Safi kabisaaa kamanda Sirro piga kazi mungu akubariki katika kazi zako
@lukubamichael29937 жыл бұрын
safi Sana kamanda! nakuamini hayo madogo Sana kwako
@saulmwakyusa10017 жыл бұрын
mungu awabariki maskari zetu mfanye kazi iende salama wananchi tuungane kwa pamoja kuwaombea hawa askari ili tu nchi iwe salama ila sasa police mcburuzee ovyo RAIA katika upelelezi wenu
Allah akujalie IGP Siro. ww ni zaid ya komando. Siro is the best.
@williamkavuta80667 жыл бұрын
huyu Sirro n Jembe aisee ataendana na kasi ya JPM
@mpelienock7 жыл бұрын
Hongera kamanda Sirro kwa kutambua kua suluhu iko kwenye jamii na kutambua mchango wa jamii hasa wazee katika kutatua changamoto polisi ni jamii kwa ajili ya jamii police wote wajue hilo na kujali jamii big salute kwako kamanda Sirro.
@peterpaul33507 жыл бұрын
Sirro fanya kazi yako
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 жыл бұрын
tunawatakia kazi njema polic wetu wa tz mungu awe nanyi kwa wote
@safinatv15997 жыл бұрын
Allah nijalie nikutane na IGP siro mana namkubali sna anipe japo kazi ya kusafisha viatu vyake 😢
@abdallahdataguy7 жыл бұрын
huko ni kuchupa mipaka. muogope Allah. jidhalilishe kwa Allah ni haki yako na siyo kwa mwanaadamu mfu wa kesho mchanga wa kesko kutwa
@faizysagari1187 жыл бұрын
Abdallah Ally allah akuzidishie imani
@سبحاناللهالعظيم-ي9ك7 жыл бұрын
Aaaaaa jamaniiii
@سبحاناللهالعظيم-ي9ك7 жыл бұрын
yaaaaani anafanya kazi kwakweliii ana wajari wana nchi wakeee MUNGU azidi kumjalia siro
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Safina TV kazi alishatoa niwewe tu kujituma. Ukimjua muharifu ukamtaja mln 10.
@venancebasil46567 жыл бұрын
Verry Good kamanda sirro
@suleshalley64127 жыл бұрын
Inshaallah mungu akuwezeshe SIRRO hakuna mafanikio bila ushirikiano na raia
@kelvincosmas46927 жыл бұрын
Pamoja sirro
@arafatimjungu25107 жыл бұрын
nakutakia kazi njema mh.IGP sirro
@erasmusmassawe87027 жыл бұрын
arafati mjungu
@joycemashikolo90967 жыл бұрын
safi sana watapatikana tu Mungu bariki jeshi letu la porice
@maureenisrael71017 жыл бұрын
kazi njema kamanda sro Mungu akuongoze zaidi
@maryammaryamkiriwashwa16267 жыл бұрын
mungu akuoneshe njia
@azizmbishi66537 жыл бұрын
Sasa waTanzania tumepata IGP tuliokua tunamtaka kiukweli amenifurahisha sana kuomba radhi kwa wananchi kwa mateso na manyanyaso waliokua wakiapata wananchi juu ya askari, huku wahusika wakiendelea kufanya mauaji wananchi walikua katikati hawajui cha kufanya maana hofu iliwajaa juu ya kikundi cha wt wachache wanaofanya mauaji ya kinyama huku jeshi la polisi nalo likiwanyanyasa wnch, lakini hilo sasa kamanda Sirro umeliona sasa tupo pamoja na wewe umetupa imani nasi tunakutakia kila kheri, pongezi kwa mzee Magufuli kwa kututeulia kamanda wa kweli chapa kaz kamanda mungu atakuongoza kwa barka zake.
@sayunimairi25387 жыл бұрын
siro uko Vizuri
@yamikankaleso94567 жыл бұрын
safii sanaa kamandaa zirroo
@iviejustified81097 жыл бұрын
huyu mzee is brilliant.... kila la heri Mkuu Siro
@boazjohn20177 жыл бұрын
kweli kabisa tumezoea aman katika nchi yetu
@prosperkilatira47987 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutangulie ktk operation hiyo mkuu!
@christinahaule97267 жыл бұрын
hongera sana
@tukeimalinga15487 жыл бұрын
Bravo Sirro
@mwezanephta11077 жыл бұрын
kazi njema IGP S irro
@papafikiri7 жыл бұрын
Sirro unajua nakukubali sana
@happyminja12927 жыл бұрын
hongera sana kamanda wewe ni bonge la mtu
@julianamasunga34587 жыл бұрын
safi kamanda tunakupenda Sana unawasikili watu wa ngazi ya chini!!!!!!
@dannyhasaratupu39757 жыл бұрын
kazi ya siro naiyamini % 150 hadi LEO namba yake ninayo namkumbuka sana enzi Za tanga. big up
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Danny HASARA TUPU nasikia alisafisha mitaa yote ikawa kimya!
@danfordmwigune38357 жыл бұрын
Danny HASARA TUPU naomba namba yake
@dannyhasaratupu39757 жыл бұрын
Danford mwigune wataka namba ya nani
@mkurangacnajemasabatochane46267 жыл бұрын
wenje na masha wanakujua hupindishi mambo kama utakua hujabadili pambana haki kidogo hua haki kubwa barikiwa kamanda
@sakinandoile94397 жыл бұрын
Fanya the best IGP hiyo hali inatisha sana
@idrisarashid50387 жыл бұрын
kazi njema baba
@hamisikumwalu74957 жыл бұрын
watu wamepigwa na wamepoteza lasilimali zao ,usiwaombe radhi bali walipwe kwani jeshi ndio limesababisha baada ya kulinda wakaamua kuchukua mali zao,
@raphaelnestorymattambo82716 жыл бұрын
Safi xana IGP
@yasiniSwedi-qg5oc10 ай бұрын
Huyu IGP apewe mauwa yake tz haijawai kupata IGP alietekeleza majukumu yake kizalendo kama silo
@hassankayla40767 жыл бұрын
Hongera baba kwa kazi nzuri
@transmadale7 жыл бұрын
Huyu jamaa ni Mashine balaa, namkubali lazima afanye kweli
@salumsimai27287 жыл бұрын
sirro Fanya kazi muda ndio huu
@ernestjohanes90877 жыл бұрын
safi sana
@jisamjose21847 жыл бұрын
inasikitisha
@marrykamera68937 жыл бұрын
good
@dastanfussy48985 жыл бұрын
Kibiti safiiii, shikamoo afande siro
@hajjihusseinramadhan27747 жыл бұрын
endelea kuamuru kazi za kuhuzunisha kama ya imam Salum upande cheo zaidi
@kiyabolnjemu96464 жыл бұрын
Kazi ilishafanyika wajinga mlipnga
@user-vv5xd3ye4i7 жыл бұрын
HAO WANAOJIITA MAGAIDI UA WOTE....HALAFU HAWANA NGUVU YOYOTE KWANZA WAKONDEFU KAMA NINI....
@tumainicharles86567 жыл бұрын
pongezi za dhati kwa kamanda IGP Sirro.Kila LA kheri katika kuwafikia waarifu.Ila kinacho niuzi ao walio vaa mikofia ya chama Na nguo za chama. kwani apo kulikua Na mkutano Wa chama. wana boa Sana😈😈😈
@jelasnkoma42407 жыл бұрын
safi sana Ayo Picha ni Clear balaa
@livingstoneurassa49497 жыл бұрын
keep it up IGP SIRO.
@maximillianbiyemotungaraza24007 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu na intelligence ya kutosha kufanya kazi..
@احساساحساس-ز4ث7 жыл бұрын
swadakta
@beatricenicholausiwasa76017 жыл бұрын
kazi njema mzee sirro
@issahmwazini94477 жыл бұрын
احساس احساس m
@brightonpaul72817 жыл бұрын
saf kamanda
@amocknghd80357 жыл бұрын
Kaz kaz!!!! Kamanda sirro bg up
@metalcombat44707 жыл бұрын
You should watch your back ma guys. Kutokana na vyombo vya habari hao "manunda" wana tabia za kuvamia! Kama wana silaha kali na nyengine ni mali za Polisi si ajabu pia wakawa na mabomu. Kuweni makini na ziara na safari zenu walinzi wetu!
@hamisikumwalu74957 жыл бұрын
kulinda raia na malizao ,
@carlosmfuru91257 жыл бұрын
nakubali Sana kamanda fanya yako ndugu
@karmelimtsaxhara69627 жыл бұрын
big up
@carlosmfuru91257 жыл бұрын
Thanks
@LuisSilva-xp2nw7 жыл бұрын
Nimempenda bure huyu IGP.
@masalimsuhitv64397 жыл бұрын
chapa kazi
@rosemarybenjamin58667 жыл бұрын
ivi kwa mfano yan ao mkiwakamt itakuaje yan ,,,yan siku iyo piken tu ugali mishkak kwa saan
@andrew294687 жыл бұрын
kazi njema kamanda SIRRO,watanzania wote wapo nyuma yako,tanzania yetu ni ya amani ,Rais amajua wewe ni kamanda wa operation, safisha uchafu wote
@athumanikagimbo33967 жыл бұрын
IGP SIRO NAKUKUBALI 100%
@iddgubwe16627 жыл бұрын
simba wa vita huyoo!!
@charleschasila21477 жыл бұрын
Mimi wananiuzi wakienda kwenye vikao lazma hata visivyohusu chama lazma wavae misale yao
@lucymgulunde73297 жыл бұрын
wewe charles hujielewe kwahiyo ulitaka wavae nguo za mkeo unajua maana yakazi yao akiwa kazin lazima youn form zivaliwe uwe unajiuliza sio kulaumu
@charleschasila21477 жыл бұрын
Stupid Lucy mgulunde
@charleschasila21477 жыл бұрын
Tena jieshimu pumba ww
@lucymgulunde73297 жыл бұрын
+Charles Chasila mwenyewe wewe ndio unaongea pumba
@charleschasila21477 жыл бұрын
Lucy Mgulunde tatzo akili huna
@michaelmagere40697 жыл бұрын
IGP SIRO yuko vzr
@alfredmassesa37147 жыл бұрын
Baba fanya Kazi anayeua kwa upanga nae anastahili kufa kwa upanga
@mamahustru7 жыл бұрын
Hapa Magu hakukosea. Sasa jeshi la polisi litabadilika na kuanza kushirikiana na raia. Watu pelekeni taarifa shida hii iishe.
@isayambuba33357 жыл бұрын
hao watu watafutwe wandhalilisha tz yetu
@paulemmanuel95127 жыл бұрын
siro mm cnaga ofu na ww uko vzuri uliituliza dar ualifu umepungua sana
@husseinkazara88847 жыл бұрын
tuko Pamoja mkuu
@piusmaridadi14607 жыл бұрын
helloooo
@babually54037 жыл бұрын
umarikiwesana mzee sirro
@sakinatanzanian50007 жыл бұрын
asant ayotv nipnd sn
@godisgreat18457 жыл бұрын
Sisi tumeona kitu kwa Mh Rais kukuteua kuwa mkuu wa jeshi ila mtangulize Mungu mbele utafanikiwa jiamini rudisha tena matumaini ya amani tuliyoanza kuyapoteza mungu akuonyeshe njia
@mcjabbyevents49387 жыл бұрын
Mungu akubariki katika shughuli zako ili amani iweze kutawala
@lusekelorichard27877 жыл бұрын
Very nice
@geofreymkopi49057 жыл бұрын
Ramadhani Njema Wote
@gozbertmmassy29437 жыл бұрын
kamanda sirro "Atakae kamatwa no man leave behind
@saleheinnocent76367 жыл бұрын
Watu wanamagari mpaka ya milioni 500 wakati wengine hata baiskeli kitendawili..
@emanuelychacha79037 жыл бұрын
Salehe Innocent kuna mtu kakuzuiya kununua gari acha porojo fanya kazi
@saleheinnocent76367 жыл бұрын
+Emanuely Chacha kaz iko nyuma yako waniruhusu niifanye wagu?
@josephharaja82907 жыл бұрын
our leader done well
@cvanocharles60017 жыл бұрын
Peace & Love
@marcosabun47747 жыл бұрын
sina shaka na IGP"
@charlesemmanuel94347 жыл бұрын
hapa isingefaa kabisa kuvaa mavazi ya kivyama...hili ni tatizo
@godfreysanga24057 жыл бұрын
pikipīki zipigwe marufuku mijini ndio chanzo cha uharifu sana mijini namuunga mkono kamanda wetu siro
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Godfrey Sanga mi nashangaa izo bodaboda.,waweke tu baiskeli mijini! 😆😉
@ahmedjamal50847 жыл бұрын
100% IGP
@abdituke60377 жыл бұрын
Damage have been done
@ramaduki25617 жыл бұрын
Bongo Environmental problem .Sisomi .niwe ..............
@suleimanali99397 жыл бұрын
mshadanganywa
@kiyabolnjemu96464 жыл бұрын
Soma post yako leta majibu tahra wewe
@zubeliaskulanga88527 жыл бұрын
Safina mbavu zangu hahaaa
@josemkongwe46097 жыл бұрын
Hivi kuna kampeni bado vipi makofia hayo na hizi brauzi
sasa tuwakusanye waganga maana mambo magumu ,kweli waganga wanasaidia sasa Mungu anaambiwa asiwahukumu Mungu simwanadamu ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga