"UGUMU WA MAISHA NIKAAMBUKIZWA UKIMWI GEREZANI, NASUBIRI KIFO, NDUGU WOTE WAMEFARIKI"

  Рет қаралды 297,897

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#HIV #millardayo #ukimwi

Пікірлер: 1 400
@sweetmama6885
@sweetmama6885 4 жыл бұрын
Jamani nawaomba wenye cm ya kuingia huku, mkikutana na huyu kaka muonyesheni hizi comment za humu asome. Hilo tabasabu lake litaongezeka mara laki 9😁. Jamani ni mzuri. Ana smile nzuri. Eeeh...! Mungu baba mwenyenzi muumba wa mbingu na dunia, nakuomba umfungulie huyu kaka njia sahihi katika maisha yake. Umpe baraka zako siku zote za maisha yake, furaha, amani, upendo, afya njema na maisha marefu vikatawale kwake. 🙏
@edithdickson3090
@edithdickson3090 4 жыл бұрын
Dah! pole sana kaka!, Matatizo kwa Mwanadamu kawaidaa Mungu anampango nawewe, jamani Bajaji inauzwa Million5, na tulioguswa humu ndani ni zaidi ya watu 3000 Embu tukunjue mioyo yetu tuoneshe mapenzi kwa huyu Mtanzania mwenzetu Aweze pata faraja tujichangishe kutoa ni moyo na wala sio utajiri.
@vailetjulius4782
@vailetjulius4782 Жыл бұрын
Mimi nipo tayari Edith naomba tuwasiliane pls
@homebase6644
@homebase6644 Жыл бұрын
@@vailetjulius4782 namba tuma
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 жыл бұрын
Pole sana kwanza hongera kwa kuyakubali maisha hayo ya kuishi na maradhi pili msamehe huyo aliyekupeleka jela,ushauri wangu kwa wengine ikitokea bahati mbaya umepelekwa jela na huna ndugu usikubali kutumia kiwembe kilichotumiwa na mtu mwingine bora uwaambie hao maaskari wakupige tu maisha ya jela nayafahamu nimekaa humo askari magereza karibu 87% wanaroho mbaya SANA bora ukae na nywele zako zote mpaka zikukere,mabwana jela hivi kweli mnawafanyisha kazi wafungwa mnashindwa kuwagawia viwembe vya kutumia?jifikilieni sana kwa hili ndio maana huwa mkistaafu mnakuwa na maisha mabaya sana kutokana na roho zenu mbaya mnapokuwa kazini
@williamreuben9108
@williamreuben9108 4 жыл бұрын
Dah God anaweza kukupa maisha marefu kuliko ss wote
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
willy colours ...mungu mkubwa
@queenmalikia4172
@queenmalikia4172 4 жыл бұрын
Hh pole kaka
@swahibalmas4414
@swahibalmas4414 4 жыл бұрын
willy colou
@awetumtanga3008
@awetumtanga3008 4 жыл бұрын
Naumia jaman eee mungu saidia kijana huyu
@happyrafael9505
@happyrafael9505 4 жыл бұрын
Haaaaaa kumbe uyo anaukimwi hana amemuloga upo Tena amemulogelezeya
@queengee988
@queengee988 4 жыл бұрын
😭😭😭😭jamn daah tabasam zuri hiv lakn anataman kufa😢😢mpk tymbo limeum mungu akufanyie wepes usikate tamaa
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Wewe wa Oman
@msetikebwasimasatu8849
@msetikebwasimasatu8849 3 жыл бұрын
Hilo tabasamu ndo lililompa huyo mdudu.
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 4 жыл бұрын
Yaani wewe kijana mzuri kweli wa sura, unatabasamu Zuri, na kuumwa sio kufa, natamani upate mfadhiri mambo yako yaende.
@janepatrick8961
@janepatrick8961 4 жыл бұрын
Nani kakwambia ukimwi unafuata watu wenye sura mbaya hayo ni mapito tu anapitishwa
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 4 жыл бұрын
Leila Innocent sanaaaa mashaallah
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 4 жыл бұрын
@@janepatrick8961 sina maana mbaya ila nimempenda tu alivyo.
@shabanigess6703
@shabanigess6703 4 жыл бұрын
Kweli
@shabanigess6703
@shabanigess6703 4 жыл бұрын
pole best Dunia mapito tu
@rahmachuji853
@rahmachuji853 4 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi ufanikiwe upate Kazi 🙏Du Yani machoz yame nitoka kwa Kweri usiombe ya kukute
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 жыл бұрын
Rahma Chuji tunamsaidiaje huyo jamaa jamani? Mie nipo nje ya bara la afrika
@rahmachuji853
@rahmachuji853 4 жыл бұрын
@@antoinea.katembo5326 0788540869 namba Yake iyoapo
@doctorgames5011
@doctorgames5011 4 жыл бұрын
TBC lazima wajitafakar upya...Hakika unaweza usitazame TBC na ukapata kila habar lakin ukitazama TBC tu utapitwa na kila kitu...Ingekuwa antibiotic in Medicine Ningesema Ayo TV ni Broad Spectrum!
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Kila Kitu hutokea Kwa sababu ndugu yangu,mwamini MUNGU tuu,utaishi maisha marefu mpk ushangae broo,usikate tamaa,duniani wote tunaishi Kwa Neema tuu
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 4 жыл бұрын
Kabisa ndugu. Umenena vyema.
@samsahani3118
@samsahani3118 4 жыл бұрын
Pole sana bro,MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA
@atubeka9317
@atubeka9317 4 жыл бұрын
Daaaa Pole Sana Mdogo wangu
@villageboysinatra
@villageboysinatra 4 жыл бұрын
Acheni Kutoa sifa nyingi na pole .. Suala jamaa anahitaji msaada mnamsaidia vipi mtanzania mwenzenu???
@samahstyles6776
@samahstyles6776 4 жыл бұрын
Villageboy Sinatra very true a lot of comments how do we help him does any one know him
@bensonisilivery6572
@bensonisilivery6572 4 жыл бұрын
Point
@nataemsuya
@nataemsuya 4 жыл бұрын
Watz ni wazur wa dua, sio pesa. Utasikia Diamond msaidie jamaa.
@mahmoudmwavula6182
@mahmoudmwavula6182 4 жыл бұрын
Kweli kabisa msaada ndio muhimu pole nyingi sana nimeona hapa
@Oman-bi2ej
@Oman-bi2ej 4 жыл бұрын
yes ur right....my friend for nothing this people has not talks the point.. .but still ur handsome so what if he is handsome....now let's see how together all of as going to help him
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 4 жыл бұрын
Nakuombea Mungu akupe kazi na sehem ya kuishi akupe na mke mwenye kukupenda ili usirudi nyuma kwa lolote eeeee Mungu skia kuomba kwangu🙏🙏🇧🇮
@verossapaul7213
@verossapaul7213 4 жыл бұрын
Frola nitetee mtafute atakusaidia🙏
@uwamahoroemanuel4020
@uwamahoroemanuel4020 4 жыл бұрын
Abantu bagwaye sida nibeshi gusa bomufasha kumuha icoyokola
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 Жыл бұрын
Awe na mke namehasirika?
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 Жыл бұрын
@@ywydhhd7941 ivi wewe unaona aoe mwenye ukimwi mwenzake au? Mimi naishi Finland 🇫🇮 ukigundulika una ukimwi na wakijua wewe umemwambukiza mtu fulani utafia ndani maishayako yote.
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
@@kabwelerywamwatumu5078 yes mweny ukimwa mwenzake tena ndoa takatifu , hata asiye na ukimwi, ukifuata masharti
@nelsonlema4330
@nelsonlema4330 4 жыл бұрын
Wadau takribani 606 wamekomenti hapa, tukumbuke haoni hizi komenti, njia muafaka ni vitendo...mfano tungeweza kutuma hata elfu moja 1000/ kwa kila mmoja angekuwa na njia ya kuanza. Mathalani apange room ya chumba kimoja na kiasi anachoweza kupata pia kinaweza kumpa mwanzo wa kuwa na kitu endelevu cha kukabiliana na maisha. Jiulize ungekuwa ni wewe? Mimi nimeshamtumia teyari kiasi kidogo, naamini kitampatia mwanga kidogo. Asante Ayo TV.
@zainaommy5475
@zainaommy5475 4 жыл бұрын
Kweli jmn tungeunda ata grupu la whts up la kuchangia km ivi ndo thawabu zenyewe
@zainaommy5475
@zainaommy5475 4 жыл бұрын
Mungu akubark sana
@zainaommy5475
@zainaommy5475 4 жыл бұрын
Tuungane ata mia 500 buku kutoa ni moyo sio utajr dah
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 4 жыл бұрын
Nelson Lema nikweli kaka kumbuka umeongea poit nzuri Sana jaman tumwekee japo kidogo kimsaidie yuko kwenye mazingira magumu Sana
@yahyamwadini5768
@yahyamwadini5768 4 жыл бұрын
Ni kweli hii rai nzuri kabisa tumtukie direct bubu buku
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 4 жыл бұрын
Usikate tamaa broo bado uko fiti,Maambukizi sio kifo,,,, Na bado una nguvuuu freshiiii..... Utapata kazi naaminiii in Jesus Name.... Love from Zambia
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 4 жыл бұрын
Kastol Jackson Mwalyego well said
@saumushabani1628
@saumushabani1628 4 жыл бұрын
Pole sana kaka yangu
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 4 жыл бұрын
Maisha bila Mama nimagum Sana aisee mungu amrehem mamangu
@rukiarashid749
@rukiarashid749 Жыл бұрын
Acha tuu
@josephinaclement2129
@josephinaclement2129 4 жыл бұрын
Pole sn kk, ila kuugua ukimwi sio mwisho wa kutimiza malengo yako.naamin kila jaribu lina mrango wa kutokea, ipo ck utakuwa sawa na maisha yataendelea
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 4 жыл бұрын
kapime Tena!.......Mungu Atatoa Ayo Maradhi Niamini mimi brother ukikaaa nenda kapime tena
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
Oscar oscar Oscar;;Mm niko ZNZ lkn nimeshindwa kuimaliza hii story,,hebu nisaidie mawazo broo 2msaidie vp huyu ndg ye2 UKITAKA KUJUWA UCHUNGU WA HILI JAMBO IFIKIRIE NAFC YAKO WW KAMA YANGEKUKUTA WW BINAFSI.
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 4 жыл бұрын
Oscar oscar Oscar in JESUS NAME
@marrionwatima797
@marrionwatima797 4 жыл бұрын
@Jojo Hihi amen n amen
@mpondaahamida2146
@mpondaahamida2146 4 жыл бұрын
Nikweli, inawezekana ktk jina la Yesu.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
kapime tena na tumia black seed kila siku tena tembe saba tafuna kwa muda wa miezi mitatu utapona kwa uwezo wa mwenyezi mungu.Nenda kwa abdu swamad pale kariakoo karibu na stendi ya mwenge ni mtaalam wa dawa za asili
@geofreyjulius377
@geofreyjulius377 4 жыл бұрын
Natangaza uponyaji kwako kwa Damu ya Yesu,hautakufa in Jesus Mighty Name,pepo ukimwi hatakatiza maisha yako in Jesus Name.Yawezekana ujumbu huu usiuone lakini Mungu wetu ni mwema anasababisha uhai tena ndani mwako.Ukienda kupima hautakuta huo ugonjwa tena .na mpokee Kristo Bwana yeye atayatengeneza maisha yako upya.
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 жыл бұрын
Amina
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 жыл бұрын
Mimi frenk 0788540869
@Winstonfying
@Winstonfying 4 жыл бұрын
Pole sana brother, Mkasa wako unagusa sana . Tunaamini Mungu atakusimamia kwa kila hatua. JAMANI COMMENTS SASA NI 435, KILA MMOJA AKITOA TSH 2,000/- TUTAKUWA TUMEMSAIDIA WALAU KIDOGO, SI LAZIMA UWE NA KIKUBWA. TUMA KWNY NAMBA YAKE, MIMI PIA NAFANYA HIVYO SASA.
@judithmichael5155
@judithmichael5155 4 жыл бұрын
Kweli kabisa 2000
@mariamathuman5862
@mariamathuman5862 4 жыл бұрын
kweli kabisa
@zainabukivale5824
@zainabukivale5824 4 жыл бұрын
Namba yake ipi
@evasonlushaka767
@evasonlushaka767 Жыл бұрын
@@mariamathuman5862 a Ak=
@yustomlay4422
@yustomlay4422 Жыл бұрын
Namba yake
@casandrahhelman7639
@casandrahhelman7639 4 жыл бұрын
Jamani Cabayser dah. Pole ndugu yngu. Nakumbuka ulikua driver wangu mzuri tu.😢😢😢 m/mungu akupe nguvu mpnz.
@theresaeward4933
@theresaeward4933 4 жыл бұрын
Please help me even secretly
@ismaelmatano3571
@ismaelmatano3571 2 жыл бұрын
Hi I'm from Kenya pliz if you know this guy I think we can help him casandrah pliz
@irinemacha2951
@irinemacha2951 4 жыл бұрын
Baba wa Mbinguni nakuomba umtie nguvu kiumbe wako kwaanayoyapitia. Kiukweli inauma sana
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Irine Macha ..Amiiim
@irinemacha2951
@irinemacha2951 4 жыл бұрын
@@yusufally6853 I wish ningekuwa nauwezo nimsaidie
@ezzy_e2450
@ezzy_e2450 4 жыл бұрын
Kuna MALKIA WA NGUVU NA jasiri,,, mnaonaje tukaanzisha na MFALME WA NGUVU jasiri,, kwanza pole bro we NI MFLAME WA NGUVU NA JASIRI, Tumsaidie km kijana mwrnzetu linaumiza kwa kweli dah!!!
@twobrothers8228
@twobrothers8228 4 жыл бұрын
Inasikitisha Sana ila Huyu Kaka anahitaji Spiritual healing kwanza hizi Kanisa zetu jamani Mpeni Kazi kanisani Naona Mungu Ana kusudi naye amtumie Kama chombo chake ili watu wamjue , anaweza Hata kuponywa, 😭
@mwanaidally4368
@mwanaidally4368 4 жыл бұрын
Dah nipo tayari kuishi nawewe bila kubangua afya yako ngoja nikutafute umeniumiza san
@pillykenedy2140
@pillykenedy2140 4 жыл бұрын
Natamani kukusaidia ila sina uwezo😭😭😭😭
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 4 жыл бұрын
Daa nimeumia mm daa 😢😢jmn mpeni Dada frola atamchangishia
@juhudihardware3883
@juhudihardware3883 4 жыл бұрын
Kwann ww ucwe dada flora ili tupate kina da flora weng
@juhudihardware3883
@juhudihardware3883 4 жыл бұрын
Kwann ww ucwe dada flora ili tupate kina da flora weng
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 4 жыл бұрын
Juhudi Hardware hakika
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Engiweka namba yake tusaidie jamani du story inaumiza
@annen3923
@annen3923 4 жыл бұрын
This is so sad and painful. Kakaangu kile naeza kukuambia ni kwamba, usife moyo maana Mungu ni muweza wa yote. Kua na virusi si mwisho wa maisha. Our God is a great healer. He is the father to the fatherless and he will heal you if only you believe. Please give your life to Jesus and expect his miracles in your life. Don't try to kill your self or hurt your self in anyway. God loves you and he cares about you. I wish l can reach you and give you courage but l will still remember you in my prayers. Be healed in Jesus name
@robertmgogosi8448
@robertmgogosi8448 Жыл бұрын
Ila inauma kweli
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 4 жыл бұрын
Pole sana kaka,. Mungu akutie nguvu uyashinde ya dunia. Kaka UKIMWI ni ugonjwa wa kawaida tu, magonjwa mabaya yapo mengi na yasiyo na tiba,. Kansa, Sukari, Ebola na mengineyo ni mabaya sana pengine kuliko ukimwi., Mungu nisamehe kama nimekosea. Be strong bro, our ALMIGHTY GOD IS WITH YOU..
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@j-sonlian8053
@j-sonlian8053 4 жыл бұрын
Hepatitis B( ugonjwa wa ini ni hatari kuliko UKIMWI)
@judymasunzu7517
@judymasunzu7517 4 жыл бұрын
Daah pole sana kijana. Mungu akuangazie nuru yake upate mfadhili. jamani wenye nyumba zisizo na wakaaji mpeni huyu kaka chumba. Duuh kesi ya kuiba Bajaji rumande miaka 2!?
@devothadonaldsimbi3499
@devothadonaldsimbi3499 4 жыл бұрын
@@judymasunzu7517 Mimi nyumba yangu Haina mtu wa kuishi kumbe Kuna binadamu wanahangaika Hawana pa kulala jamani laiti ningalikuwaTanzania ningemsaidia
@santalover
@santalover 4 жыл бұрын
Mungu anaweza kukuponya there’s hope to those who believe in God trust me brother unaweza kupoana kabisa na maisha yakaendelea kabisa
@marthajohn9120
@marthajohn9120 Жыл бұрын
Kweli kabisa, haende madhabau sahihi, kwa PROPHET SS ROLINGA
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 4 жыл бұрын
Kweli ni tatizo ila broo ila kutotumia dawa badala ya kuishi myaka ishilini utaishi kumi kwaiyo meza dawa kuna watu washa ishi na mahambukiz myaka 30 bado wana kula maisha2 ndugu ata dalili za kufa awana kabisa kwaiyo meza dawa ndugu
@mariampaul9271
@mariampaul9271 4 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu atakusaindia
@parma786
@parma786 4 жыл бұрын
Brother F, tafadhali ukipata dawa we meza na mtangulize Allah kwa Kila unalotaka kufanya inshallah kwa uwezo wake mwenyezi mungu utafanikiwa kupona kabisa na utapata maisha marefu na pia utapata kazi nzuri mapato mazuri na utaishi maisha mazuri na familia yako usikate tamaa amin hivyo Kila kitu hapa chini ya jua kina ungozwa na ALLAH SUBHANA WA TAALA ameen, (pole sana my brother)
@giftmlange3327
@giftmlange3327 4 жыл бұрын
😭😭😪😪mweee mwanangu Mungu akufanyie wepesi akuponye na akawe faraja akuponye kwa damu ya Yesu mwanangu 😭😭😭😭😪😪
@annekayi273
@annekayi273 4 жыл бұрын
Story yako ndungu inaguza natumai umepata usaidizi jameni watazania msimuache huyu kijana angaike kijana mzuri jameni mfugulieni ata kama nibiashara apate kibaji cha maisha agekua Kenya nigemkombolea kanyumba kidogo na nimpe kabiashara ajiendeleze kimaisha mungu akusaidie ndungu
@Cryptocurrency_Tanzania
@Cryptocurrency_Tanzania 4 жыл бұрын
Nahisi kupitia kujitangaza na kujiweka wazi kwa ndugu yetu huyu iwe nafasi kwa selikali kupitia na taasisi zinazopambana na Ukimwi kumtumia kwenye matangazo ya kuhamasisha vijana kupima afya zetu.... Mungu akubariki Kwa utajiri wa uthubutu aliokupa.... Hautakufa utaishi.
@RAFIKI_TANZANIA
@RAFIKI_TANZANIA 4 жыл бұрын
JAMANI HAPA INAONEKANA SWALA HILI LIMETUGUSA WOTE SASA TUNAFANYEJE KUMSAIDIA HUYU KAKA NINAOMBA KAMA UMEGUSWA TUUWASILIANE TUCHANGE TUMOELEKEE HUYU KAKA SIMU NA ANGALAU PESA YA CHUMBA APATE PAKULALA NA TUFAITI APATE KAZI.MUNGU AWABARIKI SANA. 0712927987 PIGA TUJADILI.
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 4 жыл бұрын
Cha msingi tuungane kila mmoja tumnunilie bajaji
@irenemanjoli7955
@irenemanjoli7955 4 жыл бұрын
Mmhh achen uongo
@chalazaonetv4749
@chalazaonetv4749 4 жыл бұрын
Me nipo tayari
@RAFIKI_TANZANIA
@RAFIKI_TANZANIA 4 жыл бұрын
@@bernadinangasi7664 NI KWELI BASI TWAUNGANAJE BILA KUMFIKIA MLENGWA SISI TUNA KIKUNDI CHETU TUTATOA 500000 NA SIMU MOJA APATE MAWASILIANO KAMA WAPO WANAOTUUNGA MKONO KARIBUNI
@RAFIKI_TANZANIA
@RAFIKI_TANZANIA 4 жыл бұрын
@@chalazaonetv4749 acha namba tuwasiliane
@bintikiziwi4600
@bintikiziwi4600 4 жыл бұрын
Pole sana kakangu Mungu amponye aki,but ni handsome hata mimi naeza mpenda na hyo avya yake hivo he's so cute wallahi
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 4 жыл бұрын
Binti Kiziwi na wee ni binti kiziwi kweli, yaana anakwambia yeye ana umwa ukimwi, huku unamtamani' endelea tu na kujifanya kiziwi uta ula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 жыл бұрын
Watu wana ukimwi miaka nenda rudi wanaolewa na wanaoa na wanazaa watoto salama na wnafurahia maisha yao!usiogope kifo kipo popote.
@elishalucumay7743
@elishalucumay7743 4 жыл бұрын
Mungu akuponye ndugu yangu hayo ni mapito tu 😰😰😕😕
@zainabukivale5824
@zainabukivale5824 4 жыл бұрын
Nipigie nikusaidie
@lucyjoachim8319
@lucyjoachim8319 4 жыл бұрын
Tabasamu lako lisiishe usoni....mungu katupa maisha bila tarehe ya mwisho....tunakufa kila siku kifo kipo tu hakikwepeki MUNGU AKUPE NGUVU .
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 4 жыл бұрын
Nimetokwa na machozi na kulia😭😭 mwenyezi mungu akulinde akuhifadhi kuwa na maisha mema
@RAFIKI_TANZANIA
@RAFIKI_TANZANIA 4 жыл бұрын
0712927987 PIGA SIMU TUUNGANE KUMUINUA NDUGU YETU DUNIANI TUNAPITA LEO KWAKE KESHO KWETU POLE HAISAIDII WALA KULIA HAISAIDII MWENZETU ANAZIDI KUTESEKA LAKINI KUMBUKA UMOJA NI NGUVU TUNAWEZA KUMFANYIA JAMBO LA MSINGI NAYE AKAJIHISI MTU KATIKA WATU. KAFIBUNI SANA CHANNEL YANGU INAITWA MAPITO NA HII NAMBA YANGU NAPATIKANA MUDA WOTE NA IPO WHATSAP JIUNGE NASI NITAKUUNGA GROUP LA WALE TULIOAMUA KUFANYA JAMBO KWAAJILI YA KIJANA MWENZETU.
@gracenavilo7946
@gracenavilo7946 Жыл бұрын
Usiogope Anza kunywa dawa ,,hutakufa Bali utaishi
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
ila wanaume ni wanaume maana kwa stori yako ungekuwa mwanamke angeshatoa machozi dahh pole kaka
@manyikaachi6667
@manyikaachi6667 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@milcahjosiah3967
@milcahjosiah3967 4 жыл бұрын
Duuuh kaka mzur wew jmn polee😭😭😭
@davidwilliam1189
@davidwilliam1189 4 жыл бұрын
Mtegemee YESU atakuponya, usione kuwa huo ugonjwa unauwa, maana yupo aliyekufa kwa ajili yako, dai haki yako kwenye hiyo Dam
@marthasumaye6017
@marthasumaye6017 3 жыл бұрын
Kilichoua ndg zake ndo kilichomtia mikosi yaani maombi tu ndo yatamsaidia
@Alvinjoely91
@Alvinjoely91 4 жыл бұрын
Kaka Milard Ayo fanya hata group hivi au tafuta namba tuweze msaidia mwenzetu...Sijambo jepesi kuongea hali yake adharani naomba utusaidie tufanye jambo
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 жыл бұрын
Hapo umenena,,tuko pamoja 🇰🇪
@devibenedictbenedict1294
@devibenedictbenedict1294 4 жыл бұрын
Pole Sana broo
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atakuponyesha inshaallah. Anza kutumia dawa upate Kinga ya mwili. Na endelea na maisha.Kazi iendelee
@aishavogelmann6735
@aishavogelmann6735 4 жыл бұрын
Amini Mola utaishi maisha marefu....Insha allah kila kitu itakuwa sawa....😭😭😭.......Insha allah mola atakufungulia nautapata bajaji yako kuwa na imani .....Hakuna kitu kubwa mbele ya Mola ,na hakuna kinamshinda....🙏
@stanpeter1076
@stanpeter1076 4 жыл бұрын
Very sory man, yote yanapita usikate tamaa.
@mamaenjoymamaprince6919
@mamaenjoymamaprince6919 3 жыл бұрын
Pole Sana mwananguu mwenyezi MUNGU azidi kukupa ujasiri na Afya njema mwenyezi mungu amekuandalia mema ondowa mawazo ya kujiuwa mwananguu frank
@softymoha5484
@softymoha5484 4 жыл бұрын
Hakii,,, nimeumia kama mzazi tumbo limechemka. Usijali Allah atakuponya insha allah ameen. Nawapenda ndugu zangu salamu zangu kutoka kenya
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Your very handsome broo,ila tumia Dawa kaka pls,
@mamaprose9800
@mamaprose9800 4 жыл бұрын
Daaah inauma sana😢😢pole sana kaka angu mungu atakufanyia wepes
@jumahussein520
@jumahussein520 4 жыл бұрын
Daaaah kafyome msela wang my hood brother pambana mm ntakua dar mda c mref takutafta ndug yang miaka ming sanaa kaka yan 2nakuja onana ukiwa katka hal hii ine love blood myng atafanya wepes
@taucfungameza9986
@taucfungameza9986 3 жыл бұрын
Jitahid umtafute wakwetu huyo
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 4 жыл бұрын
Watu mlioko Dsm, suala la kwanza mtafuteni huyu mtu mnunulieni simu ya elf 35. Awe na mawasiliano kwanza. Tuanzie hapo. Kisha tumpeni mtaji apewe fremu aanze biashara yake! Ivo. Mpeni simu, tupeni UPDATES
@DAUDIMADELEM
@DAUDIMADELEM Жыл бұрын
Kuna muda tunapaswa kujifunza kwa kusikia kuliko kuona mwamba ana roho ya dhahabu Mungu ampe maisha marefu mema Sana. Mungu hutuambia vitu kutumia watu hili ni funzo 🙏🕊️🕊️🕊️🕊️
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Yupo Mungu bro anayeweza badilisha maisha yako na ndie tumaini letu sote. Tafuta Mtumishi wa Mungu anayeweza kujenga upya ufahama wako. Pia watz tumsaidie ndg yetu
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 жыл бұрын
Subhanallah what a inocent soul ata uyo alokupeleka segelea akiona hino vdeo atajihukumu
@hamidahamadi3609
@hamidahamadi3609 4 жыл бұрын
Huyu kijana kaniumiza sn wallah dah Allah akufanyie wepesi Inshaallah
@fadiasly5001
@fadiasly5001 4 жыл бұрын
Pole kaka umeniliza jamani halafu upo na matatizo lakini unatabasamu jamani mwenyezi mungu akuondolee hayo maradhi jamani 😭😭😭😭
@castoadriano1753
@castoadriano1753 4 жыл бұрын
"Silver and gold I have not what I have I give you in the name of JESUS" BE HEALED Act 3:6 (TLV Version )
@castoadriano1753
@castoadriano1753 4 жыл бұрын
With God all things are possible
@violetmulongo1636
@violetmulongo1636 4 жыл бұрын
Amen.
@miriamgasper8792
@miriamgasper8792 4 жыл бұрын
imeniuma sana mungu akujalie yaani me na mtoto wa kiume huwa namuombea kwa mungu maana mtoto wa kiume haaminiki wakumsaidia hamna tuombee vizazi vyetu yaani nimelia. mungu bariki vizazi vyetu.
@francisboniphace1483
@francisboniphace1483 2 жыл бұрын
Kwa kwel jaman bora wa kike huw kufait ni mda wowote
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 3 ай бұрын
Aminn
@rahmasuweyd827
@rahmasuweyd827 4 жыл бұрын
Wallah inatoa machozi Allah ampe shifaa na ampe kazi in Sha Allah
@ummuismail7597
@ummuismail7597 4 жыл бұрын
ni mcheshi kaka hadi nimekupenda...sio mwisho wa maisha kula dawa zako vizuri...mungu atakusaidia in sha Allah
@dienovernakshy5647
@dienovernakshy5647 4 жыл бұрын
Bro ukimwi unaishi kuliko malaria Kunawatu wameungua MOTO Moro walikuwa hawaumwi ivo kifo hakitazami ukimwi ulichokiandika Ndio utakufa siku hiyo
@athanasmasmami5389
@athanasmasmami5389 8 ай бұрын
bac kaka inatosha 😂😂😂😊
@anusiatadickson3814
@anusiatadickson3814 4 жыл бұрын
Kuna mazingira Mungu anaruhusu unayapitie akijua wewe pekee ndio unaweza kuyastahimili, Mwisho wa siku unasema Asante Mungu.... Pamoja na yote kaka wa watu tabasamu lake halijajificha
@vivaidaramsy7415
@vivaidaramsy7415 4 жыл бұрын
May Gods Favour Locates And Healing is your portion
@janejohn1083
@janejohn1083 4 жыл бұрын
kaka nimekupenda tabasamu lakomungu akutienguvu piakuwa naukimwi siomwishowa maisha .
@judithkatembwe277
@judithkatembwe277 3 жыл бұрын
Jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Kaka mzur Mashaallah, kuumwa Cyo kufa,kwanza ww huumwi yaan tu ni cdf zimepungua bado kijina na unanguvu , tena unaweza kufanya kaz na ukaanzisha familia yako
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 4 жыл бұрын
Lnk uko handsome Sana usijali mungu yupamoja nawe
@willyngendakumana6996
@willyngendakumana6996 4 жыл бұрын
Dah pole sana bro Mungu yuko na atakusaidia
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 4 жыл бұрын
Dah! maisha haya pole sana kakaangu
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 4 жыл бұрын
NIMEGUNDUA TABASAMU LAKE SIO BALI ANA MACHUNGU ANAJIKAZA KIUME ASILIE.WE Mungu wewe Msaidie Mia wako.mponye.amepitia pagumu hakustahili pigo hili.Mungu nakuomba sana😪.kuishi na Virusi vya UKIMWI SI JAMBO DOGO.mponye kijana wako Mungu nakuomba sana.
@monicabuyuya7902
@monicabuyuya7902 4 жыл бұрын
Hongera kwa ujasiri. Mungu azidi kukupa nguvu. Usikate tamaa
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 Жыл бұрын
Yesh
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 жыл бұрын
Bhanaaa ukiwa na ukimwiii haimaaanishi huna haki ya kufanya mapenzi wewe ni binadamu hata huyo mwanamke wako kama akikutaka tena be hers na tafadhari u can get somebody who can love you 😍 UKIMWI sio mwisho wa maishaaa kijana mwenzetuuuu usifikirie kujiua baba😓plz unanafasi ya kuwa mwanaume tenaaa baba wa familia na ukazaa watoto wengine ambao hawana maambukizi tafadhari mwenye namba ya huyu kaka tafadhari
@williamcasmir5068
@williamcasmir5068 4 жыл бұрын
Daaaaaah Pole Sana Kaka Mungu Atakusimamia Kwa Kila Hitaji Unalo Hitaji"""Unafurahi Na Marafki Zako Moyoni Unamaumivu Yasiyo Futika 😢😢
@rashidimuhibu6832
@rashidimuhibu6832 4 жыл бұрын
Daaah hii story imenitoa chozi bro kwa kweli you are strong boy kaka Allah atakuweka milele daima na utapata hitaji lako
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 4 жыл бұрын
Pole brother, kuugua kwa ngoma sio mwisho wa maisha wala sio mwisho wa ndoto zako usikate tamaa maisha ayana formula shida na raha tunapitia mungu akupe afya njema na maisha marefu mungu akusimamie kila unalo nia nalo.
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 4 жыл бұрын
Pole sana kwa mitihani iliyokukuta 😢
@jellysemwali3509
@jellysemwali3509 4 жыл бұрын
Kwa jina la yesu alie hai kapime tena utakutana na majibu tofauti kaka
@hassanbazi8790
@hassanbazi8790 4 жыл бұрын
Pole sana kaka inshaallh kwauwezo wa (allha) inshaallha utapona kwa jili yake inshaallha bada ya siku 6 kapime tena inshaallh 🇹🇿
@dogogaga8804
@dogogaga8804 4 жыл бұрын
Dah! Pole sana mwanangu {#Kabaisa!} Kila hatua dua Mungu azidi kukupa Afya Njema.
@gersonjohn4353
@gersonjohn4353 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu , dah maisha yanachagamoto nyingi sana kuumwa sio kufa chamsingini kutokukata tamaa na Mungu atafanya njia katika maisha yako
@bobelichi7721
@bobelichi7721 Жыл бұрын
Kabisa kaka
@shirwaelibakari6386
@shirwaelibakari6386 4 жыл бұрын
Dah inauma sana huu ugonjwa usikie tu
@salimamasanja4659
@salimamasanja4659 4 жыл бұрын
Kikubwa kua na ujasili na kujikubali pindi unapopata matatizo makubwa,hongera my kaka kwa ujasiri huko vizuri sana,mungu akupe maisha marefu na uelewa,pole sana
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 4 жыл бұрын
Allaah Amuhefadhi in sha Allaah. Maadaam ana imani na moyoo wa subrah.na MashaAllaah mcheshi.Allaah Atamsitirih na kumfunguliyaaa Ayatakayoo.na kulaa mwenye shidaa Allaah Atawafunguliyaaa.kkwa mwenyezimngu kwake nikunfaa ya qoun..
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 4 жыл бұрын
Dah kwelii bro kuna ndugu# jinaa yaniiii Unaweza ukawa na ndugu wengi lkn ni ndugu jina tuuu...mh p0lee bro Mungu ni mwemà
@bboyblackfire
@bboyblackfire 4 жыл бұрын
they see me smile but they don't know what i feel inside 😞 😞 😞
@lindaemily981
@lindaemily981 4 жыл бұрын
They don't know by chronixx
@gambajunior2275
@gambajunior2275 4 жыл бұрын
BBoy Blackfire daaah too immotional bro watu wanapitia hard time
@_naimali
@_naimali 4 жыл бұрын
BBoy Blackfire facts!
@bboyblackfire
@bboyblackfire 4 жыл бұрын
@@_naimali ❤❤
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 4 жыл бұрын
Pole sana
@masagabulemela3228
@masagabulemela3228 2 жыл бұрын
Hawa wenye hela ni wangese sana wanajiona maisha wameyamaliza na wanaona hakuna kitu mtu unaweza kufanya kama huna pesa ila Daaah pole sana kwa kweli inauma mno
@enonmwanza5736
@enonmwanza5736 4 жыл бұрын
Polee sana mwamba jipe moyo mungu yu pamoja nawe
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 4 жыл бұрын
Dah! Mwenyezi Mungu akujaalie pakuishi na pia kazi inshaallah Mungu ndo mtowaji kaka Ake utapata na na ukimwi sio kifo bro aisee mpaka umeniliz kbs tamasam lako yan dh 😭🙏🙏🙏 Mungu mjaliee kijana wako nina imani kilakitu anetowa ni wewe Mungu 🙏
@abdallahjuma242
@abdallahjuma242 4 жыл бұрын
Pole sana bro InshaAllah hakuna kitu kinachoshindikana mbele ya ALLAH ... atakufanyia wepesi wa kila jambo lako na utarudi kwenye maisha yako ya furaha.
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 4 жыл бұрын
Kabaisa jaman pole best cjakuwona mda sana
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 4 жыл бұрын
Dah mwana nimemkubali mno, mcheshi na anaongea huku anacheka alafu yupo wazi kabisa na ugonjwa wake
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 жыл бұрын
Abdul Mgagagigikoko ataishi daima huyo kwa uwezo wake muumba!
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 жыл бұрын
Roho inauma sana wallah
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 жыл бұрын
Ila mwana ajali icho nikizuri zaid
@emmanuelnganyagwa416
@emmanuelnganyagwa416 4 жыл бұрын
antonie akimanyase we acha faraja ya uwongo hkn atakayeixhi milele we
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Ishatokea sasa itafanyaje jamani mungu yumwema hapo cha msingi tumchangie spate chumba na hela ya mtaji
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 жыл бұрын
Mwanaume ni mwanaume he is very strong though amepitia maisha magumu ,pole Sana dogo yote yataisha tu .
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 жыл бұрын
Nashukuru kwa comments nilizopata kwenye video hii, kwa wale ambao wangependa kujua zaidi ninavyoendelea, mnaweza mkanipata kwenye Instagram, jina "Frenk_Muhina" na kwenye Facebook ni Frenk Muhina.
@luckpanja6219
@luckpanja6219 3 жыл бұрын
Pore sanaa
@korogwetanga810
@korogwetanga810 4 жыл бұрын
Pole sana Allah akupe subra
@aay2925
@aay2925 4 жыл бұрын
Pole Sana kaka Allah yuko nawe usikate tamaa bro ayush from 254
@faizahalidi4556
@faizahalidi4556 4 жыл бұрын
Pole sana bro mungu atakusimamia you makes me cry 😭😭😭
@zainabissa7986
@zainabissa7986 Жыл бұрын
Such a Handsome with very nice smile, Binafsi ntakutafta. Usimuache Mungu anampango mzuri sana na wewe na ugonjwa ulionao utapona kabisa na maisha yako utayafurahia.. MTEGEMEE MUNGU...
@majitube6682
@majitube6682 4 жыл бұрын
Pole saana monyezi mungu atakusimamia inshallah dont give up na nawapengeza saana milard ayo my faveret chanal keept up na kazi nzuri unafanya from mombasa
@esharamadhani3438
@esharamadhani3438 4 жыл бұрын
Pole sana !,pole sana kaka Kwatabasam ulilokua nalo Mungu akuzidishie naakufanyie wepesi
@devidevtuya7467
@devidevtuya7467 4 жыл бұрын
Pole sana kaka
@mtamomtamo544
@mtamomtamo544 4 жыл бұрын
Esha Ramadhani
@salmatalhiyn3225
@salmatalhiyn3225 4 жыл бұрын
Tumsaidieni Basi Jamani Angalau Apate Hata Boda Boda Iweze Kumuendesha..Nimeumia Saana Maskini Vile Tabasamu Lake Analotuonesha Kama Kwamba Hata Tatizo Moyoni Daah Eee Mungu Wetu Tusaidie Waja Wako😭😭😭Pole Saana Ndugu Yetu...Mungu Ni Mwema Naamini Atatenda ...
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Bodaboda tena nisawa na kumpa kesi au kifo ,hizo nazo wavyoziiba dah
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Masikini pole sana kakaangu Allah akufanyie wepes jaman nime umia sana 😭😭😭
@user-ll4rz8ug1g
@user-ll4rz8ug1g 4 жыл бұрын
Pole sana inasikitisha
@gddh4122
@gddh4122 4 жыл бұрын
Mtihani
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 34 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
LIVE# NILIACHA CHUO NA KUKIMBILIA BIASHARA YA GENGE !
15:19
Agha Media
Рет қаралды 9 М.
DALILI ZA MWANZO ZA HIV NA UKIMWI
10:39
bongoclassafya
Рет қаралды 48 М.
"WENGI HAWAAMINI NINA UKIMWI, BOYFRIEND NILIISHI NAE MIEZI MITATU TU"
23:56
FRANK AMEPATA VIRUSI VYA UKIMWI / ILIKUWA GEREZANI / NAMPENDA DIAMOND SANA!
10:41
УТОПИЛА ДОРОГУЩИЙ ТЕЛЕФОН 😭
1:01
Аня Панкова
Рет қаралды 7 МЛН
ToRung short film: 🙏get a free meal🤤
0:41
ToRung
Рет қаралды 26 МЛН
УНИТАЗ В ЛЕСУ?? #shorts
0:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,6 МЛН
ВЕЛОСИПЕД ЗАГОВОРИЛ
0:15
KINO KAIF
Рет қаралды 15 МЛН