No video

BAHARI YA SHETANI, ILIYOUA MAMIA YA WATU, NDEGE, MELI ZAPOTELEA HUKO, INATISHA...

  Рет қаралды 8,672

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

BAHARI YA SHETANI, ILIYOUA MAMIA YA WATU, NDEGE, MELI ZAPOTELEA HUKO, INATISHA...
Pembetatu ya Bermuda, kwa Kiingereza Bermuda Triangle ambayo pia ni maarufu kama Devils Triangle (Pembetatu ya Shetani), ni miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani, yanayotajwa kusababisha vifo vya watu wengi, kuzama kwa meli nyingi sambamba na kupotea kwa ndege za kijeshi na za kiraia.
Kinachoogopesha zaidi ni kwamba kila kitu kinachopotelea kwenye pembetatu hiyo, iwe ni miili ya watu, mabaki ya meli zilizozama au masalia ya ndege zilizopata ajali, huwa hayaonekani tena! Kitu kikipotea basi kimepotea moja kwa moja na hapo ndipo inapoibuka dhana kwamba huenda huo ndiyo mlango wa kuzimu hapa duniani.
Pengine una shauku kubwa ya kutaka kujua zaidi kuhusu Bermuda Triangle. Twende pamoja, tukichambua kitu kimoja baada ya kingine.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 3
@adamkassim5352
@adamkassim5352 3 ай бұрын
❤❤❤
@sophyevodius5390
@sophyevodius5390 3 жыл бұрын
💥💥💥💥
@emanuelmlay9084
@emanuelmlay9084 3 жыл бұрын
🤔🤔 dunia inameng
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
PROFILE: ZIJUE Ajali Mbaya 10 Za Meli Zilizotikisa Dunia
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 243 М.
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,7 МЛН
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 822 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН