Mungu Msaidie Mja wako. Hakuna mtetezi mwingine zaidi yako. Tunakumbuka ktk maandiko yako. Kuna mtu alikua anaitwa Sauli alifanya mambo mengi ya kukuudhi ulimsamehe.
@pendomarco89283 жыл бұрын
Amina
@magrethmallya77283 жыл бұрын
Wazungu sio wazuri kwetuuu weusi Jamanii. Tuwe macho na wazungu wana roho mbaya!!
@stevebupamba50093 жыл бұрын
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Kibaya kumcha shetani.
@JIWEtv64843 жыл бұрын
Ona walio mzunguka ni wazungu tu hamna lolote ni kwasababu ni mtu mwesi.
@yangaomary49403 жыл бұрын
Yani huyu mshikaji alipotangaza tu kujitoa freemason ndio mabalaa yote hayo na huyu hawamuachi.mpk.waone mwisho wake
@sabihaibrahim33933 жыл бұрын
Kumbeee basi watamuuwa
@shabbyprotus65523 жыл бұрын
Kubaka wapi hajafanya hivyo bana sema niko Tanzania ningepinga hadhalani wamemuonea kabisa
Mungu msaidie huyo mja wako. Zote hizo nifitinana tu.
@edgarnandonde483 жыл бұрын
huyu jamaa wamemuonea sana aisee
@rajabdibwa64153 жыл бұрын
Sasa ameonewa vp wakati Ushahidi upo? Analipia kwa alichokitenda
@juliethjohn58923 жыл бұрын
@@rajabdibwa6415 fatilia vzr utajua ukwl ameonewa huyo kuna watu wanao mtafuta iko hv huyo alikua eliminate Sasa akatoka alivo Toka ndo wapo wanamtafuta Wala hajafanya chcht ni uongo mtupu
@daudisaid61983 жыл бұрын
Nikweli Kuna baadhi amekiri alifanya ila mengi yaliongezwa tu ili kumaliza kabisa. Alifikia mahali akasema anaomb msaada na mtu akikiri makosa yake anahitaji msamaha. Masikini alimzika mama yake na sasa ndo haya yamemfika. Inaniuma sana
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Hii kesi ya kutungwa tu kwa sababu ya visa vya weupe..hawapendi kuona mweusi anafanikiwa akiwa kwao,yaani ingewezekana weusi wote wangerudi Africa tu. Muhanga anapangwa tu na kupewa pesa atoe ushahidi wa uongo,kwa hekima ya R Kelly siamini kama kweli alimfungia binti ndani na kumpa madawa ya kulevya na kumbaka..huu ni uongo wa kupangwa
@mosesmarch3 жыл бұрын
ata wakirud africa watatandikwa tu maana hmna namna nyingne wahun wakiamua kukusaka watakupata tu ishu nae kazid kesi zaid ya 100 unasingiziwaga ww tu acha anyolewe
@ismailmshana2828 Жыл бұрын
Usijali Kaka yetu mungu akutangulie watu weusi wananyanyaswa Sana mungu akusaidie
@alvinsafi27333 жыл бұрын
Game over! Imekula kwake Robert Kelly
@alexray67063 жыл бұрын
Siku nyingi waliamua kumzofisha baada ya kukataa kujiunga na freemasonry
@neemasalema15463 жыл бұрын
Hili ndio sahihi freemason ni wajinga sana ila gerezani ni sahihi zaidi ni R Kelly kuwa tu na Akil na kumuomba Mungu huku ndio atatokea walikuwa wamemfunga kumbe ndio wamemsaidia kurudi kwa Mungu wake na ndio mwanzilishi wa kila kitu jipe moyo mkuu
@happynelson11363 жыл бұрын
Wakati alikuwa na pesa nyingi hao wasichana walikaa kimya pesa zikamuishia ndiyo wanamshitaki watu waishi maisha kwa taratibu ukiishi kwa mwendo wa kasi mwisho wake ndiyo huo
@magigejoseph2553 жыл бұрын
Kawida ya shetani hukutumia ukibaki makapi hukupeperusha na upepepo njoo kwa Yesu hatakuacha milele
@ladsonmshana99203 жыл бұрын
Hii lazima itakuwa ni kesi ya kiubaguzi
@joshuabartonpolelaab49853 жыл бұрын
Jamaa anatisha yaani jinsi anavyoimba ni tofauti na matendo yake
@NancyMwaibula76343 жыл бұрын
Kabisa watu wanasema niuongo kunawatu wanamatukio kama ya Kelly hapa tz ukiwaona sura huwezi amini
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni zaid ya uchungu wa jipu
@kingwandeinvestment80023 жыл бұрын
Kwa hapa bongo mbona wanamwacha daimond
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Analala na wanawake wakubwa, na wanakubali wanyewe , tena anawahonga, na wanamtaka wenyewe, . Hujaona wabakaji wewe wa tanzania. Uliriza mahause gerl, watakujibu
@mashamasha28543 жыл бұрын
díαmσnd kαfαnчαjє?
@emanuelmajele72373 жыл бұрын
Alikataa kumtukana MUNGU walipo mlazimisha kuimba wimbo wa kumkashifu Mungu yeye akaimba kumtukuza Mungu flimasoni walitaka kumtumia R Kell aliwai kusema atasimama namsimamo wake lngawa wanamfatilia sana lli wamuangamize
@robbyman62133 жыл бұрын
Mungu Akupiganie
@sabihaibrahim33933 жыл бұрын
Wamtafute na diamond
@mashamasha28543 жыл бұрын
kαfαnчαjє díαmσnd
@NancyMwaibula76343 жыл бұрын
Marekani hawanaga msamaha mfano ukiwa nesi ukamjibu mgonjwa vibaya vyeti vyako vinachanwa kabisa unafutiwa na leseni, kuna nchi hawanamchezomchezo na mambo ya ajabu lakini Africa ukiwa na pesa tu unaonekana perfect
@agnesmkanga46173 жыл бұрын
Unadhani kwa kufanya hvy wako serious? Bila kuthibitisha jambo? Na vipi Mgonjwa au Ndugu wa mgonjwa wakimjibu vibaya Nesi!wao hufanywa nini!
@mapenzishindoshindo49393 жыл бұрын
Inasikitisha sana mungu amsaidie
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Kajitoa filmason ndochanzo chakupewa makosa haya polesana R k l
@enockabumba75133 жыл бұрын
Asante kwakurigundua iro
@mishymorgani59663 жыл бұрын
Jamanii hata mungu anasamee kwanini wasimsamee lakini amesha kaa sana jamani😫
@gracehamishamisikitundu79983 жыл бұрын
Dah
@habibnjowele77513 жыл бұрын
MTANGAZAJI TUMIA SAUTI YAKO HALISI! OTHERWISE R KELLY ANATIA HURUMA
@haitumikitena49783 жыл бұрын
Free mason wakiamua jambo lao halishindwi Mungu msimamie mpendwa wako😭😭😭😭😭
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Bwana We R.Kelly Alibaka Bwana We Hao Wanawake 50 Walipitia Mateso Bwana We Mahakama Imechukua Atua Kali Bwana We
@philemonmagesa55483 жыл бұрын
Mmh! Jamani hata kama R. kelly anasingiziwa kwa vile ni mweusi hv kutokana wanavyosema hv tuuma zote ni za kusingiziwa?
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Kabisa
@alexkalonga36323 жыл бұрын
Sasa bwana weeee
@joshuabartonpolelaab49853 жыл бұрын
Sidhan Kama wanamwonea maana Ana makosa mfululizo alikua na mapepo mtu wa kawaida hawez kufanya hiv
@wilisonuronu18403 жыл бұрын
Kama ni kweli, anastahili kuadhibiwa
@kivuliahmad4673 жыл бұрын
Huwezi kujitoa kwenye chama
@loulumony85196 ай бұрын
Masikini Kelly 😭😭😭😭😭😭😭
@asmaabeid21173 жыл бұрын
Hya mambo ni r Kelly wengne awafny alaf aingii akilin uongo2
@mwajumakhatibu56433 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja na wewe yote mitihani ya dunia kama uliamua kuachana na mambo ya kishetani na kuludi kwa mungu na hiyo mitihani yote muachie mungu anaejua haki
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
Kwahizo sura nyeupe tupu na Hawa watu wanavotuchukia r Kelly amekwisha
@sabihaibrahim33933 жыл бұрын
Wazungu ni wabaguzi sana ukweli usemwe
@ambokileasheengai11403 жыл бұрын
ITALY KUNA MSEMO UNASEMA PESA ZILIMFANYA SHETANI KUCHEZA MZIKI,,HUYU AKATUBU NA KWA MUNGU WAKE,,,,,HAKUNA KESI MABAYA KAMA KUFANYA TRAFIC YA NGONO HUKU ITALY NI 7YRS BILA KUTOA HATA SIKU MOJA,,,WANIGERIA WENGI WAKO JELA,,,KUUZA MALAYA
@BukuluTheBosscomedy5 ай бұрын
Ubagizi wa rangii bado upo Sana Dunian hasa kwa mtu mweus
@binzid90463 жыл бұрын
Amini likonde upo vzr unajau kutangaza habari tofaut na watangazaji wengn na hususan ulipotoa ile habari ya kutekwa rais wa Chad nimeaza kukukubali
@dizonzunayebudagalatv88693 жыл бұрын
Sio kweri wanamuonea tu
@juliethjohn58923 жыл бұрын
Wanamsingizia tu huyo sio kwl kbs
@SeverinoLuis-j1hАй бұрын
Kwani aliwaba walitaka wenyewe
@rashidyally87153 жыл бұрын
Mabebelu ni mbwa Sana
@thabitbawaziri96323 жыл бұрын
Wajitafutia Moto waburee Sasa Ww ulikuwepo huko America akifanya hayo unayo sema ulimuona
@rashidyally87153 жыл бұрын
Maelezo tu yanaonesha hizo kesi zoote za kisenge na za kutengeneza mamae zake yani inaonekana watu wakiwa na njaa tu wanajifanya kumpandikizia kesi ili wapate pesa
@tedimapunda77523 жыл бұрын
Yani amezungukwa na wazungu tu kwakwer hii si sawa
@yamaletax67693 жыл бұрын
😭😭 rest in peace r kelly
@jeff_dm84593 жыл бұрын
😂😂🤣🤣
@raymond_anthony953 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@japhetjairos29833 жыл бұрын
Wamemsingizia tu na ata kama kwel wangap wanafanya
@rosetreffert67273 жыл бұрын
Hii ndo shida ukiwa mkataba na shetani, shetani Huwa anapenda kumuaibisha mtu
@SaidMaurid6 ай бұрын
Waongo.wamemsingizia
@salummzee97393 жыл бұрын
Mwache akafiye huko fundisho wetu kesi hizo unafungwa sio kuchukuliwa dhamana Safi sana miaka 20 mm na 30 jela
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Hata kupanga sentensi kumekushinda jinga kabisa...huyu anasingiziwa kwa sababu zao binafsi
@salummzee97393 жыл бұрын
@@georgemassebu2083 hakuna wapo watu weusi kuliko Yy na wanaheshima ktk serekalin Ya marekani, huwez kuharibu watoto wadogo halafu mukandaliwa miaka 30 mm Napa jela au kunyongwa fungisho Hilo ww mjinga mumesha zoea kuharibu watoto mukachiwa American au Ulaya hakuna Rushwa za kijinga km Africa jitambuee
@salummzee97393 жыл бұрын
@@lastborntvson5808 mm au ww maaana nyny ndio wabakaji na wadhalilishaji wa Wanawake na watoto ndio maana munaona Ameonewa Tena atafia huko huko jela na ww tukikumata umebaka umefia mikononi sio jela
@shabanijuma20853 жыл бұрын
Bora kufia gerezani kuliko ulaiyani uku watu wakupangie jinsi ya kuishi.Watu wajifunze viumbe wanaowatumikia ni hatari na mokozi ni Mungu pekee.
@linusbaltazar63113 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭kaka 😭😭👏🏻👏🙌
@josephandrew34443 жыл бұрын
Ubaguzituu ukiwa mtu mweusi na kipaji kikubwa chochote baaasii timbwili linaanza wazungu sio ndugu zetu jamani
@mynesvitus26793 жыл бұрын
Ndo mtajuta kua free mason
@valerianoaloice71953 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo ni ubaguzi wa rangi tu
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Kama Kafanya Ukumu Inamfaa Kama Kaonewa Nendeni Kamkatieni Lufaa Nasio Kulalamika Kama Kuku Asie Taga
@ibrahissa77583 жыл бұрын
Funga tuu
@iddimoshi84593 жыл бұрын
VICTORY BELONGS TO GOD
@raymond_anthony953 жыл бұрын
Uongo uwa unawahi kuliko ukweli Ila ukweli ukishafika basi unaishi milele sasa ukweli umefika
@ShadreckDreck4 ай бұрын
Siyo ubaguzi 50 Cent snoop Dog Dr dree Rick rose.....aho wote siwehusi?kinachomufunga nisababu ametoka Mu Eliminati.Izo zingine ni sababu
@ShadreckDreck4 ай бұрын
Anafungwa kisa ametoka mu Eliminati izo nisababu tu mweye amjuwi
@kobajumakuziwa99763 жыл бұрын
Hivi Aly kiba kakoswa kubakwa na huyu kweli 😂
@issaibrahim8796 Жыл бұрын
Boya wewe
@samsonnchagwa57623 жыл бұрын
Wazungu wanaxema haki za binadam huku wakiendelea kutunyanyasa
@azashaban83433 жыл бұрын
Maskin pole yake😭😭
@didierlola13963 жыл бұрын
Wazungu ni mashetani .hayo yote ni kutafuta tu wamshushe ili wao ndio wawe juu
@antonyvallerian17183 жыл бұрын
msomaji wewe mnafikiiii..........................
@Farajahelene230313 жыл бұрын
batu ya mabee bongo balingi ko mboma yee jaloux jaloux
@capteinchuimchafu78943 жыл бұрын
Freemason watu hatari Sana si wa kucheza nao hatakidgo
@ShadreckDreck4 ай бұрын
Ukitoka Free mason unafungwa
@alexnyagawa2293 жыл бұрын
Oo lol on one or both of oo
@isacksaimon45323 жыл бұрын
Kwakwel tume pigwa
@sophiakimaro51747 ай бұрын
Hayo mashetani yanakupa mashart alafu ukiwachafua ndio inakuwa kesi yako
@thabitbawaziri96323 жыл бұрын
Tatizo ni kingia Uislam tu Hakuna kesi hapo
@AllyJuma-y1v Жыл бұрын
, wana muonea2
@taharamohd25153 жыл бұрын
Freemaso awamuachi mtu salama
@seifomary9993 жыл бұрын
Hicho ndicho nnachokijua hata mimi...na ni fact
@taharamohd25153 жыл бұрын
Aya maisha ukiyachagua lzm utishia sehemu sipo
@mutijimacedrick16223 жыл бұрын
ACA mbwembwe wewe,.huoni kama uyu nimcezo wamzungu kuaibisha mtumweusi?
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Mkipata Mapesa Ulaya Mje Kuishi Afrika Cha Ajabu Wako Watu Ufanya Ufisadi Afrika Kwenda Kuishi Ulaya Wakiuliwa Corona Pesa Ujenga Mataifa Ya Ulaya
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Majaji wa ulaya , wahamie wafrica, hasa tanzania
@kakore_jr3 жыл бұрын
WAFANYE Nini acha kuabundu wazungu wewe hata familia yako Inawezekana huiwez
@vibetz99913 жыл бұрын
Hee wanaume??
@jeniphazirandaly363 жыл бұрын
Jamani msijiunge fremason maana wanakupandisha juu kisha wanakushusha halafu kukuaibisha hiyi ni kazi ya shetani tumkatae