JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@maryamhussein1868 Жыл бұрын
Oppo P
@blessingmapazia9545 Жыл бұрын
Yaani hata maneno ya kusema yameniishia.pole sana kaka Mungu afute vidonda vyako
@colethamkota5745 Жыл бұрын
Pole sana Mungu aendelee kukupa Nguvu hakuna lililokupata Mungu akajua auliwez Haya n mapito Mungu ahimidiwe daima
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani pole kaka mungu atakulipiya kwani anaye muharibiya maisha ya mtu makusudibasi ajuwe huo ni mkopo utakuja kurudi na riba
@Naw89 Жыл бұрын
Hakika
@dinesschamanga Жыл бұрын
Kabisa
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
😭😭😭pole sana Brother..ila mungu ni mwema sana
@mcbalozi2519 Жыл бұрын
Maisha ni fumbo kubwa sana naamini kupitia mtihani uliopitia utafanikiwa na kufika mbali zaidi bora mwanzo mgumu wenye wisho mzuri
@witnessmakoi6616 Жыл бұрын
Pole sana Mungu akufanyie wapes
@janebandihai1961 Жыл бұрын
Ila uyo kaka jamani ndo mana ata akasingiziwa mbona mpole sana yani ata kujielezea kwake kwa shida sana kha!!!! Maskini😢😢😢😢
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana Mungu anakusudi na wewe🙏🙏
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Pole sana mtoto wangu, mungu atakulipia tu
@leokamil6284 Жыл бұрын
Amen 😭
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Amina
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Asant
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@FrankMfinanga-jj1fd Pole sana ni uchungu mkubwa sana
@salemmwakibinga8107 Жыл бұрын
Pole mwanangu,Mungu atakulipia
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Wanasheria si mumsaidie huyu kijana apate haki yake kuanzia kwa huyo mpelelezi mpaka hiyo famila ya kina maria,inasikitisha sana.
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Wengn wanasamehe tu ili waendleee kuteseka mioyo yao
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kwa nchi yetu hii ,mtu akidai haki atapotezwa au atatafutiwa jingine la kusingiziwa. Nchi mbaya sana hii
@geofreymtweve9048 Жыл бұрын
Pole sana
@frankwarembosaloon53169 ай бұрын
Watuwengi munaongeaga hakuna hivi haki yamtu kufungwa alafu anakuja kuambia hanahatia hakiyake ikowapi
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Pole sana kijana wangu
@zainabamran8230 Жыл бұрын
Pole sana, sikufaam ila nilikuwa naomba uwe huru ni mitihani tu ya ulimwengu
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukuru kwa maombi
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukur
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
Daa Leo wa 1
@EvonithaBeshobeza Жыл бұрын
Pole kaka, pole sana
@dayana5513story Жыл бұрын
Kijana mzuri hatari, but kila kitu kimetokea kwasababu mungu hakutangulie
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukur
@joycehashim2040 Жыл бұрын
@@FrankMfinanga-jj1fd pole sana ndugu
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Hivyo ndo vyombo vyetu vya sheria yaan unamhukumu mtoto wa mwenzio miaka 60 kwa ajili ya rushwaa hakika hii ni laana kwa vizazi vyenu
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ndio maana Mahakimu hujiua au hupata mateso hapa Duniani
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Yaani hizi rushwa hawajui ipo siku watazilipia hawajui Kuna MUNGU anayewaona hasinzii wala halali
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Kwanini Akahe miaka yote mtoto Alipozaliwa kwanini hasipimwe DNA???