Jmn wanawake tujitambue maisha magumu tufate mpango wa uzazi wanaume wanajua kutia mimba kule ahaaaa .kuterekeza watoto tu
@evarichard4866Ай бұрын
Wanawake tujifunzeni kupitia uyu dada tusikubali yatukute 😊
@ChristinaHabiye-el3niАй бұрын
Pole sana mama ,jaman watanzania tumsaidie huyu mama back huruma na watt wadogo
@sophsoph4740Ай бұрын
Ulikua kuzaa duh yan sjui wenzetu mnazaaje
@asinahussein2176Ай бұрын
Jamani wanaume km haha mungu anawaona
@OfficialA83640Ай бұрын
Kwann asiuze hapo akajenge huko aliponunua na pesa ya biashara atapata akisema aondoke hilo eneo litapotea
@Zuu673Ай бұрын
Apo hakuna chakushangaa uza icho kiwanja alafu kajenge lwako ni haki ya watt soo uyo baba
@JaneroseJohn-l7sАй бұрын
Ww mwanaume haya machozi ya hutu mama hayawezi kwenda bure. Litakupata jambo. Unatesa malaika hawa wasio na hatia.
@wemaMichael-fr4thАй бұрын
we mwanamke huna akili ulikuwa unaona kabisa mwanaume ulienae hajitambui kwa nin ulizaa nae watoto wote hao
@martinchambala9399Ай бұрын
Mwee
@AishaMadizel-nm8deАй бұрын
Mhhh usiseme hivyo haya maisha leo kwake kesho kwako wewe ni mwanamke😭😭
@Zuu673Ай бұрын
Nimekuelewa ulicho kisema wachache wasio kuelewa watakuchamba,mimi nimezaa watt 2 nilipomuona mbuzi nikajiongeza lilipokuja tena nikalitimua nikarudi nyumbani nimepambana sasa ninajifanyia kazi zangu nalea wanangu wanawake tujitambue,sasa uyu dada anajua kujishughulisha uyo baba wanna tena? Apo akirudi atalalanae tena puuuu
@martinchambala9399Ай бұрын
@@Zuu673 Sasa unataka kila mtoto na baba yake
@Zuu673Ай бұрын
@@martinchambala9399 kwaiyo anayo yafanya yooote ayo azidi kumshikiria kia kuogopa kila mtoto baba yake? Ndomana siku hizi nauaji mengi apo sasa atakuja kumtoa roho,sijasema azae kila mtt baba take lkn uyo mwanaume hafai
@leylam2121Ай бұрын
Watoto wapeleke kwabibiyao uje omani
@monicatv-c1pАй бұрын
Huko Omani wadada wanahadisiaga wanauzwa wanafanyishwa mapenzi nambwa
@leylam2121Ай бұрын
@@monicatv-c1p mm ninamiaka sita nipo omani alafu ukiendekeza kusikiliza maneno yawatu autofanikiwa
@Zuu673Ай бұрын
Huko Omani ni kubet tu😂😂😂apambane kwaajili ya biashara
@monicamhina9926Ай бұрын
Nipe connection Mimi nataka kuja Oman napitia zaidai ya hayo 🙏but nawatoto wawili