PART ONE - "SIJAPEWA LAANA NA MAMA YEYOTE" - OMMY DIMPOZ

  Рет қаралды 7,897

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@mamachichi8570
@mamachichi8570 5 жыл бұрын
Ommy yuko vizuri Allah amjaalie afya njema Global tv mpo juu
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Mwinjaku husikikanwiii,usikae mbali na spikaa,hilo nimeliona,ila kipindi kikali sana sana,na kimeanza kwa kishindo,na interview za Ommy zinakuwa tamu sanaa..maana anajielewa,big up kwa global
@salmaothman153
@salmaothman153 5 жыл бұрын
Rockstar 😘😘😘😘mwijaku ulipo nipo 😀😀😀😀😀
@fungafungatv448
@fungafungatv448 5 жыл бұрын
Mwijakuuuuuuu unanifurahisha sana
@naybakari3490
@naybakari3490 5 жыл бұрын
Big up sana kaka angu ommy
@sammahababoy5794
@sammahababoy5794 5 жыл бұрын
Anajuaa sanaa blood
@jackgeorge1309
@jackgeorge1309 5 жыл бұрын
Ommy dimpoz 💥💥💥🤙
@officialmamuu_kdt4822
@officialmamuu_kdt4822 5 жыл бұрын
Yaan ommy anajielewa mnoo
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 жыл бұрын
Penda sana ommy 😗😗
@stevewanga957
@stevewanga957 5 жыл бұрын
Nowadayz Global naona wamekuja kivyengine... Video zao ziko poa sana..
@hadiyyahadiyya5174
@hadiyyahadiyya5174 5 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujaaliye afya
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
mwijaku ni mtangazaji kumbe
@abdulmajidy5496
@abdulmajidy5496 5 жыл бұрын
Mwijaku anaongea sanaaaa
@alfamkama7950
@alfamkama7950 5 жыл бұрын
huyo Dada maswali yake siyaelewi kabisa yaan wasanii wa rockstar ni watu makini kwaiyo ulizeni maswali makini kama ya mwijaku
@stevewanga957
@stevewanga957 5 жыл бұрын
Mwajika mpeni mtu time ya kujibu Maswali....
@kagoggoalfred2730
@kagoggoalfred2730 5 жыл бұрын
usicheze Na laana ya mama.mama ni mama waheshimiwe no matter what .shigongo get professional presenters .that's is stories not interview
@abdulmajidy5496
@abdulmajidy5496 5 жыл бұрын
Mwijaku badilika
@africantiger6646
@africantiger6646 5 жыл бұрын
ommy dimpoz angekufa2 hana faida anaemuloga aendelee kumloga
@maryamm7765
@maryamm7765 5 жыл бұрын
😆😆😆😆🤗🤗🤗🔥🔥
@chiconinde8135
@chiconinde8135 5 жыл бұрын
Mwijaku, mtu anaongea we unaingizia mada. Interview kama mpo kijiweni kaka!!! you have to change, hata namna unavyoongea pia siyo kiprofessional kabisa.
@hamismalimungu9959
@hamismalimungu9959 5 жыл бұрын
Mwijaku unamkatsha mtu Kuongea
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 5 жыл бұрын
Jamani Ommy kaka nilikutafuta sana kama mtanzania mwenyezangu nikaandika sana kwenye KZbin nikiomba no yako niliishi köln naköln na Desedorf ni 25 Minuten lakini Sasa naishi München nanimasaa 5 nilisikitika sana kutokuja kukuona mimi na Mume wangu Nikita Tz ntakutafuta tule Lunch kiuzuri sio kama nataka chochote nawatu wasianze kufikiria chochote I am to See you Gesund🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@alimussa2655
@alimussa2655 5 жыл бұрын
😃😃😃
@dienovernakshy9026
@dienovernakshy9026 5 жыл бұрын
Anjelina Kasembe hahahah
@dienovernakshy9026
@dienovernakshy9026 5 жыл бұрын
Nlikuwa na shida na ww madam +255785854453
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Karibu na bremen Anjelina kasembe,ndugu yako mwingine nipo huku mweeh
@agrotako8040
@agrotako8040 5 жыл бұрын
I don’t like this guy mwijaku Fala saaana mpumbavu ivi
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 3,3 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
CLAM VEVO
Рет қаралды 357 М.
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Bahador Alast
Рет қаралды 1,4 МЛН
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
TULIA ACKSON NA WACHOKONOZI
11:11
WACHOKONOZI
Рет қаралды 16 М.
NALIMI &FRIENDS
36:47
Nalimijoseph Tz
Рет қаралды 3 М.