inauma saana, Mungu awape uvumilivu na kuwatia nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu
@kassimmsimba91527 жыл бұрын
kunatatizo kubwa tu, majambazi wa kuua askari 8 na kupora silaha si tukio la kitoto busara hekma zitangulie na sio jazba mimi natoa wito kwa jeshi la polisi fanyeni kazi zenu kwa uadilifu na msifanye vitu vinavo wafanya raia kuamini vitu tofauti na hatimae watu kukosa mapenzi na imani na jeshi lao, poleni sana wafiwa Mwenyezi mungu akupeni subra.
@yassinenglish80277 жыл бұрын
Innalillah wa-inna ilayhr Rajiun! Hili ni tatizo kubwa na pigo kwa jeshi la polisi. Niwape pole familia za marehemu waliofikwa na msiba huo wa kuuawa kwa watu wao waliowapenda na kuwategemea. Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi. Ila ningependa kutoa rai kwa serikali yetu ingawa sidhani kama inasikiliza maoni ya wananchi, 1. Ijitahidi kujenga na kukuza mahusiano mazuri na yenye ukaribu kwa wananchi wao na kuachana na mambo ya siasa kwenye mambo mazito. 2. Polisi waepuke kutumia mabavu dhidi ya raia, hii inatengeneza mwanya mkubwa kwa raia kujitenga na jeshi la polisi hali inayohatarisha na kukwamisha juhudi za kiusalama na wakati mwingine hata wao wenyewe kuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupatwa na majanga ya namna hiyo na zaidi ya hapo. 3. Polisi litumie akili, hekima, busara na uwezo wa kiintelijensia katika kutafiti au kukamata mhalifu. Nasema hivyo kwa sababu utakuta wanatumia silaha, nguvu na jazba nzito kwa jambo la kawaida sana. Pamoja na juhudi za serikali kuwapatia vifaa vya kisasa ila isiwe sababu ya polisi kujiona wababe. Nadhani unakuta wanatumia silaha za moto kwenye jambo ambalo lingetumia akili tu ya kawaida na saikolojia ya kumlainisha mhalifu ajisikie yupo kwenye chombo salama. 4. Polisi waachane na tabia ya uonevu kwa raia kwa sababu wao ndio msaada mkubwa kwao hasa katika usalama. 5. Serikali ingeunda tume ya siri ya kushughulikia uchunguzi na ukamataji wa silaha zisizohalali kumilikiwa na raia. Hii itapunguza sana matukio ya kijambazi na ujambazi wenyewe. 6. Dhana ya uzalendo imetoweka ndiyo maana upendo wa wananchi na nchi yao umepungua kiasi cha kuona haki ya kupokonya maisha ya wengine kwa maslahi binafsi. Mfumo wa mapato serikalini ungeangaliwa upya na kuvitaka vyombo mbalimbali kama polisi kujisifu katika kuingiza pato la nchi kwani huwenda wakawa wanatumia nguvu na uonevu kwa wasio na hatia kwa kuwatoza faini zisizostahili. Mfano kumbambikia raia mnyonge makosa kwa kisingizio cha uzururaji. 7. Serikali iwe inatennga vipindi maalum kwa jeshi la polisi kuhudhuria semina mbalimbali za kiintelijensia na kijeshi zinazolenga kuongeza ufanisi pasipo kuleta madhara kwa yeyote. 8. Hali ngumu ya kimaisha. Serikali inapaswa kuangalia namna ya kupunguza makali ya changamoto za kimaisha kwa raia wake. Ikumbukwe wazi kuwa Rais ndiye mfariji mkuu wa nchi kwa wananchi wake. Kwahiyo kuwa na misimamo isiyoashiria upendo kwa wananchi wake kunaweza kuathiri usalama wake na taifa kwa ujumla. Tuyachukulie matatizo haya kuwa funzo kwetu. Ndhani inawezekana baadhi ya mapendekezo niliyoyataja hapo yanafanywa ila nguvu ya kuboreshwa iangaliwe upya, tunakosea wapi, viongozi wanapaswa kuwa na maono ya mbeleni na siyo kuwaza siasa na maslahi binafsi. Yangu ni hayo tu. Mungu ibariki Tanzania na Afrika yote mchana na usiku, daima na milele. Amina!
@kassimmsimba91527 жыл бұрын
Naogopa sana nguvu itakayotumika kuwasaka waha wahalifu naomba hekima busara itumike jazba isitangulie mbele baada ya oparation ninataka watanzania tujifunze jambo je watakuwa ni wale mashekhe wachochezi na magaidi au ndiyo Alshababi wenyewe, poleni wafiwa mungu awape subira.
@leahkazeba58507 жыл бұрын
poleni sana wafiwa mungu awe pamoja nanyie
@seifathumani35247 жыл бұрын
poleni sana walinzi wetu wa taifa,kwa msiba mzito wa kitaifa,mungu awaweke mahali pema peponi ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki,wote waliohusika na mauwaji haya ya askari wetu wasakwe kwa gharama yoyote.
@ruqaiyaibrahim18657 жыл бұрын
Mmmh mnanikumbusha baba yangu MNDOGO aliuawa mwembe chai/ dar poleni sana jaman
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
poleni sana jeshi la polisi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema palipo na wema peponi AMEEN
@davidbendera54807 жыл бұрын
poleni ndugu zetu mlioopteza ndugu zenu.pia poleni sana jeshi la polisi.
@mamymamy89717 жыл бұрын
mungu ibariki tanzania poleni sana wanafamilia wote mungu awape subra kipindi hiki kigumu hawa watu ni wabaxa sana ee mungu tusaidie
@simbasalumu53947 жыл бұрын
Tukumbuke hakuna anaependa mwenzake apate shida au matatizo, Pia hawa askari wetu waliopatwa na matatizo wana ndgu na familia na watoto ambao wanawategemea, Pia tukumbuke kuwa hawa watu lengo Lao cyo kuua polisi pekee, Mkuranga/Rufiji viongozi wangapi wa vijiji na watendaji wamekufa, chakujiuliza kama polisi wanapigwa vile je mm na wewe tunataka, cyo mda wa kuanza kushabikia kwa sasa, nimda wa kupeana moyo kwa haya matukio, leo kwao kesho kwetu, Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema Peponi. Amina
@godfreykanelela94487 жыл бұрын
rip mungu yu pamoja nasi ukiua kwa upanga na we utakufa kwa upanga
@sabinamakumbuki33087 жыл бұрын
mungu ibariki Tanzania poleni sana jeshi LA polis
@bwizayasini21537 жыл бұрын
poleni sana jishi LA polisi
@gwantwaemanuel22197 жыл бұрын
inauma sana mungu awarehem
@waxmoney32127 жыл бұрын
mungu ibariki Tanzania iwe na Amani
@lucyyohana74447 жыл бұрын
+Wax Money kabisa jamn aman ni muhim sana tucthubutu kuipoteza pollen police wetu kwa pigo mlilopata lkn naamin watapatikana tyu
@zenasalumu25607 жыл бұрын
Poleni sana jeshi la polic
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 жыл бұрын
Ewe Muumba mbingu na aridhi tunakuomba uwalinde nguvu kazi yetu ya taifa kwani hawalali kwa jili ya taifa letu la tanzania Amin
@DanielDaniel-ey8th7 жыл бұрын
Pumzikeni kwa Amani, Amina!
@saidwilson65297 жыл бұрын
wote walio fariki kwenye matukio haya polisi pamoja na hao majambazi basi mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.......
@nzuna50497 жыл бұрын
Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi, amina
@radhiasalum8337 жыл бұрын
polen sana
@erickdioniz42177 жыл бұрын
polen sana ndugu na jamaa wa marehemu
@emmanueldavidy49137 жыл бұрын
poleni sana makamanda wetu
@7840557 жыл бұрын
pole sana jeshi la Polisi na familia za marehemu
@ismailkasim79607 жыл бұрын
Daaa nomaaa sana
@hussenhassan52877 жыл бұрын
Ushaur wang kilasilaha yaselikal ingedungwa microcheap for secret ili ikiibiwa silaha isomwekwenye GPS uwondo utakuamwishowasilaha kuibiwa
@MrAsifiwe7 жыл бұрын
Poleni Makamamda,,hebu sasa muuvae huo ukamanda
@fatumahalifa66237 жыл бұрын
innallillah wainnailah rajiun mungu warehemu askar wetu kwan kwan wanajitolea kwa ajil yetu
@issakasara66367 жыл бұрын
Innah llilah wainnah illahi rajiun Allah awape shufaa ndugu duh Allah awajaalie makazi mema Inshaa Allah
@hassanussi17477 жыл бұрын
Issa Kasara إنا الله وإنا إليه راجعون
@brunokarangali45967 жыл бұрын
Watanzania tufunge nakumuomba mungu atuepusha na aya mabaraha ya kutisha, nchi yetu ina istoria moja tu yakupigana vita kwahyo tuombe isijekutokea tena
@mathiaslukas12337 жыл бұрын
Mungu alitoa mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe
@sandemaneno68715 жыл бұрын
No
@sandemaneno68715 жыл бұрын
No
@tembaapriscus76407 жыл бұрын
poleni xana jeshi polisi kwa kuwapoteza wenzenu .ushauri wangu kwa uma ni kwamba ulinxi ni watu sote si kwa askari tu .tunaomba ushirikiano kwa rai wema kutoa taarifa punde aonikanapo mtu ambae unawasiwasi nae
@omaryabdalah20447 жыл бұрын
poleni ndugu Jàmaa na watanzania wengu kwa vifo vya askari wetu.
@hamisiseif75627 жыл бұрын
Poleni sana askariwetu mungu yupo pamoja nanyinyi ila kwatukiohilo ndo mujifunze kwamba jambazi c mtuwakumchezea nyie mukiwaona majambazi gonga lisasi tu mpaka washike adabu
@lucaslemwinji39767 жыл бұрын
Poleni sana Jeshi la Police kwa kuwapoteza askari hao!
@zakiamusa67897 жыл бұрын
wema sepetu
@zakiamusa67897 жыл бұрын
wema
@mathiasmalimi45557 жыл бұрын
ubinadamu ni DAMU asiye na DAMU sanamu
@petermahoiga78827 жыл бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUEPUSHE NA MABAYA YOTE.
@hemedialiy16646 жыл бұрын
PETER MAHOIGA poleni sana
@arafsaaa88447 жыл бұрын
duh allah barik tz😢😢😢😢😢
@hasanipoy39764 жыл бұрын
Poleni
@mariachahe70777 жыл бұрын
inauma sana poleni jeshi La polisi, R.I.P
@mahmoudukusso44887 жыл бұрын
kwa kweli hili ni tukio la kutisha na kuhuzunisha ,lkn bado Nina imani na serikali,wizara husika na jeshi la polisi kwa pamoja tutafanikiwa kama taifa Mungu ibariki Tanzania
@Selemanian7 жыл бұрын
safi sana. Wapigwe tu hao majambazi
@shupajunior22827 жыл бұрын
Polen sna najiuliza ni wapi tunaelekea jamn serikali wapen wananch uhkika mara kutekwa mra wanaotulinda wanauwaw tunakwendwa wapi
Daaa R.I.P wapambanaji wetu lkn Mungu asaidie na hao majambaz wote waliobaki wauwawe pia
@johdefinnest19287 жыл бұрын
muuaji akifiwa hulia machoz halis na sio bandia mlishaambiwa muwe mnafnya kwa kitendo cha harakaharaka
@masumbukosiyougomvi79007 жыл бұрын
watanzania pollen sana... inauma sana watz baaz kushangilia askari kuuliwa? ama kweli MTU huvunja utu wake mwenyewe.
@edinahjames19767 жыл бұрын
jamani huko pwani sasa tumechoka kila cku mauaji......Eeeeeh mola tuhurumie kila cku rufiji
@ashahaji49367 жыл бұрын
hili genge litakua limeandaliwa na liko imara mm imeniuma sana maana hawa c jambaz cjui niwaiteje hawa mbwA mwitu!!!!!
@chubimabassa44607 жыл бұрын
Polesana jeshiletula Porisi
@jazirshabanishabani69627 жыл бұрын
Raia wangapi ambao wanakufa kwa kuuliwa na mapolisi lakini hamshughuliki leo mmeguswa mnaanza kusema asakari 10 kwa raia 50 wapi ambao wanauchungu kati ya jeshi la police na raia muache ujinga
@makoyemaneno23867 жыл бұрын
Polen sana
@njikuhr18754 жыл бұрын
Haswaaa
@sakinandoile47587 жыл бұрын
Mmmh... so sad AMANI ya Tanzania iko wapi?? walinda usalama wanauawa je wananchi tusio na mafunzo!!! so sad
@jumahassani61657 жыл бұрын
Aisee
@verocletus10827 жыл бұрын
Mungu awe pamoja nanyi katika mapambano ya kusaka hiyo mijambaz
@alexmuema95704 жыл бұрын
Aifai
@ashahaji49367 жыл бұрын
Allah inusuru Tanzania yetu
@soudmohamed22747 жыл бұрын
Poleni sana lkn tutaamini vipi km na nyie hao mliowauwa ni majambazi kweli au mmeamua kuua Raia wasio na hatia?
@cheddykibwita74717 жыл бұрын
jemc kaijage ataisoma kibiti hukooooo
@maftahmusa95137 жыл бұрын
msiba mkubwa inanikumbusha walivyo dunguliwa raiya vijana wadogo kwa risasi na kupoteza maisha pale mwembechai na mwanafunzi Chiku Adhumani akitokea shule kupigwa risasi mpaka sasa kilema,,
@veronicalucas5807 жыл бұрын
duu tumeumia sana kazeni but hao watu watatukost acha maneno mengi kuwen Sirius
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Amna chochote kazi yenu ni kuwaoneya upinzani na wasema kweli
@mottofoundationinc.34927 жыл бұрын
ACHENI MIKWARA NYIE......SIMNGEWAUA WOOTE WAKATI MNAPAMBANA NAO..
@JustInnocentBoy7 жыл бұрын
Don't cry sir
@nassorozawiya57787 жыл бұрын
polisi 7 kuuwawa.......,,,,, huyu aliye andika heading inaonekana c mtanzania.
@lailakheir51067 жыл бұрын
Nawao wakipatikana wauliwe kma vizuri
@rosemarybenjamin58667 жыл бұрын
ni more than pain aise polen. saaan Nchi yangu Tz police kwa ujumla na wafiwa ,,,yan mkikamat ao ni kichwa kwa kwichwa iyo itakua tu migaid
@katefarmlwafu11567 жыл бұрын
POLENI SANA,MUNGU ATUNUSURU NA MAJANGA HAYA.KIUKWELI MM BINAFSI IMENIUMA SANA TENA SANAA.
Wananchi tunapokamata majambazi tukiwa kwenye harakati ya kuyachoma moto, police mkituwahi waga mnatuzuia na mnaondoka nayo, mkimanisha mnahuru wakati jambazi yeye hana huruma na matokeo yake ndiyo haya. But poleni sana ila tunapowakamata muwe mnatuachia tu na sisi wananchi tunafanya maamzi yetu, ili wapungue.
@coutinhofanaka28397 жыл бұрын
Mnastahili kupewa pole, ila punguzeni ubabe kwa raia maana inafika wakati tunashindwa kujua kama mpo kwaajili ya ulinzi wa raia au mpo kwaajili ya kututesa.
@nassormohamedyhamisimwariz12177 жыл бұрын
Kwa teknologia iliyopo sasa cm ikiibiwa inasoma GPRS unajua ilipo. Kwa nn silaha za majeshi yetu zisifungwe GPRS ili zikiingia ktk mikono ya watu wabaya mnajua zipo wapi kwa muda mfupi baada ya tukio?
@juliethmsafiri47117 жыл бұрын
wakatwekatwe vichwa bana.....
@janewacera78127 жыл бұрын
So sad
@josephmihambo48727 жыл бұрын
Watafutwe popote walipo wakamatwe kwa njia yoyote ile wapatikane
@marblebaswige6147 жыл бұрын
sio wakamatwe hapana baada ya kutoa maelezo wana lengo gani jeshi la polisi na aliye watuma ni nani ndio wapelekwe kusikojulika hata ikiwezekana watupwe kwenye pipa la acid
@abdallahdataguy7 жыл бұрын
pipa la acid.......nimechekajeeeeee
@florameza95297 жыл бұрын
mm nafokiri mcplan kwenda kuwashughulikia majambazi mciwe mnatangaza mwende kimyakimya mcicema wanackia wanasepa
@IbraKiruwasha4 ай бұрын
❤
@jerrysonpontian74297 жыл бұрын
i trust global tv ,,,,,sorry for the families who lost their lovely one dr pcs😩
@kilimoajira24577 жыл бұрын
Watanzania wenzangu askari ni ndugu zetu na si maadui zetu. Wapo kwaajili ya kutulinda sisi na Mali zetu, tuwape ushirikiano, tulishawahi kujiuliza kama askari polisi wasingekuwepo nchi ingekuwaje? Vipi kuhusu usalama wetu? Mungu awatie nguvu familia zao kwa kupoteza wapendwa wao.Tuwape ushirikiano askari
@matanosaid57907 жыл бұрын
Hii kali sasa
@nipolive..27457 жыл бұрын
Nashndwa kujua niuzembe kiasiga mpaka wore kwa pamoja wauwawe iv kama pols wote hao wameuwawa .VP. Kuhusu wana nchi ulnzi wao
@allyfaraji64727 жыл бұрын
mimi naona ao wanaoua wanatumiwa na watu frani. ila ipo siku watafahamika akina nani wanawaandaa watu magaidi.
@aliomarbakar69247 жыл бұрын
mimi nataka niwaulize polisi mpaka jambazi anamiliki silaha ninyimkowap laiya hawezi milikisilaha kwahiyo bas mnawajua vizuri mshindwe tu kuwakamata
@adamlubawa12817 жыл бұрын
poleni sana ndugu zetu mlofiwa na ndugu zenu
@privammbando12387 жыл бұрын
tupo ktk kipindi kigumu sana yatupasa kuliombea taifa , ee mungu tunusuru
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Kumbe mulikua mnawajua walipo Ao majambazi mpaka wamefanya tukio ndio mnasema mtawafwata uko walipo mnapajua siku njingi sehemu zao
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Laana ya Mbarikiwa inaanza na ile yaNgorongoro na Bandari
@ARFIddy7 жыл бұрын
SBUHANA LAH. MUNGU. SAIDIA..WALIMWANGU. . WAKO. .
@hajisaidi32887 жыл бұрын
hatar xan
@omarially91577 жыл бұрын
acha wafe tu mbona wao wanauwa ndugu zetu awasemi wakiuliwa wao wanalalamika ndugu zetu wasio na atia watakamatwa sana uko kibiti
@selemanially34987 жыл бұрын
mmh!! kweli ni Mtanzania ww
@godwinambrosi55227 жыл бұрын
Omari Ally ndugu yako yupi wamemua
@hesrontozzo1777 жыл бұрын
Omari Ally kua naroho ya kibinaadam ww
@hesrontozzo1777 жыл бұрын
sema ndgu yako alieuliwa bika hatia ww omari ally
@lydiasengo54517 жыл бұрын
Omari Ally mswiii walikwambia mbona Uncle wangu ana mwaka tu.na wamemuuwa
@mamarama63607 жыл бұрын
duuh mtihan yaan binaadamu sasa hatuna iman tena na mkoa wa pwan
@bosiabu66077 жыл бұрын
maneno tu yaifai jitahidini sana kuangamiza uhalifu fanyeni operation ondoa silaha haram naona mtatoboa
@mauyakaya20067 жыл бұрын
poleni sana jeshi la polisi, mge tutajiya majina ya hiyo mijambazi ilio uliwa na kutuonyesha picha za maiti yao
@mako3317 жыл бұрын
TANZANIANS STOP POLITICIZING EVERYTHING, sio kila saa siasa, poleni mashujaa
@rukiaabdallah927 жыл бұрын
Nyinyi wenyew munakufa na sis raia tufanyeje na hixo silaa za moto wanazitoa wapi nyiny wenyewe ndo mnawapa
@ngomabway25177 жыл бұрын
Ila najua vyombo vyaulinzi vipo soon tutapata majibu haiwezekani watu wachache waharibu sifa ya nchi yetu pamoja nakuuwa ndugu zetu. Hatujazoea mambo haya kikweli lakini mwishowe yataeleweka tu.
@Digitalhhhhhgfgg7 жыл бұрын
Ua Hao woteeee
@rashidimbega79097 жыл бұрын
Kwa kweli inasikitisha wasakwe lkn watu wa mkuranga ,msaada wenu unahitajika kukomesha holi
@jamesmatikp40817 жыл бұрын
hawa sio watu wa kawaida nafikiri wali pitia mafunzo ya kijeshi somewhere pili siamini kama ni Watanzania.
@scapoloforte3fortissimo447 жыл бұрын
kumamake mm nataka polis wa Tz wote wafe sina iman nao Mumetukaba kwa dola wazanzibar hatuutaki muungano bandia istoshe mashekh wetu mumewaeka ndan kwel ni haki hiyo kufeen mia 5 kwa Siku sio wa 8 tu kidg hao.
@marrychamanga24497 жыл бұрын
Scapolo forte 3 Fortissimo chunga mdomo wako utakuponza.
@jackliineurio80997 жыл бұрын
+Scapolo forte 3 Fortissimo 😂😂😂😂😂weww huogopi
@jackliineurio80997 жыл бұрын
+Scapolo forte 3 Fortissimo 😂😂😂😂😂weww huogopi
@mussamaida63737 жыл бұрын
Wewe emanueli nyansilo angalia hizo statement zako zitakuja kukuletea matatizo bure nakukumbusha majeshi hayana siasa hizo siasa zenu peleken kwa hao viongoz wenu Wa kisiasa kama akina magufuli lowasa na wengineo
@godfreymwita18087 жыл бұрын
hofu yangu watumie akili kuliko nguvu coz wanaweza kuuwa wananchi wa kawaida ambao hawana hatia halafu tukaambiwa wamepatikana