JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@JohnMusagizibert19 күн бұрын
Poleni sana Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
@aminatanzanya747515 күн бұрын
Mi simjui ila kavaa jezi yasimba namm simba. Pole familia
@SemeniMasudy16 күн бұрын
Jamani mungu mkali pumzika kwaaman shemeji yangu kama ndoto 😢
@mwajumaanthony547018 күн бұрын
Poleni wana familia pamoja na watangazaji wote Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu Amiin
@MbogweUpdates19 күн бұрын
R.I.P classmates wangu ntakukumbuka zaidi uchwshi na ushirikiano uliokuwa tangu tuko chuo DSJ Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amen🙏🙏
@nantaembanusurupia567419 күн бұрын
Presha😢 ila na nyie muwe mnaacha watu wanazika kwanza! Hii habari ya kusema mimi wa kwanza kutoa taarifa acheni basi ubinadamu kwanza fikiri tuu ni wewe umefiwa halafu mtu anakuhojihoji hivyo 😢😢😢
@sabrinasabrina839519 күн бұрын
Sasa maana ya habari itakuwa ninini
@NduluAndrew-l5l19 күн бұрын
Dah polen
@ChristineElias-bn4dw19 күн бұрын
Poleni xnaaaa familia
@judithimushy19 күн бұрын
Polen sana wana familia
@MeryJonh19 күн бұрын
Ushaambiwa taarifa za uamisho aajpata na unaullza tena alikuwa na hali gan mmmh
@TimotheoSimtowe19 күн бұрын
Mwandishi! Mwandishi! Mmmmh haya bana
@TatuKisebe19 күн бұрын
Yaani utazani Kuna kitu anakitaka ajibiwe ili alizike