жыл бұрын
Living legend..🎶🎼
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Mwanzoni nilidhani ni sky walker saut.
@emmakiwaya4607
@emmakiwaya4607 6 ай бұрын
my all time favorite MC #ProfessorJay
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Жыл бұрын
Prof Jay,,, one of the legendary ambaye kwangu ni kioo.
@abdibuddy7583
@abdibuddy7583 8 ай бұрын
Signing in #2pacWithoutNoseRing
@abdalahmwinsheh587
@abdalahmwinsheh587 Жыл бұрын
Nakubali mwamba super presenter in this planet nakupa mau yako hawajui kama hawajui.
@KuviFacts
@KuviFacts Жыл бұрын
salute sana master
@danwabomba8740
@danwabomba8740 9 ай бұрын
Sisemi kitu. Mungu abariki Jay na kizazi chake kwa kazi kubwa
@darglobal1084
@darglobal1084 Жыл бұрын
MUNGU MKUBWA SANA
@moseskulola6913
@moseskulola6913 5 ай бұрын
Story zuri sana
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 Жыл бұрын
Jamani hii mlifanyia lini au mmeichomoa sehemu.
@didierbahindwa2121
@didierbahindwa2121 Жыл бұрын
Ata uku Congo tume kubali professor Jay
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 9 ай бұрын
Classic interview, Kazi nzuri Jabir, Hii ni ya vizazi na vizazi
@salumuseif3324
@salumuseif3324 9 ай бұрын
Favourite kabisa bless sana jabir
@hamidamsafiri-po7lf
@hamidamsafiri-po7lf 5 ай бұрын
Shida ni hizi episodes hazijapangwa yani unatafuta part 2 haionekani, tupangie vzr mzee
@josephkahindi1713
@josephkahindi1713 Жыл бұрын
Enzi izo mwanza wakat tunasoma hili dude la bongo tuliliimba sana
@AlliJuma-pk7oq
@AlliJuma-pk7oq Ай бұрын
Means hip hop bongo ilizaliwa upanga
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Mm nilimfahamu Prof.Jay kwny wimbo wa Mamsapu
@user-zq2nb4yh6t
@user-zq2nb4yh6t 6 ай бұрын
Niga Jay salute bro
@jiwefurniture1128
@jiwefurniture1128 9 ай бұрын
Regend never die
@martjune2734
@martjune2734 Жыл бұрын
Hii itavyuu ni ya zamani, ina miaka miwili nadhan
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
UMEENDA KUMCHOMOA,,,AU ILISHAFANYIKA
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Hii ni ya kitambo kabla hajawa mgonjwa
@josefusamki8294
@josefusamki8294 Жыл бұрын
Ya zaman hii
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏.
@francisnyeriga
@francisnyeriga Жыл бұрын
Interview nzuri sn
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Жыл бұрын
Noma🔥🔥🔥
@ubwazamwinyi6066
@ubwazamwinyi6066 Жыл бұрын
3😂2 ¹111
@geraldminja5142
@geraldminja5142 Жыл бұрын
Haya yatakua marudio
@anthonywahome1682
@anthonywahome1682 3 ай бұрын
Work on the clarity of the audio
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 Жыл бұрын
Babu haya ni marudio au?
@josefusamki8294
@josefusamki8294 Жыл бұрын
Marudio
@denissnkya5891
@denissnkya5891 Жыл бұрын
Part 2 ya interview ipo mzee wa San Francisco?
@seniorchiefkoinange7872
@seniorchiefkoinange7872 11 ай бұрын
Ep 2 ??????
@nassorozumba3999
@nassorozumba3999 Жыл бұрын
❤😂🎉🎉🎉 14:50
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Interview ih yalini mahost? Mbona munatuliza kwan big Yupo saw namna ih maana naiyona Inasiku 6 ni sure sixday au ndiyo Munatatafuta pesa tu wazee
@djlasterTz
@djlasterTz Жыл бұрын
Plzz Brother Hizi interviews Usiwe unazicut Just Upload it full au kama unaziachua kama Episodes make sure zinakuwa kwenye mpangilio poa All n All Much Respect kwako 🎉🎉
@KuviFacts
@KuviFacts Жыл бұрын
POA KAKA,PAMOJA
@joesimba
@joesimba Жыл бұрын
BRO, TOA BARAKOA HILO CORONA NI SIASA TU. RESIST THE SLAVE MIND
@saidausi9917
@saidausi9917 Жыл бұрын
Brother mtangazaji hivi huyo Mwamba vp Amepona au ni clip ya muda? Mana alikuwa mgonjwa Je Amepona? Mimi Shabiki yake kinoma Naongea kutoka Rwanda
@KuviFacts
@KuviFacts Жыл бұрын
Anaendelea vizuri kwa sasa
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Жыл бұрын
✊🏿👮🏿
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 29 МЛН
Mkasi - SO3E04 with Professor Jay
26:54
MkasiTV
Рет қаралды 113 М.
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
41:30
YahStoneTown
Рет қаралды 116 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН